MANENO Ya Harmonize Yamtoa Machozi Q CHIEF ,Ajitoa Rasmi Kumsaidia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 536

  • @ibrahimmuigai770
    @ibrahimmuigai770 5 ปีที่แล้ว +10

    Harmonize roho safi sana ❤I love him very much anakumbuka na kuappreciate kazi yamalegends konde boy 4 lifee!!!!! Endelea nahio roho God bless

  • @shayonapatel1408
    @shayonapatel1408 5 ปีที่แล้ว +56

    Pls bring Q chief back! I grew up listening to him. He is an awesome musician pls bring him back! Much respect to Harmonize for doing this! Love from kenya!

    • @mariamkambuka4533
      @mariamkambuka4533 5 ปีที่แล้ว

      Ye

    • @MrSokwe
      @MrSokwe 5 ปีที่แล้ว

      Shayona Patel ain’t nobody can bring his ass up except himself.

    • @fadhilijrdimaria6922
      @fadhilijrdimaria6922 5 ปีที่แล้ว +1

      big up harmonize uendelee na moyo huo huo

  • @aclejohnlee2968
    @aclejohnlee2968 5 ปีที่แล้ว +63

    upo vizuri brother sema kwenye shukrani za kwanza zingeenda kwa mwenye Mungu ndo muweza wa yote.

    • @jumanassoro3145
      @jumanassoro3145 5 ปีที่แล้ว

      Mbona kaanza hivyo rudia kusukiliza tena

  • @ramadhanathuman2763
    @ramadhanathuman2763 5 ปีที่แล้ว +21

    Big up sana kwa Harmonize Tuzidi kumsupport Q chief nimefurahi sanaa

  • @demtilerwanyama442
    @demtilerwanyama442 5 ปีที่แล้ว +6

    Harmo may God bless you. Happy are the pure in heart for they shall see God. Wish him all the best. May God remember him at the moment let QChief have what he may desire in life. Good luck and may God bless his family. Thanks Harmonize for your support

  • @zuhrasulyman5701
    @zuhrasulyman5701 5 ปีที่แล้ว +23

    safi Sanaa kaka huo ni mgodi unaotembea mchukue chillah kaka Mungu atakulipa ila usisahau na watoto yatima wajane walemavu mwenyezi Mungu akuzidishie kila la kheri INSHA ALLAH

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 5 ปีที่แล้ว

      Nakukubali sana Harmonize ,nakuombea ufike mbali sana .

  • @mcdondosha4151
    @mcdondosha4151 5 ปีที่แล้ว +90

    Hamo kwenye mambo ya ni dhamu kidogo hapo sijakupata vizuri mana ungezingatia maadili ya dini usingevaa heleni mkuu japo mimi mkristo uisilam haupo hivyo, pia kumpa mtu kitu nakumpa kitu mbele ya watu hajakaa njema sana. Next time fanya kimya kimya na Mungu atakujazi#GOD IS ONE#praise the lord

    • @kombosaira6223
      @kombosaira6223 5 ปีที่แล้ว +4

      Msanii nikioo cha jamii ivyo nisahihi kwa mazingira yake ya kimziki.iwe funzo kwa wangine

    • @bwanap2003
      @bwanap2003 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwa mtu anayelewa "Public relations " hiyo iko poa kibiashara, hata marehemu Mengi amefanya sana

    • @MustafaAli-bs6mb
      @MustafaAli-bs6mb 5 ปีที่แล้ว +4

      Nikweli ndugu unapotoa mkono wa kulia wa kushoto usijue

    • @bahatimwalwimba2608
      @bahatimwalwimba2608 5 ปีที่แล้ว +4

      Mbona wabongo hamkosi lawama ?? Kwani kumpa mtu kitu mbele ya Ni dhambi? Mbona yesu pia aliponya watu hadharani!! Hii Ni fursa kwa wengine kuiga

    • @mcdondosha4151
      @mcdondosha4151 5 ปีที่แล้ว

      Mkuu hakuna mtu aliemlalamikia mtu hebu isome vizuri post. Kutoa kila mtu anajia zake ila kutoa kwa kiimani si lazima sana kila mtu ajue. Mimi mwenyewe nilishasaidiwa sana hata wewe ulishasaidiwa sana ila walikutangaza Kama wamekupa sio vibaya ila sio nzuri sana kiimani lakini asante

  • @jamilakelota7254
    @jamilakelota7254 5 ปีที่แล้ว +4

    Big up Harmonize Umebalikiwa busala Mungu zaidi kukuinua Q chief kila MTU Mungu amempa wakati wake acha kulia wakati wako upo Mungu amekuandalia

  • @collinsngenoh9058
    @collinsngenoh9058 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up harmonize ..if mnawatambua kisanii wasanii wa bongo flava Tia like

  • @khadijaabeid8012
    @khadijaabeid8012 5 ปีที่แล้ว +7

    Allah barik rajab mungu akuzidishie moyo huwoo huwoo . AMIN

  • @estherhaloim1496
    @estherhaloim1496 5 ปีที่แล้ว +5

    Harmonize is a gentleman. 👍👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥. Nampenda sana. Mungu amubariki. Twangoja harusi yake na Sarah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @kagoggoalfred2730
    @kagoggoalfred2730 5 ปีที่แล้ว +5

    wcb mnastahili sifa kubwa sana jamani its touching lakini maisha lazima yaendelee support good music return of q-chilla

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 5 ปีที่แล้ว

      Mashaallah hormonize mungu azidi kukuongezea barka tele🙏🙏

  • @cynthyazubery5986
    @cynthyazubery5986 5 ปีที่แล้ว +37

    Harmonize unaakili sana na moyo Mashallah mungu akuzidishie inshallah 🙏🏽

    • @johmstephano1643
      @johmstephano1643 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana kijana Harmonize

    • @johmstephano1643
      @johmstephano1643 5 ปีที่แล้ว

      Waliyoyatabili chari yote

    • @egnokapinga16
      @egnokapinga16 5 ปีที่แล้ว

      Jina la "Mungu" huanzwa kuandikwa kwa herufi kubwa.

    • @khalidkassim9782
      @khalidkassim9782 5 ปีที่แล้ว

      Hana Akili ya dini ana Akili ya shetani ajichora tattoo ati mimi kijana wakislamu

  • @shiftonndege9548
    @shiftonndege9548 5 ปีที่แล้ว +6

    Thanks Harmonize please bring my favorite artist back in stage

  • @anaclet2411
    @anaclet2411 5 ปีที่แล้ว +68

    Kama unamkubali Harmonize gonga Like.

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize Allah azidi kukubariki

  • @godfreysabay104
    @godfreysabay104 5 ปีที่แล้ว +7

    Chaparaba, pasua mawimbi Harmonize,, walauskatishwe tamaa, cz,, wanaokupondaleo ndowadau wakesho,,, hats Diamond alitokaivoivo kwa Bobjunio,, ndomaana WCB ikapatkana👏👏👏👏🙌🙌🙌 ongezabidii ili nawe usaidie nawengine

  • @meddyosman3098
    @meddyosman3098 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaah ndo maana nkuelewa sanaa "konde boy🙏🏻" Allah akulinde inshaallah🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @jamlaashiri372
    @jamlaashiri372 5 ปีที่แล้ว +1

    Harmonize mungu akubariki kwa kila jambo lako,huo ndiyo umoja unaotakiwa kwa sisi watanzania

  • @zeen1168
    @zeen1168 5 ปีที่แล้ว +38

    Ongera sana harmo kwa moyo huo utafika mbali saaana mungu yupo pmj nawe

    • @jamilambilinyi9654
      @jamilambilinyi9654 5 ปีที่แล้ว

      Umeona heeee ongera sana hamonaize

    • @samuelfadzi7472
      @samuelfadzi7472 5 ปีที่แล้ว

      Mungu hako pamoja na wajinga so wacha kulitumia jina la Mungu...isipo stahili

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtoto wa kiislamu umevaa hereni🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
    Na umepaka mpaka wanja daaa🙌🏿🙌🏿🙌🏿 na nywele full kubadili rangi kama mrembo,,,

    • @gervas58
      @gervas58 5 ปีที่แล้ว

      Sunaaa

  • @carolinemusimbi9232
    @carolinemusimbi9232 5 ปีที่แล้ว +1

    God bless you harmonise Qchief was one of my best Tz artists Mungu atazidi kuinua ukiinua wenzako n tell him this is a second chance God has given him he should be careful n take note of where he went wrong

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 ปีที่แล้ว +11

    ninyi waislam mnaomponda mwenzenu muislam dhambi ngap mnafany au mmeona heren za jamaaa tu,!!! kila goti kwake litapigwa ktk jina la yesu semen Amina♡

  • @sundaytambo7810
    @sundaytambo7810 5 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Hamonize....Konde Boooooy!

  • @issackjohn3049
    @issackjohn3049 5 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana Harmonize#

  • @josephryoba9136
    @josephryoba9136 5 ปีที่แล้ว +217

    Kwa umeskia Harmonize akimtaja Alikiba nipe likes za kutosha

    • @uwingeneyeshadia7697
      @uwingeneyeshadia7697 5 ปีที่แล้ว +4

      JOSEPH RYOBA mbona ametaja wengi tu kwa nn umtaje huyo?

    • @josephryoba9136
      @josephryoba9136 5 ปีที่แล้ว +3

      Kweny msiba wa Masogange Harmonize alikataa kumsalimia Kiba na huw hamzungumzii sana ko nashangaa kamtaja Leo kama ishara ya kumuelewaaa

    • @jessendegwahmusic488
      @jessendegwahmusic488 5 ปีที่แล้ว +3

      Humble Harmo

    • @husseinmunga9591
      @husseinmunga9591 5 ปีที่แล้ว +2

      we nawe waambiwa uchangie q chilla, unaanza kuomba like, utazila🤨

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 5 ปีที่แล้ว

      @@husseinmunga9591 😂😂😂

  • @sheilaachitsa2080
    @sheilaachitsa2080 5 ปีที่แล้ว

    very nice

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 ปีที่แล้ว

    Mm nimekuelewa. Big up

  • @aminaburundi5210
    @aminaburundi5210 5 ปีที่แล้ว +14

    Mungu akublik sana sichok kugufatiriy kiukwer unaupend tena hujion kama wengin

  • @dastansimpanzye5558
    @dastansimpanzye5558 5 ปีที่แล้ว +5

    Q chief, Alikiba na Diamond Mungu awabariki Sanaaaaaa

  • @omaryiddy1652
    @omaryiddy1652 5 ปีที่แล้ว +18

    Achana kuushirikisha uislam na upuuzi wako ety mtto wa kiislam ni uislam upi unamruhusu kijana wakiislam awe na muonekano wakishenzi km wako..umevaa hereni umebadilisha muonekano wa nyewe..mambo yote unayo jinasbisha nao hayaendani na dini yetu tukufu ya kiislam..tafadhali km umeamua kufanya mambo yenu yakijinga usi uhusishe na uislam kabsa!!..Mungu hadhihakiwi hata cku moja! Badilika bwana mdogo

    • @jackbeko7556
      @jackbeko7556 5 ปีที่แล้ว +1

      Omary Iddy wewe unautakatifu gani acha roho mbaya wewe.

    • @fredieelienea3190
      @fredieelienea3190 5 ปีที่แล้ว +5

      Kaz yake ndo inamtaka awe na muonekano huo kwanza bora hta na yeye anamkumbuka mungu hta kama ana fanya mambo ya ajabu ko usifikie hatua ya kumuona mwenzako hafai ila ww ndo unafaa sidhan kama dini yako tukufu inafundisha hvo na kama inakufundisha hvo basi hyo sio dini ya kimungu bali ni dini ya kibaguzi badiliken

    • @swaggerizedninjagoseprocom8523
      @swaggerizedninjagoseprocom8523 5 ปีที่แล้ว +3

      Are you a God???,,je kama mungu kisha change sheria mbinguni we umejua???

    • @wardatsleyman9469
      @wardatsleyman9469 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa .
      Allah atuhidi kwa pamoja

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 5 ปีที่แล้ว +1

      Kuma wewe kafungue msikiti wako

  • @hafidhkhalid9318
    @hafidhkhalid9318 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @kiflyhassan8582
    @kiflyhassan8582 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awaongoze kwa kweli Uislamu ni kushikamana na kusaidiana kwa kila jambo

  • @florenceteddy1770
    @florenceteddy1770 5 ปีที่แล้ว +1

    May God Bless you more with your family

  • @switnush5885
    @switnush5885 5 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪 I love Qchilla..... Savimbi Bby. (Mboni) Miziki yako yenye Manufaa kwa jamii ipo top na itaendelea kua top milele💖💖💖💖💖

  • @mobrighttz9871
    @mobrighttz9871 5 ปีที่แล้ว

    Konde boy nakubali sana daima nakuombea ufike mbali zaidi ya hapo ulipo

  • @jasminibeno1686
    @jasminibeno1686 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera

  • @williumgeorge3888
    @williumgeorge3888 5 ปีที่แล้ว +11

    dallan nakupenda official audio youtube ...show me love pliz..😢😢

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 5 ปีที่แล้ว +40

    Big up Diamond amewainua wasanii kama Harmoniza,lava,mbosso ili nao wakifanikiwa wainue wengine anasema.kila siku napenda Harmo anavyofanya amefuata nyayo za boss wake

  • @jeyjey9670
    @jeyjey9670 5 ปีที่แล้ว +41

    Harmo vip mzee mbona "kwa namna moja ama nyingine" zimekua nying sana

  • @emmanueljames2652
    @emmanueljames2652 5 ปีที่แล้ว

    safi sana kaka

  • @official-meshack6604
    @official-meshack6604 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama umeskia harmonize kataja Ali kiba gonga like plz

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana rajb mungu akupe moyo uwo uwo

  • @kastorkidumu6579
    @kastorkidumu6579 5 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana harmo nami pia nilikuwa moja Wa shabiki wale chilla yes back we miss you talent voice it's better to reply my comment

  • @ievansovevo6012
    @ievansovevo6012 5 ปีที่แล้ว +1

    Chief is back God is awesome

  • @zainabuzainabu8089
    @zainabuzainabu8089 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah bro keep it up Allah Akuzidishie uwe hiyo hiyo

  • @sandepeter3396
    @sandepeter3396 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema kwa wema

  • @shemuaidan3809
    @shemuaidan3809 5 ปีที่แล้ว +1

    good

  • @bennybejoh8169
    @bennybejoh8169 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali harmonize a.k.a Mr. Kwa namna moja au nyingine.

  • @shalifathia841
    @shalifathia841 5 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kheiran Hamonize lakini hapo kwenye maadili ya kiislamu umenoa...hope umenielewa braza.

  • @mosesvpajitv6644
    @mosesvpajitv6644 5 ปีที่แล้ว +16

    Mliokua mkiunda watu wakumuangu mondi sasa mondi kamtengeneza mwenye anaekubali like zimiminike waaaaaaasssssssssaaaaaaaaffffffiiiiiii

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว +4

    Hio ngoma ilootengenezwa na S2kizzy itakua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ila Hermo unazingua...... wewe mtaani kuna balaa zito la Wasafi Festival wewe unatuletea Q-Chief. MONDI kasema alitaka atambulishe wasanii ways lakini kutokana na Luke balaa la Wasabi festival atasubiri mpaka iishe. Wewe unamrudisha Legend. Acha tusubiri matokeo

  • @allystandardtz8017
    @allystandardtz8017 5 ปีที่แล้ว

    muziki kazi sio kazi muziki karibu qch wcb

  • @makarangaj6844
    @makarangaj6844 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja na mambo yote, nakukubaligi kwenye speech na hua unajua kuendana mazingira, mada pamoja na wahusika au hadhira unayokuanayo kwa wakati huo, big up!

  • @alfredrogathe5522
    @alfredrogathe5522 5 ปีที่แล้ว

    Unachokifanya ni kitu cha maana sana, kwa moyo huo ulionao lazima utafika mbali sana, hongera, appreciation always pays

  • @binthababy8038
    @binthababy8038 5 ปีที่แล้ว +1

    Manshallah

  • @jumamwero4442
    @jumamwero4442 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana konde boy endelea na moyo wa kusaidiana hivyo.

  • @baggodrago4021
    @baggodrago4021 5 ปีที่แล้ว

    ❤️ Unajua Sana brother konde G 💪💪

  • @Pedi_Wa_Meme
    @Pedi_Wa_Meme 5 ปีที่แล้ว

    Amazing Sana

  • @herifedrickson6985
    @herifedrickson6985 5 ปีที่แล้ว +8

    Hamonize upo vizuri sana.

  • @geresonochieng7098
    @geresonochieng7098 5 ปีที่แล้ว

    Love u usijali mungu atakuwezesha kwa kilakitu

  • @Radio_RFM
    @Radio_RFM 5 ปีที่แล้ว +1

    Umoja ni Nguvu🔥🔥🤝🎙️

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Dogo Hataenda mbali.. Yaani kapata Baraka za wakubwa wake... The sky is the limit

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว +30

    Kama hujaona mick ya Wasafi TV ujue upande wa Wasafi Festival kuna Balaa Zitoh

    • @oscalaelias3114
      @oscalaelias3114 5 ปีที่แล้ว +3

      Big Zhumbe huioni dizimonline..au hujui ya nani?😄

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว +2

      @@oscalaelias3114 Dizzim ni Wasafi TV??? Mbona Dizzim ilikua before coming of Wasafi TV?

    • @kombosaira6223
      @kombosaira6223 5 ปีที่แล้ว +1

      Ipo angalia vizuri

    • @everinapesambili6592
      @everinapesambili6592 5 ปีที่แล้ว +1

      Big Zhumbe ndo nashanga. kulikoni?

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 5 ปีที่แล้ว +1

      Umbea utakuumiza

  • @kwtkwt4158
    @kwtkwt4158 5 ปีที่แล้ว +2

    Unarohonzuki mungu akubarik ishaallah

  • @jumamkonda7969
    @jumamkonda7969 5 ปีที่แล้ว +3

    Seen

  • @nicholaskhainza4802
    @nicholaskhainza4802 5 ปีที่แล้ว +1

    This is great brother Harmonize... stay blessed

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว +13

    Kumbe anawatoto wakubwa hivyo jamani mungu amjalie

  • @official-meshack6604
    @official-meshack6604 5 ปีที่แล้ว +5

    Munaona wenzenu wanavaa vipuli nanyi munaingia akaah munakaa kama malimbukeni.. Hahaha haya gonga like kama unakubaliana namii 😀😀japo hata moja

  • @silviakihaka9795
    @silviakihaka9795 5 ปีที่แล้ว +2

    mungu akawasimamie hakikaa nilimic uwepo wa qcheif

  • @khamismfaume1344
    @khamismfaume1344 5 ปีที่แล้ว

    Waooo mungu atawasimamia pambana mzee

  • @muharamharoub8896
    @muharamharoub8896 5 ปีที่แล้ว +23

    Pumbav unalia nini, umepoteza mwenyewe zar lishakuja tena jikaze sasa jikazeee

    • @MrSokwe
      @MrSokwe 5 ปีที่แล้ว +1

      Muharam Haroub ana msongo wa mawazo 🤣

    • @islamkarata9655
      @islamkarata9655 5 ปีที่แล้ว

      Muharam Haroub kabisaaa

  • @yussufmohamed7427
    @yussufmohamed7427 5 ปีที่แล้ว +10

    Hongera kwa kuwkmbuka wakubwa wko

  • @philipkazungu2385
    @philipkazungu2385 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Konde yur da best

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 5 ปีที่แล้ว +8

    Honqera hamo kwa kukumbuka fadhila za Q chief

  • @zawadingalenalo1231
    @zawadingalenalo1231 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki harmonize kwa moyo huohuo nakukubali kinomaa

  • @nashonnjeka7044
    @nashonnjeka7044 5 ปีที่แล้ว +6

    Daaa kazi unaipiga kweli mwana lakini sasa vipuli vakazi gani kaka toa vipuli bana

  • @yasmenoozm8094
    @yasmenoozm8094 5 ปีที่แล้ว

    Harmonize mungu akubariki web kwa ujumla

  • @mvungigaming
    @mvungigaming 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwa namna moja au nyingne.... Nmemuona qchilla na harmonize...

  • @dianangailo9878
    @dianangailo9878 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua

  • @alifarah9459
    @alifarah9459 5 ปีที่แล้ว +11

    Kusaidiana mpaka kwa Press Confrece

    • @dereckdavid9609
      @dereckdavid9609 5 ปีที่แล้ว

      Anapush nyimbo zinazotoka leo

    • @verbalverbal2019
      @verbalverbal2019 5 ปีที่แล้ว

      Inaitwa Showbiz broo

    • @faridifriction8805
      @faridifriction8805 5 ปีที่แล้ว +3

      hili sio jambo la kiki wala kujionyesha lengo niku inspire na wengine katika kusaidiana baina yq wasanii na watu wengine kwenye jamii

    • @charlesmushi2305
      @charlesmushi2305 5 ปีที่แล้ว

      Lazima press maana ndio kazi zao... bila press atafanikiwa vipi

  • @jumamkonda7969
    @jumamkonda7969 5 ปีที่แล้ว +8

    Gonga like kwao kma unawapenda

  • @wowwwow5863
    @wowwwow5863 5 ปีที่แล้ว

    Hamo kwa kweli hata yale unafanya kwa wazazi wako ikla siku lazima uinuke kerp it up bro

  • @davychuka783
    @davychuka783 5 ปีที่แล้ว +10

    Hivi kumbe hizi coment atazisoma harmo😂😂

  • @josephmsusi9424
    @josephmsusi9424 5 ปีที่แล้ว +29

    Mlijaza mike mkajua anasepa wcb

  • @chagaladalameck1790
    @chagaladalameck1790 5 ปีที่แล้ว +10

    gonga like hap km unamkubali

  • @ahadimastonesinkwembe6907
    @ahadimastonesinkwembe6907 5 ปีที่แล้ว +5

    Konde boy upo vizuri malanyingi nakufatilia kwe naona unandoto ya kuwasaidia watanzania wahali ya chini

  • @charlesjorad6739
    @charlesjorad6739 5 ปีที่แล้ว +21

    harmonize utafika mbali sana

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi, good job lakini chila ebu uwe unajaribu kidogo kujikaza siyo kulialia mbele ya media we ni legend mzee

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana kijana!

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 ปีที่แล้ว +1

    It's sound good......... That's really heart of you

  • @catherinemwangi5351
    @catherinemwangi5351 5 ปีที่แล้ว

    Hamo uko Poa Sana God bls you

  • @nassarkalumba4027
    @nassarkalumba4027 5 ปีที่แล้ว +1

    Good luck man

  • @epifaniasawaki3315
    @epifaniasawaki3315 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki harmonize

  • @toshalubeni741
    @toshalubeni741 5 ปีที่แล้ว +3

    Vua na Helen ET Kwa mtoto wakislam sivema kuongea ukiwa umevalia miwan hiyo michen namikufu mbona huvui ovyo kabisa

  • @kipipakipipa5050
    @kipipakipipa5050 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Harmonize.

  • @ShazeenBaby
    @ShazeenBaby 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabasaa maashallah harmonize 💪💪👊

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 5 ปีที่แล้ว +32

    Kipala kaaa stafeli lililokosa vipele 😁

  • @tozzytonni2341
    @tozzytonni2341 5 ปีที่แล้ว +2

    Its tym 4 Harmonize to stand by his own

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 5 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri kwa Upendo uliouonyesh
    lkn kwan kuvaa helen ni maadili