Zorah - Jikubali (Official Lyric Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Jukumu la Sanaa katika jamii yoyote ni Kuburudisha, Kuelimisha, Kudumisha Maadili, Kukuza Uwezo wa Kufikiri, Kukuza Lugha, Kuunganisha Watu na Kuhifadhi Mila, Tamaduni na Itikadi za Jamii.
Zorah akiwa Msanii, pamoja na jukumu la kuburudisha anapaswa kutimiza majukumu mengine ikiwemo lile la kuelimisha na kudumisha maadili katika jamii yake.
Wimbo wa #JIKUBALI umelenga kuelimisha vijana hasa wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni kujiepusha na mapenzi katika umri mdogo, mimba za utotoni, kujikinga na VVU na kutowanyanyapaa wale wote waliogundulika na VVU.
Wimbo wa #JIKUBALI unapatikana katika Digital Platforms zote duniani na mitandao yote ya kijamii.
Unaweza kusikiliza nyimbo zote za Zorah na kupitia link hii linktr.ee/Zorah_
Subscribe on TH-cam: youtube.com/@Z...
Instagram: ...
Facebook: www.facebook.c...
TikTok: tiktok.com/@rajzorah
Twitter: x.com/raj_zora...
🎉🎉🎉🎉
🔥🔥💪💪
Unajuwa alafu unajuwa Tena waoooh
Asante saana🔥🙏🙏🙏
Nyimbo nzurii sanaa'
Asante sana🙏🙏
Good music
Thank you brother🙏🙏
wimbo upo vzuri kila kukicha unazidi kuonesha kipaji na tungo ambazo zinabadilika zaidi
Asante sana brother🙏🙏
Tumesikia na tumejifunza
Acha nilale sasa
Asante sana brother🙏🙏🙏
Huu Wimbo Umeutendea Haki Pando Zote Muhimu, Utunzi, Merord, Panchi Voko, Beat, Nk. Kaza Buti, Safari Ya Muziki Bado, Inakuhitaji(Congratulation ZORAH)
Asante sana🙏
💯💯
🔥💯💪
Hujawahi kuwa na kazi mbovu kijana
Asante sana kaka🙏🙏🙏
Safi sana mdogo pambana Mungu yupo
Amen. Asante sana🙏
Sawa kaka🔥🔥🔥
🔥
Ngomaa kalii
Asante sana kaka🙏🙏🙏
Ngoma kali Sana mdogo wangu
Asante sana🙏
Good Job keep it up
bonge moja la message
Asante sana🙏
Nakubali sana kazi kubwa sana
Asante sana🙏
Goma Kali lenye mafunzo kama yoteee , umetisha sanaaaa kaka mkubwa🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana brother🙏
Kazi nzuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana🙏
Mnyama Zorah umeuwa Sana kazi zako hazinaga mbambamba ase Kaka pamoja sana 👏👏👏
Asante sana brother🙏
Burnaboy ajaee hongera zorah 🎉
Wote tuseme Tawiree🔥 Asante sana🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏
JIKUBALI, USHINDE VISHAWISHI
Naam brother🙏
Nafanya 🎉🎉🎉🎉
🎈🙏
Mungu aibariki kazi yako zorah ngoma ni kali xana aiseeeeeee nimeipenda xanaaaa
Aamin. Asante sana🙏
Nakubar sana Hd🔥🔥🔥🔥
Asante sana🙏
Nzuri hii kaka #jikubali
Asante sana🙏
Hongera Bwana Mdogo Zorah Pini Liko Vzr Cha Msingi Kaza Zaid
Asante sana kaka mkubwa🙏
Ngoma kali🔥🔥
Asante sana🔥🙏
Sijawai kukupinga zorah umeuwaa MUNGU azidi kuwa nawe kwenye kazi yako ngoma kaliiiiiiiiiiiiii
Asante sana🙏
Zorah wewe ni noma❤❤❤
Asante sana mama❤️🙏
Ni nomaaaaaaa #JIKUBALI on fireeeee💥💥💥
Yess. Asante sana🙏
❤🎉🎉
❤️🔥🙏
Nyimbo nzuri sana mkuu❤❤❤❤❤
Asante sana🙏
Mjomba ee nyimbo haina sauti hiii
😅😅😅
Nic song🔥🔥mkuu👊👊
Shukrani sana🙏🙏
dg kati ya Ngoma ulizowahi achia hii nomah
Asante sana kaka🙏🙏🙏
Waooooooh upo vzur sna wakukaya💪💪🔥🔥
Asante sana🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana,, melody, beat na ujumbe mzuri! Hongera snaa DJ Kassu
Asante sana brother. Zimemfikia🙏
❤😊
My brother🔥💯
Hongera dear Unajuwa
Asante sana🙏
Respect
Asante sana🫡🙏
Kubwabwaye bonge la melody na content unyama sana yaan ni 🔥
Asante sana🙏🙏🙏
Swala La Muda Tu Mzee✊Kuna Seat Yako Ya Mbele Kabisa Kwenye Bus La Mainstream
Shukrani sana kaka mkubwa🙏🙏🙏🙏
Really Pure Talent 🔥🔥🔥🔥
Shukrani sana🙏🙏
Ebhana hii kazi ni kubwa sana na itafika mbali sana, aina ya huu muziki huwa unaishi muda mrefu sana kutokana na ujumbe uliobebwa ndani yake. Big up sana kwa Zorah na crew nzima ya Kassu Music kwa kutuletea wimbo mzuri wenye mafundisho makubwa. 💯🔥💪🏾
Asante sana brother🙏🙏🙏
Lamoto sana
Asante sana kaka🙏🙏🙏
Mwamba zorah ujawai kuniangusha hii nyimbo nzuri imefunika albam ya konde na ya d voice shida ww bado ujapata connection ya maan bado nyimbo kazaa tu unisahau me juma kibaba. Yan zorah ukiwa kwa kila interview nitaje kivyovyote me ndy chawa wako kwahy kila stage tutapanda wote akuna kuniacha na ukija kunikataa napicha zako tulipiga kwahy nitaenda wasafi fm kusema ww ni ndugu yangu wa damu na picha iza APA ila yote ayo maneno usibweteke pambana kijana pambana kijana. Zidi kupambana yani pambana
Hahahaha jumakibaka Una mambo daah 🤣🤣🤣🤣😂😂
@@KingMashimba asije akaniacha kapu hahahaha
Hahahaahh🤣 usijali ndugu yangu🤣🙏🙏🙏🙏
Waooooooh upo vzur sna wakukaya💪💪🔥🔥
Asante sana💪🙏
Waooooooh upo vzur sna wakukaya💪💪🔥🔥
Asante saaaanaa🙏🙏
Waooooooh upo vzur sna wakukaya💪💪🔥🔥
Asante saaaanaa🙏🙏
Waooooooh upo vzur sna wakukaya💪💪🔥🔥
Asante saaaanaa🙏🙏