angekua underground anaimba Kama hivi tungemkosoa kwasababu anaimba style ya zamani old school hip hop lakini kwa legend ni sawa jongwe umeua billnas kwenye chorus kaua pia ngoma kali
Wakubali, wakatae, sugu is a real definition of a role model, hustler, great inspiration and A LIVING LEGEND! LIVE LONG SUGU. LIVE LONG MR. II. NAKUKUBALI MPAKA KUFA! "FREEDOM" NA "TAITA" NI MAGOMA YANAYOHITAJI HIGH VIBRATION KUYAELEWA, GOD BLESS YOU MORE!
kolasi imepoa sana, kwa sababu kufoka na kolasi ni tofauti, alafu hapo wife wangu mgumba umesema hatukuwajibu, alafu tena tukawajibu kwa mimba, ingekuwa tu tukawajibu kwa mimba
Sugu kama unanikumbuka mm siku ya kwanza naona nawewe siku ya kwanza nilikuwa kata ya iyela nasikiliza kampeni zako na mara ya pili nilikuja kula ubwabwa kwenye ubatizo wa yule mwanao wa kike, Daah bro umeni isnpire sana katika muziki na siasa! Nina nyimbo zote za vinega
Ripoti kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa kuna uhaba mkubwa wa wa condoms nchini humo na kuwaweka Wananchi katika hatari ya maambukizi ya UKIMWI, mimba zisizotarajiwa na magonjwa mengine ya zinaa. Baraza la Taifa la Kudhibiti UKIMWI (NACC) limesema mahitaji ya kinga hizo nchini Kenya yanafikia Milioni 480 kila mwaka huku akiba ya sasa ikiwa ni milioni 79 pekee. Akizungumza wakati wa kuadhimisha Siku ya Condom Duniani, katika ‘Chuo Kikuu cha Kenya Coast Polytechnic’ mjini Mombasa jana, Mratibu wa NACC Kanda ya Pwani, Omar Mwanjama amesema Nchi hiyo inakabiliwa na upungufu wa condom Milioni 401, hatua ambayo imeathiri ugawaji wa bure wa bidhaa hiyo kwa Walengwa. #MillardAyoUPDATES
Taita kuliko Taveta.. Much Love from KE
Mabilioni kwenye mijengo na mamilioni mengine yapo bank yanasubiri michongo Noma sanaaa🔥🔥🔥
Alie muona Edo kumwembe agonge like
Tatizo wasiokujuwa wanajifanya wanakujuwa, Hakuna wanachojuwa chochote wanachojuwa ni kile ambacho mi nimetaka wao kujuwa🎶🎶🎶🎤🎤
ogopa sana kama mtu anamzidi mpaka rubani kuwa angani eeh BARAA ZITO ILOO🙌🙌🙌🔥🔥 KWELI WE TAITA 💰💰💸
Oyaa humu father ka tamba sana kama kuna mtu kawai kutamba hivi in rapgame mtaje
angekua underground anaimba Kama hivi tungemkosoa kwasababu anaimba style ya zamani old school hip hop lakini kwa legend ni sawa jongwe umeua billnas kwenye chorus kaua pia ngoma kali
Fact and I do agree
Tafadhali Mnisupport 👇🏾
th-cam.com/video/9rK399duqKM/w-d-xo.html
sina shughuli nyingine Mjini hapa🙏🏿
Sugu bhana.... Anauimba mstari afu still anaufafanuaaa😅😅😅😅 Big up Legend
Kumbuka walivyosema..."Eti wife wangu mgumba!!?" Hatukuwajibu tukawajibu tu kwa mimba.
Wakubali, wakatae, sugu is a real definition of a role model, hustler, great inspiration and A LIVING LEGEND! LIVE LONG SUGU. LIVE LONG MR. II. NAKUKUBALI MPAKA KUFA! "FREEDOM" NA "TAITA" NI MAGOMA YANAYOHITAJI HIGH VIBRATION KUYAELEWA, GOD BLESS YOU MORE!
Aliyemuona taita edo kumwembe 🙌🏾
Watoto waliozaliwa miaka ya 2000 hawawezi kuelewa song hili..., Wamezoea mpaka waone mauno ndio wanajua hiyo ndio nyimbo. Legend is back💪😂
Aah kwel mi nwenyw sijaelewa
Asante sana . Hawawezi kuelewa kabisa. Hii ndio miziki sasa na nilikiwa nimemiss sana midude kama hi..
@@dellymusic2019 we si mdada huwezi elewa
Kweli kbs
@@starexraheem3901 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
kolasi imepoa sana, kwa sababu kufoka na kolasi ni tofauti, alafu hapo wife wangu mgumba umesema hatukuwajibu, alafu tena tukawajibu kwa mimba, ingekuwa tu tukawajibu kwa mimba
Sasa mavitu ndio haya tuliyoyamis. Hongera sana Taita aka Jongwe
Kabisa
SUGU is still my number 1 hip hop artist in the country since way back.
