Waganga waganga mungu anawaona waongo sana alaaniwe amtegemeaye mwanadam wewe aron mtafute madamu muombe msamaha harafu yule madam mbona alikuwa mwelewa sana ungemweleza tu ukweli kwamba mm nikiwa na ww sifru ❤kabisa nataka kuwa na watoto sasa tunafanyaje? Anghali wewe umli umesogea ! Asikie madam anasemaje kiukweli kayatimba ukome kabisa jifunzeni vijana hapo
Huu ni uchawi mbaya sana! Ina maana huyumganga amefanya mambo halafu akapoteza identity, balaa sana hiyo huyu atateseka sana! Kupoteza familia ghafla aisee yaani huyu ni Madam hakuna mwingine kabisa!!!
Mind you, simsifu madam ila naelezea hali halisi ya maisha yetu! Yule fundi i mean uncle wa Aaron pia sio mshauri mzuri maana amemuingiza huyu kijana kwenye malaana yasiyo na lazima maana ndio alibuni mpango wa fumanizi! Mbaya sana hii aaron amefanya vibaya sana kimktalia madam kwenye kurudisba mali walipoachana Na alisema wazi kwamba jasho lakr halipotei bure sio? Stay tuned
Aaron umeyataka mwenyewe! Ina maana Madam ameenda kwa mganga mkali sana na wamemuwekea mkosi mkali sana na ili asigundue, wametega kiasi kwamba akifuatia ili a solve, ionekane kwamba ni mwananke wake mwingne aliyemtupia hiyo nuksi na sio Madam, ila sasa Madam nae utamlaumu nini? Kwani ndiye aliyemtuma Aaron amtapeli? Vijana tutafute vya kwetu tuachene kabisa na wizi, dhuluma, u mariooo nk kama mwanamke humtaki, unamdanganya ili ule vitu vyake halagu iweje? In every action, there is equal and opposite reaction! Tena nadhani wameamua kumfanyia ukatili wa uchawi hatati zaidi baada ya kugundua pia kwamba Aaron haliwa na mapenzi ya dhati na ndiye aliyesuka mpango wa fumanizi na in fact madam ameathirika pia kwa ukimwi, akaamua kumaliza kabisa, Aaron yeye si alianza bwana?
@ sana, sana! Aaron selfish sana na ndio tukifunze tusche kabisa kupenda miteremko na utapeli.....na alimeeleza kabisa jasho lake haliendi bure, sasa imagine kama haya yasingeliyokea ina maana aaron na familia wanaishi kwa raha kustarehe kwa pesa za masam sio haki kabisa!!
Aron haukuwa na akili sawasawa na ulikosa ushahuri mzuri,Madam amekufanyia mengi sana,ulishindwa vipi kuuza gari hali ya kuwa unajuwa mali zote ni za madam,ulitegemea akae kimya kweli

Hii simulizi imepenya ndani ya Moyo wangu dah😢😢😢
Pole Kwa kufiwa na familia yako. Hawana hatia Mungu atuongoze jamani mapito yako wanaadhibiwa wengine
Umependeza sana Veronica!
Waganga waganga mungu anawaona waongo sana alaaniwe amtegemeaye mwanadam wewe aron mtafute madamu muombe msamaha harafu yule madam mbona alikuwa mwelewa sana ungemweleza tu ukweli kwamba mm nikiwa na ww sifru ❤kabisa nataka kuwa na watoto sasa tunafanyaje? Anghali wewe umli umesogea ! Asikie madam anasemaje kiukweli kayatimba ukome kabisa jifunzeni vijana hapo
Ndyoman Unambiwa waganga siwakuamini Aki😢😢
Jamaan yaan tuko bze tunapambana na maishaa kumbe kuna ma x wamepeleka majina yetu kwa waganga pumbavu kabisaaaaaa 😢😢😢😢😢
Aiseee make WA Aron na Mtoto wamekuja kulipia hatia ambayo haiwahusu kabisaaa😢😢😢😢😢
Madam anipeleke Hilo chimbo
@@كازينسليمانعبدالمنافسليمانالدو mwenyewe namtafuta madam vero atupatie no yake
Dah!!
Mmmmh makubwa hatariiii na nusu
Huu ni uchawi mbaya sana! Ina maana huyumganga amefanya mambo halafu akapoteza identity, balaa sana hiyo huyu atateseka sana! Kupoteza familia ghafla aisee yaani huyu ni Madam hakuna mwingine kabisa!!!
Mind you, simsifu madam ila naelezea hali halisi ya maisha yetu! Yule fundi i mean uncle wa Aaron pia sio mshauri mzuri maana amemuingiza huyu kijana kwenye malaana yasiyo na lazima maana ndio alibuni mpango wa fumanizi! Mbaya sana hii aaron amefanya vibaya sana kimktalia madam kwenye kurudisba mali walipoachana
Na alisema wazi kwamba jasho lakr halipotei bure sio?
Stay tuned
Vero jamani please sio kulalua ni kurarua!
Huzuni kweli, Ila Aaron uliyataka mwenyewe, machozi ya mtu hua haiendi bure,ukiumiza mwenzio ujue tu nawe utaumizwa kwani malipo Ni hapa tu duniani 🇰🇪
Ukute jina alikuwa analijua aroni sio la kweli ana jina lingine
Aaron umeyataka mwenyewe! Ina maana Madam ameenda kwa mganga mkali sana na wamemuwekea mkosi mkali sana na ili asigundue, wametega kiasi kwamba akifuatia ili a solve, ionekane kwamba ni mwananke wake mwingne aliyemtupia hiyo nuksi na sio Madam, ila sasa Madam nae utamlaumu nini? Kwani ndiye aliyemtuma Aaron amtapeli?
Vijana tutafute vya kwetu tuachene kabisa na wizi, dhuluma, u mariooo nk kama mwanamke humtaki, unamdanganya ili ule vitu vyake halagu iweje? In every action, there is equal and opposite reaction!
Tena nadhani wameamua kumfanyia ukatili wa uchawi hatati zaidi baada ya kugundua pia kwamba Aaron haliwa na mapenzi ya dhati na ndiye aliyesuka mpango wa fumanizi na in fact madam ameathirika pia kwa ukimwi, akaamua kumaliza kabisa, Aaron yeye si alianza bwana?
Mim naona madam hakuna alicho kosea na mpongeza madam kwa kazi nzuri sana
@ sana, sana! Aaron selfish sana na ndio tukifunze tusche kabisa kupenda miteremko na utapeli.....na alimeeleza kabisa jasho lake haliendi bure, sasa imagine kama haya yasingeliyokea ina maana aaron na familia wanaishi kwa raha kustarehe kwa pesa za masam sio haki kabisa!!
Malipo ya ubaya ni ubaya hata kaka sio maharishi mzuri
Aron haukuwa na akili sawasawa na ulikosa ushahuri mzuri,Madam amekufanyia mengi sana,ulishindwa vipi kuuza gari hali ya kuwa unajuwa mali zote ni za madam,ulitegemea akae kimya kweli
@@complex7582 balaa hii
We si mwamba acha madam afany yake
kabisa, ni turn yake kulia sasa
@@carolinetalam5832 😂😂😂
Afanye yake kwakweli 😢