سلم عليكم ورحمة الله وبركا ته Nakushukuru Alla akulipe LA heri ni ustadhi Ahmad MWAFRIKA na kaa kijijini kigoma nilitaka ktk somo letu la mbazi majirani wangu wote ni wa kristo wamenitumia kubwa wa Subiani nakuomba unipe somo mbazi nikarudisha kobora ili wasizoweye wanasema tumemuweza sheikh hatoki, nachoka maelezo ni mengi
Kina langu kulsum Abbas kutoka Burundi thehebu la kihindi nimesikiya Dua hii nimekua Kabila nahisi kitu kizito kama mkuri mgongoni apakaribu umalize nimesikia kitu kinatoka mwilini
Ustadhi mm naota mala kwa mala nipo kwenye Hafra ila nikienda chooni choo kimejaa kisha Kirechoo kikowazi watu wana niona hii nn maana yake mana inaniaumbuwa sana
Tabarak Rahman Allah akulinde turekodie salat naria
Allah akuzidishie nimeskiliza dua kichwa kiauma kwa muda shekh
Aaamiina be blessed sheikh
Amina mufti allah akulipe wakati dua yasomwa mwili wote ulikua wasisi mka
Allah akulipe kheri shekh wetu❤
Amiin. Allah atutakabalie dua yetu.
Very powerful dua
Amin
Yalabinaomba
Uniondolee
Vitu
Vibay
Kupitiy
Duwa
Hiii
Alhamdulillah. Mwenyezi Mungu akusimamie kwa kusoma dua hii.
Allah akuhifadhi sheikh Suleiman na wanao , nimejifunga mengi Sana kwa TH-cam channel yako. Allah ibarik
Mashaallah sheikh dua iwe makuburati Allahuma Amiin.
Allah akubarik sheikh
Allah atufanyie wepes sote
Sheik mweyezi mungu Skype khila la kheri Arman Amiin
Subhana llah nilivyoanza kuskiliza nikapigwa short na usingz mzito juu
Siyo wewe tu mm jana kila nikiiweka napata usingizi mzito
Amina yarabi shukuran
Amin amin
Mungu akubali duwa yeetu barakallahahu fiikum
Mashallah sheikh niko na haja ya kitu niombe dua
Naitwa aziza amisi naomba kupitia Dua hii nipone Mimi mume wangu watoto
Aminiaa
ila mwenyexi mungu anisaidie nipate kazi
Nimetapika
Badayaduwa
Naitwamuna
Namushukurumungu
Nawe
Akuzidishiye
Kilalaherinamaishamarefu
Malipoyako
Utalipwana
Mungu
Ishala
Nakushukuru,, Naitwa SHEIKH umenisaidia USTADHI Ahmad nilikuwa naumwa ktk wiki nimejisikia afadhali kichwa kilikuwa kinaumwa usiku
سلم عليكم ورحمة الله وبركا ته
Nakushukuru Alla akulipe LA heri ni ustadhi Ahmad MWAFRIKA na kaa kijijini kigoma nilitaka ktk somo letu la mbazi majirani wangu wote ni wa kristo wamenitumia kubwa wa Subiani nakuomba unipe somo mbazi nikarudisha kobora ili wasizoweye wanasema tumemuweza sheikh hatoki, nachoka maelezo ni mengi
Ishaallah kwa dua shekh lkn tunaomba na dua za usiku na za asubuh wengine waklisto ili tuwe tunasikliza
Amin
Amiiin
Manshaallah
Shehe nashukuru kwa duaa yako Allah akujaze kheri mimi nilisikia baridi je inamaana gani?
Nimefatilia duwa mchana huu kichwa kizito na mwili umekuwa mwepesi
Mashallah mungu akuzidishie
Allah Akupe kila hitaj la moyo wako
Asante kwa maelezo
Amin.nimelia na kutetemeka nakuhisi vichomi na mwili mzito.
Majini hayo yanatembea ndani ya damu
Ata mm mwili umechange na vitu mdomoni 😭🙏🏻
Alhmdulilallh
Amin shehk nifanye nini ili nimludishe mkewangu kanikimbia kwani bado nampenda nifundishe dua au uladi wakumfanya aludi
Amen
Mashallah akupe pepo fadaus pamoja na sisi
Namba yako watap sheikh
masha allah shukran allah akuzidishiye amiiin allahuma amiiin
AMIIN AMIIN AMIIN😢😢😢😢😢
Shekhe naomba namba yko
Dua inasomwa kama upepo hivi umetoka kwenye mguu wa kulia mpaka nimeshituka
Masha Allah
Sheikh asante tunaomba salat naria kwa hisani yako
Mimi naomba namba yake naipataje
Ameen
Shukran
Mimi naota kichwa kimetiwa moto
Naaaam vitu hvooo
Jaribu ku itengeneza vizuri insha ALAAH
Mashllh
A
Kichwa kimeshika moto baada ya duwa
Kichwa ndio kizito mbele ya kipaji chauso
Sharifu sureymana tv
Samahn dua hii unaisoma Mara Mara ngapi?
Sheikh mimi mbona nikianza kuskiliza tu napitiwa na usingizi nini shida
Hata mm
Kina langu kulsum Abbas kutoka Burundi thehebu la kihindi nimesikiya Dua hii nimekua Kabila nahisi kitu kizito kama mkuri mgongoni apakaribu umalize nimesikia kitu kinatoka mwilini
Ustadhi mm naota mala kwa mala nipo kwenye Hafra ila nikienda chooni choo kimejaa kisha Kirechoo kikowazi watu wana niona hii nn maana yake mana inaniaumbuwa sana
Ndoto nzuri dada, pesa hizo Ila fanya bidii upate kwa njia ya halali
Naaaam vitu hviii napenda kujuwa unagroup whatsap
Amin Amin , inakataa kuendeleya yani ime kwama haisomi
Alhamidulilah