U can’t be serious😂
@@abushiridachie6865 serious is a heart attack
Nisahihi 2proud na Prof hawajawahi shuka
In africa… I was a kid the first time I heard his songs I haven’t heard better since… professor j is second…
Ngoma kali ila versi ya pili ndio nzuri kuliko ya kwanza....Versi ya kwanza pumzi inakata Taita...Ila Billnass kakubeba sana 👏👏👏
Mimi kama M-Taita kutoka Taita [Kenya] nampa hongera Taita Mtata💯
Hajawahi kuwepo Wa kukuzidi Bongo kwa kufoka,#TAITA Mungu Akujalie Maisha Marefu.
iyo sauti ya nenga wangeiachia tuu ijae... bonge la ngoma
umewaza kama Mimi
Jongwe mwenyew kweny ubora wake.
Mashairi yamesimama ile mbaya 👏👏💪💪
#Sugu #Taita
Taita kama taita,taita mtata,taita full mtata,wimbo mzuri sana na umenifanya nirudie kuusikiliza kama mara kumi,watakaomuelewa ni wahenga tu
Piga kelele kwa Sugu akeee
hongera sana ..jongwe..nime enjoy kumuona the living legend edokumwembe..
Taita kila wakati ni vita ya kukataa ukata 🔥🔥🔥
Sungu humu ameuwa bili Nas kasafilisha tongwe wamezikaa hii nyimbo kumbwa sana
Prezdaa from United republic of mbeya..whozaaaaah
Tatizo wasiokujua wanajifanya wanakujua, hakuna wasichojua, chochote wanachojua, ni kile ambacho mimi nimetaka wao Kujua,,,,,,,,,
Jongwe na hao madingi kama ma Godfathers wa majuu 🙌, Sugu ni tunu ya maana kwenye hili game
Sugu namba one Tanzania umeleta MZIKI bongo akuna kama ww
Sugu kama unanikumbuka mm siku ya kwanza naona nawewe siku ya kwanza nilikuwa kata ya iyela nasikiliza kampeni zako na mara ya pili nilikuja kula ubwabwa kwenye ubatizo wa yule mwanao wa kike, Daah bro umeni isnpire sana katika muziki na siasa! Nina nyimbo zote za vinega
Mliomuona Edo Kumwembe weka like nusu kilo hapa
Kujisifia kwingii na umetelekeza mtoto kwenda huko
Safi sana toa mawe juu ya mawe huu umejisifia ww usipoe toa nyimbo za kialakati sasa
Umeonyesha uwezo wako jongwe hakika wewe ni mwamba sana
#MBOWE SIO GAIDI
Kaka Mkubwà Muheshimiwa
SUGU ss vijana wakae pembeni kiasi
🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ripoti kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa kuna uhaba mkubwa wa wa condoms nchini humo na kuwaweka Wananchi katika hatari ya maambukizi ya UKIMWI, mimba zisizotarajiwa na magonjwa mengine ya zinaa.
Baraza la Taifa la Kudhibiti UKIMWI (NACC) limesema mahitaji ya kinga hizo nchini Kenya yanafikia Milioni 480 kila mwaka huku akiba ya sasa ikiwa ni milioni 79 pekee.
Akizungumza wakati wa kuadhimisha Siku ya Condom Duniani, katika ‘Chuo Kikuu cha Kenya Coast Polytechnic’ mjini Mombasa jana, Mratibu wa NACC Kanda ya Pwani, Omar Mwanjama amesema Nchi hiyo inakabiliwa na upungufu wa condom Milioni 401, hatua ambayo imeathiri ugawaji wa bure wa bidhaa hiyo kwa Walengwa.
#MillardAyoUPDATES
Sugu kama sugu aka jongwe vijana wa zamani ndio tunaelewa vitu hizi...
Achaneni na kote jamani,,shout out kwa BILL NAS KAUA SANA Chorus
Kwer jongwe mziki kwako Kama baiskel umeujua ndo umesha ujua ivo goma kaliiiiiii Mr tu
Taita mfupi lakin hela ndefu 💪🏾💪🏾💪🏾
Sas hii ndio mzik broo eb nipe tano mbunge wang na mwak 2025 usiach kugombea
Miaka mingi sana bro nilizimiss hizo floor za kitaita ll ploud Mr ll sugu taitaaaaaaa ooohyeee
JongweMisuti
Ngoma kali sanaaa,Sema tu kwenye maneno kidogo angetumia maneno mapya kidogo yenye tashtiti
Ukatujibu kwa mimba .... Kutuonyesha kuwa hamkuwa wazembe 😀😀😀😀😀
Bless up tunakujua tunakutambua sana kaka bila nguvu zako mziki wa bongo usingekuwa hapa
Wenye industry wanachukuwa jukwaa lao tena🔥🔥💯🔥🔥love toka 🇰🇪
Taita hatari umeuwa tajiri mkubwa sugu mwenyewe nakubal
Nahuto ona navimba sababu sio mshamba 🏴☠️🏴☠️ 🔥🔥🔥
Tanzania sijaona waku rithi sugu
Huwa uniangushi kabisa. Hizi mambo ndiyo tulizimiss
Congratulations Mr President of Mbeya,the song very nice ! You killed it
Taita kama taita @,misuti kabatini
Halaaa ,# billinas salute 👏
Oooooh my God mbunge na Raisi wangu wa mbeya Sugu am happy to see you and I love you so much Sugu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Kama umemjua mdangaji wa insta like hapa
Taita mfupi mtata wa like za mh .sugu👏👏👏👏
Verse zimefunika chorus balaààaaà......
