HATIMA YA AISHI MANULA NA SIMBA SC, YAZUA UTATA STESHENI | MWANANCHI AWATIBUA ANABAKI AU ANAONDOKA ?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Tunaijua iyo
Inachekesha sana
Bei shilingi ngapi
Wandishi achana na mjinga huyo kisungu akasuguwe meno mbona ana ya yanga akasafishe meno
Wanalinyas shusheni vyuma
Uto wanaligombea duka lao
Kwani dampo la wazeee limeshajaaa?
Utopolo manula dalali wenu sahiz mnamtenga mumchukue nae
Wewe kinachokuuma nini kuna jambo gani kati ya Manula na yanga?
Jamaa choko sana yani yanga hawanaga akili sikuzote
Punguzo maelezo hakuna mzee atakaye soma maelekezo yako yote hayo mzee kama mimi nipeleke kwenye tu ba na bei
Simba ndo timu Pelee inayoendesha.mpira kiuweled east Africa
Yes ndo maana mko shirikisho! 😂😂😂
Daaa unaguswaaa nyum ukiwa wapi