Adhabu ipo pale pale,Allah amebainisha kwa watu wa firauni waliokufa baharini kua allah anawapelekea adhabu huko huko walipo,kwiyo kwa ALLAH ni jepesi hata kua hakuzikwa
Subhana llah hili darsa hufisha moyo wallah kma itakua ufanyavyo huepuki adhabu then fundisho lake nigani hapa? Mungu atufunza nn hapa kma hata uwe mwema gani huepuki ?
Kutolewa kwa mtu Roho ni uchungu sio ama? Mbona kila mtu atapitia mpaka mtume wetu Swalla Allahu aleyhi wasallam alipitia na uchungu utategemea Amali yako ndugu yangu
@@fauzproduction sasa sindio mwajichanganya mashekhe kutupa darsa za kuchanganya watu mara kaburini wengine watakua kma wnaaishi peponi sahii watwambia kubanwa na kaburi lazima hata iweje je wajua kubanwa huko nikuzito sio kma munavyo fikiria nyinyi ndugu zangu
@@fauzproductionkaahidi pepo lakin hajaahidi kubana watu punguzeni mawaidha makali mno allah ameahid anaekufa na shahada ni peponi sasa kubanwa huko vp na allah ni ghafuru rahim?
Ngoja kwanza. Unapizikwa unafukiwa na mchanga hakuna nafasi hata ya kuenua kidole lau utakuwa umezikwa ukiwa hai. Sasa niambie kuna kubanwa gani zaidi ya hivyo? Acheni maneno yenu ya uongo bwana. Hayo ni maelezo ya watu. Dini haina maneno hayo.
Sio ,wapo walioliwa na samaki.walioliwa na Simba nk.pia wapo wakristo kiongozi wao kaburi lilishindwa kumshika.mfano mzuri alimfufua Lazaro kutoka kaburini,YESU ni BWAMA
Yaallah nijalie mwisho mwema 😭🙏
Allah allah allah tunusuru Yaarab
Ya Allah tusameh waja wako NI dhaifu.Tuondeshee Adhabu yako.
عليه افضل الصلاة والسلام على رسول الله صل الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤❤❤
Tujalie husnul hatma na mwisho mwema na atuhepushe na adhabu zake
Allah Akbar ,
Ama hakika yatupaswa tuwe na Iman na yakiini ya moyo
الله اكبر ولله الحمد ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allahu Akbar. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho Mwema 😭😭
Uepushs vip wakati jamaa anasema akuepukiki?
Allah tusahalishie kila zito ,na tulinde na adhabu za kaburi na adhabu za jahanam Allahuma ameen
Allah atuswamehe kwakweli nisiku zito
SUBHANALLAH 😢😢 Allah atujaaliye mwisho mwema Ameen yaa RABB 😭🤲🏻
Amin
Asalam alaykum
Maasha Allah ust huu ndio uislamu tunaoutaka sio kujitukuza
Ya ALLAH tustiri inta ghanii wa nahnu fukaraa
Ewe Mola tujalie mwisho mwema
Ya Allah twakuomba mwisho mwema🤲
Yarabby twakuomba utujalie mwisho mwema atukinge na kila shari za kaburi na adhab ya kabri atufanyie sahal na wepes ndani yke Ammyn🤲🤲😥😥😥
Allahuma Amiiiin🤲🏾
Ameen Yarabb 🤲😭
Amiin yaa Rabbal Ng'aalamiin
ALLAH Akbar, ALLAH Akbar, ALLAH Akbar
Kaburi linatisha jamani TUMUOMBENI ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA
Yarabby tusamehe madhambi yetu
Allah atupe mwisho mwema
Allhahu akbar
laaillahillahh muhammad rassulillah😢🙏🙏
سبحان الله😢😢😢😢😢😢😢اللهم ارحمنا يارب
Yaraby tunakuomba utupe mwisho mwema utukinge na adhabu za kabri na utukinge na adhabu ya moto utufanyie wepesi kwenye swala zetu inshallah
Eee mwenyezi mungu tuujaalie mwisho mwema
ALLAH atuepushe na adhabu ya kaburini ni siku nzito mno ,
Ameeen yarabb 🤲🤲🤲🤲🤲
Amiiiiiiiiin
Allahumma amiin
Yarabb tunusuru na utuepushe na adhabu za kaburi kwakweli nisiku nzito
ما نجا من أحد من هذا ولو نجا لنجا سيدنا سعد بن ابي وقاص رضي الله عنه
Inalilah wainailaihii rajuun
amin yarab
Astaghfirullaah 😭😭😭
Ni ukumbusho mwema
😭😭😭😭😭😭
😥😥😥
😭😭😭😭
May Allah forgive the Muslim Umma
Nahitaji kujua history ya dokta islam
asalam alaykum naomba kuuliza anaekufa jihad na kifo cha maji je hulmu yake ikoje katika usiku wa mwanzo kaburini je atadalimika na kubanwa ?
