Ken Walibora roots for Kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 41

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akurehemu Dkt. Walibora kwa kupigania lugha yetu adhimu na azizi ya Kiswahili. Sasa hivi Kiswahili kimerasmishwa katika nchi ya Ethiopia. Pongezi kwa chuo kikuu cha Addis Ababa, Ethiopia kuanza kufunza lugha ya Kiswahili. Kiswahili kitukuzwe. Waafrika tuko pamoja milele daima.

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว +2

    I can listen to him talk forever.. rest easy Ken.

  • @redemptahasuka2560
    @redemptahasuka2560 4 ปีที่แล้ว +2

    Ken waliaula Walibora...tutakukosa kwa sana.Mungu ailaze roho yako mahali pema.....😭😭😭😭...Mhadhiri pia katika chuo kikuu Cha Kibabii... Bungoma...Ni uchungu sana...Ila Mola utupe nguvu kwa wakati huu mgumu.

  • @stevendegwa6709
    @stevendegwa6709 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuweke pahali pema peponi.Familia yako pia ipate Amani na nyoyo zao zitulizwe kwani huu msiba sio rahisi.
    Asante kwa Yale uliyoyafanyia nchi yetu tukufu.

  • @kiswahilikizuri1664
    @kiswahilikizuri1664 4 ปีที่แล้ว +6

    Kiswahili kitukuzwe. Safari njema Ken Walibora.

  • @timothyg1986
    @timothyg1986 4 หลายเดือนก่อน

    His Kiswahili just flows, reminds me of my high school teacher ❤

  • @machokaasungachritus9185
    @machokaasungachritus9185 4 ปีที่แล้ว +2

    Buriani ken safiri salama.tutakosa utamu wa kiswahili...siku njema si njema tena...uuuuuuuiiiiiiii...

  • @Yabesh67
    @Yabesh67 4 ปีที่แล้ว

    Tutakukosa sana mwenda zako Walibora. Binafsi nimejifunza mengi sana kutokana na umaarufu wako wa kiswahili hasa nikizingatia kua chimbuko lako ni la kutoka mgharibi ya Kenya. Naam Safiri salama Kaka.

  • @maris2200
    @maris2200 4 ปีที่แล้ว +2

    Respect to Ken. U made us (Kiswahili) proud. Rip.

  • @dorothyoloo4407
    @dorothyoloo4407 4 ปีที่แล้ว +4

    RIP KEN WALIBORA. I FELL IN LOVE WITH YOU JUST BY WATCHING THE WAY YOU WERE READING NEWS IN NTV BUT NEVER GOT AN OPPORTUNITY TO TELL YOU HOW HANDSOME, I THOUGHT YOU WERE . MY LOVE. RIP

  • @t.n.9868
    @t.n.9868 4 ปีที่แล้ว +7

    Rest in peace icon. Luhya nation has lost an icon

    • @BARAKABLESSING
      @BARAKABLESSING 4 ปีที่แล้ว

      SERIOUSLY???

    • @beatyfromkanjirakenya3738
      @beatyfromkanjirakenya3738 4 ปีที่แล้ว

      Fake News

    • @blucell4044
      @blucell4044 4 ปีที่แล้ว

      Don't be too quick to spread fake unverified sad news.nobody celebrates death,spare us some slurk. you are not in a competition to be the first to post nkt.

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 4 ปีที่แล้ว +1

      Not luhya but Kenya and all of Swahili speaking nation's...

  • @kanyamagaraabdallah8300
    @kanyamagaraabdallah8300 5 ปีที่แล้ว +1

    Oui cece cette idees nous avons etendre apartir de nos gens du Africains vs Afrique continent .

  • @vickjr98
    @vickjr98 4 ปีที่แล้ว +2

    RIP Walibora. Very sad day

  • @jlemayian
    @jlemayian 3 ปีที่แล้ว

    Lala salama, Mwalimu.

  • @josephmburu9055
    @josephmburu9055 4 ปีที่แล้ว

    Safiri salama Ken

  • @jacknerrickson2240
    @jacknerrickson2240 4 ปีที่แล้ว

    Buriani Ken!

  • @GabuGusto
    @GabuGusto 6 ปีที่แล้ว +1

    kweli👏

  • @komenkiplagat220
    @komenkiplagat220 4 ปีที่แล้ว

    Msanifu Kombo. R.I.P. life is too short but you left a mark.

  • @isaackkasavo783
    @isaackkasavo783 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kuilaza roho yako palipo na wema 😥

  • @MbakaloTv
    @MbakaloTv 4 ปีที่แล้ว

    kweli

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 5 ปีที่แล้ว

    Hata wakenya wengine hawajui kiswahili,je hilo nalo?

  • @thelegendsempire7286
    @thelegendsempire7286 4 ปีที่แล้ว +2

    Kongowea Mswahili.😭😭😭😭roho yako ilazwe pema peponi

    • @vickjr98
      @vickjr98 4 ปีที่แล้ว

      😥😥😭

  • @judgedions3755
    @judgedions3755 6 ปีที่แล้ว

    So I thought,siku njema ni true story.still wondering

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 ปีที่แล้ว

    pumxika kwa aman ken

  • @waltersangura3199
    @waltersangura3199 4 ปีที่แล้ว

    RIP walibora

  • @samsonthoyasirya8786
    @samsonthoyasirya8786 5 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili ni lugha yetu kukienzi ndiko kustarabika.Utajiitaje huru ikiwa bado unatumia lugha ya walio kutawala?.Ken walibora ni mmoja wapo wa wanajeshi wa kiswahili hapa kwetu africa ya mashariki. Natamani nionane naye siku moja.Wengine wanaona kutumia lugha ya kiingereza ndiko kuheshimika,la hasha hapana heshima hapo ila tu kuonyesha utumwa bado uko damuni .Kiswahili kitukuzwe pia kilindwe maana ndio hazina yetu tukufu.

    • @victorluttah7460
      @victorluttah7460 5 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana nawe kaka. Tabia ya uzungu imetawala wengi. Wanadai kuwa kuongea kizungu ndiko kustaarabika .

    • @mwanafalsafa3613
      @mwanafalsafa3613 4 ปีที่แล้ว

      Pole kaka. Mheshimiwa amefafariki dunia hutoweza kuonana naye

  • @kongowearaphael9339
    @kongowearaphael9339 4 ปีที่แล้ว

    Rip

  • @DjMozz.
    @DjMozz. 4 ปีที่แล้ว

    RIP

    • @beatyfromkanjirakenya3738
      @beatyfromkanjirakenya3738 4 ปีที่แล้ว +1

      Moses Kiptanui he is not dead. it is a death hoax.

    • @AustineMalala
      @AustineMalala 4 ปีที่แล้ว +1

      FAKE NEWS

    • @DjMozz.
      @DjMozz. 4 ปีที่แล้ว

      @@beatyfromkanjirakenya3738 go check again...it has been confirmed.

    • @DjMozz.
      @DjMozz. 4 ปีที่แล้ว

      @@AustineMalala its confirmed

    • @AustineMalala
      @AustineMalala 4 ปีที่แล้ว +1

      @@DjMozz. So sad!

  • @victormaobe1869
    @victormaobe1869 4 ปีที่แล้ว

    RIP