MOTO UMEWAKA | MBARIKIWA AWASHUKIA VILIVYO WANAKWAYA NA WACHUNGAJI WAHUNI MAFINGA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • MOTO UMEWAKA | MBARIKIWA AWASHUKIA VILIVYO WANAKWAYA NA WACHUNGAJI WAHUNI MAFINGA.

ความคิดเห็น • 42

  • @mosessiame7882
    @mosessiame7882 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Amina Mchungaji Lusaka( Z) nakufwatilia kwaneema zamungu Mungu anakutumia ipasavyo ❤❤❤

  • @alfredchengula2434
    @alfredchengula2434 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kama aishivyo Jehovah nitakuja kujiunga na kikosi kazi moyo wangu utulie kwa BWANA. Mimi nakuelewa Sana Mchungaji hata Kama upo kifungoni saa itafika ya Bwana kufanya Jambo nawapenda Sana watu wa Mungu

  • @CRISENSIASHOKI
    @CRISENSIASHOKI 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU KRISTO asifiwe, jamani me nawapenda, mbarikiwe mashijaaaa.

  • @ArnoldMumango
    @ArnoldMumango 5 หลายเดือนก่อน

    Karibu Bujumbura Baba,umenibariki

  • @veronicaheliya4847
    @veronicaheliya4847 2 ปีที่แล้ว +1

    Waoo Mungu Ana watumishi wake alio jisazia katika kizazi hiki kilichopotoka ubalikiwe Sana mtumishi

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 2 ปีที่แล้ว +1

    NAJUA SI VYE.MA SANA ILA KWA WAKE ZA WATU HAWATAIMBA TENA MIMI MWIMBAJI EE MUNGU NIREHEMU

  • @daudistephano1989
    @daudistephano1989 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana Nakikosikakazi

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba angu sema tupone kumbe njo maana yesu akapinduwa meza zao akasema nyumba yangu ni nyumba ya maombi sio soko yakuvunjia hera nanjiwa mbarikiwa umenifanya ni stawi zidi siku zote za maisha milele natabasamu nikikusikia roho yangu ilikuwa iki tamani injili hiyi nitafika tanzani tu,

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na hiki kikosi kazi cha injili

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asifiwe kumukumbuka tena mwanadamu sababu tumeteswa myaka nyingi Asante yesuuuuu !!!

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaa

  • @AnaIlomo
    @AnaIlomo 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ila tufanyaje makanisa mengi yamehalibika yamesahau fundisho la bibilia kazi biashala TU kwenye nyumba ya yesu wanikela sana

  • @nicholaswaemmanuel7221
    @nicholaswaemmanuel7221 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen Ameeeeeen baba. Wataelewa tu!

  • @julianambilinyi3341
    @julianambilinyi3341 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti wanasema tumeteka mziki wa sheteni kumbe wametekwa ubarikiwe mtu Mungu

  • @mnyakyusambunifu143
    @mnyakyusambunifu143 2 ปีที่แล้ว

    Hongera saana mtumishi wa Mungu

  • @gilibethkapelembe2108
    @gilibethkapelembe2108 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleeeeeeeeruyaaaaaaaaa pasita

  • @KhairatSarahKyomugisha
    @KhairatSarahKyomugisha 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AusiHamisi
    @AusiHamisi 10 หลายเดือนก่อน

    Asant baba

  • @BOL255
    @BOL255 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe binafsi naweza nisikupende. Ila alichoweka MUNGU ndan yako . Hua kinakidh haja ya moyo wangu.

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 2 ปีที่แล้ว

    Mh...kweli tumepotea ...Ee Mungu nirudishe kwenye injili halisi

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 หลายเดือนก่อน

    Nawewe baba MUMGU akusamehe kunawati jueleweki kabisa

  • @leahmpanda9031
    @leahmpanda9031 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu tuponye, tumekwisha

  • @danieltingide4187
    @danieltingide4187 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen sn bb yangu

  • @elijiusdaniel9976
    @elijiusdaniel9976 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba

    • @lindakapongo8421
      @lindakapongo8421 2 ปีที่แล้ว

      isiwe hivyo maana ya ameni ni hivyo staki iwe

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 ปีที่แล้ว +1

    Kalibia nafukuzwa kanisani napiga ingiri Kama hizi

  • @gilibethkapelembe2108
    @gilibethkapelembe2108 2 ปีที่แล้ว +1

    Amenii

  • @jacklinekirera2980
    @jacklinekirera2980 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh 6 หลายเดือนก่อน

    Neno ni upanga ukatao kuwili

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว

    Halafu kiukweli sshv kwaya zimekuwa ni nyingi mno makanisani unakuta ibada 1 kwaya ziko 8 nazote zinataka ziimbe kwenye ibada hiyohyo 1 ya masaa 3 na waimbaji binafsi nao wanataka waimbe vilevile. Hakuna kabisa muda wa maombi zaidi ni dakika 3-5 mwisho. Na hata muda wa Neno la Mungu nao umefinywa sana, muda mwingi umetawaliwa na kwaya. Kwakweli Tumeingiliwa Sana makanisani na bado hatujashuka hata kidogo

  • @Jophley
    @Jophley 4 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka mpaka basi

  • @restituta5206
    @restituta5206 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @danieltingide4187
    @danieltingide4187 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen k

  • @willymwakilasa8537
    @willymwakilasa8537 2 ปีที่แล้ว

    Mhhhhh

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 2 ปีที่แล้ว

    loo jamani

  • @sebhantaletv414
    @sebhantaletv414 2 ปีที่แล้ว +1

    Cha ajabu zaidi, badala ya kanisa kuingiza tamaduni zake kwa ulimwengu, sasa ni ulimwengu unaingiza tamaduni zake kanisani.

  • @tungurilegemwakasege9782
    @tungurilegemwakasege9782 ปีที่แล้ว

    Kauze viatu sokoni wewe chinga acha kusema watu

  • @amossambe2838
    @amossambe2838 8 หลายเดือนก่อน

    𝓐𝓶𝓮𝓷

  • @daudistephano1989
    @daudistephano1989 2 ปีที่แล้ว

    Amen