Weeeeeeeeeeeeeeehhhh!!!!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥shekina hapa amemalizaaaa ati "tittle deed ya shamba kama unadai kunipiga randaa"😂😂😂😂😂..as always we shall respect the OG hapo hatuongeangi🔥🔥🔥🔥🔥🔥‼️‼️‼️‼️
Wapi sasa likes zangu na za OG na Shekina Ke. 🎉🎉 Ke Hip hop to the world. My hip hop influencer bado ni OG. 😂😂usifanye shekina Karen pia aanze kupenda Timberland 😂😂😂
Khaligraph tafuta boy flani wa kayole anajiita Yoh Ade 1960.... that dude is dope ❤❤❤ I love the song...wrong number❤❤❤❤❤❤ big up shakina karen #respecttheogs
First Tanzanian 🇹🇿 to comment pon this 😂
Nipeni likes zangu😊
What's your comments by the way😂😂
Pon ni nini? 😂😂 I'm sure ulimaanisha porn si pin this comment 😅😅
OG shall be respected
Tuna kujua we Kinuthia na kwenyu ni thugunui
Hii ni kiswahili ya Oyole wewe🤣🤣
Nani anakubaliana na Mm😢 before hii Mwezi iisheee hii jam itakua imehit 2M+
🔥🔥🔥🔥
The OG in the Game💪💪
Hii hata haitake one week msee..❤
Eee ni ukweli 🎉❤
Lazima ikue wrong no
Leo ndio.ile siku napata likes 155 kwa hii ngoma najua hamutaaamini😅😅wrong no.
Umefanya nini upate likes 🤣🤣🤣 mbona mnakuanga funny
😂lazimaa
@@adembeza 😃😃😃😃
My brother nakucheki huku 🔥
Nimekuongeza moja😂😂
Watching from Sierra Leone west Africa 🇸🇱🇸🇱🇸🇱
Watching Freetown, SL
Big up
Wrong number fayaaaaa!!!! Been a minute.
Nice one,
Ako kakamega
MENTALITY NI MAMBA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama umeskiza verse ya Shekinah more than once piga like!
th-cam.com/video/pblUMLmqxO4/w-d-xo.htmlsi=8g58dDAYZTLnGjTB
Shekinaaaa🔥🔥🔥🔥ntawalanii ntalamba mchanga😅🇰🇪🇹🇿🇹🇿
th-cam.com/video/CX28_TFU0Vc/w-d-xo.htmlsi=LMFIFjQ6e7OL95ua
Shekinah came for dinner and ate this track 😮😮😮am proud of you girl you got it all well done, 💯👍
Shekinah is truly a lyricist 💯💯
OG is the best rapper in Africa 🌍💯💯🤫 wanao kataa wote wrong number,,,
Weeeeeeeeeeeeeeehhhh!!!!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥shekina hapa amemalizaaaa ati "tittle deed ya shamba kama unadai kunipiga randaa"😂😂😂😂😂..as always we shall respect the OG hapo hatuongeangi🔥🔥🔥🔥🔥🔥‼️‼️‼️‼️
Shekina killed it kama Kawa 🔥🔥💯
Wangapi wameikumbali OG ndio Wrong Number ngonga like hapo tukisonga 👍👍
Tumekumbali😂
Mnashema Hadi Kwa text yaawa😅😂😂
😂😂tumengonga
Tumekumbali😂😂😂
Khaligraph.... From.kayoleee ... Wapigee like za oyoleee masimbaaaaaaaa
Na OG bado n wrong number ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ it's ur boy chief s mnipe likes zangu
Love from china🇨🇳, i felt it when he said " Kaa hujajipanga, sisi tutakupanga" 🔥🔥🔥🔥🤝
Chapai fahm innit😂😂😂 Love from Bangkok 😂❤
We better stop all about Gachagua impeachment and gather in here🔥🔥💯 kama ujajipanga no si tutakupanga💯💰
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Wakenya tafadhal mfikishie taarifa huyu kijana mwambie nampenda natumai siku nitampa kwa juhudi za wakenya, afike dar nitamuambia chege amlete moro❤❤❤
😂😂😂haya bana
Nitamwambia
@@YUSUFKAHINDIKahindi nasubiri ☺️
Kabisa yani
OG kip going 🔥🔥🔥🔥🔥💯
Finally 😊❤❤❤hii nadance hadi new year 2037🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uweeeh!!!🤭🤭🤭🤭
This lady owned the song,,,the so called best rapper should be prepared for retirement 😅😅
Kalighraph back in the game like he never Left
It's Just a matter of TIME!! artists like Khali blowing up to the World for there Good Work on Music!
Ka auna kakitu ukipigah io Ni wrong number 💥💥
I love the efforts off Young momma..big up girl...to Jones kali mzee
Pitia huku pia
Ukweli usemwe Shekinah ni Mkali aisee ameua kinoma noma
Another banger 🔥 👌 🙌 tho it is on the wrong number 😂🎉from 🇸🇱
🔥🔥🔥
Kama unamkubali Og gonga like our African Kingpin 🎉🎉we proud of you Kenyan music to the world 🌎
The hardest working musician of our time!!! Thank you for being a kenyan at this patikula moment!!😊
Ila huyu Mwamba ni mnoma🔥
Dar wanakutambua🎉
Enyewe Og ni mkali wao each like will remind me of this
Mentality ni mamba na quality ni ya wanga,,, what a vibe banger manze ikikubamba gonga like button
OG MUST RESPECTED BUT HAPA DEM AMEKUFUNIKA 😅😅😅💯💯💯.
Zii
Ngoma iko lit sana KALIGRAph jonsss
Br you know Ila billions umeua sana congratulations to you kharigrap Jones
Shekina💥💥💥💥💥💥💥🤯🤯🤯🤯🤯🤯 Damn girl going Raw
🇰🇪🔥🔥🌍 RESPECT THE OG🤘✊ Mentality ya Mamba na Quality ni Wanga 👋💪
Another banger from the best!
Kenyan Talents Rock!!!
Jameni OG hii domba ulikua umekazia💀🤗but finally 💥💥🔥🔥
That dance style😂. OG tried to bring anguka nayo dance. Anyway he still remains the best rapper in east Africa and some part of heaven
Pewa mbili kwa bill yangu😂
Kapuka na genge zilizaa mnyama haziwezi lea💥...🙌🏾
Coolest from OG this year,,leta moja tufunge mwaka sasa,,for the mean time hii ni #wrongnumber❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Is my favorite for 2024 already big love from Ghana 🇬🇭 nice visuals big baba ❤
Mwenye unapanga kuoa mwarabu ujue huyo ni wrong number
BaaaaaaaarrrDeeeest OG Unajua Kutambua "WRONG NuMBER" WRONG WrENDE
Mentality ni mamba na quality ni wanga 🤟...OG 🚀
jua iyoh ni wrong number,uezi nipata Gathe🔥
Wrong Number...Shekina went hard on it bana
All the way from +255🇹🇿
Wapi sasa likes zangu na za OG na Shekina Ke. 🎉🎉 Ke Hip hop to the world. My hip hop influencer bado ni OG. 😂😂usifanye shekina Karen pia aanze kupenda Timberland 😂😂😂
Shekinah to the world ❤❤
I'd listen to her all day
PRODUCTION NI YA MADOH TUSIBISHANE👏👏
Congratulations papa Jones song Iko biet 🔥🔥🔥🔥🔥
Big uppppp ² khali
Og to the world ...mtu anipe like
Shekinah moto 🔥 🔥🔥
Kweli quality n wanga,,,,
Og to the top..
