@@mwinyiomar4962 hatuna kitabu cha nyanya tua cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA ukihitaji kuongeza maarifa katika eneo muhimu la mbolea karibu kwa kufanya muamala wa 7000 kwenye lipa namba 22211100 Minja kilimo Kisha tutumie muamala Whatsapp 0784013400 Kisha unatumiwa kitabu kwa Whatsapp
Mimi ninachokupenda ni kwamba, unatupa mambo mengi Kwa wakati mmoja. Pakeji nzuri sana. Wadudu na mbolea.🙏
@@AshaJuma-s7l Kuna wenzenu wanakereka nitakua mchoyo wa maarifa Sasa nakuonjesha tuu
Daah! Madini hatari 🎉
@@AshaJuma-s7l karibu sana kwenye darasa langu la kilimo cha nyanya kwa madini zaidi 😂😂
Uko vizuriiii kongole
Mwalimu nakukubali sanaa
Naamini siku Moja utaonyesha live hizo athari😊
@@AshaJuma-s7l 😂😂🙏
Uwe specific kidogo bro, maelezo mengi mpaka mtu anachanganya mafaili
Pole sana
Shkrn mwalimu
🙏
Naomba namba yako
❤❤❤❤
❤❤
Tuko pamoja bro
🙏🙏
Booster gani ahiendani Na mbolea fulani iliowekwa tayari ardhini?
Mda gani upite baada ya kuweka mbolea Na kupuliia folliar?
@@AkwayoWilondjaheri mbolea za chini kila baada ya wiki mbili, foliar Kila wiki
Niweke gram ngapi hatua tatu ya nyanya
@@SalumYussuf-m7c 10
Shamba lako liko wapi kaka, practical is better than theories.. Ungekuw shambani ndo tungekuelewa vizuri zaidi kuliko maneno tu
Kaka zipo nyingi sana za shambani fatilia
A/alaikum nahitaji kitabu nipate mafunzo ya Nyanya
@@mwinyiomar4962 hatuna kitabu cha nyanya tua cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA ukihitaji kuongeza maarifa katika eneo muhimu la mbolea karibu kwa kufanya muamala wa 7000 kwenye lipa namba 22211100 Minja kilimo Kisha tutumie muamala Whatsapp 0784013400 Kisha unatumiwa kitabu kwa Whatsapp
Mbegu kipato bei gani
Sifahamu
Mbolea unaweka bada ya siku ngapi
Siku 14
❤❤