Bahati - Rukia Ramadhani with East Africa Melody

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • kweli vyakale ni dhahabu

ความคิดเห็น • 14

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dahh !
    Siku zimeenda
    Hizi nyimbo zinankmbusha miaka ya 1996/97
    Wakati huo EAst african modern taarab iko top of the pick
    Hatar sana
    Than B rukia hii nyimbo aliimba wala haitotokea tena.
    Allah awasameh walio tanqulia mbele ya haki

  • @fatmamohd8647
    @fatmamohd8647 13 วันที่ผ่านมา

    Old is Gold 😘

  • @mwaka308said7
    @mwaka308said7 ปีที่แล้ว

    Sanduku la dhahabu jamaniiii ujambo kumekucha na marahaaa hayaaa old is Gold ....Bahati Kuipindua alishindwa firauni...

  • @mwanahamisimapua5035
    @mwanahamisimapua5035 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana, nilikuwa nautafuta mno huu wimbo.

  • @mariamrashid9756
    @mariamrashid9756 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri umetulia

  • @keemome158
    @keemome158 9 หลายเดือนก่อน +1

    aslam tuwekee nyimbo yasihaba juma nishani

  • @salmahamza2765
    @salmahamza2765 ปีที่แล้ว

    Jamani hii nyimbo naipenda Sana

    • @sandukuladhahabu
      @sandukuladhahabu  ปีที่แล้ว

      Endelea kuwa nasi share na wengine wapate kusubscribe

  • @HassanAli-mk8mm
    @HassanAli-mk8mm ปีที่แล้ว +1

    Naomba wimbo wa hajj Mohamed Sheki legi mambo waa