Peter Msechu: Baba Levo akitoka jela mke wake atamkuta ana mimba yangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 118

  • @kelvinmpinga5703
    @kelvinmpinga5703 5 ปีที่แล้ว +8

    Kipande alichozungumzia kuhusu kumpa mimba mke wa baba levo, ilifaa kiwe mwisho, Sio vema sana mnacheka then mnakuja kuongea Kwa serious, OK ila na yenyewe ni ubunifu.
    Thanks kazi nzuri

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 5 ปีที่แล้ว +31

    Msikomenti vibaya ,awa jama niwatani wakubwa Sana Tena Sana ,awajali mtu yupo kwenye matatizo gani ,,ata baba levo waga anamtaniya Ivo ivo

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 5 ปีที่แล้ว +6

    I real appritiate u msechu tulikutana pamoja pale air port katika uzinduzi wa uwanja mpya terminal 3

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 ปีที่แล้ว +8

    ALAFU ANA FANANA SAUTI NA BABA LEVO DAH HADI SURA

  • @robertkomba3251
    @robertkomba3251 5 ปีที่แล้ว +58

    Jamaa nikaisi ni tundu lissu

  • @hamisiharuna3099
    @hamisiharuna3099 5 ปีที่แล้ว +29

    Yaani bwana watu comments zao utadhani wanawafahamu hawa jamaa, hawa jamaa huwa wanataniana bila kujali mmoja yupo katika hali gani, tafuteni clip zote za baba Revo muone anavyomtania Peter Msechu, siko zote huwa wanatania wala hakuna chuki hapo

  • @chalesimtundu7633
    @chalesimtundu7633 5 ปีที่แล้ว +76

    huyu jamaa hawana undugu na tundu lisu kweli

  • @ramadhanichilumba3610
    @ramadhanichilumba3610 2 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa urafiki wao naufurahiaga sana aiseee safi sana

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว +16

    Hili pita linavo fura hata icho cha kutilia mimba anacho huyu🙄🤔mh kujiachia ivo sio poa tumbo linafukika Ata uo mzigo😂😂😂😂

    • @hemedselemani1439
      @hemedselemani1439 5 ปีที่แล้ว

      Jaribu kumpa uone kama hutapata mimba😎

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 5 ปีที่แล้ว +13

    Kama jela ni mafunzoni basi mpeleke mwanao

  • @ahmedmwembo99
    @ahmedmwembo99 5 ปีที่แล้ว +18

    Nikimuona tundulisu huwa nahic ni peter msechu , kweli duniani wawili wawili😂😂

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 4 ปีที่แล้ว +8

    Napenda sana utani huu

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +11

    nenda kumuona na chakula kitamu wewe nyinyi ni ndugu

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 4 ปีที่แล้ว +2

    Peter msechu wewe baba Levo akitoka utaoga matusi

  • @chrisantemanuel2523
    @chrisantemanuel2523 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahaaaa Utani mzuri Sanaa

  • @brianmtango6580
    @brianmtango6580 5 ปีที่แล้ว +9

    Kumbe Na WW mjinga kiasi ilo huna maaana kwenye sanaaaaa

    • @sagudanicasnicas2660
      @sagudanicasnicas2660 5 ปีที่แล้ว

      Brian mtango huyu kaongea utani bana

    • @chrissmgongolwamnatasha6257
      @chrissmgongolwamnatasha6257 4 ปีที่แล้ว +1

      Ww hujielewi hata kidogo msechu na baba levo ni wanataniana kwenye hali yoyote hata Baba levo huwa ana mzingua saana msechu

  • @sanurahyusuph6149
    @sanurahyusuph6149 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaa anafanana na tundu lisu

  • @juhudiacademy2170
    @juhudiacademy2170 5 ปีที่แล้ว +8

    Hahaahahahhaaaaaaa. Mimba tena

  • @zachariazabronngussa7704
    @zachariazabronngussa7704 3 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaaa huwa wananifurahisha sana

