LYRICS INTRO Hata la vista Christ ana shine tena me ssstar Hasta la vista reflecting the light of the real ssstar CHORUS Hasta la hasta la hasta la talattalattalatalatt (ehhh) *2 Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2 Gosho (chacha ) kegosho (chacha) Gosho (chacha) Kegosho (chacha) DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin , DJ basi ahh Gospel (chacha ) Gospel (chacha) Gospel (chacha) Gospel (chacha) DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin , DJ basi ahh VERSE 1 Ati walevi hutoa lock ndio wasipigwe koto, Sivuti kishash ndio nischome photo Hairstyle nyingi vipara ndio ngoto Bling hadi meno zingine kwa ngoto Mara mbwegze haku dedi i?...mortal Gospel tunaleta kama heat?...moto Dezole pendkhepetidezhone niki kukanyaga kidole si husema dezole Kuzo wa David wanaishi ki?...bera Venye wanarusha mawe ki?...bera Key poa kuliko master key?... better Christian life kama Chris?...Ndela Holy trinity ni watatu kama a?...didas Blessing jamo mbwegze tatu ha?...di das Vitu zikiwa ngumu Ye hu do, HE does Opposite ya ngumu ni MUNGU leader Shock dem Leo mbaka shokde Tunaleta gospel kwa doorstep (gospel kwa doorstep) Shock dem Leo mbaka shokde Tunaleta gospel kwa doorstep (gospel kwa doorstep) CHORUS Hasta la, hasta la, hasta la, talattalattalatalatt (ehhh) *2 Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2 Gosho (chacha ) kegosho (chacha) Gosho (chacha) Kegosho (chacha) DJ basi spin, DJ basi spin , DJ basi spin, DJ basi ahh Gospel (chacha ) Gospel (chacha) Gospel (chacha) Gospel (chacha) Dj basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi ahh VERSE 2 ADDRESS NI 007 JAMES BOND (AGAIN) WATU WA MAISONETTES KWA YESU NIKO HOME (AGAIN) MISTARI TUNA RUSHA KAMA BOMB (AGAIN) BIRTHDAY DAILY NIKO BORN (AGAIN) AM STILL CHILDREN, PAPA'S SON AM STILL CHILDREN DADDY AM STILL CHILDREN HATA MEJJA ANAJUA KWA YESU YE NI MINOR KEGOSHO KWA KEYBOARD KUJA NA KEY MINOR MULTIPLY TO POSITIVE WAKILETA MINUS ROHO ZETU GOLDEN KUJA NA KI MINER YESU ADI TEACHER KUJA NA D- WANANANA WANA WANA RUN HII DUNIA COLD ICE MARATHON KWA YESU NDIO Ai i SMAMA ON VERSE NI PSALMS 23 ... MICHAEL ON JORDAN, MJ , PSS PSS MY COLOGNE (my cologne) IF IF IF IF NAINGIZA LIGLIZ SIGOTI NA ENGLISH GOD NDIO ZING SIKUZOMBO UWAGA BIGI ATTENTION ILI LOST JU HAWAKU ISHIKA MKONO ATTENTION ILISOTA JU HAWAKU PAY ATTENTION MKONO NAEKA JU NAEKA DOWN SHIDA EKO ME NA STAMMER KA DYDDA NA TRUST GOD SO NA GROW BIGGER CHORUS Hasta la, hasta la, hasta la, talattalattalatalatt (ehhh) *2 Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2 Gosho (chacha ) kegosho (chacha) Gosho (chacha) Kegosho (chacha) DJ basi spin DJ basi spin DJ basi ahh Gospel (chacha ) Gospel (chacha) Gospel (chacha) Gospel (chacha) DJ basi spin , DJ basi spin , DJ basi spin, DJ basi ahh VERSE 3 Nyasae Ruoth opaki Mwadhani arogoshwo Na bible kwa mbosho Na mluyah western say a prayer ju Meals ni za posho (posho mill) Na pics niza photo Na smile hippopotamus Ligliz (church) , jengwa si deal na kokoto na Keys ni za koto na dichotomous Shock dem, leo mbaka shokde, tunaleta gospel kwa door step *2 CHORUS Hasta la, hasta la, hasta la, talattalattalatalatt (ehhh) *2 Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2 Gosho (chacha ) kegosho (chacha) Gosho (chacha) Kegosho (chacha) DJ basi spin DJ basi spin DJ basi ahh Gospel (chacha ) Gospel (chacha) Gospel (chacha) Gospel (chacha) DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi ahh
