Wanging'ombe Wilaya yenye FURSA Nyingi Zaidi. Ded Maryam Muhaji afunguka
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025
- Wilaya ya Wangingombe inayopatikana mkonani njombe ni moja kati ya Wilaya zenye fursa nyingi sana ndani yake
Utalii
Kilimo
Madini
Ni miongoni mwa fursa zinazopatikana wilayani hapa
Ngasa tv tumefunga safari kutoka mkoani dodoma mpaka wilayani hapa kujionea fursa mbali mbali zipatikanazo wilayani hapa
Zote hizi zikiwa ni juhudi za Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh samia suluhu hasaan akisaidiwa na Mkurugenzi wa wake mh Mariam Muhamed Muhaji.
Tumejionea Madarasa , vituo vya afya, shule za sekondari, na za msingi, pamoja na vitu vingine vingine katika wilaya hii ya waging'ombe … karibu sana mkoani njombe wilaya
CC
@wangingombedc
@uvccm_wangingombe⚫️ MICHEZO na BURUDANI: / playlist
list=PLSzTdjtfFZV4x9eEn8XKjtHMqu5fkevjb
⚫️ BUNGENI DODOMA: / watch
v=0tOC0Qdxizc&list=PLSzTdjtfFZV6DoniR7GGw1_I0dWOzx01B
⚫️ SIASA : • Video
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma
ngasamedia@gmail.com
WhatsApp: +255 716909567
Call us : +255 716909567
thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video.
#sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv