SHEIKH FAADHIL SHIRAZY MWALIMU WA UST SAID KIBOKO YA BACHU ATOWA ELIMU MKUNUMBI-LAMU-KENYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @hassanaboud8442
    @hassanaboud8442 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    S 🌟 A 🌟 W 🌟🌟🌟

  • @abubakarbakari7042
    @abubakarbakari7042 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Masha allah sheikh fadhil na ustadh said omar

  • @mohamedihashim7420
    @mohamedihashim7420 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante Maalim
    Allah akuhifadh
    Wasio elewa wote wameishia kusoma vitabu vya mwaka jana😂

  • @jemedarmohamed3644
    @jemedarmohamed3644 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashaa Allah

  • @musr931
    @musr931 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Imagine unafundisha mwanafunzi halafu anakuwa DJ. What an incredible honor!!

    • @YusufOmary-c8c
      @YusufOmary-c8c 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Imagen unakuja katika acounty ya mtu unaongea mambo ambayo haya husiani na madda huu ni ukosefu wa maadili na taqwa llaah

    • @YusufOmary-c8c
      @YusufOmary-c8c 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe huyo ulo mfundisha akawa waly wa Allaah basi sujudu sijdat shukr هداك الله

    • @AbdulrahmanBakar-h3h
      @AbdulrahmanBakar-h3h 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwamadi abdulwahab anajivunia mfuasi mwenye elimu kubwa na jishekhe lililobobea kama wewe huko aliko..!

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Imagine huyo mnaemkejeri ni Dj amemfundisha sheikh wenu LUGHA YA KIARABU Live 🤣🤣🙌🏾
      ‎ما معنى غريب في الحديث؟
      ‎ما الاعراب:تحقق صدقه؟
      ‎ما الصحيح: قد يكذب الصدوق ام السدوق؟
      ‎ما حكم الحديث الضعيف في الاستشهاد في مسائل السير والمناقب؟

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chuki ni mbaya sana mtu akimuona binadamu mwenzake kafanya kosa baasi atakigandahilo kueneza chuki utadhani yeye hajawahi kufanya kosa anajiona yeye ni mtakatifu, nahuku kujiamini sana ukajiona wewe hukosei inaweza kukutia motoni, maana kila siku DJ DJ jamani hnyinyi hamkoseii wenginge wanakosea kwa siri lakini Allah anatustiri,

  • @ayubahmed9490
    @ayubahmed9490 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    saidi hawezi kua kiboko ya bachu

    • @seifomary4471
      @seifomary4471 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kimtazao wako na mahaba yako na uelewa wako wewe

    • @ayubahmed9490
      @ayubahmed9490 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @seifomary4471 vizuri maana uelewa wangu ni wa kielimu

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uelewa up unao

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@ayubahmed9490KAMA UNA UELEWA WA KIELIMU BASI SIKU ILE YA NIKASH UNGEENDA KUMSAIDIA BACHO ASIKOJOZWE... 😂😂😂

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Said atabak kuw kiboko ya bachu labda ww usoofaham