shukurani Heri Mkristo Official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 209

  • @fabbyendrew4867
    @fabbyendrew4867 2 ปีที่แล้ว +6

    Wow hongera sana kaka MUNGU akuinue viwango had viwango aitimize haja ya moyo wako katika uimbaji

  • @fredrickchiza7129
    @fredrickchiza7129 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika kazi ni nzuriiiiiii

  • @janethmmpao1855
    @janethmmpao1855 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana mwanangu Mungu akuinue zaidi viwango hadi viwango amen

  • @puttenyanthony9284
    @puttenyanthony9284 2 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akutangulie my brother hii nyimbo ikapate kibari machoni paa Bwanaa na akawaponye Wengi Hakika nimebarikiwa mno

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Amen Amen Mtumishi wa MUNGU nafurah kusikia hivo na Mungu akubariki sana

  • @yongphach6815
    @yongphach6815 2 ปีที่แล้ว +7

    Kaka kwa mm Sina neno kwako nyimbo nzur kazi nzur mungu akuinue 🙏🙏🙏

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana kaka ahsante Sana ndug Yang

  • @sadamagazi8294
    @sadamagazi8294 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwamaana jinsi mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ilikilamtu amwaminie asipotee Bali awe na uzima wa milele Ameeeeeeeee....Kama mungu alimtoa mwanae wa pekee Mimi ni Nani nishinde kutoa muda wangu kusikiliza na kutazama pia kusambaza ngoma Bora kama hii hakika umekuwa Bora Sana round hii nakuona mbali sana,,, congratulations Sana mzee mkubwa.....🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥⭐⭐⭐⭐🎹🎤🎸🎶....

  • @lineaprosper2534
    @lineaprosper2534 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana MUNGU aendelee kukutumia viwango hadi viwango umenibariki sana wimbo huu

  • @brunoshayo2463
    @brunoshayo2463 2 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mzuri sana Mtumishi wa Mungu 🔥🔥💯💯

  • @agustinthomas530
    @agustinthomas530 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana kaka ang Mungu andelee kukutumia akufikishe mbali

  • @benpoolmeshack2702
    @benpoolmeshack2702 2 ปีที่แล้ว +8

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥yamoto sana umeuwa mungu nimwema nimefurah kuwa katka njia hiyo

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Sifa na Utukufu tunamrudishia MUNGU wa Mbinguni Ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @latifajumaa7958
    @latifajumaa7958 2 ปีที่แล้ว +8

    Uko vizur sana mpenzii congrats 👏 Good song 🥂

  • @andrealuoga9326
    @andrealuoga9326 2 ปีที่แล้ว +9

    Respect My brother

  • @hellenmacha9280
    @hellenmacha9280 2 ปีที่แล้ว +10

    Amen hakika Mungu ni Mkuu sana

  • @selejioemmanuel6935
    @selejioemmanuel6935 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri kweli mungu anatutoa mbali sana

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Hakika iko hivo Mpendwa MUNGU anatupenda sana ndio maana tunatoka mbali

  • @mussamatundu5425
    @mussamatundu5425 2 ปีที่แล้ว +8

    nashindwa niseme nini ila nimeinjoy wimbo mzur na video kaliiii nimebarikiwa leo baraka zimenipitia siku ya leo amen

  • @denishendry979
    @denishendry979 2 ปีที่แล้ว +7

    Safiiiiiiiiiii lazima nibadirike wewe ambaye nilie kuwa nakujua leo unamuimbia YESU asee na mimi nabadilika asee MUNGU ni mwema asee HONGERA SANA

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwema hakuna kitu cha kunifanya nibaki na kumtumikia shetani siwezi na ukibadirika utakuwa umefanya Jambo jema na MUNGU akusaidie Amen

  • @sammsauz7075
    @sammsauz7075 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera Sana mtumishi wa Mungu, wimbo umenibariki Sana, umeimba vizuri na video iko sawa Sana!

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Amen Mtumishi wa MUNGU sifa na utukufu tunamrudishia MUNGU

  • @hoseaemanuel3979
    @hoseaemanuel3979 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana kwa ujumbe mzuri MUNGU akubariki

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Amen Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe piah

  • @lidiamosha7927
    @lidiamosha7927 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Sana mdogo Ang wimbo umeninariki Sana

  • @denishendry979
    @denishendry979 2 ปีที่แล้ว +6

    Umetisha sana kaka

  • @winniertimothy3322
    @winniertimothy3322 2 ปีที่แล้ว +9

    Hakika Mungu azidi kukuongoza pasipo njia iwe njia uzidi kusonga mbele

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Amen Ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @daudikishimbo5283
    @daudikishimbo5283 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana

  • @boniphacemabala4551
    @boniphacemabala4551 2 ปีที่แล้ว +10

    Atukuzwe Yesu kwa neema yake iliyo na ya ajabu, hakika Mungu alikujua tangu mwanzo, namtukuza Mungu kwa neema ya wokovu aliyokupa, ni maombi yangu kwa Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vyake ili mwisho jina lake litukuzwa na sifa na utukufu apewe yeye

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว +2

      Amina Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe Sana Sana Sana sifa na utukufu anayestahili ni YESU KRISTO

    • @GetrudaFabian-j2l
      @GetrudaFabian-j2l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Mungu ni Mwema sana

  • @hancehassan4351
    @hancehassan4351 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu

  • @robertmagaga
    @robertmagaga 2 ปีที่แล้ว +6

    Barikiwa sana

  • @witnesssteven2827
    @witnesssteven2827 2 ปีที่แล้ว +3

    Appreciate you my brother kwa kazi nzuri Mungu azidi kukuinua kwa huduma yako

  • @ramsostarhussein4928
    @ramsostarhussein4928 2 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe mtumishi Hii nyimbo kubwa sana 🤝🙏

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Mpendwa wa MUNGU ubarikiwe pia

  • @crissmkobal8715
    @crissmkobal8715 2 ปีที่แล้ว +4

    Congratulation my brother for good message nimebarikiwa sana MUNGU akupandishe viwango

  • @josephathjustus5784
    @josephathjustus5784 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera kaka ang kwa nyimbo kali

  • @GetrudaFabian-j2l
    @GetrudaFabian-j2l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi kubwa sana hii ujumbe mzuri sana kiukweli

  • @hildamahonge844
    @hildamahonge844 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Sana kijana wa MUNGU nimebarikiwa Sana na Huduma yako Ubarikiwe Sana

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen ubarikiwe pia Mpendwa wa MUNGU

  • @andrealuoga9326
    @andrealuoga9326 2 ปีที่แล้ว +7

    I bless you my brother nimekubal kinomanoma yaan

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Nashukur sana My young brother ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @jumaabdu5136
    @jumaabdu5136 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana kaka kazi ni njema kabisa maana inabariki kwa sehemu kubwa sana maana umenigusa kabisa ubarikiwe sana Mtumish wa MUNGU

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Mtumishi wa BWANA sifa na utukufu ni kweke YESU mtenda makuu katika maisha yetu

  • @putenitv2188
    @putenitv2188 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongeraaa sanaaaa nice song

  • @dijjerdiffer7831
    @dijjerdiffer7831 2 ปีที่แล้ว +6

    God bless you more and more kazi nzuri sanaa🥰🥰

  • @jumaabdu5136
    @jumaabdu5136 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika nimeinjoy sanaaaaa tena sana mnooooooo Mungu akutunze kaka ili uwe ni baraka kwa wale walio msahau MUNGU Ameen

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @monicanyagilo6400
    @monicanyagilo6400 2 ปีที่แล้ว +3

    Umetishaaaaaa binaaaaaa

  • @raphaelmeshack7834
    @raphaelmeshack7834 2 ปีที่แล้ว +10

    God bless you man of God. MUNGU akaufanye huu wimbo ufike hadi kwa Mataifa yote.

  • @isahmanaseh8994
    @isahmanaseh8994 2 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiiiiiii

  • @isahmanaseh8994
    @isahmanaseh8994 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimefarijika sana na nimebarikiwa na wimbo mzurii wenye upakoo na mafuta ya uponyaji

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen sifa na utukufu tunamrudishia YESU

  • @nuhumichael555
    @nuhumichael555 2 ปีที่แล้ว +8

    Hakika wimbo nimzuri sanaa
    Hongera sana brother 🔥🔥🙏

  • @monicanyagilo6400
    @monicanyagilo6400 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongeraaaaa bnaaaaa shukurani imenibariki sanaaaaa

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Mpendwa wa MUNGU tunaimba na kumuomba MUNGU kile alicho kiweka ndani yetu kiwabariki Watu koo kama umebarikiwa Koo sifa na utukufu tumrudishie yeye YESU Alie yote ktk yoote

  • @najiaminikamajana4009
    @najiaminikamajana4009 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera xaaaana Mtumishi kazi yako ni njema sana inanibariki

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      Endelea kubarikiwa Mtumishi Ahsante sana

  • @RukaiyaKimuja
    @RukaiyaKimuja 11 หลายเดือนก่อน +1

    Heri mkristo God bless you my good man

  • @patriciamatshaka8915
    @patriciamatshaka8915 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeinjoy name wimbo mzur nimebarkiwa sana Kaka Mungu akuone na ukupandishe viwango

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU ahsante Sanaaaaaaa

  • @estasilivesta6245
    @estasilivesta6245 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimengi umefanya juu ya yamaisha yangu hukuacha nipoteeeeeeeeee....Heri Mkristo ndilo jina lako ujuzi ndiyo sifa yako unakuja vizuri mungu akuongoze usiishie njiani...

