bandari bagamoyo Je Mhe. Kikwete aliweka jiwe la msingi bila kusaini mkataba?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 265

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu hajawahi shindwa na Jambo tutetee mfalme wa wafalme tunaomba toba na rehema pale tulipokosea tukaenda kinyume na wewe unatujua vyema tunomba usituache pigana nao wanao iyumbisha Tzania mpaka tushangae ameeni.

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 3 ปีที่แล้ว +18

    VIONGOZI WA TZ SASA NI WAONGO KAMA WATOTO WADOGO VILE AIBU SANA,, "Ukweli utabaki kuwa ukweli" Rest in Peace JPM HapaKaziTuuu!!! Hawa wa kazi iendeleea ngoma hii imewashinda!!!! Viongozi wetu ifike wakati muwe mnaona AIBU!!!!!!

  • @abdallahhassani7811
    @abdallahhassani7811 3 ปีที่แล้ว +5

    Naomba Mwenyezi mungu kwa Nini hajawatanguliza kuzimu hao wanao pigia debe bondari ya bagamoyo.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 ปีที่แล้ว +13

    Akuna serikali tanzania saivi yaani tumekuwa sawa sote nyie na sie wa congo... wa tanzania waoga mnashindwa hata kuongea au kuandamana

    • @dottoedward6881
      @dottoedward6881 3 ปีที่แล้ว +4

      Kwenye awamu ya tano ndugai alikuwa spika eti leo huelewi kwanini ujenzi umechelewa Jpm alisema mkataba na mashariti si rafiki kwa maendeleo ya inchi tena aka sema la bda kichaa ndo ataweza kukubali mashariti hayo kwa nini use me unashangaa wakati wewe ndo ulikuwa spika awamu ya tano?na sisi tutashangaa mkikubali hayo mashariti

    • @abelmbilinyi1262
      @abelmbilinyi1262 3 ปีที่แล้ว +1

      Hamna Wananchi hapa bongo 😭😭😭

    • @soundmale
      @soundmale ปีที่แล้ว

      Hapa Tanzania tatizo kila mtu anapambana na Hali yake ndoo maana hawana habari na serikali ya comedy 🤔🤔

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 3 ปีที่แล้ว +3

    Ewe Yesu Christo angalia waja wako tumevaa magunia ,kufunga na kuomba kuwakabili hawa viongozi wanaotanguliza vitovu vya Matumbo yao .turudishieni kiongozi ulietuonjesha na kumnyakua kabla hawa mafisadi hujawatowesha .amina

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 2 ปีที่แล้ว

      Sio ewe yesu, sema ewu mungu na sio yesu

  • @samuelmparange536
    @samuelmparange536 3 ปีที่แล้ว +13

    Hebu Ndugai na wenzio wapiga debe wa ujenzi huo anikeni huo mkataba nasi wananchi tuusome na tuwaombe wanasheria wetu watutafsirie yaliyomo humo.Acheni kuyuburuza kwa faida yenu ya sasa na kuviacha vizazi vijavyo viteseke
    Muwe mnafikiria miaka 200 ijayo mnataka kupeleka wapi? R.I.P Our beloved late presdent.

  • @hbdina
    @hbdina 3 ปีที่แล้ว +6

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Huyu mtu lazima kama hana aibu na alikuwa Raisi wa Tanzania 😂😂😂😂. Baba Mungu Jehovah kwa jina la Yesu tusaidie tupate viongozi wengi akili na upeo na wasio wafisadi Amen 🙏🙏🙏

  • @agreymanmwasenga421
    @agreymanmwasenga421 3 ปีที่แล้ว +4

    Ninashangaa sana spika akisema wachina ndg zetu wajenge bandari na hela karibu zote wanatoa wao sisi tufaidike bure, duuuh! It seems like we Africans leaders we are mentally cursed in such a way that we have no ability to think and predict the future of the country. Damu zetu ni wa afrika na niwatanzania, hebu tufikiri maslahi ya nchi kwanza kabla ya kutoa na kushawishi wabunge waliunge mkono. Heee kuwen wzalendo halis si wamaneno tu.