  • @evajohn7001
    @evajohn7001 5 ปีที่แล้ว +11

    Nilijua tundu lissu

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ataitwa baba mlezi Kwa kipind cha miezi mitano

  • @kingofjungle3435
    @kingofjungle3435 5 ปีที่แล้ว +6

    pitar msechu anafirwa yan anamtukana diwani wetu mwehu mkubwa huyo na akija kigoma aombe tusimuone ata rudi jina dar msenge mkubwa huyo tena naomba muoneshe hii koment

    • @tanzaniayangu25
      @tanzaniayangu25 5 ปีที่แล้ว +3

      Acha kutukana watu wewe, msechu na baba levo ni watu ambao ni marafiki, wanataniana. Fuatilia post zao utajua

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 5 ปีที่แล้ว +3

      Wewe ni diwani wako yeye ni mshikaji wake na amesema baba levo ni rafiki yake namba moja ni kama ndugu kwake na mke wa peter ni rafiki na baba levo wao ni familia moja ni watani lazima muelewa alichokifanya msechu hajakosea kwa mtu mwenyekuelewa utani wa jadi sio utani wa maneno huo ni utani wa jadi ambao huwezi kumtania mtu mwenye asie mtani wa kabila lako, kwa mfano mzaramo na mkuriya sio watani hawawezi kufikia utani wa aina hiyo watataniana kawaida mzaramo mngoni mdigo msegeju nk utani wa jadi unaweza kurusha ngumi, msambaa mchaga mbondei mzigua mdigo hawa pia wanangiliana kwenye utani sio tatizo. Kuna utani wa kawaida na utani wa jadi.

    • @ugulumsaid2850
      @ugulumsaid2850 5 ปีที่แล้ว +1

      Katika watu wasiojielewa wewe pumbafu

    • @chrisantemanuel2523
      @chrisantemanuel2523 5 ปีที่แล้ว +1

      king of jungle Niwatani

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 5 ปีที่แล้ว +1

      Hawa ni marafiki wa damu hata usikasrike kwa kweli

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni ndugu wa tundu lissu

  • @DrSanai
    @DrSanai 5 ปีที่แล้ว +10

    Jamaa anautani wa ngumi...hahahahah. Hajamsema kwa ubaya bwana.

    • @mau__fund7322
      @mau__fund7322 5 ปีที่แล้ว

      Kamtania ata baba levo anamtaniaga

  • @kamtupensamora1639
    @kamtupensamora1639 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakuomba uitazame video hii >>>> th-cam.com/video/t9uyUkE_2Zk/w-d-xo.html

  • @kelvinjumanne8358
    @kelvinjumanne8358 4 ปีที่แล้ว +1

    Ui

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว +1

    Jiangalie,asije rudi akakuta anamimba kweli,ukaambiwa niww kumbe siww

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe hawa ni ndugu ndio maana wanataniana sana

  • @ahmedhajji1210
    @ahmedhajji1210 5 ปีที่แล้ว +2

    msimalize maneno jamani

  • @papafikiri
    @papafikiri 5 ปีที่แล้ว +2

    Ana mimba

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 5 ปีที่แล้ว +8

    Duh utani unaendeleaaa

  • @FizzoBucker187
    @FizzoBucker187 5 ปีที่แล้ว +7

    angalia channel yangu sasa ujishindie gari na million5

    • @kingofjungle3435
      @kingofjungle3435 5 ปีที่แล้ว

      ww unagari gapi mwehu ww ww na pita msechu akili yenu moja

    • @justinbieber8668
      @justinbieber8668 5 ปีที่แล้ว

      Fizzo Bucker pumbvu

    • @dennismrutu7824
      @dennismrutu7824 3 ปีที่แล้ว

      @@kingofjungle3435 😀😀😀

  • @zenasubeti8586
    @zenasubeti8586 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu jamaa anatakiwa aache mziki aungane na tundu lissu wanafanana saaaana

