Tatinzo kubwa kuna movin azina mwisho madebe kama. Mali ya Simu kama Pesa ao mapenzi vilevile ingine iyi bona tuta fikiya kipindi kutoka ndugu Yangu 🇨🇩🇨🇩 tuko uku Congo
MZALIWA WA KIJIJI CHA KINGACHI, TARAFA YA USSERI, WILAYA YA ROMBO, MKOA KILIMANJARO. KUTOKA GIKOMBAA NAIROBI KENYA, KAZI NSURI SANA, MADEBE USIKAE MDAA MREFU UJATULETEA KAZI, TUNAYAMISI MADINI YAKO KWENYE MOVIE
Hii kweli NGURU ,Wallah Madebe Lidai na wenzako ,munajua sana kwa Uwezo wake Allah(s.w),Mungu awabarikh sana🙏🏼 By Saidi Muhuni
Nimeisubiri hii filamu kwa muda❤❤❤❤hunge hunger sana bwana madebe. Shabiki wako ktotea Kenya
Madebe nakukubali Sana mungu akupe barkah zake
Nimesubiria kwa hamu kubwa firamu hii nguru nikiwa tabora fans mkubwa sana wa bhana madebe lidai
Sio firamu ni filamu 😂😂😂we wa nchini nii
Kusubiri filamu t ibada ahhh
Namba
@@oliverngualo4028co wa nchini nii ni wa nchi hii? 😂😂😂
Jamni ni nzuri Sana brother madebe
Mzee baba mzigon tena unaga baya mungu azid kukupatia akili nying afya njema na ubunifu kibaoooo
Guyssssssss kujeeeeeeni imeeeeeeeenza hiyo WIMBO iko lit🔥🔥🔥🔥
Mwenye kazi zake 🔥
Kazi iendelee 💪
Picha imenyooka Mnooo 📸 📽️. 😊😊😊
Ndugu yangu Mswahili mzee wa kwelimisha 🇲🇿🇲🇿
Mbona ilizembea sana kwaajili ya kutoa movie baba wamisemo 🤝 heshima kwako mkuu shabiki wako toka Congo DRC 🇨🇩🙏
Sawa kaka waukae ,kwetu kumojaa
Nimeanza kuifuata toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tamsiria nzuri kabisa
Kazi nzuri Mr. Madebe Lidai🇹🇿
Malii ya ndimu jmn iliishia wap ile tamthilia ilikua kalii sanaaaa
Kiukweli nakukubali sana mkuuu madebe. Lidai
Nzee nazipenda sana filamu zako, kutokea 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kutoka congo mjini Goma akika tulikua naichunga sana
Ninavyo penda kazi ya madebe apa kazi kazi tu🙋🇲🇿🥀🌹
Movie Kali sana... Hii yakwenda kbs
Tunaisubiriii
Namkubal San madebe lidai mungu amlinde 🙏🙏🙏🙏
🎉madebe unajua sanaa kwetu mauwaa tuuu🎉🎉🎉
Daaah niliisuburi kwa hamu
King again km unamkubal madebe like tuondoke❤
Hamalizii searies
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team madebe ,kaka mkubwa vipi mdundo?
Mdundo poa
Kwani Zambia mnaongea Kiswahili?