Surely no one can't take away a talent from a talented person. Mega hit 💪🙏👏
Beat mzee sio poa sugu moto chini🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤜🤛
Tatizo wasio kujua Wana jifanya kukujua #taita kama #taita mtata.
Sugu kama Sugu, niseme nini aliwatengenezea mazingira wasanii wa sasa
Kitamboooo Sanaa kaka...... Karibu tenaa 🙏🙏 god bless you
Kazi nzuri Sana Sana Sana mkuu nakukubali Sana sana
Nakubali!! nakubal!! nakubal!! kaka mkubwa Hujaisaliti Hip Hop
Nawazidi marubani Kwa masaa ya kuwa angani....TAITA
Tumeludi kivingine jongwe mkongwe tupe rahaa brother umetisha
Nilikua nimemiss sana izo flow zako my king heshima kwako
Nengaaa
HomeBoy Jongwee.!!
Kwahizi fro bss hupiti 😅😅, all in all ngoma ya majigambo ime
Sugu verse ya kwanza umeua sana kwa style ya kurap kama zamani hivi mi fans wako kitambo songs zako elimu tosha
Kheshima sanaa kaka mkubwa
SUGU is the real definition of the BOSS
Jongweeee na kukubali kuanzia mziki mpaka bungeni bro
Suguuuuuuuuuuuu King 👑 of hip-hop bongo ,,, mbeya ni yako miaka mia bro
Taita mtata ila Edo ulikuwa unasoma iyo nyalaka 🙌🙌🙌
Unyama Sana Jongwee# Nawazidi Marubani masaa ya kuwa hewan..# Yess ni mfupi ila pesa Ndefuuu.. Punchline Ni nyingi Sana#Taita👊
Kinachozidi kunifurahisha Jongwe hajaachilia MISINGI. #TAITA Anawazidi marubani kwa masaa ya kuwa angani..
Sugu unaweza kwengem kitambo 💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨naomba naomba kolabo nalichi mavoko
Nenga ndo amenifanya nikasubscribe leo 🙌🏽
Navyomkubali Kaka Mkubwa Hakuna Mtu Anaemzidi Majigambo Kwenye Kuchana Anagamba Kitaita Sana Na Ni Mbishi Sae Hood Oyooo🔥🔥🔥
Yeap umetisha kaka huyu sasa ndojongwe senior uuuuuh umetisha kaka
Jongwe the diffinition of hip hop
Nawazid marubani kwa masaa ya kuwa angani respect taita
Ngoma ya kitaita kutoka kwa Taita kwena kwa Mataita
Sugu kama Sugu,hahahaha..huyu mwamba sugu kweli💪✊✊" Young boys don't know what a Don mean".
Difinition of hip hop salute bro jongwe we love you allah akupe maisha marefu zaid🤲
Sugu Big Ap sana Bado uko vizuri sana sana
Mungu ni mwema sana,!!! %usiache KUTABASAMU%
TAITA 💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥 TAITA mfupi ila hela ni Ndefu
TAITA JONGWE Amani kwako bro toka enzi na enzi sie wengine machalii mpk leo hii hauchuji mzee.
Nakubali 2praud hujawahi niangusha jongwe nakubali Mr deiwaka
Taita Kama Abongo!!! chawucha sana!!!
President of Mbeya, cheo kimepotea ila heshima iko pale pale.
This is indeed a skill which will never die inside you.
Mzee Achia vijana ..Maana Unarudia Kama Biden😂😂
Mi nakupenda tu tangu zaman big brother
Kaka mkubwa umeua sana...Big up Ukubwa dawa aisee vijana waje kuchukua dawa hapa.
Bonge song kudadadeki namuona hapa kaka eddo kumwembe🤝
Taita Saw mkuu yani Taita mtiyt kutoka Kenya Jimbo la Taita Taveta go bruza dakukunde shuu ata kama hawakutaki 😂😂👊👊
Mbeya City 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongera jongwe ngoma nzuri lete vitu vilivyo potea