Etiii mbona ngoma safiiii kama hii aiendi viral why? Because watu wapendi story ya God wanapenda tu kamnyweso...bro this song is lit kabooooom next song 1m views 🎉
“Let’s talk about how Eko Dyda has been a pillar in carrying the gospel all these years 🙌🔥. God amemtumia kuzima nyota ya secular na kuleta nuru ya kweli kwa mtaa! His consistency and faithfulness to the mission are unmatched. Salute to a true servant of the Kingdom! 🎤🙏 #EkoDyda #GospelKwaDoorstep #FaithfulServant”
Mlisema karao akitoa hitsong io ni M-Bang'a....beats ni hard zinaweza mpaka masofti ....CHRIST ako up hadi @EKO DYDDA ako high....kumuimitate kushine tukirusha rhyme...KEGOSHOOOO....To GOD Be The GLORY
Blessed be the name of Yeshua. Blessed be all of you who have accepted His life into yours. This blessing is available for all of you who haven't received Jesus too. I counsel you to say Yes to His invite before time's up.
Ekooooooooooooooo all the way men who are you Umewaweza woote Top Kenyan artist 😍 Ii creativity, ii grace, ii talent, ii writing skill, ii ata sijui niseme aje lakini imeweza Akina Danaby na Joel giving vibes Vibes Kwa Yesu Nawapenda saaana
“Opposite ya ngumu ni Mungu 🙌🔥! Hii ni gospel kwa doorstep 🚪💯. Stay tuned for real vibes and truth only! Eko Dyda amefika heavy🎶✨ #OppositeYaNgumuNiMungu #Gospel is back🔥🔥
LYRICS
INTRO
Hata la vista Christ ana shine tena me ssstar
Hasta la vista reflecting the light of the real ssstar
CHORUS
Hasta la hasta la hasta la talattalattalatalatt (ehhh) *2
Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2
Gosho (chacha )
kegosho (chacha)
Gosho (chacha)
Kegosho (chacha)
DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin , DJ basi ahh
Gospel (chacha )
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin , DJ basi ahh
VERSE 1
Ati walevi hutoa lock ndio wasipigwe koto,
Sivuti kishash ndio nischome photo
Hairstyle nyingi vipara ndio ngoto
Bling hadi meno zingine kwa ngoto
Mara mbwegze haku dedi i?...mortal
Gospel tunaleta kama heat?...moto
Dezole pendkhepetidezhone niki kukanyaga kidole si husema dezole
Kuzo wa David wanaishi ki?...bera
Venye wanarusha mawe ki?...bera
Key poa kuliko master key?... better
Christian life kama Chris?...Ndela
Holy trinity ni watatu kama a?...didas
Blessing jamo mbwegze tatu ha?...di das
Vitu zikiwa ngumu Ye hu do, HE does
Opposite ya ngumu ni MUNGU leader
Shock dem
Leo mbaka shokde
Tunaleta gospel kwa doorstep (gospel kwa doorstep)
Shock dem
Leo mbaka shokde
Tunaleta gospel kwa doorstep (gospel kwa doorstep)
CHORUS
Hasta la, hasta la, hasta la, talattalattalatalatt (ehhh) *2
Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2
Gosho (chacha )
kegosho (chacha)
Gosho (chacha)
Kegosho (chacha)
DJ basi spin, DJ basi spin , DJ basi spin, DJ basi ahh
Gospel (chacha )
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
Dj basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi ahh
VERSE 2
ADDRESS NI 007 JAMES BOND (AGAIN)
WATU WA MAISONETTES KWA YESU NIKO HOME (AGAIN)
MISTARI TUNA RUSHA KAMA BOMB (AGAIN)
BIRTHDAY DAILY NIKO BORN (AGAIN)
AM STILL CHILDREN, PAPA'S SON
AM STILL CHILDREN DADDY
AM STILL CHILDREN HATA MEJJA ANAJUA KWA YESU YE NI MINOR
KEGOSHO KWA KEYBOARD KUJA NA KEY MINOR
MULTIPLY TO POSITIVE WAKILETA MINUS