Hakuna anaesalimika
Adhabu ipo pale pale,Allah amebainisha kwa watu wa firauni waliokufa baharini kua allah anawapelekea adhabu huko huko walipo,kwiyo kwa ALLAH ni jepesi hata kua hakuzikwa
Subhana llah hili darsa hufisha moyo wallah kma itakua ufanyavyo huepuki adhabu then fundisho lake nigani hapa? Mungu atufunza nn hapa kma hata uwe mwema gani huepuki ?
Kutolewa kwa mtu Roho ni uchungu sio ama? Mbona kila mtu atapitia mpaka mtume wetu Swalla Allahu aleyhi wasallam alipitia na uchungu utategemea Amali yako ndugu yangu
Uchungu wa mauti, kubanwa na kaburi usahali wake ni ukifanya amali njema
Na subhanallah bona wawa na shaka na Mungu wako kwa kusikia kubanwa na kaburi? Kwani sie huyu huyu mungu wetu alietuahidi pepo?
@@fauzproduction sasa sindio mwajichanganya mashekhe kutupa darsa za kuchanganya watu mara kaburini wengine watakua kma wnaaishi peponi sahii watwambia kubanwa na kaburi lazima hata iweje je wajua kubanwa huko nikuzito sio kma munavyo fikiria nyinyi ndugu zangu
@@fauzproductionkaahidi pepo lakin hajaahidi kubana watu punguzeni mawaidha makali mno allah ameahid anaekufa na shahada ni peponi sasa kubanwa huko vp na allah ni ghafuru rahim?
Assalamu aleikum ,, hii khutba nitapata wapi full
Waalaikum salam th-cam.com/users/liveeYFBoD5pbYQ?feature=share
Ngoja kwanza.
Unapizikwa unafukiwa na mchanga hakuna nafasi hata ya kuenua kidole lau utakuwa umezikwa ukiwa hai. Sasa niambie kuna kubanwa gani zaidi ya hivyo?
Acheni maneno yenu ya uongo bwana. Hayo ni maelezo ya watu.
Dini haina maneno hayo.
Subir ukifaa utajuaa vizr kama kuna kubanwaa au hamnaa
Huyu jamaa anaeuliza hayo nimdhania vibaya huenda sio mwislam mwislam anaweza uliza hivo haliakua mwenye kutamka ni mtume swallallahu alaihi wasalama
Sio ,wapo walioliwa na samaki.walioliwa na Simba nk.pia wapo wakristo kiongozi wao kaburi lilishindwa kumshika.mfano mzuri alimfufua Lazaro kutoka kaburini,YESU ni BWAMA
Toka ulipo ndugu tafuta ukweli wa islam usije juta
@@DejoiceChiko ukweli hakuna popote ispokua kwake aliesema kuwa ni njia kweli na uzima YESU alie hai.anaeskia lugha ya kila kiumbe
Hujatulia
@@aishamuhammad7785 mtu akifa awjui kitu chochote ndugu
@@frankjohn8706 amina
😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