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      ❤❤❤ Ubarikiwe sana Mpendwa wa MUNGU Ahsante sana jaman Ujumbe wako ni Mzuri mnooo

  • @barakarashidy3794
    @barakarashidy3794 2 ปีที่แล้ว +11

    One of the best Gospel song in this year worldwide 🌎🌎🌎🌎🌎, Congratulations 👏👏👏 my Brother kwa kazi nzuri, Mungu aendelee kukutumia kupitia huduma hii Ya uimbaji, pia nakusihi usije mwacha Mungu kwa sababu Wewe wajua alipokutoa.
    Usimwache Mungu.
    Pia Producer Sam Msauzi Umefanya kazi kubwa sana na nzuri sana Hongera sana na ubarikiwe na YESU

    • @barakarashidy3794
      @barakarashidy3794 2 ปีที่แล้ว +1

      Producer MSAUZI umefanya kazi nzuri ubarikiwe

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU ahsante saaaaana ndug Yang

  • @nasonipacha2615
    @nasonipacha2615 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana bwana mdogo kazi ni njema sana MUNGU aendelee kukupigania ufike viwango vipya

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      Ameen Ameen Brother Mungu akubariki sana

  • @nellyibrahim4218
    @nellyibrahim4218 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless you My brother for work ya GOD Imesimama sana hongera saana

  • @ezealfred9101
    @ezealfred9101 2 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @lucymsitapha3960
    @lucymsitapha3960 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana mungu akufanye waviwango vya juu

  • @nassoromawazo9136
    @nassoromawazo9136 2 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizur sana kaka Mungu aendelee kukutumia vyema na watu wapokee wokovu kupitia wewe

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 2 ปีที่แล้ว +7

    Be blessed for good song God raised you more

  • @asiasemheku6295
    @asiasemheku6295 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana mwanang nimekubal

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ahsante Mpendwa wa MUNGU ubarikiwe Saaaana

  • @ezealfred9101
    @ezealfred9101 2 ปีที่แล้ว +5

    Nicely song of Gody

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Thanks my brother sifa na utukufu tumrudishie yeye YESU Alie yote ktk yoote

  • @regansonlazaro2030
    @regansonlazaro2030 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakubar Sana Kaka hongera Sana kwa wimbo mzuri

  • @starickonyikwa2459
    @starickonyikwa2459 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice song

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Thanks ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @josephathjustus6370
    @josephathjustus6370 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka hakika Mungu ni mwema maana kupitia wimbo huu nimebarikiwa mnooo Mungu aendelee kukutumia apendavyo

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      Ameen Ameen endelea kubarikiwa Zaidi mnoo

  • @jbadamu3804
    @jbadamu3804 2 ปีที่แล้ว +3

    Good song my young

  • @monicanyagilo6400
    @monicanyagilo6400 2 ปีที่แล้ว +3

    Umetisha binààà kweli wewe ni mwema bwana

  • @BONYISRAEL
    @BONYISRAEL 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @babeezofficial9363
    @babeezofficial9363 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na uendelee kumcha bwana

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Amen amen ubarikiwe pia Mpendwa wa MUNGU

  • @CatherineNziku-h3m
    @CatherineNziku-h3m ปีที่แล้ว

    God bless you my brother keep it up umetisha sana MUNGU AKUBALIKI SANA

  • @kelvinkimario6900
    @kelvinkimario6900 2 ปีที่แล้ว +3

    Eliya makao nakukubali sana kaka

  • @annastazianyaki8396
    @annastazianyaki8396 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu ni mwema akuinue zaidiiiii

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 2 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo hasa unapo pitia majaribu ya DUNIA..una faa Sana..🙏🏿🙏🏿

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen ubarikiwe Sana kaka kwa maono yako juu ya wimbo huu

  • @ibralivingstone6628
    @ibralivingstone6628 2 ปีที่แล้ว +3

    hakika hakuna mkate mgumu kwenye chai wewe ndugu yangu sikuiz unaimba gospel nimekubali Mungu hafananishwi na kitu chochote. Mungu akusimamie katika Safari ya wokovu wako

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤Ameen Ameen Ubarikiwe sana hakika MUNGU hafananishwi

