MSIKITI WA MTORO UMEFUNGULIWA NA WATU WAFANYE IBADA - SHEKH WA MKOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 ปีที่แล้ว

    Alla atuhifadhi na janga hili

  • @ahmedsaid8834
    @ahmedsaid8834 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah

  • @aydamohammed6531
    @aydamohammed6531 4 ปีที่แล้ว +1

    'Hatuwez kufunga nyumba za ibada' while ulifunga🙄Alhamdulillah msikiti umefunguliwa....TAKBIRRR

  • @bakaribiksa2318
    @bakaribiksa2318 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Shekhe Ni Bendera Mnashindwa Na Watu Ambao Si Waslam Wanajua Umuhimu Wa Ibada Yeye Mwenye Imani Yake Anapelekeshwa

  • @solemba595
    @solemba595 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizoo Viongozi wa Bakwata mnakurupuka sana sasa aibu inawakuta, endeleeni kuendeshwa hisia zenu...

  • @salehmrombo1730
    @salehmrombo1730 4 ปีที่แล้ว

    mlikurupuka sana.!! tatizo imani zimekuwa haba.!! nyinyi ndio wakuowaongoza viongozi wa kiserekali ktk mambo ya ki imani lkn leo imani zenu zimekuwa chini mnashindwa hata na viongozi wa serekali.!! mtihani huu.!!

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo mumeiweka dunia mbele

  • @udymakame5269
    @udymakame5269 4 ปีที่แล้ว

    Duh hataree muislamu hukaa kimya tuu kutokana na ulimwengu wa sasa ulivo ila mtihani sheikh, makufuli hem islimu..

  • @yasinsaid6354
    @yasinsaid6354 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka Raisi aseme, napata mashaka na masheikh Kama hawa

  • @hemedirajabu9010
    @hemedirajabu9010 4 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa dini mlikurupuka sana (nadhani mnashindwa kumwelewa mh rais wetu)

  • @ushybabe2650
    @ushybabe2650 4 ปีที่แล้ว

    Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrr

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว

    Mashekhe dunia hao wanataftasifa kwa raisi tokeni

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว

    alhamdu lilahi

  • @othmanmuna3115
    @othmanmuna3115 4 ปีที่แล้ว

    We mnafiki sana ila Allah yupo

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว

    Yaani kuna mashekhe wanataka sifa tu kwakua juzi magufuli aliwapakazia ndio haoo wanajitoa kimasomaso

  • @bobramaso825
    @bobramaso825 4 ปีที่แล้ว

    Vipi Kiblatein Ambao Wameufunga Viongozi Wa Msikiti?Wameufunga Bila Hata Kufungiwa Bali Ni Maamuzi Ya Uongozi Wa Msikiti

  • @abdallaomargaal3542
    @abdallaomargaal3542 4 ปีที่แล้ว

    ALHAMDULILLAH BADO MSIKITI WA QIBLATAIN NAPIA IFUNGULIWE

    • @bobramaso825
      @bobramaso825 4 ปีที่แล้ว

      Kiblatein ule uongozi wa msikiti umeufunga ule msikiti sijui kwasababu gani

  • @Almisbahy9551
    @Almisbahy9551 4 ปีที่แล้ว

    Dongo La Mhe Rais Limewaingia Hahahha Maguful Noma Sana

  • @rashidmughairy6456
    @rashidmughairy6456 4 ปีที่แล้ว +1

    Wekeni siasa mbele .. nyie mnafanya hili jambo ni dogo .. الله يستر عليكم

  • @abushirali8827
    @abushirali8827 4 ปีที่แล้ว

    Huyu nina alie mpa ushekhe wa mkoa yan hapo mwanzo ulisema vip huu unafiki

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 4 ปีที่แล้ว

    A.aleykum enyi ndugu zangu waislam. Hivi huyu kiongonzi anamfuata Allah au anamfuata rais mm nashindwa kuelewa kwani Allah ameisha elekeza Kwan uislam umekamilika

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 4 ปีที่แล้ว

    sichangii chochote maana ntakamatwa

    • @mwamvuasalumu9062
      @mwamvuasalumu9062 4 ปีที่แล้ว

      Ally 😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @abuutwalh
      @abuutwalh 4 ปีที่แล้ว

      Nami sisemi kitu mana mhhh

    • @binnassor5642
      @binnassor5642 4 ปีที่แล้ว

      Ally Ndambwe 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ibrahimually1196
    @ibrahimually1196 4 ปีที่แล้ว +1

    Kilichosabibisha ufungwe msikiti MH RAISI WETU ANAIMANI KUBWA KULIKO HUYA JAMAAA HATUFAI KABISA RAISI MGUFULI NI KIONGOZI AMBAE KWA UMAKINI WAKE HAIJAWAHI TOKEA

    • @allyabdallah446
      @allyabdallah446 4 ปีที่แล้ว

      Unavyoona ww, kamtowa babu seya kawaacha mashekh wetu wa muamsho

    • @shalbaonlinetv
      @shalbaonlinetv 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/wV7-SfjOZl4/w-d-xo.html