HARMONIZE FT KOREDE BELLO - SHULALA (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @Kodigitaltv
    @Kodigitaltv 7 ปีที่แล้ว +43

    Wow! From 254 aki leo ata mimi nipeni likes ..Harmonize my favorite tz Musician.

  • @marisiyanondikumana5769
    @marisiyanondikumana5769 7 ปีที่แล้ว +43

    Walahi harmonize mkali kuliko boss wake diamond😂😂 gonga like kam umekubaliana na mimi

    • @salimmussa9719
      @salimmussa9719 7 ปีที่แล้ว +3

      Marisiyano Ndikumana sema ni mkali kuliko ali kiba

    • @rideordie7852
      @rideordie7852 7 ปีที่แล้ว

      Simbaaaa,mbaya.

  • @judithbenjamin4138
    @judithbenjamin4138 7 ปีที่แล้ว +18

    Hata waniite zoba waseme nmekurogaaa yeah!!yeah!wasafiiiiiiii tuko pouwaaa kama ww tim mond usisahau kulike hapa nampenda sna korede

  • @ayubdola7221
    @ayubdola7221 5 ปีที่แล้ว +132

    Wangapi wanairudia kila wakati hiii nyimbo tujuane kwa likes love you all who listening this song

  • @naomindosa5818
    @naomindosa5818 5 ปีที่แล้ว +13

    💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💋💋💋💋sijawahi kuuchoka huu wimbo jamni❤️❤️❤️❤️ tulioko Arusha angusheni huu like hapa

  • @hasanzuberi6179
    @hasanzuberi6179 7 ปีที่แล้ว +10

    kama nawaona vile team kiba roho zinazowauma kwa kukosa raha wakigeuka kulia halelujah kushoto shulala,,,da wcb punguzeni bana kutoa ngoma za mwaka

  • @lynnebee254
    @lynnebee254 7 ปีที่แล้ว +24

    Unizalie kacute kacute latifa dangote, tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose... my favorite line..loving it from 254

  • @DenyoReigns
    @DenyoReigns 7 ปีที่แล้ว +53

    Unizalie ka cute*2 ka Tiffa Dangote
    Uvae shela mi suti*2 upendeze tutoke
    Tuwakomeshe wenye chuki,mamluki la kusema wakose
    Tulisakate wuzuki*2 na wavimbe wapasuke #Shulala 😍😍

    • @isacklaurent3811
      @isacklaurent3811 7 ปีที่แล้ว

      Danny Jonz kwel bab

    • @ayshamudoma422
      @ayshamudoma422 7 ปีที่แล้ว +2

      Danny Jonz i lyk that part
      It seems its diamond is the song writter of this song

  • @mercymwende7537
    @mercymwende7537 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ain't a fun of bongo music but becoz of Korede Bello i had to put this on repeat...kwanza the way his Swahili comes out inanipa goosebumps

  • @hillaryanalo4681
    @hillaryanalo4681 10 หลายเดือนก่อน +125

    Who is here this 2024??? Good music never fades 🎉🎉

  • @raphaelhombo5060
    @raphaelhombo5060 7 ปีที่แล้ว +62

    Hawa WCB wanaipa heshima lugha yetu ya kiswahili Good sana pale Corede bello alivyoimba kiswahili

  • @rashidnassor2946
    @rashidnassor2946 7 ปีที่แล้ว +43

    Ngoma Kali sana unafeel kuisikiliza nimependa corobelo alivyoimba kiswahili kapatia kinyama

  • @edwardbayo3326
    @edwardbayo3326 7 ปีที่แล้ว +16

    Mistari imepangwa ikapangika.
    Big up Harmonize n Korede.
    Wengine hapa KENYA wanatuambia tuite Wazima moto....Nkt

  • @JeanpaulKabiabuya
    @JeanpaulKabiabuya 9 หลายเดือนก่อน +2

    Na penda zaidi kwani naitwa shula

  • @simkangamodestus6109
    @simkangamodestus6109 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nmerud tena 2024😊

  • @abdulswamaduhussein7459
    @abdulswamaduhussein7459 7 ปีที่แล้ว +7

    Baba hatareee huy korede bello umemfundishaa kiswahil lini kam sio yeye Mr romantic #nouma sana mmetishaa #shulal😂😂

