ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Km tulikua sote kwenye timbwili tujuane huku❤😂😂muendelezo w matusi basi,tumemiss chanuo jamani❤😂😂😂
Matus gn tena si iliisha
@@aishaibrahim5607 haikuisha daa
@@aishaibrahim5607haijaisha bado
Tuko pamoja my dear 😘
@@leonardadd 🥰👍
Madebe ww mwamba sana mimi uwa na kukubali sana, vraiment tu es trop naturel,from Congo 🇨🇩
Nimeipenda viola kapewa uhusika wake kama mtetezi WA WANAUME
Huo uhusika ameutendea haki..
tunasubiri musimu wa pili madebe, wewe ni bigwa , kwangu uko mwalimu sana🤸🤸🤸💖💖💖🇨🇩🇨🇩
Movie nzuri sana. Vyakuzingatia kama vyoote..
tumependa sana iyi filamu ya mudundo Congo🇨🇩, ule dada mweusi ana maneno ya ukweli wanawake wakiyashika dunia inaweza okolewa
Sema sasa unatuka tishautamu naona tena mzigo hauendeleyi vip tena kaka fanya kwelibasi unyama nimwingisana nakukjbali
Nimeeipanda sana na hongera nabii mswahili kwa kumleta chanuo❤
MDUNDO wa moto huu...hongereni sana
Kaz nzur sana Tim timbwili
Nimewahi mnoo sana wa tisa
Viola viola viola kila siku nakuona tik tok ila leo nimefurahi sana kuona ume toa movie yako yakutusemea wanaume much love Viola❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mzgo wenyewe umechangamka mapema sana episode ya kwanza tuu saf sana mzee madebe
Chanuo nilikumiss jameni..mpo sawa mpo top..madebe❤
B i g u p
Kibena Leo amekuja kama Viola afu Hekma nyingi sana Duuuh
Madebe unaanza kututapeli kwadakika zako 15 kukukubali kwetu isikufanye ututapeli kiaina
Viola mtoto show na mzee mzima Madebe kazi nzuri kabisa. From Mombasa Magongo.
Asanteni sana wapendwa ila musipende kutubania dk jamani au ndio mambo ya mgema akisifiwa tembo utia majiiiiiiiii
Asanteni Kwa kutuchagamsha kweli mi simboeki yaani napenda filamu zenu sana❤❤❤❤
Wa kwanza nipeni like zangu
🎉🎉🎉🎉tamu sana
Tuko pamoja mwanzo mwisho kuwasapoti timu madebe lidai
Wa tano like zenu naomba
Acha Mimi nikupe Toka Uganda
Kaka aujawai kufeli nakukubali miaka mia
Hii Dundo kwel Dundo Bg up san Team nzima ya madebe
Nakubali kazi zako br nikiwa Nairobi kenya
Hahahaha wazeee wa timbwili Sasa tupo kwenye mdundo
Jmn limbwata iliishia wap ndugu madebe
Wa tatu yani mapema
Kazipoa san moza
😊😊nakukubal Sana kk madebe
Hongereni wapenzi kazi nzuri sanaa
Mwanzo Tu uwoooo😂😂😂
Good good👍🏾
2 ep
Nawapenda sana timu timbwili nipo Sweden 🎉🎉🎉❤❤
azam tivi kaweke mzigo kwa madebe bhan yuko kria bhan
Nimeipenda sna hii na nina imani nitapata mawili matatu ya kujifunza ama kunifanya nijitambue😂😂😂😂
Kazi nzuli hongereni sanaaa
Kazi safi msituweke sana
❤
Nice movi
Ongereni sana move zuli
Nimechelewa hongera sana kaka madebe ❤❤❤❤❤
Madebe chanuo kaacha kuigiza nn haonekani ckuiz yupo wap!
Vraiment courage
Kazi nzuri
Jaman mbona hivi? Hamna mwendelezo
Hatari
Tupo wazee wa timbwili
I am I miss chanuo
Chanuo plz madebe huyu huwa anatufunza mambo sana
Ujumbe 👏
Kazi safi ila tatizo dakika 😢
Wapili
Mwanzo mzur sana
Kaz safi sana❤❤❤
Kibena A.k.a Viola gwiji wa busara kama gungwi.
Safi sana❤
Tukiachana na movie huo ndyo uharisia wa viola.
Duh
N nzuri ila ushauri Wangu ni kwamba dakika zingeongezeka kidogo zifike hata 20 siyo mbaya
Mimi wakwanza from Kenya nairobii
Kaka wacha kuwa king'ang'anizi nimekutangulia😂
Hatar ❤️💯
Ok
Yaani sisi ni Mbwa kama Mbwa wengine Dah!😂😂 😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂 iyo. Kali
❤❤❤❤❤ #visit simiyu
🙏🙏
Tumetoka timbwili timeingia mdundo weweeee
Viola❤❤❤❤❤❤ apo apo unatisha
Ni 🔥
Viola upewe ulinzi kweli ❤
Hiyi naikubali tuko pamoja huyu mwana dada yupo wapi snipe nmr
❤❤ hongera sana mno kaz zenu ni nzur mno❤❤
Naic
❤❤
Sijachelewa na mie
Wanawake na chipsi ni hatari
Nice
Fine ila iwe tamu zaid ya Timbwili please
Mm wa tatu
❤❤❤❤❤
Like
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉
wigi sas
Tupo Kwa ajili yako madebe 0:45
❤❤❤😢
Thanks
Tuleteeni ep 2 na miendelezo yote
Pw
Ukiona shemeji anakataa shemeji yake jua anamtaka ila hajui amwambie nini
❤❤❤