Aah jamani, Naiona Safi ya BIMA Lee Magneto pale Omax Bar Keko Mwanga 1984/5 waimbaji Sbabaan Dede, Athuman Momba, Jerry Nashon, Roy Bashekanako, Kumbe Batamwanya. Solo gitaa Joseph Mulenga, rythm Abdullah Gama, bass Mwanyiro! Hatari, walifanya balaa kubwa!
Naupenda Sana huu wimbo! Bima Lee Mungu awaweke pema peponi huko mlipo. Sauti zilikuwa za kumtoa nyoka pangoni, daah alafu wimbo umechanganya hisia za huzuni na furaha! Basi burudani tupu!
Ahsante sana Eddie kwa kutushirikisha hazina hii kuu, dah mpaka machozi yamenitoka kabisa, nimemkumbuka sana marehemu mama yangu. Alikuwa akikaa jikoni alipenda kuuimba sana huu wimbo....R.I.P Agness Malampama Nunda.
Poleni sana Hamad, napenda tu kukujulisha tunzi kama hizi zilizofariji, elimisha, onya, kosoa na kuburudisha Taifa na watu wakiwa na furaha huongeza uzalishaji iwe viwandani au mashambani. Dede katoa mchango mkubwa mno kwa nchi yetu. Apumzike kwa amani.
Band bima wimbo shangwe ya harusi line up shabani dede kamchape,athumani momba,mulenga,pieza,selemani mwanyimbo,na ni dongo alikuwa anarusha kule ddc na alitunga wimbo huu akiwa bar kule manzese
@@abdallaabdulrahman8319 sina uhakika lakini nadhani ni Bichuka. Nilivyosikia Bichuka ilikuwa ajiunge na Bima akifuatana na dede, mulenga na mwanyiro lkn yy yaani Bichuka akagushi kwenda Bima. Lkn sina uhakika kwa asilimia 100
@@Elicha883 Hata kama huna uhakika inawezekana ikawa ni kweli unachosema. Dah! Nimekubali DeDe alikua mkali wa vijembe kwan nyimbo zake nyingi unahitaji ufikiri sana au upate ufafanuz ili uzielewe undan wake na sabab ya kuimbwa .RIP DeDe
@@abdallaabdulrahman8319 wakati ninaishi mburahati mara nyingi Nilikuwa naenda friend corner bar pale Manzese marehemu wakati huo alikuwa ana nyimbo zake za fatuma.
Kaka Deus we acha tu sasa nabidi tucheze shikolobo tu maana nyuzi bin nyuzi kama hizi hatutazipata tena, inasikitisha sana, Moshi William, Gurump, Jose Maina, Shaban Dede na wengineo hawapo
Vyuma vinaondoka Deus, inasikitisha hatujui mengi juu ya wanamuziki wa kizazi hiki, mfano sikujua Dede anatokea Kanyigo Kagera? Bichuka na Mzee Mabeala waandike vitabu kuhifadhi kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Surely wimbo huu wa Shabani Dede wanitia uzuni moyoni, sauti ya kisawa sawa na mpangilio wa vyombo. Lo, ni jambo la kushangasa hikiwa hati hatuna huyu bwana Dede. Bado tunaye humu hewani na tutaikumbuka sauti yake kila mara tunapo isikia, RIP Dede
Hizi kali sana. Hongera sana marehemu bima lee. Kuna wimbo uliimbwa na Dudumizi baadhi ya maneno yake yanasema " moto waniunguza, moyo wanilipuka,, penzi langu kwako lilikuwa la kukata na shoka, mbona waniumiza mamaa, wanikanaaa tukikutana mbele za watuuuu....... unambie kweli kama bado wanipenda, nakama hunipendi mwenzio nitajisumu....." Naomba.sana huu wimbo
Hapo magitaa yanarindima kwa kupokezana, Solo yupo Joseph Mulenga( king spoiler), Gita la rhythm linacharazwa Abdallah Gama( a.k.a String Master) Gita Bass liliungurumishwa na Suleiman Mwanyiro( Computer), Mungu awapumzishe kwa Amani, Enzi za uhai wao hakika walikonga nyoyo za wapenzi wa muziki wa Dansi.
😅kila nikiusikia wimbo huu wa Bima Lee shangwe ya harusi , hunikumbusha Jambo ambalo Hadi umauti wangu sitalisahau maana utadhani wimbo huu ulitungwa kw ajili yangu. Kweli intibagila ntisana
hi eddy, kuna wimbo mmoja lakini sina uhakika na bendi ilioupiga. nadhani bendi ya King kikii, wimbo una mashairi haya.." mara ya kwanza ulinitaka tucheze, muziki wa kwetu siwezi kukataa, mara ya pili ukanirudia tena, sio kwa kucheza bali kunifinyia jicho....." naomba uuweke kama unao
Mngumi,Huo wimbo original ni wa Luambo na PT JAZZ.Lakini Kasheba aliuimba kwa kiswahili akiwa na OSS Safari sound.Sasa ukiandika:Kasheba na oss-Mara ya mwanzo uliniomba tucheze utaupata

Ni kweli kabisa Dada Julitha, Shaban Dede nyimbo zake nyingi aliziimba kwa hisia Kali.
@@felixmagulu6142 Haswa! Si unawasikia wazee wazima Dede na Mulenga wanavyolalamika!
Allah Azidi Kukuepushia Adhabu Za QabRi N Akusamehe Madhambi Yako Baba YanGu...[Shaaban Dede]...🤲🏿
Hii ilikuwa Bima ya Hatari sana, Shaaban Dede, Dudumizi, Momba, Roy, waimbaji. Solo Mulenga, Base Mwanyiro, Rythm Gama.
Asante Abdallah Gama( String Master) uliitendea haki rhythm gita.
Mulenga dede kamaley na bima lee kwa ujumla, nazani hilo litakuwa sax la kamaley patrick, solo la mulenga, Bass la mwanyiro
Sax na Kamaley wapi na wapi ndugu yangu? Kamaley ni mpiga solo. Saxi alikua anapiga Comson Mkomwa na Shaban Lendi
One of the best by Dede and Bima Lee Orchestra. Joseph Mulenga in the lead guitar showed his maturity.
Ahsante sana Eddie kwa kutushirikisha hazina hii kuu, dah mpaka machozi yamenitoka kabisa, nimemkumbuka sana marehemu mama yangu. Alikuwa akikaa jikoni alipenda kuuimba sana huu wimbo....R.I.P Agness Malampama Nunda.
moyo wangu unaingia huzuni sana nikiusia wimbo huu ama kweli dunia tu wapitaji tu daaah!
Inanikumbusha mbali nyimbo hii.
Ndani ya Picnic bar huko Tandika kilimahewa ktk ukumbi karibu na Dimacx bar enzi za hatari hizo kamchape na timu nzima ya bima lee
Kina wimbo wa bima Lee unaitwa AZIZA ameimba Dede ebu nipe
Eddy thanks. Wimbo huu umenikumbusha mbali sana.
Maskini shaban dede ulale salama huko ulipo. Adhabu ya kabri mungu akuondolee rip.
Natamani kulia nisikisikiliza huu wimbo. Ni balaa aisee can't explain
Dede hapa ni sehemu aliyefurahia zaid kuimba katika bendi zote alizowahi kuimba .mwenyezimungu amlaze mahali pema peponi milele.Ukisikia sauti inayoweza kumtoa nyoka pangoni ndo hiii sasa.
Allahumma Ameen....🤲🏿
lala salama Shaaban Dede!
moja kati ya nyimbo zinazonifanya nisisimkwe mno kila nikiisikiza .....................Sisi baba alikumbwa na yapi mpk kuwa kutunga nyimbo kama hiii
Ni mzazi wako Hamad?
Hamad Dede pole sana kwa kuondokewa na MZEE wako
Je hizo habari za kifo ni za kweri? Au ni uzushi
Poleni sana Hamad, napenda tu kukujulisha tunzi kama hizi zilizofariji, elimisha, onya, kosoa na kuburudisha Taifa na watu wakiwa na furaha huongeza uzalishaji iwe viwandani au mashambani. Dede katoa mchango mkubwa mno kwa nchi yetu. Apumzike kwa amani.
Pole Sana mkuu
Mulenga, Mwanyiro, Momba na Dede; you guys rest in eternal peace, mmetuburudisha sana. Amen.
Difficulty to convince me that guys of these calibre left behind their qualities. RIP legends
Band bima wimbo shangwe ya harusi line up shabani dede kamchape,athumani momba,mulenga,pieza,selemani mwanyimbo,na ni dongo alikuwa anarusha kule ddc na alitunga wimbo huu akiwa bar kule manzese
hili dongo alipigiwa nani na kwa sababu gani?
@@abdallaabdulrahman8319 sina uhakika lakini nadhani ni Bichuka. Nilivyosikia Bichuka ilikuwa ajiunge na Bima akifuatana na dede, mulenga na mwanyiro lkn yy yaani Bichuka akagushi kwenda Bima. Lkn sina uhakika kwa asilimia 100
@@Elicha883 Hata kama huna uhakika inawezekana ikawa ni kweli unachosema. Dah! Nimekubali DeDe alikua mkali wa vijembe kwan nyimbo zake nyingi unahitaji ufikiri sana au upate ufafanuz ili uzielewe undan wake na sabab ya kuimbwa .RIP DeDe
@@abdallaabdulrahman8319 sawa ahsante ndugu yangu Abdalla Abdulrahman kwa maelezo yako. Kwa kweli Dede alikuwa Hodari rip brother Shabani Dede
@@abdallaabdulrahman8319 wakati ninaishi mburahati mara nyingi Nilikuwa naenda friend corner bar pale Manzese marehemu wakati huo alikuwa ana nyimbo zake za fatuma.
Ndugu Eddie kamalisha na ule wao uitwao "Baba Shani" Bima Lee.
R.I.P Dede, mmoja wa wanamuziki mahiri nchini petu na nje ya nchi! Bomu la simanzi limepasuka Muhimbili....
Pumzika pema peponi SUPER MOTISHA. Vyuma vinaondoka, vinakwisha!
Kaka Deus we acha tu sasa nabidi tucheze shikolobo tu maana nyuzi bin nyuzi kama hizi hatutazipata tena, inasikitisha sana, Moshi William, Gurump, Jose Maina, Shaban Dede na wengineo hawapo
Vyuma vinaondoka Deus, inasikitisha hatujui mengi juu ya wanamuziki wa kizazi hiki, mfano sikujua Dede anatokea Kanyigo Kagera? Bichuka na Mzee Mabeala waandike vitabu kuhifadhi kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Wee acha tu hizo ndizo fasihi
Desemba mosi 2020
Shabani Dede sauti nzito iliyosheheni
Surely wimbo huu wa Shabani Dede wanitia uzuni moyoni, sauti ya kisawa sawa na mpangilio wa vyombo. Lo, ni jambo la kushangasa hikiwa hati hatuna huyu bwana Dede. Bado tunaye humu hewani na tutaikumbuka sauti yake kila mara tunapo isikia, RIP Dede
Hizi kali sana. Hongera sana marehemu bima lee. Kuna wimbo uliimbwa na Dudumizi baadhi ya maneno yake yanasema " moto waniunguza, moyo wanilipuka,, penzi langu kwako lilikuwa la kukata na shoka, mbona waniumiza mamaa, wanikanaaa tukikutana mbele za watuuuu....... unambie kweli kama bado wanipenda, nakama hunipendi mwenzio nitajisumu....." Naomba.sana huu wimbo
Mungu akulaze pema Dede
Nisoma hii comment ya kufariki kwake toka kwa Omari Mbogo, comment ya 1 year ago.
safi sana mkuu. Umenikumbusha mbali sana
Karibu tena ndugu.Burudika
Bomu la simanzi limepasuka hadharani tausi kala Guruba duu noma, Eddy thanks
Flower Twila Karibu tena
Dede hapo akilalamika. his voice is distinct ...
Naam Saad
huyu jamaa alitumia tafsida ya hali ya juu katika kuandika mashairi ya wimbo huu,lakini pia ata alivyoimba huchoki kuusikiliza.
