Ibrah ni msani mzuri ila hapa anaenda nisehemu mbaya. Kua na heshima na nidhamu kwenye career yako. Msanii kama Diamond Platnumz anaweza kukupoteza kimziki kwasababu ana mashabiki wengi sana, nawewe kama msani mchanga unahitaji hawa mashabiki kuku kuza. Na nyinyi waandishi wa habari musiwe na tiya kiburi hawa masanii wapya kisa iko na hit 2 ama 3, hawa ma giants wana connections nyingi, na wanajua entertainment industry vizuri sana. Ibrah awe na adabu. Kushindana ni vizuri sana ila isiwe ya ugonvi
Kwa hiyo Ibra kakosea kumsabahi huyo bwana wenu?Na Ibra asinge msabahi pia,ingeonekana dogo ni msani mdogo ila anaonyesha dharau kwa wasanii wakubwa.Halafu na wewe waandika ujinga,eti Ibra anaweza kupotezwa kimusic,kwani Ibra kasema anataka kushindana na bwana enu?Acheni ushabiki mavi,mtu kama kakosea muwe wakweli.
Anatakiwa kujifunza sio kutafuta ugimvi na mtu kama diamond, kiba au harmonize,blue nk.... Level zake ni D voice , Dayo hata Jay melody hawez kushindana nae
Nyie watangazaji mnapenda sana kujuza maneno pia uyo dada Hana akiri una sapot ibra kushindan na mond yani ww dada jifunze kitu kwa uyo jamaah anajua nn anaongea mzc wet ufike mbari
Babalevo kkkkkk don't make me laugh please. If you want competition with Ibrah . Can you make your own show at stage and we have to count how many people will be in. And Ibrah also same. You will see even yourself Babalevo. Ibrah will win you even now or tomorrow. Ibrah is new generation try it babalevo you will be shame. If you are professional with bongo music since Ibrah sing Dharahu. He is shining and alot of Tanzanian follow He's work
Kwenye mafanikio ya pesa heshima tegemea kwa wale wanaokutegemea sio kila mtu unataka amuheshimu yule anaekufanya uende choon ww km ww baba lebo hapo unakosea san kila mtu anamafanikio yake kwa upande wake
Sasa utamuhimiza nani ili aje kufahuru kwa kushindana na diamond? Kuanziya kiba mpaka wengine wengi + medias wlishindwa vita na diamond, sasa ibrah mnamdanganya hata konde kapambana na moshi mpk sigara imezima hajafanikiwa kuzima diamond
kwani diamond hatoki dam nyekundu hata mubuyu iikuwa mchicha na sisimizi iihuwa tembo wa tangazaji wa tz kwanini munahonaga kama mungu mutu??????!!! acheni ushamba hata awe na bitu bingi ataenda nabyo mbinguni acheni ushamba
Sasa na Bob Marley atafanya nini na Michael jackson haya mafanikio machache yasiwasahaulishe mlikotoka so inamaana watu wote tunasikiliza nyimbo za diamond acheni ushamba mziki haupo ivo wapeni vijana nafasi Kama marehemu Ruge asingetengeneza hawa mngewasikia wapi?
Mbona huyu msichana kama vile chuki, Mashindano siyo vibaya, ila kama wasanii washindane kwenye mziki, ss dogo kavuka mipaka, Awe na heshima, yeye bado mdogo sana. Ajifunze kupitia wakubwa zake
Waandishi wa Tz kitu mujuwa nikupadilisha sauti kama watumishi wa shetani Na mujuwe tafwauti ya mashindano na unafiki. Baba Levo anawajibu kisomi na ndio chawa ila amjaelewa Kuongelea Ibrah na Diamond nikumskosea Uyo Mondi wenu adabu, kwa maisha ya kaiwaida even nyinyi wote mulishawai salimiwa na mukakosa kujibu na sio kwa ubaya
Shida anashindwa kuwa na nizam . Ahachane na bifu za kijinga atajipoteza.mwijaku amesema ibrah ni mkubwa kwa Baba levo na diamond na icho ndo kitamponxa dogo
Ibrah ni msani mzuri ila hapa anaenda nisehemu mbaya. Kua na heshima na nidhamu kwenye career yako. Msanii kama Diamond Platnumz anaweza kukupoteza kimziki kwasababu ana mashabiki wengi sana, nawewe kama msani mchanga unahitaji hawa mashabiki kuku kuza. Na nyinyi waandishi wa habari musiwe na tiya kiburi hawa masanii wapya kisa iko na hit 2 ama 3, hawa ma giants wana connections nyingi, na wanajua entertainment industry vizuri sana. Ibrah awe na adabu. Kushindana ni vizuri sana ila isiwe ya ugonvi
Kwa hiyo Ibra kakosea kumsabahi huyo bwana wenu?Na Ibra asinge msabahi pia,ingeonekana dogo ni msani mdogo ila anaonyesha dharau kwa wasanii wakubwa.Halafu na wewe waandika ujinga,eti Ibra anaweza kupotezwa kimusic,kwani Ibra kasema anataka kushindana na bwana enu?Acheni ushabiki mavi,mtu kama kakosea muwe wakweli.