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 7 ปีที่แล้ว +28

    WCB I'm crying for this song is very painful my heart 😭😭😭😭😭😭😭 jamani hii ngoma Mmmmmh ni kaliiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeeehhhh

  • @lebronjones6610
    @lebronjones6610 7 ปีที่แล้ว +39

    Watching now for 20x and am still enjoy damn.....wangapi tutakesha wote kusuport mziki mzuri weka like hapa nikujiue

  • @hallerudolf6875
    @hallerudolf6875 6 ปีที่แล้ว +37

    I am from Cameroon, I do don't understand what Hamonize is saying, but I love what He is saying.i love this song with passion. love u guys, Africans we are untop.mmwwee.

  • @gathonibrave7658
    @gathonibrave7658 7 ปีที่แล้ว +7

    Hapo Korede Bello akimaliza imba na Swahili .... Hio smile tuuuu! Love the collabo

  • @nasscholo7510
    @nasscholo7510 7 ปีที่แล้ว +157

    kama umeitazama hii video mara mbil mfurulizo gonga like hapa ....👍👍

  • @alvinmubiai6319
    @alvinmubiai6319 7 ปีที่แล้ว +24

    Na kama ukinipenda nitaringa nitaringa naa wewe na unizalie ka cute cute ka tiffah dangote, #korede_bello knows how to speak swhahili for really!!!!! Appreciated to so much______

  • @cedricnitunga468
    @cedricnitunga468 7 ปีที่แล้ว +4

    huyu Korede Bello yuko cute/babyface kama mtoto!!
    Sisi wengine wanaume tunachukia saana, ni kama tumezaliwa Mungu bado hajamaliza kazi yake

    • @chcp2263
      @chcp2263 7 ปีที่แล้ว

      Cevx Duck 😆😆

    • @linrosa8863
      @linrosa8863 7 ปีที่แล้ว

      Cevx Duck 😂😂😂😄😊

    • @nassorlido9380
      @nassorlido9380 7 ปีที่แล้ว

      hahahahah

    • @angelk403
      @angelk403 7 ปีที่แล้ว

      #cevxduck hahaa nakasauti joh...kanatesa

    • @sumathedony8245
      @sumathedony8245 7 ปีที่แล้ว

      hahaha

  • @poetardaniel9301
    @poetardaniel9301 7 ปีที่แล้ว +43

    I never knew how sweet swahili is until I heard Korede sing it.

  • @contridasanga3534
    @contridasanga3534 7 ปีที่แล้ว

    Unizalie kacute ka tiffa dangote uvae shela m sut tupendez tutoke tukomeshe........Daaaa iko poa wasaf team big up koredo upo vzr

  • @Yusrah-bu8ti
    @Yusrah-bu8ti 7 ปีที่แล้ว +5

    Konde boy wewe sio wa sport sport. ..big up wasafi....

  • @amanijulius8398
    @amanijulius8398 7 ปีที่แล้ว +30

    Nani kamsikia Korede Bello anaimba Swahili..??tuwakomeshe mamluki..wavimbe wapasuke..Nomaa sanaaa
    Jamaa wanaringa tu...mmhh..ringeni tu wanyamwezi..Mimi mwwnyewe naringa navolipakuwa hili jam kila Mara...WCB haijawahituacha salama..drop your like if you appreciate this

  • @shalewaroffy9031
    @shalewaroffy9031 7 ปีที่แล้ว +128

    I'm here for Korede Bello.... Show some love Nigeria 🇳🇬

  • @eliudsiema79
    @eliudsiema79 หลายเดือนก่อน +2

    I miss this moments..this dude was fire back then pale wasafi

  • @afuwamulumbilwa4288
    @afuwamulumbilwa4288 6 ปีที่แล้ว +53

    korede bello want you to know that i will be there that i will be there to the end. love it. gonga like kama umeipenda

  • @cedricnitunga468
    @cedricnitunga468 7 ปีที่แล้ว +111

    Unizaliye ka cute ka cute ka tiffah dangote..
    Mwendo wa kimataifa, kama unakubaliana na mimi gonga like

