Bila kificho ZATITY aweka wazi mahuasiano yake na MR TASHA ukweli umejulikana rasmi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 369

  • @ZahadiShauri
    @ZahadiShauri 2 หลายเดือนก่อน +29

    Tunakupenda sanaa zatiti na Mr tasha 🥰💕 nawapa maua yenu 🥀🥀🌹🌹🌺💃💃💃

    • @mariasulle-z6w
      @mariasulle-z6w 2 หลายเดือนก่อน

      Dada zatiti naomba uwe rafk angu

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu 2 หลายเดือนก่อน +18

    Nawapenda sana zatiti na tasha mmependeza mno na tabia zenu zina fanana pia 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @UmulkulthumShabani
    @UmulkulthumShabani 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah mumependeza sana jamani Mr Tasha na zaztiti muko vizur vipenzi tunawapenda ❤🎉❤ kazi yenu nzuri sana

  • @MwajumaMohammad
    @MwajumaMohammad 2 หลายเดือนก่อน +9

    Yes best couple we love you Mr. Tasha and Zatiti 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah nimefurah Mr Tash Kwa kumsifia zatiti iko mashaallah 💕💕💕💕🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Linnahsimon
    @Linnahsimon 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yani hapo ndo nimechoka jaman sasa mambo gan Tena kusema hamna mahusiano sisi tunapenda muishi pamoja jaman nje na sanaa Yani muoane kabica jaman 🎉😭😭

  • @LoveAron
    @LoveAron 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jamanii weee Zatiti ni msichana mzuri sn na mwenye hekima tena una tabia km zangu za kujitenga,Nakupenda sn kipenz ,pamoja na Tasha ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Damacline4004
    @Damacline4004 2 หลายเดือนก่อน +4

    Zatiti na tasha much ❤❤from kenya ....mnapendezana 🎉🎉🎉

  • @HilaliFeza
    @HilaliFeza 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tasha na zatiti nawapenda sana mdumu naupendo katika maisha yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MadamOrida
    @MadamOrida 2 หลายเดือนก่อน

    Polee zatiti Hadi umeniliza 😢😢pia hongeraa🎉🎉

  • @MetrineNelima-i4w
    @MetrineNelima-i4w 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤Nawapenda kweli Zatiti na Mr Tasha 💐💐💐

  • @shishi-qn6se
    @shishi-qn6se หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ jamani zatiti na tashaa mmependezana sana sana

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 2 หลายเดือนก่อน

    Good 💍💗💕 couple

  • @Zaitunrashid-c7q
    @Zaitunrashid-c7q หลายเดือนก่อน

    Zatiti na tasha wanapendeza kwa tabia zao nawapenda sana ❤❤❤

  • @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn
    @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman mashallah nawapenda sna naombq house girl iyendelee jmn nawapenda sna San ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sanaaaaaaa da zatiti na mr tashaaa mwenyezi Mungu awafanyie wepesi mno na kazi zenu ishaallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Miraji-b6i
    @Miraji-b6i 2 หลายเดือนก่อน +5

    Zatiti na Tasha mko vizur mng azid kuwafanyia wepec na awaepushe kwa Kila lililo baya.ktk maisha yenu

  • @justaatugonza
    @justaatugonza 2 หลายเดือนก่อน +1

    kweli mmetisha sana zatity na mr tasha nawapenda sana zatity unajua na unajua tena maua yako tafadhali 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @DavidMauziki
    @DavidMauziki 2 หลายเดือนก่อน

    Zatiti ni pole kweli je t'aime ma cherie❤❤🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e 2 หลายเดือนก่อน

    Much love from Kenya tasha and zatiti hongera sana kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @zippyzippy6292
    @zippyzippy6292 2 หลายเดือนก่อน +2

    I love this couple ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mr tasha peleka mali umuoe zatiti awe mkeo nawapenda ❤❤❤sana Mr tasha na zatiti 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