@@kdloon2030wakati mwengine kama huna kitu cha maana chakusema kaa kimya
Ibraah yupo sahihi2 kusema hamuogop harmonize wala diamond sema mr mapua anapenda kiki
Kwani diamond ni mungu nyinyi nn acheni ubwege.
weni kum* kwel akuna boya kam ww
Dada uko sw njo mana ya mtangazaji upendlelei 🙌🙌
Baba Levo, acha izo mambo ya kukatisha tamaa.. IBRA ni kijana mdogo anahitaji pia ushauri 🎉🎉
Ibra ndio wakutakiwa awe naheshima kwa Simba na kwa wengine wote
Dada akiri yako inafany kazi vzr❤❤❤
There's a different between being inspired and comparison you should understand that
Ata mond kaliwa na p did
Pia tunajua
Oyaaaa baba levo n Kubwa jinga
Mziki wa baba levo haujulikani😅
Yani anajulikana kama chawa2 msiwe unaogopanaogopana uko mjini bongo ongeeni nn point 😂😂
💥lb❤❤
Dada anaongea na uchungu mno... 😅😅
Anatakiwa kujifunza sio kutafuta ugimvi na mtu kama diamond, kiba au harmonize,blue nk.... Level zake ni D voice , Dayo hata Jay melody hawez kushindana nae
IBRAH bado mdogo kwa dangote saana
Respect Dada
Wote hamjielewi hapo nahuyo baba Levo wenu washamba tu
Ibraah mkali
Kwaiyo ibra anaugomvi na diamond
Diambond ni mke wapididy
Eti anasema utuyoyo anaeshindana na daimond akatishwe tamaa kwani uyo daimondi Nani yeye ninani Tz Babalevo ache ushamba Wakikimbizi
Dada umesema vizuri kabisa ila uyo kaka Anazunguruka ila ww umekuja kweny point
huyo mama revo tahira
Nyie watangazaji mnapenda sana kujuza maneno pia uyo dada Hana akiri una sapot ibra kushindan na mond yani ww dada jifunze kitu kwa uyo jamaah anajua nn anaongea mzc wet ufike mbari
Wewe ndio una akili ten bogazi
Huyu dada,unatarajia umpe moyo hadui yako😂😂 uza Kuma uko dada,baba levo Yuko,ibra alihojiwa na bado babalevo akajibu kulingana na fikra zake
FIKRA ZA KIMASIKINI NI KWAMBA ANAHAKIKISHA WENGINE WANAFELI ILI ABAKI YEYE
Kibongo bongooo
Na fikra nyngne za kimaskin ni kuhis unafanyiwa fitna ili usiendelee kimuzik
Jibu zuri kumbe wewe tu huna juhudi@@Theman-dn8vo
Kushindana ni sawa ila sio dharau
Mmmh baba levo bhana ni mtu wa hovyo sana
Upishano wa babalevo na ibrah ni Mkubwa kwanza babalevo ni Msomi pia babalevo kaanza vitu kibao longtimes ibrah hana adabu
@eastAfrica radio nasisi Diamond platnumz tuta mkatisha tama kwa wa NiGERIA 🇳🇬 Asake na kwa Burna Boy 😂
😂😂😂
Waandishi wa habari huleta befu zakijinga,kiukweli ibra anaimba but haezi Kwa baba levo
Bangi zinawasumbua vijana
IBRA MASIFA DHARAU UWACHE KIJANA
Kwan ye ibrah anahisi anaweza pendwa na kila mtu no wrong ustar mzigo wa miba ukiubeba unaumia😅😅😅😅😅
Kwan platinum anajikuta nani mpk akatae salamu?
Baba Levo anatetea ugali wake kwa daimond sema anazingua
Babalevo kkkkkk don't make me laugh please.
If you want competition with Ibrah . Can you make your own show at stage and we have to count how many people will be in.
And Ibrah also same. You will see even yourself Babalevo.
Ibrah will win you even now or tomorrow.
Ibrah is new generation try it babalevo you will be shame.
If you are professional with bongo music since Ibrah sing Dharahu.
