Kama maigizo vile, eti wew ndio unakibeg chako kile mm kuna nn 😢wew si kuna mke wako kule au ndio kwaheri ndota keshaharib😂😂😂nimecheka mpaka stress nimesahau uwiiii...
Ndota yupo sawa huwezi kumpiga dadaake na uende nyumbani kwao hizo ni dharau, kwan kumtongoza ulikuwa unaenda kwao, ungetumia mbinu za kiume kumtoa kwao hata kupitia Monsuly ili muongee mbali na nyumbani kwao
@@monsuly Nikushauri Usikubali kuenda kwenye Nyumba zawatu kufanya Upatanishaji awe Ameolewa au hajaolewa Utakuja kuumia Vibaya au ata kufa hiyo Michezo icheze Hukohuko Mitaani tu
Sasa uyo mwanaume anampiga mke wake kumuachia pesa ya chakula ni shida kumunyanyasa, sasa anamutaka tena arudi kwake,ana wanawake wengine ,kulewa,.... inaonyesha uyo mwanamke alikuwa amemvumilia sana
Kweli kaka unafanya kazi ambaye nusu kutoa maisha yako wanakulipa shingapi kaka ang maan mm ndo fan wako
Make ncheke kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sio kwa mbio hizo oya mwanangu ndota hatar 😂😂😂😂😅
Mwanamke wabure harafu umhudumii safi sana
Dah jamaa muoga sana ,,,je ataweza kweli kuilinda familia yake
Pole sana monsuly wetu uyo ni muoga afai kabisa ata kuwa mume
Mtoto mzuri yule sio wakumpiga
😂😂😂😂😂😂😂kwani uyo broo kichaa nae anaingilia nn mambo ya dada mtu ufala huo
Kumbe monsuly ndo anakimbia hivi😂😂😂😂nyiee kawazidi wote ye yuko mbelee😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅.
Mwanangu Soo kwa ndotaaa😅😅😅
Mwanangu punguza matangazo man
Monsuly anakimbiaaa
Ivi mounsuly ulikubuka kubeba kipochi chako😂😂😂😂😂😂poleni Sana kila KAZI inachagamoto Yake jamani 😂😂😂
Nimecheka sanaa wallah daah part 4 please
Umeingia kambi ya jesh😂😂
Duh pole monsure.uyokijana hafai
Mngefanyia mahongezi semu nyingine monsuly angempigia mtoto wa kike simu kama anavyo fanyia wengine ingeluwa raisi😂😂😂
Huyu jamaaa muoga sanaa aaah noma kweli
Yaan kama muvi vilee😂😂😂😂😂❤
Aliemuona bib akiskliza Umbea kwamakn kabisa kwamjumbe tujuane😂😂😂😂
Jamaa miyeyuso kisengee😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂sio kwa mbio hizo jaman 😂😂😂😂aki nimecheka mpaka machozi
Duuuh 😢ni huzuni pole monsuly,,huyo kaka ni halali yake kuachwa Kwa kweli ni mbinafsi mno😢😢
Ndo maana wanawke hwapendangi wnaume weupe 😂😂😂😂😂😂 haa Kaka muoga kma nn 😂😂😂😂😂
Et mwenye mke Yuko mbele kwambio😅😅😅😅😅
Hadii begii kaacha saa na wee ulivuaje ukaweka chini pale😂😂😂😂😂ila monsuly
😂😂😂 jaman nimecheka mnoooo kah kupigwa shikamo😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 huyo kaka tunamuombea maisha mazuri na mke wake ,ila awe analala na qanga maana huko kaka yake dem siy pw
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kashesheeeeeeee
Kumbe monsuly na wew muoga 😂😂😂nikajua usha sacrifize maisha yako kwa ajili yetu 😅😅
Nimecheka so siri😅😅😅😅😅
😀😀Monsuly miyeyusho sana ww
Ili lianamme lipo ka fala🤣🤣🤣🤣 Monsuly kaz anayo kwa kwel
Huyo dota anakaa bro wngu kabsa 😅😅😅😅😅
Jeshi la mtu1 . Bt huy jamaa mshambaa kino😢maaaa
Sasa huyu kaka mmh hata neno lakuongea nakosa😂😂
Unazingua matangazo ayo cc tunajua unaharibu bhana matangazo ayo
Pole kak 😢😢 Mungu akulinde kk
😂😂😂😂😂😂😂 jamaniiii leo nimecheka balaaa 😀😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😂mosury hayo masuruale yako bhana😂😂😂😂😂
Mshikaj miyeyusho uyoo
Dah
Monsury unapambania maisha yawatu sana
😂watu wenye miguu mirefu wanambio jaman😅 check monsuly
Kama maigizo vile, eti wew ndio unakibeg chako kile mm kuna nn 😢wew si kuna mke wako kule au ndio kwaheri ndota keshaharib😂😂😂nimecheka mpaka stress nimesahau uwiiii...