    • @masagapaul5039
      @masagapaul5039 7 ปีที่แล้ว

      Cevx Duck

    • @Otibla
      @Otibla 7 ปีที่แล้ว +1

      Harmonize Jinsi Alivyobadilika akawa Superstar
      th-cam.com/video/IQDpTL1Efik/w-d-xo.html

    • @stevenmtura3059
      @stevenmtura3059 7 ปีที่แล้ว

      Cevx Duck 😘😘😘

    • @kapingageorge7635
      @kapingageorge7635 7 ปีที่แล้ว

      hii ngoma ni remix au mbona cjaelewa

  • @gervastweve8612
    @gervastweve8612 7 ปีที่แล้ว +84

    walio mkubali kollede bello na pale alipoimba kiswahili, gonga like hapo 👇👏
    tuwakomeshe mamluki
    mamluki
    mpaka wachekwe

    • @mutrahvevo6781
      @mutrahvevo6781 7 ปีที่แล้ว +1

      Nimependa walivyocheza humu

  • @kelvinalfred8484
    @kelvinalfred8484 7 ปีที่แล้ว +4

    inanisisimua hiii nyimbo vibaya kabisaaaaaa
    yarabi mola hii nyimbo ni shulalala

  • @wilsonmunyubi1271
    @wilsonmunyubi1271 7 ปีที่แล้ว +24

    what a voice Korede Bello has ngonga like kama ulisikia akitamka neno utaringa babyooo uyee

  • @namsipjiangxi3614
    @namsipjiangxi3614 7 ปีที่แล้ว +10

    i love when koredo bello sings swahili...that is my best part in this hit song....kudos harmonize...this is owesome

  • @amanijulius8398
    @amanijulius8398 7 ปีที่แล้ว +8

    Mr.Romantic Vs KondeBway..Harmo Mapenzii...
    Ngoma Kali mpaka chenchi hazibaki...kama unakubaliana na Mimi drope your like here...#WCB4LIFE#MARVI4EVER

  • @FinestMax
    @FinestMax 7 ปีที่แล้ว +6

    Maze Harmmonize nyimbo zako huwanga na ujumbe Babkuwa, you are talented man

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper 7 ปีที่แล้ว +27

    Kali sanaaaa WCB 4LIFE.

  • @jayharryson4913
    @jayharryson4913 7 ปีที่แล้ว

    Salute KOREDE BELLO kama nimekuona ulivyokuwa unafanyia mazoezi kiswahili Safi sana

  • @dominicmakamba7519
    @dominicmakamba7519 7 ปีที่แล้ว

    Kichupa nimekielewa kinoma, kazi nzuri Ndugu yetu zidi kupeperusha bendera ya Tz

  • @missxexykenya6028
    @missxexykenya6028 7 ปีที่แล้ว +67

    Nilisubiri sana hii ngoma ila ni song ya kitambo but umeongezea utamu ...I love korede bello he is my crush always...thank u harmonize na lizer big up wcb forever ...Ngoma kali nimeclick kwa kurudia

  • @pablososoft8789
    @pablososoft8789 7 ปีที่แล้ว +7

    wasafi wanafanya kiswahili kiongewe na dunia nzima. kabishane na watchman wa kwenu.

  • @FelixJia1
    @FelixJia1 7 ปีที่แล้ว +46

    hawa wanabonyeza unlike wanakuwa wameleweshwa na wimbo nafikiri,, unaanzaje kuunlike mzigo mzito kama huu.
    Gonga like👍 hapa kufuta unlike zote walizokosea hapo juu.
    viva harmo viva WCB kazi juu ya kazi.

  • @allyabubakar767
    @allyabubakar767 3 ปีที่แล้ว

    Wee hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina wanivumilia nakuamini nitapata
    Tafadhali nilindie roho yangu chakukupa Sina...tena nakuapia HAKI YA MUNGU SITOKUWACHA !
    Hapa umeimba Harmo

  • @yawoelevn
    @yawoelevn 7 ปีที่แล้ว +45

    I’m from Togo but i live with a woman and her son who are from Tanzania and i consider them like family. Since then I’m listening more to Tanzanian music and I’m loving it so far. The only problem is I don’t speak Swahili but fuck it, language shouldn’t be à barrier to enjoy good music.

