Tangazo la nafasi za masomo 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2022
  • Shule ya Sekondari ya wasichana ya Collegine inamilikiwa na masista wa Familia Takatifu wa Collegine.Shule hii inapatikana Mkoani Njombe.Ni shule iliyojikita katika falsafa ya Elimu na malezi bora.Shule hii inapokea wanafunzi wote bila kujali itikadi zao za kidini.Malezi ya wanafunzi katika shule hii yanazingatia misingi na maadili ya Kikristo pasipo kuathiri dini nyingine.
    Kwa elimu bora,malezi bora na stadi za maisha, Karibuni katika Shule ya Sekondari ya wasichana ya Collegine.
    Kwa mawasiliano yoyote juu ya Shule yetu wasiliana na:
    Mkurugenzi: 0762 761 576
    Mkuu wa shule: 0762 896 146
    M/Mkuu: 0762 238 057

ความคิดเห็น • 1

  • @princepiammanda66
    @princepiammanda66 7 หลายเดือนก่อน +2

    Karibuni sana collegine girls secondary school