Duuh ila uyo jamaa kazingua sanaaa mbn tiffah 2 mzuri iv wanaume unatakaga tufanye nn😢😢
Yan mshikaji muoga mpaka anaboa😂😂😂😂
Sema mwanang anamoy mi cwez kutembea n dem ambae broo wake kama hvy
😂😂😂😂😂😂😂 makaka ni kama hawa ss
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona cheupe anatembea kama kagoka kwa p dd
Hahaha mosuli 😂😂 hii ngum mwang utakuja kufa
Nilikuwa nagoja hyo hamu ya tatu ifike kube monsuly huna mbio hvo leo hii nitayangali mara kumi kila saa😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huku kaka ni muonga San na hajiamini kbs daa.... Pole yake
Nyie vp mmefata nn😅😅😅😅😅
😂😂kazini Kwa monsuly Kuna kazi😅
Ndoto nakubali sana kaka
Kama namuona mjumbe na hyo kanzu 😅😅 akitolew mbio 😅😅😅 , nko hapa nasbria muendlezo 🤪
Weee hee kumbe Mounsuly anambio ivo
Tupo na nyie mpaka muuliwe😂
Huyo jamaa bangi hana akili amuoe yy sasa na dada yupo hapo anachekelea han akili psmoja nahuyo shogs yake hajitambui umalay tuy umezidi
Kweli
@monsuly una mbio kichizi..😂😂😂
😂😂😂😂😂wakati huo camera man yupo wap??ma zombie kama nyie munasitahiri hilii😂😂
Monsuly Acha uwoga bn ww😂😂😂😂 @Monsuly
Duuuh 😂😂😂😂😂😂😂
Yan kwel wanaume weupe hawana maana huyo kaka muoga kama nn kha anakera😂
Monsuly umemkataa mshakg
Bibi mbea 😂😂😂 shingo ndefuuuu
😅
😂😂😂 𝐧𝐚𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐲𝐚
Nilikuwa na hacra ila hii video imenifanya nicheke sana😂😂😂😂😂 poleni ajali kazini
Mlitakiwa mumpashe kwanza vibao huyo ili atulize wenge, mtoto wakiume anaogopaje hivo
Eeeee jamani 😅😢 siokazi laisi
Ndota pigaa hao😂😂😂
Yani hadi camera ma 🏃🏃🏃🤸😂😂😂
Jaman nimecheka kwa sauti huyo jamaa alivyo muoga
Sema Huyu Jamaa Wakupigwa Anapigo Za Kishamba Anamuogopaje Mwanaume Anatakiwa Apambanie Maelekezo Yake
Monsuly w usingekimbia bana coz w huna baya lolote
Huyu jamaa mshenzi kweli
Wallay nimecheka sana wallay 😅😅
Nimechekaaaa kinouma
Uko mkaka mwenyewe demu pombe tu anazunguw san yani
Nipe kaz Kam izo kwangu Kam shereh tu
Kunjani.......😂
😅😅😅
Zindaaba 😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂da! Pole
Ndota yupo sawa huwezi kumpiga dadaake na uende nyumbani kwao hizo ni dharau, kwan kumtongoza ulikuwa unaenda kwao, ungetumia mbinu za kiume kumtoa kwao hata kupitia Monsuly ili muongee mbali na nyumbani kwao
Ilah ndota😅😅😅
Leo leo imalizie sehemu ya nne
Mbon unamkataa jmn ety so rafik yako 😂😂😂😂 unaokop kipigo
Man SULY ni msela sema una waekitia tu
😅😅
@@monsuly Nikushauri Usikubali kuenda kwenye Nyumba zawatu kufanya Upatanishaji awe Ameolewa au hajaolewa Utakuja kuumia Vibaya au ata kufa hiyo Michezo icheze Hukohuko Mitaani tu
Jamaa anatabia zakike, ndomaana hata demuwake alisema huyu hata hawezi kupigana kwaajili yake, nikweli kabisa hamna mtu humo.
Ata sijui nacheka nini
Leo kimeumana jamaa anataka mgeni atangulie ikiwa mtaa haujui
Ndota sela
Sasa kwanini msimpigie simu aje sehemu yoyote kwann muende nyumban kwakwel yaan ujaoa unaend hadi nyumbn kwake na wazazi wako wapi
SEMA jamaaa kanizidi uhoga
Ila camera 📸 man😅😅😅😅
Monsuly huko usiende gata siku moja
Sasa uyo mwanaume anampiga mke wake kumuachia pesa ya chakula ni shida kumunyanyasa, sasa anamutaka tena arudi kwake,ana wanawake wengine ,kulewa,.... inaonyesha uyo mwanamke alikuwa amemvumilia sana
Huyo jamaa kwenye ac yake ya tiktok ni muhuni kinoma #ndota
Ndot kapachangamsha
Unaboo na izo advertisement kila time subscription 😔
Yani pale msingekaa mngemuita pembeni sio nyumbani
🤣🤣 ila kazi zingine ngum sana. Uyo boy niwakuchapa makofi mbona muoga sana
Kak umesahai begi lako