  • @staralive9260
    @staralive9260 3 ปีที่แล้ว +18

    Mwenyezi Mungu, tunaomba Umuue Kikwete ndiye anayeivurugia amani nchi yetu. Tukibadilishe na chama kilichopo madarakani!! Kisha tupate Katiba mpya!! Kisha Tufanye kazi za kutaifisha mali zao!!!Mungu tunaomba utuulie kwa aibu huyu JK Kikwete!!

    • @mbinonyoso7501
      @mbinonyoso7501 3 ปีที่แล้ว

      HAKIRI HUNA WEWE

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 3 ปีที่แล้ว +3

      Ni Akili na si Hakiri

    • @mbinonyoso7501
      @mbinonyoso7501 3 ปีที่แล้ว +1

      @@edwardmizambwa237
      Ok nimeandika vibaya

    • @charlesmarwa2686
      @charlesmarwa2686 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakuunga mkono kaka MUNGU wetu hajawahi kulala ATAMUUA SIKU SIO NYINDI Alimuua BABA yetu na mzalendo wa kweli alietupenda sisi

    • @frankmakomba378
      @frankmakomba378 3 ปีที่แล้ว

      @@mbinonyoso7501 lakini tumekuelewa ulichokusudia kueleza.

  • @jamesalphistone7045
    @jamesalphistone7045 3 ปีที่แล้ว +4

    We are lost !! Now Tz is in Big hole MUNGU atatutoa tuu hata kama wachache watatuchezea Yupo atakae inuka tena kwa nguvu isio na kipimo ee mwenyezi MUNGU utusikie

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 3 ปีที่แล้ว +10

    Acha ujinga bandari zilizopo zinatosha zikiendelezwa kwani reli imegoma nini kuunganishwa na bandari zilizopo? Kuna ulazima gani kujenga bandari mpya na za zamani zimewashinda??

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว

      Ya zamani gn ambayo meli nyingi kubwa zinashindwa kutia nanha kutokana na kina kidogo cha bandari..!

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 ปีที่แล้ว

    HARAKA BILA Ufahamu kamili ni UJINGAAAA, Historia itawahukumuu. Wataalamu wapo njee jamenii.

  • @ernestmasanja2589
    @ernestmasanja2589 3 ปีที่แล้ว +11

    Vipande 30 vya pesa vitawatokea puani, hawa Wabunge ni pasua kichwa, tumuombe Mungu atupe Rais ajae awe mtemi avunje mikataba yote mibovu, zinavunjika ndoa, hata mikataba ya hovyo inavunjwa, na yupo Mungu aonaye sirini atakua pamoja nasi.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว +1

      MUNGU MKUU ATATUKARABATIA NA AMINI ATAFANYA NJIA YOYOTE ILE MAOMBI YETU SIO MAOVU YA KIKWETE NA SAMIA MUNGU ANAYE TUMILIKI SS NI MKUU KULIKO UFOSI WAO

    • @sureboyofficial6473
      @sureboyofficial6473 3 ปีที่แล้ว

      Kweli hawa ndio yuda wetu kwa BABA ,uchaguzi tunapindua meza binge lote halifai

  • @abelg2488
    @abelg2488 3 ปีที่แล้ว +16

    Kuna mambo mengine unayasikiliza halafu ukimwangalia anayeongea unasikia kukasilika na kujiuliza juu ya uweledi kuwaza na kuchanganua mambo. Hivi ukiangalia na kusikiliza maoni ya spika (with due respect)lakini haonekani kama alikuwa analytical hat kwa sehemu au basi kuna jambo analijua zaidi lakini huwezi kuchukua maoni ya hao wachina kwa kigezo cha kusema kuwa wana "members" wawili tuu ambao wanajua juu ya Tanzania na China; so what? Kwani tunategemea kujulikana na watu fulani au ni basis of business and point to point discussion on the outcomes? Kwani ule ni msaada? Mega project kama ile ni ya kuacha kufikiria mara mbili mbili?