Hakika Dede alikuwa anajua kuimba kwa hisia Kali,R.I.P our beloved brother.
Alimaanisha nini wimbo huu tufumbueni vijana wa Leo ?
Naomba wimbo wa bimali selina
Saxophone la Mufumu Bilala Bombenga.
Eddie, hazina kubwa umetunza kwa taifa letu, thanks. angalia kama unao wimbo wa Dede unaitwa DIANA sina hakika ni msondo au sikinde.
Huo wimbo upo hewani kaka
Bwana Alex Manyerere wimbo DIANA aliuimba DEDE akiwa na Sikinde Ngoma ya ukae.
Hapo magitaa yanarindima kwa kupokezana, Solo yupo Joseph Mulenga( king spoiler), Gita la rhythm linacharazwa Abdallah Gama( a.k.a String Master) Gita Bass liliungurumishwa na Suleiman Mwanyiro( Computer), Mungu awapumzishe kwa Amani, Enzi za uhai wao hakika walikonga nyoyo za wapenzi wa muziki wa Dansi.
Muziki huu unanikumbusha miaka ya 80 nyumbani tulikua na radio aina ya Sierra.
Eddie safi sana...natafuta ule wimbo .."ooh almas web siwezi kaka...siwezi kuvumilia ..ooh almas web jaribu kubadilisha tabia "
Andika mziki wa dansi zilipendwa-Talakaka-Alimasi
si mchezo nakumbuka scandia kibaha sekondari
Scandia enzi gani mkuu hahaa...umenikumbusha zamani sana. me nilikuwa hapo mid 90s
Thanks bro kuipandisha.nimeburudika vilivyo kama kawaida
Karibu tena ndugu
Dunia tunapita.
mwinyi sadallah kweli tunapita aisee!,nakumbuka mbali sana jamani daaah!
Zama zao hizo!!
gorofa ya sita Kilimanjaro hotel Dede mulenga Asia Daruweshi kwenye kinanda Mwanjiro
Classic music.
Shangwe ya harusi inanikumbusha magorofani Kilimanjaro Hotel
😅kila nikiusikia wimbo huu wa Bima Lee shangwe ya harusi , hunikumbusha Jambo ambalo Hadi umauti wangu sitalisahau maana utadhani wimbo huu ulitungwa kw ajili yangu. Kweli intibagila ntisana
Ngoma ya magorofani Kilimanjaro hotel miaka hiyo.
kuna wimbo wa vijana unaitwa heshima ya mtu
Ngoma za magofani gorofa ya sits Kilimanjaro Hotel . Usimsahau Asia Daruwesh
SIO HII BIMA LEE, WEWE UNASEMA MK GROUP
hi eddy, kuna wimbo mmoja lakini sina uhakika na bendi ilioupiga. nadhani bendi ya King kikii, wimbo una mashairi haya.." mara ya kwanza ulinitaka tucheze, muziki wa kwetu siwezi kukataa, mara ya pili ukanirudia tena, sio kwa kucheza bali kunifinyia jicho....." naomba uuweke kama unao
Mngumi,Huo wimbo original ni wa Luambo na PT JAZZ.Lakini Kasheba aliuimba kwa kiswahili akiwa na OSS Safari sound.Sasa ukiandika:Kasheba na oss-Mara ya mwanzo uliniomba tucheze utaupata
Hizi ndio nyimbo bwana kapepsi kabariiidi kanashuka taratiiibu
😢😢😢
Evergreen vocalist- Dede.
Naam kaka,mtaalam huyo
Daa ama kweri mchanga umekusanya wengi RIP Shaban Dede kamchape
Hizi habari inasadikiwa hazina ukweri juu ya hichi kifo
Hai ! Kwani Shabani Dede kahaga ( kafariki ) nimesoma kwenye comment moja baada ya huu wimbo wake "Shangwe ya harusi " Naomba nijue mawa
NI kweli Shabani Dede amefariki nafikiri mwaka 2017 au 16. Mungu amweke pema peponi alizikwa makaburi ya Kisutu pale.