ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wanao mkubali mama ake kahi kama mimi tujuane ❤❤❤
Ila huy mama kai hat kiuwalisia anaonekan mama boraa🎉🎉🎉
Mashallah
Daaah mama kaongea kwa uchungu love mama❤❤❤
Naombeni like jmn sjawai kupata kabxa wapenz
We ni mhanga mwenzangu lazima nikupee
Heee mama kai una uvumilivu,,,ningekuwa mimi walai huyo batuli angelambwa makofi,,,mpaka ashindwe kuona njia ya kutokea,,,,,,
Kazi nzuri jamani nawapenda sana Mimi waishiri naombeni like
Weeeh watu mpo vizuri sana aisee yaan 5 mim watu washajaa hya n mm naomba like ❤❤❤🎉🎉
Rahama pole but heri ufanye kazi tofauti na iyo ya kudanga,,,, kua single Bila pesa tena ni balaha😢😢😢😢
Balaha wala sidogo kwa rahma 😅😅😅
Waoooh hakuna kama busati ❤busati juuuu juuu kabisaaa
Daaaaaah 😭😭😭😭chozi la mama
Dah rahimaa mbona hivo unamuumiza mama ako jamn namhurumia kabs japo kua mnaigiza
Wanaomuelewa sibo anavyo mrekebisha kend tujuane
😊😊😊❤
Na we kai wake zako unawaokotaga wapi jaman ?rm cheki anavyomjibu mama ako
Mbona mnaubaguzi sote niwamoja jamani hta like hamnipi😢 nawapenda hvyo hvyo❤❤ pole sana mama Kai hpo mka mwana huna was SI kwa majibu hayo😢
Wanao amin mama kaongea kwa uchungu gong like
Jmnii mewahi muv nzuri hii ❤
🎉🎉❤❤ Hongereni unakipaji kizuri Sana Asante kwaelimu nzur
Kai jaman uyo mke anae mjibu mama ako hvyo cumuache tu
Jaman hongeren San hinger mam Kai kwa kua mam bora
Wanao ikubali my mother tujuane❤️❤️❤️
Kend apana uwez pata mwanaume wakumpangia muda wakurud nyumban ni chiko tu
Mnajithd kufululiza big Busati Tv Yan Leo siombi like hata moja
Hii movie inanifunza mengi mno ju mama anadhamani kubwa sana❤❤❤❤
Kazi nzuri
Batuli hana adabu wala nidhamu kwa mama kai jamani na kila mahali anampambania kai apate mke sahihi maana kai anapata madishi hatari
Congratulation yu people, the likes of xatiti.
❤
Timu my mother where are you ❤❤
I m here
Tuko area
We are here
We are here ❤
Tupo hapa
Mama kai nakupenda mm
Mmmh nipeni. Like jmn
This is the best series TH-cam nzima 😎
Mimi binafsi huyu binti cnpendi hivi ni mama mkwe gani unaweza kumjibu hivyo hilo wingi sasa kama kibanda cha tigo pesa Dah!😂😂😂
Mambo ni fire👍
Jamani rahma unaniliza na mama Ako😭😭😭😭😭😭
Balaaa
Leo nmewahi kidgo❤❤❤
Leo nimewahi jaman nimekuwa Wa tano
😢😢Chozi la mama Rahma msikilize mama yako la sivyo kitakuramba kitu
Tunatamba na busati tv
Jamani mm hii move nachanganya kabisa an...nahisi ni house girl
Mashallah ❤❤❤❤❤
Mama Kai nakupenda Sana hauna vya kuficha unapasua jipu popote ❤❤❤❤
Jamani hii kazi ni Kali sana inamafunzo makubwa sana
Yolanda@candy umepatikana😂😂😂😂
Hao mama wote wenye wapo kwenye may mother wapo vizuri sana Yani busati mnanikosaha sana sana bingap zenu nyoote
Movie nzuri kweli❤❤❤
Sibo na yoranda wamekutana A.k.A KENDIIII
😅😅😅 mnipe material ya kumuendesha vizur Yolanda wetu 😊