    • @emmanuelzwallo3933
      @emmanuelzwallo3933 3 ปีที่แล้ว

      Acha tu jamaa yangu.unaweza ukapasuka moyo asee.

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa naye ataendaje china wakati makaratasi ya mkataba ameyaacha Tanzania?

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 2 ปีที่แล้ว +1

    Habari za mchana mwalimu
    Hapa kweli unatusaidia kuwafunguwa Watanzania macho na akili pia maana hawajui na hawaelewi kinachoendela na kwa ushauri wangu Mimi ningependelea bandari zetu ziachwe bila kumilikishwa mpaka tuwezekujichimbia wenyewe kuliko kuingia kwenye mikataba ya hovyo 🇹🇿💕

  • @furahamsabaha4238
    @furahamsabaha4238 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaah! technology technology! technology! Inahukumu bila upendeleo ! Kwa mungu kutakuwa na kazi kubwa sana kwa watu wababaifu! Bob marley alisema utamdanganya mtu mmoja kwa wakati wote ila huwezi kudanganya watu wengi kwa wakati mmoja,!halafu watz Wana akili hata kama hawasemi! Mungu tusaidie! Midomo yetu inalishwa moto

  • @lightforafricatv3122
    @lightforafricatv3122 3 ปีที่แล้ว +3

    Jpm akumbukwe milele kabisa hata hawa Dugai jamani wamesahau karibu sana agizo au matamshi ya JPM kuhusu ujinga wa hao wachina kwa hiyo bandari kweli?

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndugai sijui anatumiwa na nani mana wachina hua hawanaga urafiki na mtu yoyote

  • @kelvin7ithuiumwasamaki987
    @kelvin7ithuiumwasamaki987 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndugai hakuna kituuuu!!

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 3 ปีที่แล้ว +5

    HAWA WABUNGE WANALIELEWA WANAFANYA KUSUDI

  • @paschalpeter7619
    @paschalpeter7619 2 ปีที่แล้ว

    Viongozi watanzania daah mungu awapige vikali hamjielewi ninyi

  • @aishamtwana1323
    @aishamtwana1323 3 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania tafadhali bandari sio haraka hivyo tunahitaji subira tutafakari tuendelee na tulivyovianza miradi mikubwa kisha vijana wetu tutakaowaelisha vizuri watajenga kwa manufaa ya vizazivijavyo

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +4

    Rip jemedari wetu magufufuri

  • @hamisally2231
    @hamisally2231 3 ปีที่แล้ว

    Wewe acha wiz mchina akutengenezea unafuu wa maisha zaid ya kukuibia mie niko Drc Congo ndio naona kinachoendelea kwa waafrika na Wachina Kama wewe spika uko timamu na sio tamaa ya kulishawishi bunge lako uchukue fungu lako nchi iendelee kudidimia wanafiki wakubwa nyie na mungu hatowaacha salama kwa dhuluma mnazolifanyia Taifa

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtoa loho angekua anashauliwa ningemuelekeza

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunarudi kulekuleeeeee!!!
    Si muda mrefu shahada za heshima zitaanza kumiminika.
    Mungu wetu atasimama kututetea maana ni nchi ya wananchi siyo ya mtu wala kundi la watu wala watu.
    Omba omba wewe acha kushangaa ombaaa!
    Ombea Tanzania, viongozi na wananchi wake. Tusiache kuomba.