ROHO ZETU GOLDEN KUJA NA KI MINER
YESU ADI TEACHER KUJA NA D-
WANANANA WANA WANA RUN HII DUNIA COLD ICE MARATHON
KWA YESU NDIO Ai i SMAMA ON
VERSE NI PSALMS 23 ... MICHAEL ON
JORDAN, MJ , PSS PSS MY COLOGNE (my cologne)
IF IF IF IF NAINGIZA LIGLIZ
SIGOTI NA ENGLISH
GOD NDIO ZING SIKUZOMBO UWAGA BIGI
ATTENTION ILI LOST JU HAWAKU ISHIKA MKONO
ATTENTION ILISOTA JU HAWAKU PAY ATTENTION
MKONO NAEKA JU NAEKA DOWN SHIDA
EKO ME NA STAMMER KA DYDDA
NA TRUST GOD SO NA GROW BIGGER
CHORUS
Hasta la, hasta la, hasta la, talattalattalatalatt (ehhh) *2
Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2
Gosho (chacha )
kegosho (chacha)
Gosho (chacha)
Kegosho (chacha)
DJ basi spin DJ basi spin DJ basi ahh
Gospel (chacha )
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
DJ basi spin , DJ basi spin , DJ basi spin, DJ basi ahh
VERSE 3
Nyasae Ruoth opaki
Mwadhani arogoshwo
Na bible kwa mbosho
Na mluyah western say a prayer ju
Meals ni za posho (posho mill)
Na pics niza photo
Na smile hippopotamus
Ligliz (church) , jengwa si deal na kokoto na
Keys ni za koto na dichotomous
Shock dem, leo mbaka shokde, tunaleta gospel kwa door step *2
CHORUS
Hasta la, hasta la, hasta la, talattalattalatalatt (ehhh) *2
Shine kila time tukirusha rhyme (amefanya tuna) *2
Gosho (chacha )
kegosho (chacha)
Gosho (chacha)
Kegosho (chacha)
DJ basi spin DJ basi spin DJ basi ahh
Gospel (chacha )
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
Gospel (chacha)
DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi spin, DJ basi ahh
Opposite ya NGU-MU ni MUNGU
YESSIR 💯💯💯
Manzee ka we ni fan wa Eko kama mimi piga like 🔥🔥🔥💯
Am still children ata mejja anajyakwa yes ye ni minor ....piga like ka unakubali eko ni kendrick wa gospel
Mungu apewe Sifa. Protect this man at all cost.
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Trash 🗑 music at all cost
Etiii mbona ngoma safiiii kama hii aiendi viral why? Because watu wapendi story ya God wanapenda tu kamnyweso...bro this song is lit kabooooom next song 1m views 🎉
Huyu director naye ni hatari
Apewe like zake mapema mapema
Hapa ni Gospel kwa door step
Na hii doba nayo ni noma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 topp SHOTTA wa Yesu 👌
Creativity yako iko level ingine hata kudescribe ni ngumu❤🔥💪🙌
banaa jooh
😂
Ati Opposite ya nguMu ni nani?😂😂🔥🔥🔥👏
“Let’s talk about how Eko Dyda has been a pillar in carrying the gospel all these years 🙌🔥. God amemtumia kuzima nyota ya secular na kuleta nuru ya kweli kwa mtaa! His consistency and faithfulness to the mission are unmatched. Salute to a true servant of the Kingdom! 🎤🙏 #EkoDyda #GospelKwaDoorstep #FaithfulServant”
True
🔥🔥eeeyyy 🔥🔥🔥 kigooco😊❤
Banger after banger 🔥🔥🔥
Name na word ya God lazima ifike😍😍
Opposite ya ngumu ni Mungu 🔥🔥🙌🙌🙌
Mlisema karao akitoa hitsong io ni M-Bang'a....beats ni hard zinaweza mpaka masofti ....CHRIST ako up hadi @EKO DYDDA ako high....kumuimitate kushine tukirusha rhyme...KEGOSHOOOO....To GOD Be The GLORY
Nlwa naomba tu ekodydda arudi Kwa game...prayer answered
Big fun broh thumbs up keep going. You r the man big up g.. ❤❤❤🎉🎉
Kuna orezo tu mjamo kwa Rap 🙌
Opposite ya Ngumu ni Mungu.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Watu wa tiktok ...kama ulipata hii song uko kwanza ....kam hapa tusupport
Opposite ya ngumu ni MUNGU❤🎉😂
Ecko your the real....winner.