He is shining and alot of Tanzanian follow He's work
Side mira inapambana na Engine😅😅
Kwenye mafanikio ya pesa heshima tegemea kwa wale wanaokutegemea sio kila mtu unataka amuheshimu yule anaekufanya uende choon ww km ww baba lebo hapo unakosea san kila mtu anamafanikio yake kwa upande wake
wewe dada aujala ibrah Hana adabu unasema anajifunza analeta dharau respect the man if you don't na wew fans zake watakudisrespect
Uchawa ukizidi ni ujinga tu.,
Baba Revo kaishia la ngapi maana huwa simuelewi😳??
Sasa utamuhimiza nani ili aje kufahuru kwa kushindana na diamond? Kuanziya kiba mpaka wengine wengi + medias wlishindwa vita na diamond, sasa ibrah mnamdanganya hata konde kapambana na moshi mpk sigara imezima hajafanikiwa kuzima diamond
Huyo mtt awe na heshima atunze heshima asimuige harmonize Ibrah anataka kiki mziki ameushindwa?
kwani diamond hatoki dam nyekundu hata mubuyu iikuwa mchicha na sisimizi iihuwa tembo wa tangazaji wa tz kwanini munahonaga kama mungu mutu??????!!! acheni ushamba hata awe na bitu bingi ataenda nabyo mbinguni acheni ushamba
Dogo atulie diamond hawezi kumuwaza mtoto mdogo km uyo
Dada levo unaupuuuz mwingi unabebwatu kama chupi
Sasa na Bob Marley atafanya nini na Michael jackson haya mafanikio machache yasiwasahaulishe mlikotoka so inamaana watu wote tunasikiliza nyimbo za diamond acheni ushamba mziki haupo ivo wapeni vijana nafasi Kama marehemu Ruge asingetengeneza hawa mngewasikia wapi?
Ibra akomae tu maneno yapo tu.
wedada hujuwi unalo ongeya kwa hiyo ni sahihi ibra avuliye wakibwa zake adabu ?
Nenda makaman nakomwelako
Mbona huyu msichana kama vile chuki,
Mashindano siyo vibaya, ila kama wasanii washindane kwenye mziki, ss dogo kavuka mipaka,
Awe na heshima, yeye bado mdogo sana. Ajifunze kupitia wakubwa zake
kama kuna mtuu ana mchukia ibraah bas uyo mtuu atakua mchaw yeye na familiy yake
Konde geng wote wanafiki tu
mwisho mara 3 halafu apo asipo itikia anaachana nae
Vraiment je me désabonne de votre média les irreconnaissents🙄🙄🙄🇨🇩
Nlicho gundua hawa watangazaj wanamtetea dogo lakin dogo anajikita gangster
Si yo kushindana naye Bali ni kujifunza , mtangazaji unafeli wap? Kushindana naye cyo sahihi but kujifunza ni sahihi.
Azikwi nazo vyote
Baba levo naisi ana firwaga na domo
Ibraah kk wewamoto
Masnich
Hauwezi kujishundanisha na Moo na Bakhresa ukiwa wew unauza Karanga
Inawezakana
Babalevo Hana akiri ata kidogo!Imagine mtu mzima kama yeye anaongea matapishi kama hao
BABA LEVO YAPO SAHIHI SANA KASEMA ANAWEZA AKAWA NAMAZALA KESHO
Ibra atulie
😅😅😅😅
Mpumbavu wewe mama levo
Waandishi wa Tz kitu mujuwa nikupadilisha sauti kama watumishi wa shetani
Na mujuwe tafwauti ya mashindano na unafiki.
Baba Levo anawajibu kisomi na ndio chawa ila amjaelewa
Kuongelea Ibrah na Diamond nikumskosea Uyo Mondi wenu adabu, kwa maisha ya kaiwaida even nyinyi wote mulishawai salimiwa na mukakosa kujibu na sio kwa ubaya
Ibraah nimkali
Baba levo ana chuki sana
Shida anashindwa kuwa na nizam . Ahachane na bifu za kijinga atajipoteza.mwijaku amesema ibrah ni mkubwa kwa Baba levo na diamond na icho ndo kitamponxa dogo
Mjinga tu babalevo... Ujatishwe tamaa vipi? Mkatishe tamaa kiba kama mnaweza😂 wachaneni na kijana ... Diamond unakataa vipi salamu
HUYO anakataa kuahanachuki nae je Kwani CHUKI inajificha Wapi kwa MTU????
Ww Dem kajisafishe kinyesi ww hiv ibrah ndo ulinganishe na up coming kwel ww jiangalie saw