  • @princedennisemmanuelsanaya2130
    @princedennisemmanuelsanaya2130 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Mwambe anatakiwa ajiuzulu kwa kusema uongo na kujaribu kuwadanganya Watanzania.
    Waziri mzima Anawezaje kusema hakuna Mkataba?
    Ina maana hana umakini na kazi.
    Hatuna Imani nae tena. Hiyo kazi ataifanya bila weledi na tumegundua kwamba he is not competitive

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huyu jamaa shemeji yake na Yesu, wa ovyo sana

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli muharibifu mkubwa wa nchi ni sipika wa bunge maana ni nyoka wa vichwa viwili alipokuwa hayati Magufuli hai alimsaport ss raisi samia kwa kupangiwa na kikwete ana saport muogopeni sana sipika

  • @barakaephraim5481
    @barakaephraim5481 2 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P Our beloved President JPM

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kama kuna deni na wachina mpaka eti wanafuatilia ujengaji wa bandari ya bagamoyo, futeni deni hilo au kama kuna mtu wanayemtaka badala yake, wapeni huyo mtu wakamfanye wanavyotaka wao hasira zao zikamwishie huyo mtu. Acha kuhangaisha akili za watanzania.

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว +1

    Labda mungu aingilie kati amtoe roho huyu msoga, maanamsoga kama msoga ndio shida kubwa kwasasa kwenye nchi yetu na naamni wakumuweza huyu hayupo namini hakuna mwanadamu atae muweza huyu kiumbe labda mungu tu, huyu msoga haishi hivi hivi kama mnavyojua mana hata yeye anajuwa anapigwa vita sana na wananchi walio wengi kwahyo kuishi kama mwanadamu wakaida si rahis halafu inawezekana kweli ndie anayewauwa viongozi wazalendo mungu tusimamie hakika sisi kama sisi hatumuwezi

  • @nemeskimbe376
    @nemeskimbe376 2 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana mzee Mkinga,hivi spika angekuwa JPM mzima ungetamka hayo au tunafuata upepo ukigeuka tunayaacha yote. Mnakula pesa za wananchi na kuwarudisha utumwani.

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee kumbe Cheng na hawa wabunge wala hawashituki kuulizia maswali wanapiga Kelele za meza na vicheko vya kishenzi, kwakweli hawa viongozi tumewachagua wapi nani kawaambia hatuna pesa za kujenga mpaka tupewe bure , KAMA MNATAKA GARI ZA BURE ZIPO MTALIWA VIONGOZI KWA STAILI HIYO

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 2 ปีที่แล้ว +2

    Ujenzi wa Bandari lazima utegemee shehena, Kwa wakati huu ujenzi wa Reli ya Kisasa ni muhimu wa kwanza kuliko Bandari ya Bagamoyo. Tanga na Mtwara hazijatumika kikamilifu, vipi kwa nyingine. Porojo tuache tutfute ukweli wa mambo. Magufuli hakuwa mwendewazimu kiasi hicho cha kupinga maendeleo ya nchi yake.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว

      Alikuwa na chuki kubwa sana na wakaazi wa pwani..!

  • @mbinonyoso7501
    @mbinonyoso7501 3 ปีที่แล้ว +2

    TANZANIA UYU MBI TOZO ANAVUNJA CCM KWA 100%

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 3 ปีที่แล้ว +2

    Wabunge wengi ni followers tu hawana wanachosimamia wao kama wao kwa mkataba upi Wabunge mnafurahia mbona hamjamuuliza maswali Ndugai kwa mkataba upi, kilichokwamisha ni mkataba wa hovyo inawezekanaje hujui, pesa zinatoka Oman sio za wachina tumesikia taarifa ya habari

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kwani ikianza reli ikafata bandari kuna ubaya gani jamani au kipi kitaharibika??

  • @karistomdendemi4303
    @karistomdendemi4303 3 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi kama masharti nihayo . achana nayo .Hii nchi ni ya Amani. Mungu atusaidie.