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 6 ปีที่แล้ว

      Welcome to TZ, six month can understand well

    • @pontiennintunze2211
      @pontiennintunze2211 3 ปีที่แล้ว

      Worry not brother. Swahili will be the African language in few years

    • @bernardnnguchie4770
      @bernardnnguchie4770 2 ปีที่แล้ว

      ile siku utapatwa na mwenywe. uko ndo utajua hujui

  • @johnsonjoseph509
    @johnsonjoseph509 7 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli, hii ngoma ni kali. Kwangu mm, baada ya "BADO" hii ndo ngoma kali. Hizo sijui za akina happy birthday... Hapana. Hii ni kali

  • @kassimkingai564
    @kassimkingai564 7 ปีที่แล้ว +5

    Tim kiba mtangoja sanaaaaaa aiseee poleni sana ndio mambo yalivyo msiumie roho haha haha.

    • @shodristvtv6121
      @shodristvtv6121 7 ปีที่แล้ว +1

      Kassim Kingai tunawacheka kwazarau

    • @kassimkingai564
      @kassimkingai564 7 ปีที่แล้ว

      Shomari Hamadi haha ha hamtuwezi

  • @evaresthamaro5220
    @evaresthamaro5220 7 ปีที่แล้ว +6

    Noma sana haina shida before million like hapa kwa nguvu kama fans wa kweli

  • @petermuli3336
    @petermuli3336 7 ปีที่แล้ว +7

    Kaka una kipaji kutoka juu.Nyimbo zako zote ni masterpiece!

  • @beautifulnubia1lefty133
    @beautifulnubia1lefty133 7 ปีที่แล้ว +115

    Harmonize and korede Bello lovely. I'm happy to be a Nigerian. God bless Africa. Nice beat harmonize great collaboration. 👏 👏 👏 👏

  • @godwinbenedict4146
    @godwinbenedict4146 7 ปีที่แล้ว +6

    Nice song Harmonize keep representing our nation Tanzania..Korede bello katisha sana humo.. But Artist wa bongo mnazingua sana kwenye details why nyimbo hamziwekei details like what the song all about lifanyieni kazi hilo..hii ngoma ni kali mnoo mega wave

  • @ahabrondy2713
    @ahabrondy2713 7 ปีที่แล้ว +58

    mimi no 2 .waooooo good my brother,aujatuangusha atakidogo.Alikibaaaaaaaaa wetu mumuone.tena good.

    • @alinotistiven114
      @alinotistiven114 7 ปีที่แล้ว +1

      Aha Brondy Una zungumzia nini🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

    • @ahabrondy2713
      @ahabrondy2713 7 ปีที่แล้ว +1

      +Alinoti Stiven sikuerewa question

    • @ibrahimayoubdhahabu984
      @ibrahimayoubdhahabu984 7 ปีที่แล้ว +1

      Unamaanisha nini, na AliKiba kaingiaje hapo??

    • @rashidigogo5295
      @rashidigogo5295 7 ปีที่แล้ว

      jichunge mwenyew shulalaaaaaa

    • @shodristvtv6121
      @shodristvtv6121 7 ปีที่แล้ว

      Sijakuelewa

  • @wyclifekalama4397
    @wyclifekalama4397 7 ปีที่แล้ว +16

    Hakuna cku Wasafi wata disappoint mafans wao,ngoma moto moto ♨️♨️♨️♨️♨️akitoa huyu mwingine anafuata,BIG UP TEAM WASAFI

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 7 ปีที่แล้ว +1

    Nomaa sana!
    Umeniroga mpaka nimepagawa

  • @andrew0502
    @andrew0502 7 ปีที่แล้ว

    Binge la song, wasiokukubali wajikatae, wapite iv na roho zao za chuki. Big up Konde boy!!!