This guy blesses every beat
Like ya lwanda magere Mr OG❤❤❤
G for life❤
Lwanda Magere is a hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit 🔥
Always support kenyan music...Tupendane mazee😉😉
Hii Ni motoo msisauu kunipitia pia mimi
Sierra Leone let's gather here🇸🇱🇸🇱🇸🇱
Number one rapper in africa,respect the OGs,
Sheekinah is truly a💥🇰🇪🇰🇪
OG NEVER DISSAPOINT WAPI LIKES ZA OG JONES I LIKE HOW YOU SURPPOT HIP HOP CULTURE IN KENYAN VERSION KEEP ON SHINING OG
Sending love from sierra leone 🇸🇱 OG most be respected 😢
Any Ghanaian 🇬🇭 here ?❤❤❤
I'm here
We here we here
Play KE 🇰🇪 innit
Any Nigerian here ?hii ngoma ni moto kweli😂😂
Ghanaian Na uko kinoo😅
Big up Kaligraph ...I am.your.big fan from South Africa 🇿🇦
Hii doba iko repeat mode since 1hour ago. 🔥🔥OG,, Young Momma, Respect💯
Shekinaa Karen , you guys 🔥 📛
young moma sku all🔥🔥🔥🔥wapi likes za sheki
C ati nn
Mooooto🔥🔥
Next ni Mimi na og🤗💯
1:20 he went hard!!💥💯
Shekina huwa fireeeeeeee noma sana
Ngoma ni kaliii Kenya tunita vibuuuuu 💯🔥 OMOLLO YAWAH
hii nayo najua ni noma
Nice song @KhaligraphJones.
I like that intro, I'm vibing to it already.
Tukifika 1m views mniite bure sirudi hapa, the song deserves ❤🎉🎉
Haifiki 😂
😮😂 Bure kabsaa
@@brucestevens2883 sirudi huku kama hii hit haijafika 1m views🤣
Fire.......
🔥🔥
🔥🔥
Shekina 🔥🔥🔥 big tune
M South African but damn Kenyan Rappers are so lit .Kaligraph Jones is one of the African best rappers
1:35 taifa Leo najua mkona low standards. “The Standard Newspaper “😂🔥
Shekinah karen to the world manze 💥 Shukran OG Zidi kurepresent mtaa vile Inafaa 💯👊🏽
Young Momma Shekinah🔥🔥🔥
skiaaa beats 🌋🔥 Alafu shekina ametuamulia joh bana,,,enyewe hii ni wrong number
The king of drill eldoret city wapi likes za papa jones the best rapper in Tanzania the best rapper in Nigeria
He’s not the best rapper in Nigeria coz we ve our own best rapper
Karenn🙌🔥
Nilitafta video ya hii ngoma wapi kumbe hukuwqhi TOA but iko to🎉🔥🔥🧨
Khaligraph tafuta boy flani wa kayole anajiita Yoh Ade 1960.... that dude is dope ❤❤❤
I love the song...wrong number❤❤❤❤❤❤ big up shakina karen
#respecttheogs
Manze, Rigathi abaki tu. Uyo mzee ako sawa and forgiveness is for human.
👉🤡👈
Hiyo ni wrong number
Ngori sana Omollo.
najua watu wanipea likes na support juu ya hii ngoma wrong number see me at behind 😂😂😂
Doba iko lit....
Ebu mlike comment yangu kwanza
Dj wa kwanza kucheza hii ngoma kwa mix yetu ona rudia kama mara kumi 😂 fanya chikichikii mara kumi 😂 ngoma ni kali
Wrong number wueh shekinah rhymes amekill hii 🎯
Papa knows how to give the audience what they're looking for. On repeat mode, and full volume till further notice. 🔥 🔥 🔥
Sure sure khali #wrong number we Kenya let's go world wide🚫😄👍👍👍👍👍👍👍👀 yes
Watching from United States of Ameruca
Finally ulitueke sana boss❤
sheking hii nayo umemalo
fire