Tenzi no 55: Nipe moyo wenye sifa, Helbeth Mlelwa...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024
  • #tenzizarohoni #mbarikiwa #kikosikazichainjili

ความคิดเห็น • 31

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen barikiwa sana Mlelwa mtumishi wa Mungu kijana wa Mbarikiwa 🙏 🙏🙏❤❤❤

  • @williamumbwilo1737
    @williamumbwilo1737 2 ปีที่แล้ว +2

    Namwona mbarikiwa mwakipesile

    • @Afrikahuru28
      @Afrikahuru28 2 ปีที่แล้ว

      Year Ni copy yake kwa kipande fulani..

  • @danielmwampeta3338
    @danielmwampeta3338 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeni, Eee Mwokozi nami nipo usinipiteeeeee,

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 2 ปีที่แล้ว +2

    Moyo wangu uwe kielelezo cha mwokozi
    Yesu nataka nikujue vyema

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  2 ปีที่แล้ว

      Kwa ibada hizi, lazima uwe kielelezo cha mwokozi.

  • @ZakariaLenald-cd6io
    @ZakariaLenald-cd6io 8 หลายเดือนก่อน

    hii. very nature imenigusa nimependa sana. mtumishi. kaiimba. kiroho. sana inabidi watu. wote. wajifunze. kama huyu. mtumishi 😢😢😢😢😢

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @stevennjalika449
    @stevennjalika449 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtu wa mungu umeeleweka

  • @ngendakuriyotriphose8109
    @ngendakuriyotriphose8109 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde mtumishi

  • @davidanzigale8660
    @davidanzigale8660 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mahubiri...Mungu akubariki mtumishi...ainue huduma ya mbarikiwa #from Kenya..stay blessed!

  • @raphaeledson2002
    @raphaeledson2002 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Afrikahuru28
    @Afrikahuru28 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipo nyuma Yako nakuja blood brother in Krist

  • @kikosikaziupdate
    @kikosikaziupdate 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwee

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 2 ปีที่แล้ว +2

      Kamanda umesikiliza kweli au unambariki kwa kuona kichwa cha crip yake tu???
      Jihu engineer...

    • @kikosikaziupdate
      @kikosikaziupdate 2 ปีที่แล้ว +1

      @@sifawayesu7079 nimesikiliza mtumishi hadi mwisho

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 2 ปีที่แล้ว +1

      @@kikosikaziupdate Safi sana hapo ubarikiwe na wewe..

  • @Afrikahuru28
    @Afrikahuru28 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeielewa sana hii, nimeielewa kiasi naiplay yenyewe tu Muda mwingi wa siku...

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  2 ปีที่แล้ว +2

      Nyie mliokuwa mnaimba kwaya Roman au Moravian lazima muielewe hii 😂😂😂

    • @Afrikahuru28
      @Afrikahuru28 2 ปีที่แล้ว

      @@HelbethMlelwa 🤣🤣🤣 Sio mchezo hii kitu, aaah Ulizama sana baba, sio mchezo, kweli yani nimekumbuka roman jinsi zilivokia zikipigwa hizi, ata nikawa namwambi kamanda Yakobo, kwamba Kamanda Helbet alikua mwenyekiti wa Kwaya si unaskia Bass hiyoo🤣🤣🤣🤣

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nilijua kuwa nyie mliokuwa mnaimba kwaya mtaipenda sana, ili msije mkarudi kusikiliza kwaya, ngoja tuimbe tenzi kwa tune hiyo.

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  2 ปีที่แล้ว +1

      Aisee base ina ladha yake bwana 😂😂

    • @Afrikahuru28
      @Afrikahuru28 2 ปีที่แล้ว

      @@HelbethMlelwa aaah, sana imekaa kwa ubora sana, tokea juzi me naisikiliza sana hii, alafu pale pa bass ndio pananogesha Sana,🤣🤣

  • @elijiusdaniel9817
    @elijiusdaniel9817 2 ปีที่แล้ว

    Amen kamanda mbarikiwa sana

  • @Injiliisiyogoshewa
    @Injiliisiyogoshewa 2 ปีที่แล้ว

    Amen Mr Man.

  • @HeriLwena-qc2jc
    @HeriLwena-qc2jc ปีที่แล้ว

    Imetulia sana

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  ปีที่แล้ว +1

      Nimeshitushwa na kuona comment yako kaka. Ila nakukaribisha kwenye maisha ya wokovu halisi.

    • @HeriLwena-qc2jc
      @HeriLwena-qc2jc ปีที่แล้ว

      @@HelbethMlelwa np mbioni mtumishi kuingia ktk wokovu.

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  ปีที่แล้ว

      Karibu sana kaka. Nitasikia furaha sana ukiokoka.

  • @davidanzigale8660
    @davidanzigale8660 2 ปีที่แล้ว

    Najipata narudia wimbo huu kila wakati....