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 7 ปีที่แล้ว +11

    Kama kweli unamkubali hamormonize na team yake ya wcb like nyingi Sana dahhh wanajua hawa wasafi mpaka raha

  • @raysambala1248
    @raysambala1248 7 ปีที่แล้ว +106

    Kama unakubali WCB ni fire fire ungana na mm,kusoma comment huku ukiangalia kichupa hiki,oyooooo

  • @carolinemasayanyika6190
    @carolinemasayanyika6190 7 ปีที่แล้ว +37

    I am sure 100% Tanzanian music industry is in the African top three...#proudlyTanzanian

    • @ahmedzicco6584
      @ahmedzicco6584 7 ปีที่แล้ว +1

      Caroline Masayanyika but for the wcb wasafi is dope

  • @mariamchai4495
    @mariamchai4495 7 ปีที่แล้ว +1

    Wow korede bello yuko juu harmo endelea kutubamba kama unataka ifanyike thumbs up

  • @brendaawinja3821
    @brendaawinja3821 5 ปีที่แล้ว +128

    Who's listening to this hit in 2020...piga like hapa

    • @olphergesare7211
      @olphergesare7211 4 ปีที่แล้ว +1

      Have bn searching it two hours now,I wanted where there's no collabo for my heart ndo nilale

    • @byokokika710
      @byokokika710 4 ปีที่แล้ว

      Nm m webskklxa acccnnbnmmnmmkkmmmlxkln nonbjjjmznbbs djjjjjjmn Nbnnnnmmmmmmnmslnc Ho cl m. No nnmmxcznxl. Njkn. Mmmmmm
      Nxmlbb Bk n
      Mmxxmmxnnxk Ann.

    • @byokokika710
      @byokokika710 4 ปีที่แล้ว

      Nm m webskklxa acccnnbnmmnmmkkmmmlxkln nonbjjjmznbbs djjjjjjmn Nbnnnnmmmmmmnmslnc Ho cl m. No nnmmxcznxl. Njkn.
      Nxmlbb Bk n
      Mmxxmmxnnxk Ann.

  • @swalloonpoint2306
    @swalloonpoint2306 7 ปีที่แล้ว +4

    Noma sana konde boy huwaga hukoseagi pale tu ukipata kanafasi

  • @husnamnunga8968
    @husnamnunga8968 7 ปีที่แล้ว +8

    bonge la dude nimepend ulivy badili maneno mengine

  • @dichodaplaiza
    @dichodaplaiza 7 ปีที่แล้ว +646

    Aliependa korede bello alipoimbaaa kiswahili I like hapaaa #wasafiforlife

    • @annapeter574
      @annapeter574 7 ปีที่แล้ว +3

      Dicho Da plaiza yan nmependa sana😍

    • @japhetrobert82
      @japhetrobert82 7 ปีที่แล้ว +2

      Dicho Da plaiza wozaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamaaa ni dashi na bolo

    • @azizahussein5840
      @azizahussein5840 7 ปีที่แล้ว +2

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Nung996
      @Nung996 7 ปีที่แล้ว +2

      Di

    • @hawamponda8301
      @hawamponda8301 7 ปีที่แล้ว +3

      konde boy good

  • @JescaMtalisi
    @JescaMtalisi 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉 2024 Bado hii hata flash yangu haikosekani Yani manyimbo kama haya hayachuji kama limetoka Jana 2:33

  • @danielmutuku9133
    @danielmutuku9133 7 ปีที่แล้ว +1

    Tukomeshe wenye chuki..mamluki..lakusema wakose..tulisakate buzuki..buzuki..na wavimbe wapasuke .....kazi safi @konde boy

  • @mamyabdalla4681
    @mamyabdalla4681 7 ปีที่แล้ว +8

    nilijua wa kwanza

  • @justinedastarboy319
    @justinedastarboy319 7 ปีที่แล้ว +5

    kwangu ni remix ya wimbo wako wa moyo lakin uko vizur konde boy unapanda na kushuka kama usher Raymond mzee

  • @deusymsigalla5519
    @deusymsigalla5519 7 ปีที่แล้ว +124

    Team WASAFI kazi nzuri gonga like kama umei love kinoma

  • @lucyngare8993
    @lucyngare8993 7 ปีที่แล้ว

    Napenda koredo katoka smart kwenye kiswahili voice yake ikanimaliza love u koredo naja nikusake huko naija

  • @paulisack9492
    @paulisack9492 ปีที่แล้ว

    Mashabiki wa Hutu mwamba tujuane!!! Nakumbuka nilikuwa chuo nilikuwa nagomban najaamaa zangu kuhus Huyu mwamba