Pole San rahm mungu akupe nguv
nimefika wa 2
Maumivu 😭😭😭
Sibo uko vzr mashaallah mwambie huyo kendy anampanda mme kichwan🎉🎉🎉🎉 sibo❤❤❤
Polepole msituangushe mm wa 55
Team mama❤❤❤❤ lakini pia mr tasha amecheza vzr
MashaAllah iyo Qaswida iko very❤
Wewe batuli huko kulinga unako linga je ungekuwa mzuri ingekuwaje mama hapo sula yenyewe haieleweki mashavu kama 🐈 wamuimbili ovyoooo
Nawapenda sana mnaelemisha Jamii kwa kiwango kikubwa sana
Kaz nzur sana hongereni
🤣🤣aliyesikia vitu kama Gani🤣gonga♥️
Hii song inaitwaje Fall in love with this song ❤
Batuli ungekuwa mzur sijui ingekuwaje
Batuli matajiri utembea na gari 😂unachapa vumbi na unaringa heshimu mama kai
Nimekuwa wa kwanza leo🙏
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Nimewahi jamn 3 mn
Hapo candy Umemuamuliya ajifunze kujitegemea yy nasio kl cku shida
Hadi raha🎉🎉🎉🎉❤❤
My mother❤❤❤🎉 from canada
Leo nimewahi naombeni like jameni na mimi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
allah muweke aliyeimba qaswidah biidhin laaah😭😭😭
Mma ni Mma hata iweje kai ukamusilize ipo siku utakumbuka maneno ya mma
Mm wa 500 sijachelewa 😂😂😂😂
Keep it up ❤
Imebamba kweli..ipo nyumbani
Rahma unafanana sana na Rihana
Rihama ally
Huyu mkaka Sibo kwani hatoi kitambaa kwa kichwa.....😂😂😂
Kazi nzuri 🎉
🎉busati hamja felikitu kizr sana❤❤
Hiyo mbwa ya Kai itoen bhana
Yaani haya maisha bhana candy unamudharau mumeo mchepuko unampa nafasi kushinda mumeo mpe hata mda bs mumeo anaekuhangaikia ule,ulale pazuri,na uvae
Waooh.hakuna.busati❤❤❤❤busatjuuuujuuu
Matangazo yanakela aah kila mara
Leo Candy amenifurahisha kwa Mara ya kwanza... Yes mwanaume ajitegemee 😅😅
😢😢😢
Ukwel mchngu usimtegemee mt
Helloooooo mupoo jamni ❤❤❤❤❤❤❤❤
wa kwanza kumbe da mnipe like sasa
Kwel kabisa kend anamjibu vizuli
Jamani mama Kai nampenda sana
Busati Tv mnatufurahisha kwenye camera zipo full HD mpewe maua yenu❤❤
Za titi una moyo wa pekee sana ongera mama
😂😂😂😂😂Leo candy kàpatikana
Kweli mama ni dhaabu,much love to all mothers out here❤❤❤
Batuli ako na tabia za ajabu ajabu xna....au ndio watoto wa kishua ndivyo wanavyoishi!? 😢😢
Chiko muache candy tafuta mke mwengine uowe hakupendi huyo😂😂😂
Wa kwanza Leo Jaman Naombe Like Zang
Watatu timu strong nimefika mapema kuawakilisha haya malizeni kuandalia warabu asha mje mjumuike hapa 😂😂😂😂
Daaah! Inauma ijapo kua mnaigiza 2 unaeza Dhani n hualisia
Ambao wanajifunza mengi kupitia kwa hizi movie mnipee likes tukisonga mbele kwa pamoja🙏🙏
Mm huyu batuli simpendi ana overdo maringo😏😏
😁😁😁
Wewe rahma acha ujinga unataka kusema wanawake wote wenye shida wauzalilishe utu wao katafute kazi za mama ntilie ufanye acha ujinga
Mbona kwingine nikelel tu 😔 hakuna saut
Niatari saaana sisi watoto tunazinguwa saaana nani kama mama
Candy upo sawa mwanaume lazma ajimbanie
Love move ❤❤❤

Hii song inaitwaje
Fall in love with this song