Abdurazack ;Mwanamke yeyote atakayepita kwenye barabara zangu lazma atulie.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani adi raha wamerudiana nawapenda sana ❤

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwanaume chenga kwa wanawake gan haswa ulopita nao? Diva aliyekua na vi marioo na hao wa magomen tuletee wanawake wa maana tuwaone hata tu tupe mtu kama mh cathy magige 😅 nyoko zako na wanawake zao wa ovyo ovyo

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 4 หลายเดือนก่อน +1

    Leo umesema ukweli, kama umekubali kuwa mjinga basi mumesha toboa, mimi pia nawashauri watu wakati mwingine wakubali kushindwa kwasababu pia, kushindwa pia ni ushindi

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 หลายเดือนก่อน

      Hicho ndio huwa kinachofanya mahusiano mengi kushindwa kudumu