I love you dude...❤❤❤❤
Kukuwe na awards za the most creative artist......man's been spreading gospel in a special way
Motooo.... hujui ku disappoint.. OPPOSITE YA NGUMU NI MUNGU
Uko na earphones ama home theatre😂😂😂
Let's celebrate Eko Dydda for staying true to his craft and inspiring through his music!
Kenyan Talents Rock!!!
Opposite ya ngumu ni Mungu!! Respeck!!
Noma sana ❤️🔥✅️👊 likes zikam for #Return of Eko Dydda
Uweeeeeh hii ni motooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤝🤝🤝🤝💯💯💯💯💯 tunaleta Gospel Kwa doorstep 🔥
❤❤❤hii nayo ni nare🎉🎉🎉
Bana 💥
The song blesses my heart....God bless you Ecko dyda
creativity is the way to go........ECKO big up G
Word play ya uyu bouy😅😅😅😅weee tangu teneee aloo
kuja na D- yesu ndio teacher .........watu wa maisonatte kwa yesu nko home
"Opposite ya Ngumu ni Mungu" 🔥🔥❤
Eko is an outstanding Gospel Icon
Mbaya sana🔥🔥🔥
Opposite ya ngumu ni Mungu 🎉💯🙌
The clarity of everything ghai! Mungu akubarikie mpaka mingi uendelee na kutubariki
Blessed be the name of Yeshua. Blessed be all of you who have accepted His life into yours.
This blessing is available for all of you who haven't received Jesus too.
I counsel you to say Yes to His invite before time's up.
Nimepitia hapa nikafeel nahitaji meeting na God..😢.... dydda hii ni noma
Ekooooooooooooooo all the way men who are you
Umewaweza woote
Top Kenyan artist 😍
Ii creativity, ii grace, ii talent, ii writing skill, ii ata sijui niseme aje lakini imeweza
Akina Danaby na Joel giving vibes
Vibes Kwa Yesu Nawapenda saaana
Fire 🔥
Great Song, bro anakaa Asake\Dababy🙃💯
Sasa ECHO DYDA ULIENDA WAPI NAVILE NILIKUPENDA NIKIWA PRIMARY
Hii nayo kama hautingishi kichwa you need prays ngoma kali 🎉🎉🎉💥💥🔥
😂😂😂😂 very true
kwani uliandika hii ngoma ukiwa vibration ingine😂💯💯💯💯💯
Macuzo wa David wanaishi kibera vile Wanarusha mawe😅🔥
Deadly deadly gospel #8kinternational
Verse 3 🙌🙌📢💯🔥🔥🔥🔥But hii Yote ni Bangerr,,, Manzee
Again am here for ×10 to hear Bars Gospel
Opposite ya ngumu ni Mungu 🔥🔥
Top tiiiings!!🔥
Yesu adi ticha Kuja na D-
Glory to God
God is Glorified
Hii ni noma
Opposite ya Ngumu ni MUNGU 💪💪💪
Hii ni Hatarii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
𝘊𝘰𝘯𝘨𝘳𝘢𝘵𝘶𝘭𝘢𝘵𝘪𝘰𝘯𝘴 𝘣𝘳𝘰 𝘪 𝘤𝘦𝘭𝘦𝘣𝘳𝘢𝘵𝘦 𝔶𝔬𝔲
Nikukanyaga kidole desole😁
#Top_Ranked
Ngumu opposite ❤Gospel lets go once again🎉
My best artist since my high school life
Opposite ya ngumu ni mungu🔥🔥
Uyu walimuachia gospel industry ni time yake ya kushine
Anaipiga kuliko arbantone huwaga bad alafu sheng👌
Hii ni moto... 🔥
Originality will always win 💯💯💯🔥 Skiza ECHO KWA MEKO aty sivuti kishash ndio nisichome photo madaaa🔥