  • @titomhagama5545
    @titomhagama5545 3 ปีที่แล้ว

    Hatari sana, mzee anavutia kwake

  • @daoudabed9534
    @daoudabed9534 3 ปีที่แล้ว

    Kweli leo nimegundua maana yaelim ninini kumbexio digrii wala diplomat kumbe elimu ni kukifanyiakazi ulichokisomea tunaviongozi mabwabwa rainiii

  • @alfredibrahim9251
    @alfredibrahim9251 3 ปีที่แล้ว

    Ivi kumbe mizigo ya bandari ya dar haitakiwi kupita relini inayotakiwa kupita ni ya bandari ya bagamoyo na huo undugu na wachina ulianza lini

  • @ezekielerastor24
    @ezekielerastor24 3 ปีที่แล้ว

    Harafu ndugai tunasema tunakiongoz hii hatari sana Ndugu zangu tuombeni sana MUNGU atusaidie tunaviongoz wachache sana wenye hakili na ndiyyo hao wanakufa kama spika wa bunge anakuwa hivi wakati anasimamia sehemu inayotunga sheria kuna nini sasa Tuombe MUNGU atuhurumie

  • @Mrnature8792
    @Mrnature8792 3 ปีที่แล้ว +2

    Unafiki Mkubwa 🤔🇹🇿

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi ninyi viongozi msiojali kesho ya watanzania mnawaza nini juu ya vizazi vyenu wenyewe miaka ijayo?? Mnaangalia hapatu mbele ya upeo WA macho yenu hamuangalii mbali??? Kwanini hamna mpango wowote WA kujijengea VITU vyetu wanyewe? Mnawaza kujengewa tu.Mnajiita viongozi WA kuongoza nini???

  • @godfreydaniel6818
    @godfreydaniel6818 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah hii ndo tanzania

  • @alfredibrahim9251
    @alfredibrahim9251 3 ปีที่แล้ว

    Kama hata sisi niwavivu wa kufikiri basi tuangalie kinachowatokea majirani zetu na hawa wachina wajerumani walifanya uchunguzi na wakasema basi kama mnaanzisha bandari bagamoyo isiwe ya meli zenye ukubwa kama wa bandar ya dar inamaana kwaakili ya kawaida ni kwamba bandari ya dar isiendelezwe ikabeba meli kubwa

  • @Jal210
    @Jal210 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Spika huna fikra nzuri kwa Tz na mbona uliufyata wakati wa Magufuli

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 3 ปีที่แล้ว +2

    Hata maneno yake tu yanaonekana hayajitosherezi, tuache kudanganyana. Mwamba maneno yake ni ngumu sana kuyafuta. JPM anaishi.

  • @jonhmakesimagoma3563
    @jonhmakesimagoma3563 3 ปีที่แล้ว

    Kaka njoo na wozo jema,mradi uliwekwa jiwe la msingi au halikuwekwa?

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 3 ปีที่แล้ว +1

    Inamaanisha Bandari ya Dar-es-alaam haifai na reli ya SGR ,Ndugai speaker wewe ni mtu aina gani

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtanzania mpe cheo atakusifu tu.na pia ni mwepesi kusahau nchi hii imemkuza mpaka kafika hapo alipo

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +1

    hatupingia mradi tunapinga masharti magumu ya huo mradi

  • @josephmsanga6751
    @josephmsanga6751 2 ปีที่แล้ว

    Jamani! Kwa nini Kikwete Kuweka Jiwe la Msingi katika Ujenzi Wenye Utata wa Bandari ya Bagamoyo!! Rais Wetu ilikuwaje Umtume Uyo Kikwete!! Aisee Hapana Kikwete Anatukera sana Watanzania. Pana Agenda Gani Hapo!! Mungu Utuepushe na Laana hii.