  • @ignasyluena9197
    @ignasyluena9197 5 ปีที่แล้ว +1

    Kidume kweli hajikwezi hivyo huyu sio riziki

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo kalii

  • @emmanuellaurent2234
    @emmanuellaurent2234 5 ปีที่แล้ว +3

    hahaha... true friends

  • @tanzaniayangu25
    @tanzaniayangu25 5 ปีที่แล้ว +6

    Utani wa ngumi kabisa

  • @alibinusbukombe3836
    @alibinusbukombe3836 5 ปีที่แล้ว +4

    Mwenye simu ya laki NNE aniuzie

    • @Epharus
      @Epharus 5 ปีที่แล้ว

      Iko

    • @ThePHARESJ
      @ThePHARESJ 5 ปีที่แล้ว

      Alibinus Bukombe kuna iPhone 6 nicheki 0658221191

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 5 ปีที่แล้ว +1

    Ana ugomvi nae nini

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 4 ปีที่แล้ว +1

    hahaha.. napenda matani yenu

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว

    Msechu amefananaga na tundulisu

  • @changwaiddy3654
    @changwaiddy3654 5 ปีที่แล้ว +3

    Simba caf usajuli

  • @saidsinani8765
    @saidsinani8765 4 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 5 ปีที่แล้ว

    Acha kumziaki mtu jamaayangu ujui mwenzako kesho anakua nani shauliyako.

  • @ellysbrand
    @ellysbrand 5 ปีที่แล้ว +1

    KWA MASTORI YA TOWN SUBSCRIBE CHANNEL YANGU Good Tube

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 4 ปีที่แล้ว

    L

  • @franklwehela7595
    @franklwehela7595 5 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa anafikiri mimba mapacha zinapatikana Kwa kupiga bao mfululizo au!!
    Kasome biology ya form one😅😅😅😅😅

  • @guccij3549
    @guccij3549 5 ปีที่แล้ว +1

    😀

  • @emanuelidanieli9536
    @emanuelidanieli9536 5 ปีที่แล้ว +1

    Miez mchache bora miaka5

    • @kingofjungle3435
      @kingofjungle3435 5 ปีที่แล้ว

      unaomba dua aongezwe miaka ili pita msechu akutupie mimba vizur akufire sindio kuma ww

    • @busyladyfashion582
      @busyladyfashion582 5 ปีที่แล้ว

      utaenda ww ukujue jela vzl

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji anasema mwasana mwezi tu

  • @FizzoBucker187
    @FizzoBucker187 5 ปีที่แล้ว +2

    support

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna sauti

  • @hassankimata5344
    @hassankimata5344 3 ปีที่แล้ว

    Vp p

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 5 ปีที่แล้ว +2

    Toa hii video Haina sauti

  • @manyukkitv3225
    @manyukkitv3225 4 ปีที่แล้ว

    H

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 5 ปีที่แล้ว +2

    Huu sio utani

    • @kingofjungle3435
      @kingofjungle3435 5 ปีที่แล้ว

      huyo pita msechu ni msenge tu

    • @eliasl1011
      @eliasl1011 5 ปีที่แล้ว

      Abdallah Mchange kama sio utani nenda kwenye instagram account yao mkashuudie wenyewe

    • @abdallahmchange1370
      @abdallahmchange1370 5 ปีที่แล้ว

      @@eliasl1011 mm namaanisha huu utani umepitiliza na sio mzuri kwa afya ya urafiki wao
      Mtanie mtu kwa mipaka sasa mpaka anaenda jela wewe bado tuuu
      Mkewe na ndugu zake wengine wakiona maneno kama haya unafikiri watachukuliaje

    • @eliasl1011
      @eliasl1011 5 ปีที่แล้ว

      Abdallah Mchange hiyo nikawaida kwao na ndo maana nimekuambia tembelea IG account zao hata huyo baba levo hashawahi kulitamka hilo neno kwa mke wa peter msechu alipokua amesafiri

  • @hizamwaimu7634
    @hizamwaimu7634 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuuuuh

  • @danymsinga7048
    @danymsinga7048 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha