Nani anatazama na Mimi Leo tarehe 15/6/2023 nimetafuta episode 8 sijapata tafadhalini naihitaji Yana ni movie inayofundisha sana Yani haraka ni MTU wa mfano mzuri sana mungu awabariki wachezaji wote wa filamu hii lakini naihitaji episode 8
Jamaa mko vizuri Sana mi uaga nafuatilia movie Zenu zabambisha kinoma. Pia Salam Kwa mwanangu nala Nampa kongole Kwa bidii Za kuchana anaweza Na huyo mrembo wake. Pokea Baraka Zenu jamaa.
Kazi nzuri sana jamani ingawa zinatoka kwa kuchelewa lakini sina shaka nanyi na ndio maana kazi yenu inakua Boora sana yanye mafunzo Mungu awabariki sana
Abel ukauzu unauweza sn big up 💪💪💪 Baraka a.k.a Kikosi you is really gentleman or Mr Mind... you don't care because you have special mission to Learning.., vzr sn...! All the way from Manchester united Kingdom 🇬🇧 To Bongo >>> Green City... Nawapata vzr sn wanangu and nimeishi sn hapo uwasibu mafiati TIA
Baraka unanifurahisha sana style y'a uigizaji wako benroyal bila baraka siwezi kutizama❤️❤️❤️❤️
Mi wakanza jaman naombeni like zangu chap
Hiii mov mbn haitok ten
@@khalidially4751 wanazingua kweli yaan rafiki zangu sijui kimewakuta nn uko tumwombe mungu
Kaz nzrur sna Allah awaongoze vyema ila munatucheleweshea sna mbona
hongera sana kikosi tunaomba mwendelezo tafadhali
Amina sana
Sema inachelew sana kutoka
Movie Kali lakini mnachelewa sana jitahidini kuwahi
Bajeti yao ndogo wasapoti kwa chochote unachopata
Hongereni sana wote
Nani anatazama na Mimi Leo tarehe 15/6/2023 nimetafuta episode 8 sijapata tafadhalini naihitaji Yana ni movie inayofundisha sana Yani haraka ni MTU wa mfano mzuri sana mungu awabariki wachezaji wote wa filamu hii lakini naihitaji episode 8
Da kazii nzuri sana kwa kweli nimeipenda na naifatilia sana
Wooow hd nimefrai kuona muendelezo msiwe mnachelewa sn jamn tunapenda kazi zenu
🔥 🔥,,,,,,,,kazi nzuri wazee,,,,oyaaaaaaa mnajua
Ahsante nawapendasana n'a ombeni luxe munaturetea mambo mapya kirawakati nawakubari Sana ici munatoa rini narin
Wakosawa semann Wana cerewa kutupa nyingi ne wiki hii tuna itaji ep8 kabisa m
Tumesubiri sana 😊😅
Halloooo mpo vizr sema tuuuu zinachukua mida mrefuuu kwelii yani tunazimiss sanaaa sema tuuuu muwahi lakin msiharibuuu
Mnachelewa sana aki❤
kazi ni nzuri sana, leteni hz episode zinazofuata
Jamani naipenda iyi movies ya jina❤❤❤ 😊tatizo mnatuchelewasha kutuwekeya nyingine😢
Kaz nzur xn mungu awape nguvu changamoto hazikwepeki ila jitahidin episode zina chelewa mno
Tu ilikuwa mda kusubili atimae tayari kitu jina eshima kwako benroyal
All the love from Kenya,you guys are from actors,editors,camera man producer,sound... Sanaa ndio mnaitambua kama kazi
Kazi nzur sana kweli mungu azidi kuwabariki Ila sema nini mnachukuw mda mrefu kuachia next episode ndugu zangu
Oyaaa kikosi uyoo abel aguswe kidgo punch hahaha akae sawa😅😅😅😅
Umetisha beny Ila iendelee Zaid xx usiishie njian kama zingne 🔥🔥
Jina 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪..big up Kikosi❤️❤️💪💪
🙏🏻🙏🏻asante sana
Jamaa mko vizuri Sana mi uaga nafuatilia movie Zenu zabambisha kinoma. Pia Salam Kwa mwanangu nala Nampa kongole Kwa bidii Za kuchana anaweza Na huyo mrembo wake. Pokea Baraka Zenu jamaa.
Baraka love you bro
Ase nawakubal saana kikos na naara na Elizabeth pia mnatisha kinoma toka Ile series ya sisi ur good and talented
Sema watoto wa Kristo kupagawa na mtoto wa kihuni baraka 😂😂💯
Ila uyo mtoto ni mzuri... Neema❤
Kilakukicha kazi zazidikutoka zamoto ......hongereni sanaaaaa. .
Kz nzur
Jina tunataka mwendelezo ❤❤❤❤
Congratulations the all team lakn Munakawia Sana Atalikua Nimeisaau hii movies
Iyi movie itaniaribiya watoto wangu kwa sasa wanajiita mtu😅mwengine kikos jamani mtatuuwa😂😂❤❤❤
Another boom 💥 amazing keep pressing 👏 kazi nzuri
🙏🏻🙏🏻❤
Sema mnachelewa Sana
Kazi bora sana… Mbeya the film city
Kwanza nimeduaa baada ya kuiona hii sirizi nawakubari sana jamaa mko poa sana tena sana
Nawakubali sana sema mnachelewa sana kutoa mwendelezo
Kazi nzuri sana jamani ingawa zinatoka kwa kuchelewa lakini sina shaka nanyi na ndio maana kazi yenu inakua Boora sana yanye mafunzo Mungu awabariki sana
Codo kabadanishwaa😂😂😂😂😂
Tumependa kazi nzuri nikitaka ui wimbo wa muhitaji naupatajee
Kazi nzuri, nawafuatilia tangu sehemu ya kwanzi na ubunifu wenu ni wa juu zaidi.❤
Series Kali Sana tatizo mnachelewa kuachia episodes at least kila week mtuachie episode moja bas
Mimi niko kwenye sana najua uzito wanaoupata hawa mabwana,kazi ni nzuri hadi ichukue mda
kazi nzuri sana benroyal movies mungu azidi kuwakuza mzidi kushikamana na kufanya makubwa zaidi 💯💯💯💥
Wa kwanzaa
Tunasubiri zingene bon
Nice movie tunabapenda🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
#Nakubali kazinzuri
Na enjoy sana kuona kazi faffi kutoka mbeya
Asanteni kwa burudani kubwa munayo tupa.ila vitu vizuri avitajiki kugawia sana hii ni Episode nzuri kabisa mubarikiwe washirika wote Jina lasamani ❤
Tisha sana @benroyal picture
Maua yenu🌹
Jaman leten episode 8 nishasubiri sana
Kazi zenu ni nzuri sana
Kazi nzuri tatizo mnakawia sana
Kikubwa uhai ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
Elim bola kiganjan stor kali kinoma
Wakali kwanza
Kwanza niwape maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daaa kila siku nakuja kucheka ep ya 8 lkn waap mwez mzima Jaman ukweli mnatukwaza mashauri zenu
hii movie imenifanya nianze kusali na kumtumikia mungu dah asabte MUNGU
Baraka your more talented above all 💪
mnachelewa sana jaman
Me niko upande wa kikosi, ngojen huyo Abel ajichanganye 😅😅😅 atajuta
😂😂😂
Iko poa Sanaa hongera sanaaaa timu Royal
Shukran Sana
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ahsante kwa mafunzo yenu
Inakuja kama maji jagwani. Tushaisubili sana
Tumechoka kusubiria episode 8 mwatuboesha sasa from Kenya
Oya nyinyi ndio wanakweri kazi kazi wazee Baba Mikazo Wanzo Mwisho ben toyal
Hii ngoma muulize mungu habari ya Leo kaimba nani
Wa1060 kuview, kazi nzuri sana
I
Megawiya sana namba 8 vip mzee
Wa kwanza Leo
JINA series 💥💥💥
Hiiii mov inachelewa sana kutok
Mwanangu Kikosi nakukubaLi
Asante sana
Hiiii mov inachelewa kutok
Nakubali
Nawakubali
Nice work me benroyal but the problem n kuwa mnatuweka sana
Nakubali sana kazi nzuri
Abelly unazingua bana muda wote ni chuki tu
Epsod ya 8 please, Barack anaweza sana
Oy hii nimoto lakini mnazingua kucheresha move mpa mnaboa
Tisha kikosi Tisha kikosi 😃😃
🙏🏻🙏🏻✊🏻
Nakumbl sana respect
Safi Sana lakini muko nakawa saana kutosha
Mbona part 8 mnatucheleweshea
Sema respect sana mwanangu kikosi huna baya unajua kuishi na watu kama mm
Jina😂😂😂❤
ndugu ben…jitahid hiii kitu isiishe haraka..piga ua garagaza..fanya juu chini
Kikosi umetisha sana humu ndani
🙏🏻🙏🏻
BEN ROYAL; MM NI JOURNALIST FROM ZENJYY NAHITAJI MAWASILIANO NANYI NAMBA ZANGU NI 0629785610🤌
Abel ukauzu unauweza sn big up 💪💪💪
Baraka a.k.a Kikosi you is really gentleman or Mr Mind... you don't care because you have special mission to Learning.., vzr sn...!
All the way from Manchester united Kingdom 🇬🇧 To Bongo >>> Green City...
Nawapata vzr sn wanangu and nimeishi sn hapo uwasibu mafiati TIA
🙏🏻✊🏻✊🏻
Daaaa nimechelewa
Sijajua nikwann mnachelewa kutoa epsode
nice one I like it
Mtu kazi bomba stiki nakubari mtu
Wanagu Ep Ya 8 Vp
Apo safi wakuu 🥰👌👌🇰🇪
Ben the best
Mnachelewesha move sana wekeni lipa namba tuchangie maana utam unapotea
Mnazitendea aki Mb zetu 🤜🤛
Movie kali kinomaa pande za Karnataka india
Filamu yangu pendwaaa