  • @paulke6321
    @paulke6321 7 ปีที่แล้ว +11

    Nmeipenda hii...congrats guys

  • @ianchelian
    @ianchelian 7 ปีที่แล้ว +11

    Eeey Hamo💯💯💯💃🎶
    Swahili ya Korede On Point 👌👌

  • @kadzofaith5456
    @kadzofaith5456 7 ปีที่แล้ว +5

    Uko juu kaka mungu akuzidishie

  • @fredrickndegwa4488
    @fredrickndegwa4488 7 ปีที่แล้ว

    mr romantic kamaliza kila kitu kisha harmonize kaua kwa mistari #wasafiblesed waambie waangalie hii pace

  • @alexmwendwa4457
    @alexmwendwa4457 5 ปีที่แล้ว +1

    code 254 chakukupa sina na hakiamungu sita kuacha na ntaringa nawe....a big tune.

  • @chibutvchibutv3174
    @chibutvchibutv3174 7 ปีที่แล้ว +14

    tishaaaaa sana konde boy ngoma naiyona mbalisana inakuoeleka

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 7 ปีที่แล้ว +4

    That's my men konde boy...kaza mpaka mwisho...

  • @jadenmsafi
    @jadenmsafi 7 ปีที่แล้ว +239

    kama kweli unamfuatilia harmonize na unampenda MPE like zake

  • @nancythompsomnthompsomn8845
    @nancythompsomnthompsomn8845 7 ปีที่แล้ว

    Waahh..... Hii song inalenga maisha ya harmo na jackline worlper

  • @dennisomondi8739
    @dennisomondi8739 5 ปีที่แล้ว

    Kwanza upendo Baraka
    Nikuchunge Nitajisumbua
    We jichunge tu mwenyewe
    Mmh!
    Nasikufunzwa taraka
    Mangapi ulinikosea, ila bado nipo nawe
    Mmh!
    Ata waniite zoba waseme umeniroga
    Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
    Ila, she is my number moja, wengine watangoja
    Ah! niongezee mapenzi, niizidi kolea
    Pale nnapokuona, Shulalala Shula
    Yarabi moyo, Shulalala Shulaa
    Eh, Pale nnapo kusikia, Shulala Shula
    Shula wangu, Shulalalashula
    Mavin
    Wololo lolo yeah, Korede Bello
    Want you to know that I'll will be there (I'll will be there)
    Girl I will be there till the end oh!
    So, don't let baby
    Don't let nobody come interfere (come interfere)
    Let them say what they want to say, sando
    Shuba bochu beyanju (yelele)
    Kuumanyeu (yelele)
    Kojubarobuu baamaje koyau (yelele)
    Girl I promise you forever (ever)
    Never leave you never (ever)
    Where you go (I will go I'll goooo)
    Pale napomuona-aa Eh! Shulalalaa shula
    Jamini moyo wangu, Shalala-la-la Shula
    Pale ninapo musikia, Shulala Shula
    Yarabi moyo wangu, Shulala-laa shula
    (Yarabi moyo)
    Aaah!
    Unizalie ka-cute ka-cute Katifah Dagote
    Nikuvalishe na misuit misuit, upendeze tutoke
    Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
    Tulisakate uzuki ma uzuki na wavimbe wapasuke
    Wewe Hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina
    Wanivumilia, na kuamini nitapata
    Tafadhali nilindie roho yangu cha kukupa sinaa
    Tena nakuapia Haki ya Mungu sitakuacha
    Na Kama ukinipenda sana (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
    Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
    Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
    Nitaringa na wewe
    Nitaringa Baby Ooh (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
    Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
    Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
    Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
    (Wasafi Records)
    Oooh Yeah (ringa ringa eeh)
    Nitaringa ringa eeh ringa ringa eeh
    Aah aah me na wee
    Eeh Nitaringa ringa eeh
    Heheh Harmo Love!