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 3 ปีที่แล้ว

    Sisi waafrica ndio maana still watu waeupe wanatudharau na kutuona ni watu wa kukaghaiwa tuu ndio maana Zambia bandari yao imechukuliwa na wachina kwa sababu ya mikataba mibovu ambayo wachina wanautumia,waganda air port ishaliwa,wakenya kenyata ilibidi akope pesa IMF awalipe wachi Bandar yao pia ilikuwa irambwe sasa hyu mama eti anaifungua nchi we acha aruke ukutiukuti tu na hao wachina tutajua hatujui

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sipika alikuwa alidanganywa kama mtoto vile.

  • @japanedwadnyarege1003
    @japanedwadnyarege1003 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania tunaitaji uchaguzi huru na tume ya uchaguzi tuwapatie jwtz ndio wasimamaie wao make naona. mambo hayako sawa

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 3 ปีที่แล้ว

    Nacheeeeeka......... Mungu asaidie taifa lake Tanzania.

  • @gwamakamwakyambiki4061
    @gwamakamwakyambiki4061 2 ปีที่แล้ว

    Hamjajifunza kwa majirani wetu, wachina walivyo fanya zambia na kwingineko, acheni izo, bandari itajengwa na watanzania

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuona taifa la wapumbavu kama Tanzania. Watanzania ni mazwazwa rahisi wa kudanganywa.

  • @achiliadinan430
    @achiliadinan430 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli sinaona spika wa hovyo Kama ww kwani sgr inavyojengwa tuna bandari ngapi ili mpka wabeze ww inatumika

  • @patricknyaulingo2198
    @patricknyaulingo2198 2 ปีที่แล้ว

    Kujenga bandari sio tatizo, tatizo ni masharti yaliyokuja na mradi. Hili lilizungumziwa hadharani na mkuu wa nchi wakati ule na mheshimiwa House Speaker ulikuwepo, hukusema chochote. Unapoongea sasa huu ndio unafiki. Entebbe international airport leo hii ni mali ya wachina, walianzaje mpaka wakafika hapo? Mwalimu Nyerere alikataa mikataba mibovu ya uchimbaji almasi enzi hizo. Angeiruhusu leo tungekuwa tunachimba udongo tu na kuchoma matofali. Ni nani ameiloga Tanzania tunakuwa na viongozi vipofu jamani? inachosha sana!

  • @kisengoabdallah1366
    @kisengoabdallah1366 3 ปีที่แล้ว +1

    LIWALO NA LIWE AWA WABUNGE WOTE WANAOSHABIKIA HILI 2025 TUAKIKISHE ASIRUDI ATA MMOJA..😭😭

  • @josephmahubemaro7406
    @josephmahubemaro7406 3 ปีที่แล้ว

    KWA misingi hiyo JPM MAGUFULI, MAREHEMU TUNA MSALITI KWELI

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว

    We ndugai, ww ni mpumbavu tena shenzi kubwa sana, hili jamaa ni lifisadi hakika. Simpendi ndugai hata siku mmoja

  • @chapwinto1091
    @chapwinto1091 2 ปีที่แล้ว

    Nguvu kubwa itumike kwenye Erimu mfumo uwesawa na shure za wenzetu hata nchizilizo enderea zilibadilishana eremu ivyovingine vitafanywa na hao mtao wapa erimu kusanyeni watoto wa mtaani na ware ambao family zao zisizo jiweza watengeeni eneo la makazi na kuwapa matumaini toeni walimu nchizilizo enderea

  • @gordfreysangawe7535
    @gordfreysangawe7535 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 wachumia tumbo wasiyoijua kesho Yao tupo wengi Sana tumezagaa hadi bungen

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 3 ปีที่แล้ว

    Tamaa,ulafi,hongo, rushwa sasa imewaingia ndugu zetu wa Tanzania!! Wachina wa sasa sio kama wale mliowakaribisha miaka ya 70!! wanawadanganya hao wachina, ulizeni :kenya,zambia sirilanka,na uganda .Stop this madness,mtajuta.KATAAENI X!OOOOO!!