Kuma nyoko 😂😂, alisikika mzee mmoja ktk cinema hii 😂😂😂😂😂. Mamae zake huyu mzee 😂😂😂
Mzee😂 Tembo vurugu Hadi mbinguni 😂😂😂
Alivaa uhusika😅😅
😂😂😂😂😂
Kutoka inchini Burundi tunamwaga makoja jamani madebe twakupenda sana❤❤❤❤❤❤
Siku nyingi mwarimu wetu madebe ❤
The king👑
Kama Umesikia KUMANYOOOOOKO Gonga Like Hapa Tujuane 😂
Upo vzr sana
Kaka Kaz mzurii Sana
Madebe naomba kazi❤❤
Madebe umerudi❤❤
❤❤ dah ipo sawa saan huna baya madebe
Kazi nzuri🎉
Kaka unaupiga mwingi ❤
Madebe is a talented man🎉🎉🎉🎉 am watching you from kenya-migori county ❤
Kazi safi nategea ep 2
Kazi mzr safari ijayo tuborexhee puritee
Nakwahii asante sana madebe
KENYA TUPOOOO
Jamani dah hii nzuri san
Picha imenyooka Mnooo 📸 📽️. 😊😊😊
We endelea tu kumanyoooko😅😅😅
Kazi nzur
uyo mzee anaekatalia shamba uwezo mdg ukali hauwez kabisa kuuigiza
maua yangu jamani❤❤
Tatinzo kubwa kuna movin azina mwisho madebe kama. Mali ya Simu kama Pesa ao mapenzi vilevile ingine iyi bona tuta fikiya kipindi kutoka ndugu Yangu 🇨🇩🇨🇩 tuko uku Congo
Jaman nilivyo ona madebe lidai tuu akili yangu imevulungwa 😂😂😂
Madebe mkali sana nakubali mkuu
Jamani madabe umetukoseya ,kwenye kijana maskini na mbiti tajiri,kwanza ulipoteya saana pili haija isha vizuri ,sio sawa
Shabiki wa madebe kutokea DR Congo, Asele
KABLA HUJA DAI HAKI,TIMIZA WAJIBU🙏🙏🙏🙏🙏
Haya jamaniii nguru huyo ✌️✌️✌️✌️
MZALIWA WA KIJIJI CHA KINGACHI, TARAFA YA USSERI, WILAYA YA ROMBO, MKOA KILIMANJARO.
KUTOKA GIKOMBAA NAIROBI KENYA, KAZI NSURI SANA, MADEBE USIKAE MDAA MREFU UJATULETEA KAZI, TUNAYAMISI MADINI YAKO KWENYE MOVIE
Toka ugomv wake namkewe nilitokea kumchukia😂sema nikaumbuka vbya mpk aibu nimekoma nimerud na nakupend sna mapipa❤
Sawa kbs tulisubilia muda murefu tunafurai kwakuiyona
Madebe w zamani anarudi kw kwly mbona tamu mpk bas hongera zko,, watching from Kenya ❤❤
kazi kazini
haar wit word dié Mense young will Mamma's die❤❤❤❤❤ 👏👏
Baba yako pia mmbwa
Nakubali kbs nikiwa drc
Mzeeeeeee wamahoni😋😋😋😋👍
Kumanyooooko😂😂😂😂😂😂
Tunasubir kaka
Ni❤❤❤❤ce
Kuma nyoko tena😂😂 🇨🇦
😅
Madebe Lidai Asalam alaykum..
Nakubali sana filamu zako kwa sababu unatuelimishe sana
We are together from Burundi
Madebe anayaweza ❤❤😅😅😅😅
Safi kazi nzuri
Hongela sana madebelidai
Namkubar huyu jamaa maana anafanya watu wanajua haki za ndoa
Nakubali madebee
Mpaka mbinguni mimi nivulumai tuu 🤣🤣🤣 👍👍👍
Kazi mzuli blaza
Aurelia damasi ❤🙌🏿🔥 She's back
nakubali san kaz yak madebe
HUWA NAKUKUBALI SANA 🎉❤
Kazi Ipo Good Sana💪Next Please🙏🙏
kumanyokoooooooo❤❤❤❤❤
PRODUCTION TEAM BIG UP 💪🏿 SANA
Kazi mzuri madebe 🇲🇿 Mozambique msumbiji
Duu ume nime mpend sayar mtt mzur kam jupiter 👁️👁️
mtaaram wa hizi kazi karudi
Mtaaaalam wao debe lidai maneno makali yakufunza
Inahesabu sana
Madebe na kukubali kamanda
Ongera
Salute
Tufunguliy vitu basi😂
Tunahitaji nyingine bhana madebe
Madebe kama madebe weka like kwake
Pamoja sana kaka
haypingwi hiyo iko vyedi❤
We miss you Nabii
Job 🎉
Nzuri sana ila maliandimu mbona amjaleta muendelezo wake
Madebe my mentor❤
Fanya kweli sasa sio unatowa unakaa kimya