  • @Dee-mb9jn
    @Dee-mb9jn 7 ปีที่แล้ว +33

    When you are listening to this song you smile throughout especially if you a woman😍😍😍 Tz and Nigeria wow😍😍 I love the way korede bello sings swahili,halafu his smile cures all diseases even those chronic ones😍😍

    • @magomstk5557
      @magomstk5557 2 ปีที่แล้ว

      Hello🥰🥰🥰🥰

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 7 ปีที่แล้ว +7

    Harmonize sasa izi ni sifa. .. WCB nibebeni na Mimi nakuja na kitabu...c lazma wrote tuimbe

  • @lucasmigera9919
    @lucasmigera9919 7 ปีที่แล้ว +26

    Hii ngoma inaweza ivisha makande (githeri) ndani ya dakika 5

  • @firdausali8470
    @firdausali8470 6 ปีที่แล้ว +72

    OMG his Swahili though...That voice though

    • @oliorinto1376
      @oliorinto1376 3 ปีที่แล้ว

      We unasema Nini Sasa kizungu ngumu ama

    • @rachelaoko3274
      @rachelaoko3274 3 ปีที่แล้ว +2

      Unamtamani

    • @nackymanjale2850
      @nackymanjale2850 3 ปีที่แล้ว +1

      Nice voice

    • @samuels5997
      @samuels5997 3 ปีที่แล้ว

      I can teach you 😊😉

    • @firdausali8470
      @firdausali8470 3 ปีที่แล้ว

      Samuel's hakuna shida, na zugumza luga tatu tayari, so si hitaji ku fundishwa na mtu yoyote all thanks to my parents 😊

  • @jenniferlumambo7072
    @jenniferlumambo7072 7 ปีที่แล้ว

    Huyu ni karata muhimu sana ya WCB.Always the best tracks.

  • @BeautybyCarolee
    @BeautybyCarolee 7 ปีที่แล้ว +72

    Great collabo, despite the language barrier they made if enjoyable. Loved to see korede bello singing Swahili ❤️❤️

  • @proffmikemraza3819
    @proffmikemraza3819 7 ปีที่แล้ว +4

    wasafi brand kali,,,hapa kazi mziki safi tuu +254 ndaniiiiii kabsa

  • @jonathanmj9378
    @jonathanmj9378 7 ปีที่แล้ว +82

    Kweli ivi wa Kenya 🇰🇪 muta kosa ku nipa likes kwa wimbo kali kama na iyi? Mwangeni likes kama Wimbo wa kaka yetu Harmoniz na video ni kali🙏🙌

  • @muhilalewis6688
    @muhilalewis6688 7 ปีที่แล้ว +6

    As long as Harmonize is on the list, no one can be an option...... Not even his own boss...... Harmo akiwa around, Diamond kaa kando....

  • @jamespiniel6291
    @jamespiniel6291 2 ปีที่แล้ว +6

    This was the time when music was still good in Tanzania.....Harmonize being like unizalie ka cute ka tiffah dangote and korode trying singing nitaringa that's kill vibes

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 ปีที่แล้ว +4

    Korede Bello hiyo sauti ni 👌👌. I ❤ u.

  • @kingzed7763
    @kingzed7763 7 ปีที่แล้ว +8

    harmonize asaaanteh umemfanya mwanangu korede belo aimbe kiswahili

  • @victormkaka8506
    @victormkaka8506 7 ปีที่แล้ว +11

    hii ngoma inaongeza hamu ya kula buana! gonga like kama wee wcb

  • @muhilalewis6688
    @muhilalewis6688 7 ปีที่แล้ว

    Penye Harmonize ako, Diamond lazima akae kando

  • @mudrickmbuyu3263
    @mudrickmbuyu3263 7 ปีที่แล้ว +1

    Sasa unakuwa kukweli. Wewe sana ni MKUBWA katika tasnia ya Bongo Flava. ENDELEA

  • @Fundikichwa
    @Fundikichwa 7 ปีที่แล้ว +10

    team #wasafi mko waapi??? wcb for eeever... mziki mzur ndo jadi yetu

  • @brandybianca8274
    @brandybianca8274 7 ปีที่แล้ว +89

    Taamu jameni😍😍😍😍😘😘 nimependaa✊✊ team kenya Tibiim ✊😎😄😄

  • @gizzyvince1302
    @gizzyvince1302 7 ปีที่แล้ว +4

    +254 tuned,big up Harmonize

  • @hadijaselemankidunda1516
    @hadijaselemankidunda1516 6 ปีที่แล้ว

    Big up coredero umeimba vizuri kiswahilli iko po,iko,njema ipo njema

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 7 ปีที่แล้ว

    Haki ya nani huu wimbo uko replay jamani, can't have enough of it!
    #Bongo4Life #FromKEwithLove