Opposite ya Ngumu ni Mungu💯🔥
Unajua sikua nakumbuka nkiskiza flow kwa kaka sungura, but yoh O.Stinger is baaad 💥💥💥💯💯💯🎤 we love you already but we want more, pole for pressure
We have no idea how much of a Gem this banger is
Opposite ya ngumu ni Mungu
Shout out to the Producer🔥Kenya to the World🌍
I am so happy such artists exist.For someone who loves hiphop,it was hard to let go of secular music,but now I dont have an excuse.I love this🙌👌
Publishing a volume of verse is like dropping a rose-petal down the Grand Canyon and waiting for the #Eko dydda #Kegosho to the world 🌎🌍
Gospel tunaleta ka hit moto . 🔥🔥I had missed this from you eko dyda it remind me back in highscool tukidance💯💯
Vibe ya Vidole 🔥🔥🔥🔥
OPPOPPOSITE YA NGUMU NI MUNGU.... ☄️☄️☄️☄️
Opposite ya ngumu ni Mungu😊
Opposite ya ngumu ni Mungu ❤😅
Opposite ya ngumu ni Mungu🏁🚀
Mungu apewee sifaaa sikuu zombo mhesh hii ni doba noma
Kazi safi G
Nikikukanyaga nasema dizole💥
This man is supertalented🔥🔥💯
roho zetu golden kuja na ki--miner
mhesh.....🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Vibe ya hii doba walai💯💯hiyo beat iko top si ati nn halafu ikapatana na master Ecko D????
What...mtu akireply hii text nitakuwa nakuja kuview, Quality ni noma 🔥🔥🔥🤗🤗🤗
Ghetto president Mr Eko dy*******^dda
God has poured unto you the holy spirit in this last generation
Continue preaching the word
❤
“Opposite ya ngumu ni Mungu 🙌🔥! Hii ni gospel kwa doorstep 🚪💯. Stay tuned for real vibes and truth only! Eko Dyda amefika heavy🎶✨ #OppositeYaNgumuNiMungu #Gospel is back🔥🔥
Shock them
Tunaleta God hadi kwa Door step!!!❤
We love the song❤❤❤
Kegosho big one from the Legend,💪
Walevi hutoa lock ndio wasipigwe koto🛐
Huyu ni gee si ati nn #gospel comeback
MI NI FAN WAKO TANGU NKIWA MTOI,,, FEELING IKO BEST KAMA ENZI
REPRESEEENT. GOD AKUBLESS
Sokde, leo mpaka shokde,
tunaleta gospel kwa doorstep...
🔥🔥🔥
Talanta on another level
Mbayaaaa budaaa, mbaya sanaaa.....🔥🔥🔥🔥
Hii ni moto si ati nini 🤯💯🙏
Like za Eko Dydaaa Baba Kutoka 🇺🇲🇺🇲
Huyu naye huwa Stima 🔥
Opposite ya ngumu ni mungu
Nyashinski wa Gospel🔥🙌
Hii nyimbo imemixiwa tayari na ikascratchiwa adi DJ acheze tuu vile Iko bila kufanya chikichikiii!
mara mbwekse hakudedi "immortal " welcome bck EKKO
Yoooooh ecko tunable gospel kwa door step
Hatari 🔥🔥Moto kaa pasi ya makaa
Ecko Dyda ndo Baba Lao Kwenye HipHop 🇰🇪🇰🇪
Think God, na trust God ndio nagrow bigger ....DEEP LYRICALS Top😎😎Bossi
🔥🔥 opposite ya ngumu ni MUNGU leader🙏🙏💯💯🙏🔥🔥🔥
Vi!🔥🔥 video✅verse✅
opposite ya ngumu ni MU NGU😂❤🔥❤🔥💯
Ati opposite ya ngumu ni mungu 🙏🙏