Kwenye maisha binadam tunapitia mitihani mizito kiasi kwamba ukimsimulia mwingine 😮atabaki kusema duuu pole sana ila hawezi jua maumivu yako kwa ndani😢 ngumu kumeza
Batuli kimemkuta nn mara Moja hii wakati tunajianda na kuleta barau jamn ydon una bahati ww n wanawake wallah Tena kwaiyo batuli 😭😭 mbona hv sijaelewa mm jam np from 🇴🇲 kazi kazi
Nampenda sana lafk wa waidoni Kwa ushauli wake nzuri.❤❤❤❤
Jaman vp ii movie mnaiyonaje🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daaaah mnajua sanaaa🎉🎉
Kaka usiicheleweshe sana
Nimechelewa but Sio Sana Ydon kazi safii nishalike Wacha nimalizie kuwatch alafu nishare 🎉
Asanteh sana 📌😊
@@ydon_haiderkweli kabisa kila mchuma janga ula Na wakwao ✍️ Ni Bora ndugu Kuliko jirani mana damu nzito Kuliko Maji 📌 Mola abariki kazi yako 🤲❤️🫂
Kumbe mambo nimatam hiv jaman i like it😁
Haaah! Kitumbua mchanga kaingia😢😢😢😢
Ndoivo unapata demu anayekupenda anakufa inauma sana😢😢😢😢😢😢😢daaah
Wa 6 Leo nmewahi
Nakukubali sana mwamba mungu akujalie uzima Zaid uendelee kutufundisha na movie zako nzri sana ❤❤❤
Wakwanza leo🎉🎉🎉naomba like zangu plz
Ydon usijar Pole sana ila mm naweza kuziba pengo la batuli ❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅
Heeeee jmn batuli kimemkuta nin tena jmn mbona alikuwa mzm tuu😭😭😭
Mimi nimependa uapangiliaji wako maana vipindi vimepita unadefu na umebadiricha mpaka kitanda filamu nyingi husahau hinvyovitu vidongo vidongo
Dah! Inahuzunisha, Ila hapo mwisho sijaelewa vizuri, sijui ni ndoto au!
Mlipotea sana 😢🎉🎉
Kaz nzur sana jmn
Asante sana kwa muenderezo mzuli ❤❤❤❤❤❤
ushauri mzuri bro
Jini huyoo karudi ten kwenye himaya yakeee anafany kazi yakee 🎉
🎉 naqbal
Jmnn poleeeeee 😢ydon
Kyuba babakye🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪🇺🇬
Pole sana wa idoni
Iendelezwe jameni❤❤❤❤
Kwan uyo atuori Alijoin kibahati baya amenda alaka sana😢
Eeeh jmn mbna tamu 😂😂
Ushazeeka tayari
Ydon unamkosi sana kikweli
😢😢inahuzunisha sana
Sema aliyemuekea hizo ndevu kafeli nani kaona kama mimi🎉🎉🎉
Kwenye maisha binadam tunapitia mitihani mizito kiasi kwamba ukimsimulia mwingine 😮atabaki kusema duuu pole sana ila hawezi jua maumivu yako kwa ndani😢 ngumu kumeza
True kabisaa
Zawadi ya jini 🔥🙌,,,,yote Kwa yo
Jmn kwaiyo ndo imeisha eeeh
🎉🎉
Mzur mno
Sijachelewa sn au mnasemaje
Kazi nzuri Sana 🎉🎉🎉
Eeh kifotena yaani huyo waidon sjui nani Ana mkosi na yeye ndokamsababishia Hayo matatizo ya presha mdada
Jmn n❤❤❤
Jman mbm mwachelewesh ep 21
Tazama hii apa 👇👇📌
th-cam.com/video/MeWYzgCd7Hw/w-d-xo.htmlsi=9PRK39wNoM09T1fH
Nakuja jaman kuimaliza subr nimalize hii kahawa kwanza kazi kwanza maokoto baady
Movie nzuri saaana😅😅😅I😅
Ahsanteh sana😊
Hi
❤❤❤❤kazi nzr
Batuli kimemkuta nn mara Moja hii wakati tunajianda na kuleta barau jamn ydon una bahati ww n wanawake wallah Tena kwaiyo batuli 😭😭 mbona hv sijaelewa mm jam np from 🇴🇲 kazi kazi
mext please i can't wait 😅.. much love from kenya 🇰🇪💖
Wakwanza leo 😅
Zawadi Ya Jini Ep20 Tuondoke Nayo🎉🎉🎉
Izo ndevu cmemea haraka aje
Inakaa mda sana bila kutoka
Ooh Very Sorry nlikuwa nakuza ndevu 😊
Waidoni mimi
Kaka mbona una mkumbatia HIVYO pisi yangu😂
😂😂 Kumbe Nisameh Kaka
Nitamu 🎉🎉🎉 lkn fupy sana😢😢😢 why 😭😭😭
Batuli 😭😭😭😭🙏🏿
Kipande kimoja kimekula dakika nyingi
Move zur ila mnatuchelewesha
❤❤❤
❤❤❤ mambo 🔥🔥
Mnachlewesh can move yenu ydon
Jaman kipande cha 21 nakihitaj
Wadau wangu nawaombeni japo likes
🎉🎉🎉🎉Like 20 tu
Aha kumbe wewe ndie bokanya
❤❤❤🇰🇪
Wa kwanza Leo nipeeni likes ama mkae nazo mkule 😂
Duu
😢😢😢😢
😢😢😢
Zawadi Ya Jini Ep20 Tuondoke Nayo🎉🎉🎉
😢😢
Zawadi Ya Jini Ep20 Tuondoke Nayo🎉🎉🎉