WAJIBU WA MWANAMKE KWA MUME WAKE // BI DEBORAH URIO DAY 17

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Karibu katika mkutano huu na mfululizo wa masomo mbalimbali kwa ajili ya watoto, afya ya akili (kimwili na kiroho), malezi na mahusiano pamoja na mafundisho makuu kutoka katika Biblia Pekee yenye ujumbe mkuu usemao #yatoshajangwani. Tutakuwa mbashara kuanzia 11 mei hadi 1 juni 2024, kila siku kuanzia saa 11:00-2:00 usiku.
    #pizzoonlinetv #atapekahamanetevent2024 #yatoshajangwani #sdachurch #sdasermon #mahusiano #sda #family #live #livestream #livestreaming
    Karibu sana.
    Welcome into this session, we believe that it will add somethig in your growth spiritually, academically, socially and inspirationally.

ความคิดเห็น • 19

  • @AmbokileMwanyilu
    @AmbokileMwanyilu หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe. Sana. Mtumishi. Wa. Mungu. Kwa. Mafundisho. Mazuri. Kwa. Kuliponya. Kanisa

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 หลายเดือนก่อน +1

    For me bi Deborah Urio is a best❤

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  หลายเดือนก่อน +1

      And she is a blessing to many

  • @dorahalfayo355
    @dorahalfayo355 หลายเดือนก่อน

    Asante kutufungua masikio mtumishi wa Mungu.

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  หลายเดือนก่อน

      Mungu atukuzwe sana

  • @KamaraSiruri
    @KamaraSiruri 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe

  • @AgapeandGlorySingersTz
    @AgapeandGlorySingersTz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mama urio

  • @silvanaivan-m1d
    @silvanaivan-m1d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio mama endelea kutupa vitu wanawake wa kisasa hawatutii kabisa

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  2 หลายเดือนก่อน

      Mungu atusaidie kwakweli

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน +1

      Na ninyi hamtupendi vilevile

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  หลายเดือนก่อน +1

      Kumekucha 🤗😁

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  หลายเดือนก่อน +1

      @emmadora7848 kumekucha kumekucha 🤗

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน +1

      @@pizzoonlinetv ndio hawatupendi ,watupende waone kama hatuwatii na kuwaheshimu