Hongera NGELELA Shilunguja . Nimeangalia kwa ukaribu na utulivu kazi hii na nyigine mbalimbali ulizofanya.Una Kipaji cha aina yake HASA SAUTI. Mimi Ni Msukuma niliyekulia Dar ila nakifanhamu Kisukuma na Ninapenda sana Nyimbo na Utamaduni wetu. Nilikuwa sijaona kazi zako na za wengine TH-cam. Ni Nzuri Mnooo. 'Ja wiza Sanaaa..." Pia Kwa STUDIO ya BLACKBOYS Mnafanya vizuri Sana kwa kazi za hawa wasanii wa Kizazi Kipya cha ASILI hasa huku Kanda ya ZIWA. Kazi ziko Digital. Mnafanya Video katika ku-rekodi katika maeneo ASILI. Nashauri kwa huyu NGELELA Msibadilse Mapig (beats) ile sauti na ughani/uimbaji wa awali ni MZURI Sana Kwa kipaji chake huyu Msanii. Msisizidishe sana uchezaji wa kuiga mitindo isiyo ya Kisukuma na Kitanzania. Kwa Huyu Hongereeni Sanaaaaa...... Facebook #PiusJoseph
Mie sio msukuma ila napenda sana nyimbo za asili hasa za kisukuma japo naelewa maneno machache ila siachi kuskiza love much from Singida 💯 ❤❤❤❤
ngelela unasauti ya kuimba mungu kakujalia achana na chorus unaharibu
Caslida Josephat kweli umeonaa colus kapiga kwaya
Hongera za blackboyz kwa kununa bit nzuri.
Kama ulijua !!!! mimi mwenyewe nyimbo ikifika sehemu ya chorus huwa nakatisha kusikiliza
Ongela sana,uko vzr by msukuma kutoka Didia luhumbo shy
Ndo mfalume wa nyimbo za asili kwa sasa ngelela
Naomba namba ya NGELELA Jamani huyu mtu walau niongee nimsikie 💪💪💪 The song is so beautiful 🎧🎤
Ngelela Hale shi ng'wasegendela gekee Ni bhule
Nakukubali sanaa kaka uko vzr ila punguza kolasi uimbe kwa muda mwingi tunamiss sanaa Sauti yako kuliko kolasi
Wabeja Sana kalembo kawiza gete mamilemo goko
Nnaenjoy sana kuangalia nymbo zá kskma mambo gawiza kohebaaa
Hii ngoma huwa naipendaga sana imekaa vizuri
Ahsante Mihayo Bope
Safi sana..ngelela...
Good work mungu akutangulie. Nyimbo nzuri za ASLI SUKUMA.
Unajitahidi uko vizur
Mfumo wa nyombo zako naupenda Sana ngoma zinasikika vizuri
Jaman nmezimiss kuziona hizonyumba za mixonge 😘😘
Hahaa
Safi xn
Nice my bro
Kaka nakupenda sana
wasukuma mwenzangu nawapenda saaana
Uko vizuri sana
Nakukubali sana mkuu
Safi Sana artist wa kisukuma pamoja Sana by muya from dar es salaam Tanzania
Hongera NGELELA Shilunguja . Nimeangalia kwa ukaribu na utulivu kazi hii na nyigine mbalimbali ulizofanya.Una Kipaji cha aina yake HASA SAUTI. Mimi Ni Msukuma niliyekulia Dar ila nakifanhamu Kisukuma na Ninapenda sana Nyimbo na Utamaduni wetu. Nilikuwa sijaona kazi zako na za wengine TH-cam. Ni Nzuri Mnooo. 'Ja wiza Sanaaa..." Pia Kwa STUDIO ya BLACKBOYS Mnafanya vizuri Sana kwa kazi za hawa wasanii wa Kizazi Kipya cha ASILI hasa huku Kanda ya ZIWA. Kazi ziko Digital. Mnafanya Video katika ku-rekodi katika maeneo ASILI. Nashauri kwa huyu NGELELA Msibadilse Mapig (beats) ile sauti na ughani/uimbaji wa awali ni MZURI Sana Kwa kipaji chake huyu Msanii. Msisizidishe sana uchezaji wa kuiga mitindo isiyo ya Kisukuma na Kitanzania. Kwa Huyu Hongereeni Sanaaaaa......
Facebook #PiusJoseph
Mimi Napenda hapo mwanzo
Nakumbuka 2012🔥🔥🔥🔥
Saganda una Namba za Ngelela. Nipe niwasiliane nae Nina harusi. Lazima nimwite.
Watafute Blackboys Records kwa namba iliyoko mwishoni mwa wimbo
saganda matondo mwambie aachane kolasi,,
Sujui kwann narudia sana
Kuusikiliza huu wimbo
saut noma sana
Hii style imeka pouw sana chorus ndo anaharibu
Nimependa sana
Nakukubari sana ngerela
bhagosha uluihaha lulu
tunda mW
safi sana
Nzuugi pye abose dusangije kwandya RADIO JA GESUKUMA
Halo ulifanya kaz kaka
Sawasaw mkoi
Ng,wana samo
huyu jamaa anasuti nzuri ilakwenye kolasi naharibu
King wa sauti
😮🎉❤
BHUSAGALA hana mshindani kwa wasukuma Mimi ni msukuma wa nindo
Tuendelee kuutafiti vizuri utamaduni wetu
hamis cosmas .bdudagala hamna kitu yule
Kabisa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍
wawoooo
SAMAHANI NDUGU NAULIZA HIVI NGELELA NA LUNG'WECHA NANI ZAIDI? SAFI SANA I LOVE YOU ALL GUYS
John Mashuda ngelela zaida
ngelela yuko juu
John Mashuda Site za madebe sio uku, kuna sehemu nae anafanya vizur sana,...wale ni wakongwe wa game
John Mashuda namkuba li sana Huyu jamaa
John Mashuda ngelela yuko juu kimichezo lakini lungwecha yuko juu kidawa zaidk
ntemi onsi
hakuna wa kumfikia bhudagala
🏃♀️🏃♀️👍👍👌
ugunojaga niyo
Nhana ngh'ana, nugubulagwa idugije bho tuja bhududuhalagulijanijiwa
huyu ndyo mfalme wa melody za kisukuma
👌👌👌
😀😀👌👌👌👍
noooma
huyu jamaaa hata bhudagala hawezi kumukuta hata kidogo mimi musukuma wa bariadi ila nimemukubali sana huyu jamaa
Hujanicha vizuri kwenye sauti naona mpaga saut usibadirishe
natafuta nyimbo za mwalim wa ngelela ambae ni shilunguja kama kuna MTU anazo naomba anitumie whattsup 0752862135
Nyimbo za Shilunguja ni vigumu kuzipata. Kama up Mwanza tembelea studio moja ipo Igoma uzibahatishe katika cassette
Jirunguja Arusha fariki ,,