Ubarikiwe pasta Mmbanga kwa mafundisho mazuri ni mimi Mkogomani nina swali je! Inchi yetu ajikwamuwe kwa amani kwa sababu tunaomba vibaya? Mchungaji tusaidiye maombi kupitia Mungu wakweli amina.
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mchungaji nkiwa naskiliza kutokea Qatar Mungu WA Rehema azidi kuwa pamoja nasi sote na kututayarisha katika safari hii tunayo usubirie.Ubarikiwe Sana Mchungaji Mmbaga 🙏🙏
Aksante mchungaji ila Somo la Leo kuomba kwa kuiunganisha roho akili na Imani nasikitika sana Leo sjafaulu hata kuomba tu akili imeshindwa kujipanga ombi langu niombee nifanikiwe
Amen
Imani,Mungu nisaidie
Ubarikiwe pasta Mmbanga kwa mafundisho mazuri ni mimi Mkogomani nina swali je! Inchi yetu ajikwamuwe kwa amani kwa sababu tunaomba vibaya? Mchungaji tusaidiye maombi kupitia Mungu wakweli amina.
Nabarikiwa sana pasta nasikiliza nikiwa nipo Omani mungu akubariki sana naomba uniombee ninachangamoto zinanikabiri za nguvu za giza😭
Mungu hatamuacha mwanae ateseke,. Amini Mungu atakushindia
nimejifunza mengi kwenye somo hili Pastor Mungu akubariki
Very powerful
Mmbaga nikikusikiliza moyo wangu unafalijika sana.
Pastor Yesu asifiwe. Tana River yakuhitaji uwaletee injili.
Mungu akubariki sana pasta,unatufunulia mengi sana
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mchungaji nkiwa naskiliza kutokea Qatar Mungu WA Rehema azidi kuwa pamoja nasi sote na kututayarisha katika safari hii tunayo usubirie.Ubarikiwe Sana Mchungaji Mmbaga 🙏🙏
Ameen mi pia nabarikiwa sana nikiwa Omani naimani tunafarijika😭🙏❤
Nabarikiwa sana Mchungaj
Amen Amen 🙏 Papa ubarikiwe sana
Mungu napokea hekima Amen
❤
Aminaaa
❤❤
Nimebarikiwa na mahubiri yote kuhusu maombi
Aksante mchungaji ila Somo la Leo kuomba kwa kuiunganisha roho akili na Imani nasikitika sana Leo sjafaulu hata kuomba tu akili imeshindwa kujipanga ombi langu niombee nifanikiwe
Nashukuru sana Mungu kukufunulia mambo makubwa yanayoguza maisha yeti yakla siku
Maryam wa Kasulu sasa hivi ameletwa kibondo kwa ajili ya maombezi tunamuombea.
1 Omba unyenyekevi 2omba hekima 3 omba ujasiri natumai nimeelewa
😂😂😂 Nimecheka sana hapo kwwa camera
Mwombee binti maryam apone mapepo
Atamponya
Amen
Amen
Amen