  • @hashimmwinja1940
    @hashimmwinja1940 ปีที่แล้ว

    Tumekwisha! Alikuwa wapi mbona hakupinga wakati ule?? Naye amekula % ngapi?😊

  • @nathanpallangyo5244
    @nathanpallangyo5244 3 ปีที่แล้ว

    KUNA MAMBO YANATIA UCHUNGU SANA KTK HII NCHI, HASA PALE WATANZANIA WANAPOONEKANA KUWA WOTE NI MAZUZU.

  • @thomasboso3081
    @thomasboso3081 3 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni kudanganyana mbona bandari tunazo, hile ya Tanga na Dar!!

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 3 ปีที่แล้ว +1

    Bona wao kwao wanakila aina yakusafiria. Mnatwakwa akili na macho ndogo.

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 ปีที่แล้ว

    Nchi hii vilaza ni wengi Sana

  • @eliekalonji7805
    @eliekalonji7805 3 ปีที่แล้ว

    Hayo nimatatizo ya kuchaguwa viongozi wenye uwezo wakuongea kingereza na kifaransa lakini hawana uwezo wa kuongoza

  • @dickisoniryoba3989
    @dickisoniryoba3989 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania tanzania tanzania tanzania mungu tusaidie.😭😭🙆🙇🙇🙇😭😭😭

  • @barakaephraim5481
    @barakaephraim5481 2 ปีที่แล้ว

    Wewe hukuwepo wakati wa sgr my friend daaaah usariti mkubwa

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 2 ปีที่แล้ว

    Nchi hii ngumu sana kwa namna watu hawaelewi chochote ila tunaishi kama viumbe wa mwituni tu hakuna tunachokijua.

  • @eliekalonji7805
    @eliekalonji7805 3 ปีที่แล้ว

    Hawo waze wakichina wasitutishe bandari itajengwa hata na wasio wachina

  • @rewardhaindo8249
    @rewardhaindo8249 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU atusaidie saaaana, tusilizwe

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 ปีที่แล้ว

    Uhuru wa Tanzania sijawahi uelewa •••uhuru ulikuwa wa wajanja wajanja unataka uhuru badae unakuwa dalali wa kuuza nchi kwa walio kupatia uhuru..

  • @isakamwambenja7397
    @isakamwambenja7397 2 ปีที่แล้ว

    Yesu weee! Tusaidie. Watu hawana hata shilingi number! Na jiwe la msingi hapo limewekweje na hakuna mkataba? Wapewe ardhi bure, halafu wao waiuzeee! Yesu apigane na hawa majambazi kabisa

  • @lubanyecabusinessenterpise8910
    @lubanyecabusinessenterpise8910 3 ปีที่แล้ว +1

    Issue sio presentation mliyofanyiwa na kingine pesa hiyo inatokewa na Oman
    Kingine tunatazama Masharti yaliyomo ndani ya Mkataba sio utekelezaji
    Kingine Bandari tayari tunayo Bandari ya Dar es salaam, hivyo Ni sawa kujenga reli ya kisasa kuhudumia Bandari iliyopo. Hivyo wekeni wazi mkataba wa ujenzi wa Bandari hiyo ya Bagamoyo. Binafsi siwezi unga Mkono ujenzi huo bila ya kuwekwa wazi mkataba huo

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว

      Bandari ndogo sana hiyo unayoitaja ile ya majahazi tu na si meli

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 ปีที่แล้ว

    Hii nchi inaalibiwa nsoga gang na ndugai na bunge lake la vilaza makofi kwenda mbele kwani sisi wenyewe atuwezi kujenga pumbafu

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 3 ปีที่แล้ว

    Yani we ndungai sema tu umekaa upande gani sio unazunguka zunguka.et unasema wachina ela wanazitoa wao wenyewe hivi ww kwa Akili zako ndogo mtu aje nyumbani kwako akwambie najenga nyumba ktk eneo lako natumia ela zangu mwenye ww wala usijiulize kwa nn .