  • @estajohn6722
    @estajohn6722 2 ปีที่แล้ว +1

    Good mdg ang Kaz nzur sana

  • @lightnesslao9143
    @lightnesslao9143 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka mkristo

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU Sifa na utukufu tumrudishie yeye YESU Alie yote ktk yoote Amen

  • @isahmanaseh8994
    @isahmanaseh8994 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mtumish

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe Saaaana

  • @ZeibyImmanuel-wg2qy
    @ZeibyImmanuel-wg2qy ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @penfordtemu6372
    @penfordtemu6372 2 ปีที่แล้ว +2

    Umeuza kinoma mpendwa wa Mungu

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU yupo anae stahil sifa na utukufu ni SIMBA WA YUDA aitwaye YESU

  • @asumanisabuni6929
    @asumanisabuni6929 2 ปีที่แล้ว +1

    Tidhasaaa sana kaka hongera sana Mungu azid kukuinua

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe Saaaana

  • @Minengo9777
    @Minengo9777 2 ปีที่แล้ว +3

    Kigwanigwa noma ww

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana ndug Yang 😂😂😂kigwanigwa

  • @annastazianyaki8396
    @annastazianyaki8396 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue zaidiiiiiii

  • @salumusaid3013
    @salumusaid3013 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal sana kaka mkristo

  • @richardmussa1991
    @richardmussa1991 2 ปีที่แล้ว +3

    Mh niseme tuu mungu akitunze alicho pandikiza ndan ya pumzi yao

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @nlccchurch
    @nlccchurch 2 ปีที่แล้ว +2

    Tisha sana Mtumishi wa Mungu karibu sana Kanisan kwetu kwa ajili ya huduma hapa CBC chuo cha mipango

  • @annastazianyaki8396
    @annastazianyaki8396 10 หลายเดือนก่อน

    Tishaaaaaa sana Mtumishi wa Mungu

  • @EphatCharles
    @EphatCharles 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless you

  • @leckymich2201
    @leckymich2201 2 ปีที่แล้ว +2

    fire of Jesu's

  • @PotfaDaudi
    @PotfaDaudi 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless you 🙏🏻

  • @AlexSelebu-vp8no
    @AlexSelebu-vp8no ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana Sifa na Utukufu kwa YESU KRISTO

  • @imanikatela6072
    @imanikatela6072 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki kwa kazi nzuri

  • @josephathjustus1957
    @josephathjustus1957 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka Ang

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      Ameen Ameen Ubarikiwe sana Mdogo ang jaman

  • @ZeibyImmanuel-wg2qy
    @ZeibyImmanuel-wg2qy ปีที่แล้ว +1

    Fire

  • @josephathjustus6370
    @josephathjustus6370 ปีที่แล้ว +1

    Waooooo kaka

  • @NeyCosta-bp9po
    @NeyCosta-bp9po 5 หลายเดือนก่อน

    mutch rispect mpendwa unajua sana

  • @isahmanaseh8994
    @isahmanaseh8994 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue ufike mbali

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen ubarikiwe Sana Mpendwa wa MUNGU

  • @michaelemanuelsulle3155
    @michaelemanuelsulle3155 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera!

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana Sifa na Utukufu kwa YESU KRISTO

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Mungu mkubwa,pambana mtumishi wa Mungu,

  • @yusuphnyakimwe2009
    @yusuphnyakimwe2009 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akuinue Sana

  • @jbadamu3804
    @jbadamu3804 2 ปีที่แล้ว +1

    Tixha zanaaaaaa mdogo ang

  • @ogarojackson7417
    @ogarojackson7417 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika MUNGU aendelee kukutunza na uzidi kusimama katika kazi ya MUNGU

  • @ZeibyImmanuel-wg2qy
    @ZeibyImmanuel-wg2qy ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤ Ameen Ubarikiwe sana Mpendwa

  • @anithalungwa6049
    @anithalungwa6049 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @matheosimkoko5859
    @matheosimkoko5859 ปีที่แล้ว

    Kweli nitakushukru bwana Kila cku

  • @aishaally4161
    @aishaally4161 2 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana kijana wa YESU nakuona mbali sana piga kazi ya MUNGU. MUNGU anakuona utakufikisha mbali sana Kama nnavyo kuona mbali sana

    • @herimkristo8330
      @herimkristo8330  2 ปีที่แล้ว

      Ameen nashukur sana MUNGU akubariki Sana

  • @paul__kusekwagoosple6296
    @paul__kusekwagoosple6296 ปีที่แล้ว

    Ludisha shukulan kwa Mungu

  • @ImaniAmos
    @ImaniAmos 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