Nyanda Shilunguja ,nawashauli wasanii wote wanaoimba nyimbo za asili haswa za kisukuma wavae mavazi ya asili pia wacheze kiasili ili kuienzi vema ngoma yetu ya kisukuma
Unini nati nsukuma 😂 lakin gete hii ngoma yawiza sana vadugu 😂 nalilomba kila mnu iize alole ng'wenekele ukusunya duh 🔥 nzogwi na shilatu shing'we.. Tulivo na ng'wanza yise
Chorus zipunguzwe muda maana hazina maana yoyote, wimbo unakua mfupi chorus ndefu hii si sawa jaribu kubadilisha music wako chorus iwe fupi nyimbo iwe ndefu
Daaaa jaman 😂😂😂 ole siza mwana shilongoja kalemela
Hongela sana shemeji yangu nakukubali sana maana wewe kwetu ndo msanii mkubwa mwambasha ❤️🌹👌
Kolasi huwa zinaharibu sana nyimbo zako
Mpe salamu zangu Ngelela namkubali sana
Nyanda Shilunguja ,nawashauli wasanii wote wanaoimba nyimbo za asili haswa za kisukuma wavae mavazi ya asili pia wacheze kiasili ili kuienzi vema ngoma yetu ya kisukuma
😂😂😂😂 safi sana
Kolasi zinaharibu nyimbo zako
Unini nati nsukuma 😂 lakin gete hii ngoma yawiza sana vadugu 😂 nalilomba kila mnu iize alole ng'wenekele ukusunya duh 🔥 nzogwi na shilatu shing'we.. Tulivo na ng'wanza yise
Joseph uko sawa kaolas inahalibu waimbe tu nakucheza polepole kama alivyo anza
Inafika kwenye kolasi wimbo unahalibika ..angeendelea tu kwa kuimba
Unazani akipunguza Kira's watachezaje unazani hizokorasi nikwajir wanao chez
uko vizuli sana kwa kuelemisha jamii
duliho Itilima Simiyu, Ng'hesha lyuba legutongele omayu endeleaga ila upungushe korasi, ubujumbe safi noi
mambo mazur so mabaya ndan ya Tz
safi sana omayu oseba azidi gungwbilija
Punguza kolasi ngelela unatumia mwingi sana kuliko kuiba
iyo Kali xana apo unatufurahixha xana kana
wabheja bhabha
Ushauli wangu usiwe unaweka hiyo kolas au mnaonaje wadau
Joseph Masanja itapendeza sana nyimbo iwe ndefu
Joseph Masanja kweli kabisa
Uko sawa kabisa hata mm wakianza kurukaruka hivyo naachaga kuwaskiliza maana hamna tena wanachoimba zaidi ya kurukaruka tu
saida
Kweli
ukoo vzr sana kaka
kabisa hunawakukuzidi
punguza colus wimbo uwe mrefu ,uko vzr
Nakupenda bure
Joselady Majigwa MamBo vipi jose
Joselady Majigwa love you
Ukovizur sana
joseph nakuunga mkono, wimbo ulianza vizuri ukaharibiwa na chorus.mikaamua kuchsna nso
Buyamba Kassaja nyimbo nzuri korasi inaharibu
Nzur San
Napenda sana huuwimbo
upo vizur kaka
Unaimba vizur sana
Ngelela nakukubali sana
Kolasi zinaharibu nyimbo
Mashala
Sauti ya radi,
Watoto yatima
Penda Sana ngelela
Chorus zipunguzwe muda maana hazina maana yoyote, wimbo unakua mfupi chorus ndefu hii si sawa jaribu kubadilisha music wako chorus iwe fupi nyimbo iwe ndefu
udi .a
Twallyb Mabula abadilishe kidogo tu
Lazaro Daudi Ebchode
Tupo pamoja
Waooooh
fundi
hangamaga nhamala
pamoja kaka
Yeeeeeh natogwa.
Hello
jabereko
Budagara
👍👌👌👍
Nyimbo nzuri sana naungana na walioshauri upunguze koras
Fatma Baharoon sautizake huwasafi shida ikoktk kolasiinaharibu asili