  • @ligobertwile6590
    @ligobertwile6590 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mradi Ni mzuri, tatizo Ni masharti ya hovyo!!!, Mama kama unahela tujenge kwa fedha zetu wenyewe. Kwa nini wang'ang'anie kutukopesha????

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

    Wananchi hawaitaki hiyo bandari kwanini wasiendeleze mtwara kuipanua kama kuna tatizo lolote wangeendeleza miradi iliyoachwa na hayati magufuli alikuwa mtu wa watu

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 3 ปีที่แล้ว

    Ndugai aliiba Mno na viongoz mbalimbali na hasa Jpm na akaomba jpm awekewe kinga ya kushitakiwa..
    Hakuna mzuri mwenye nia njema na sisi..
    Kwani uwanja wa Chato aliweka jiwe la msingi nani?

    • @immaculatemakene7546
      @immaculatemakene7546 2 ปีที่แล้ว

      Uwanja wa Chato hauna tatizo lolote !!!! Aibu tu unaipata kwa chuki zako kwa Magufuri !!!! Chato hailingani kabisa na Bandari ya Bagamoyo akiri huna wewe !!! Huna uwezo wa kulinganisha mambo.

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 2 ปีที่แล้ว

    Bwege Sana huyu mjinga wewe ndumila kuwili wewe huna maamuzi umeshikiliwa akili na wachina walikununua wewe pamoja na huyo Barozi wako kufanya maamuzi ya kijambazi ambacho mlikifanya na huyo Barozi Mungu anawaoba mtakufa kifo kibaya kwa laana ya kuiuza ichi yetu, wakajenge bandari kwao siyo hapa kwenu,nTuwe Makini na viongozi wa jinsi hii wataiuza ichi Hawa,

  • @nyambegamatoro6817
    @nyambegamatoro6817 2 ปีที่แล้ว

    Cheo ni dhamana ,take care.

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli rais anaweza weka jiwe la msingi bila mkataba!!!???
    Basi madaraka yake ni makubwa Sana yapunguzwe

  • @georgebenard3923
    @georgebenard3923 2 ปีที่แล้ว

    Yaaan nyinyi ccm ccm, mnafeli wapi?? Magufuli sio kichaa tutamuhenzi jpm,

  • @msiakadave8611
    @msiakadave8611 3 ปีที่แล้ว

    Spika wachina walikudanganya hakika.
    Yaani Magufuli hamkuwa mnampenda ao kumuelewa?

  • @lucasmkwizu1786
    @lucasmkwizu1786 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania hii!

  • @akidanyanje9072
    @akidanyanje9072 3 ปีที่แล้ว

    Huko Chinese uliko kwenda ukapewa maulaji , huku muona Yesu na mkewe ....

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 2 ปีที่แล้ว

    Jamani , tunatumbukia shimon

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 3 ปีที่แล้ว +2

    KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 ปีที่แล้ว

    Pumbavu we ndugai, acha tujenge reli

  • @aronesamson3692
    @aronesamson3692 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mbunge nae ndio walewele tu hakuna cha msingi hapo nyie uzeni inchi tu afu utajua mntatupeleka wapi.lakin mzee j.p.m angekuwepo wewe mbunge usingeongea Hivyo nawewe tumeshakujua sio mzalendo kabisa wa taifa hili kwenda zako tu

  • @hashimmwinja1940
    @hashimmwinja1940 ปีที่แล้ว

    Tumuamini nani? Kwa hiyo msema kweli alitudanganya? ... halafu huyu anayeongea.naye ndo wale wale....yaani mchina ndo aje akuambie kipi kizuri na kipi si kizuri ..!!!

  • @mashakasimon9626
    @mashakasimon9626 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania tunahitaji wasomi sio hawa mababu wamekwisha wanafikiri kupiga tu wabunge nao wanapongeza hata hawajui kilengwa