    • @NancyOgesagwa
      @NancyOgesagwa 2 หลายเดือนก่อน

      Aki pia mm nawaombea waowane kabisa

    • @CrestiaMsukwa
      @CrestiaMsukwa 2 หลายเดือนก่อน

  • @AbuhamzaAli-m7y
    @AbuhamzaAli-m7y 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mr Tasha dada yetu Zatiti ndio mke thaniti kwako fanya harakati awe mkeo, nawapenda nyote.🎉🎉🎉

  • @alawialawi4412
    @alawialawi4412 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi pia nawapenda sana Tasha na Zatiti.ninapenda episode ya 4

  • @ShillaVennesa
    @ShillaVennesa หลายเดือนก่อน

    Zatiti mrembo wangu❤❤ nakupenda🎉🎉🎉❤ww pamoja na Mr.Tasha mnapendeza kweli❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤❤❤

  • @HappyFania-ry2ch
    @HappyFania-ry2ch 2 หลายเดือนก่อน +7

    Weeeeeeee zuuu na kai pamoja na zatiti na Tasha wote wako vizuri yaani wako sawa hakuna cha kuzidiana wala nini ila ingependeza mngekuwa wapenzi kweli achana na move

  • @AbbysandiAbbysandi
    @AbbysandiAbbysandi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sans zatity na tasha❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AsmaTwaha-t5t
    @AsmaTwaha-t5t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mgefunga ndoa tu jamani mmependeza sanaa❤❤❤❤❤

  • @saidihalifa2744
    @saidihalifa2744 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo zatiti na Mr tasha❤❤❤❤❤❤

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda san zatiti n Tasha ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Bintnailah
    @Bintnailah หลายเดือนก่อน

    Mr /miss tasha nawapenda bure endeleeni kutupa 🎉🎉🎉🎉mwendelezo wetu

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani majibu ya Mr Tasha nayakubali sanaaa 🫡🫡🫡 Zatiti naee much love 🥰🥰🥰🥰

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Zatiti nakupenda❤❤❤❤❤❤

  • @SelinaKadzo-ck3rb
    @SelinaKadzo-ck3rb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila nawapenda nyinyi simwendeleee tuuu na mwooane tuu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ChristineKavoi-m2y
    @ChristineKavoi-m2y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Zatiti Mungu akupe maisha marefu tunakupenda Sana kutoka kenya🥰🥰

  • @AgnesAggy-r4e
    @AgnesAggy-r4e หลายเดือนก่อน +1

    Love u guys ❤❤.....From kenya

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wao zatiti mchaga mwenzangu i love you ❤❤❤❤❤❤❤❤ wewe nimefurahi sana

  • @rehemachongolo8386
    @rehemachongolo8386 2 หลายเดือนก่อน

    Tasha and zatity you're the best sababu aunga kifurushi kwaajili yenu ❤❤❤❤❤

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 2 หลายเดือนก่อน

    Mngependana tu iwe ya ukweli 🎉🎉🎉hakakika mumependezana sana ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JladyKadzo
    @JladyKadzo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani sio kwa kukamatiana huko😂pendaneni tu tuje tule ubwabwa 🎉🎉🎉🎉🎉twawapenda sana❤❤❤❤❤❤

    • @Benti-f3o
      @Benti-f3o 2 หลายเดือนก่อน

      Hak tena but hawa wanatundangny hakna hta mmoja atasema n wapenz kwl hta Kai na zuu walisem n washkaj hapa napo washkaj 😂😂😂😂😂

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan nina amani kumwona zatiti na Tasha 🎉🎉🎉🎉 nawapenda bure ila zatiti punguza kuwa so emotional 😂😂

  • @AnnaLukumay-i3i
    @AnnaLukumay-i3i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana zatiti wew na tasha❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Lucymalle-q9g
    @Lucymalle-q9g หลายเดือนก่อน

    Nawapenda san nimefurah mno kuwaon mpo pamoja zatit na mr Tasha 🎉❤

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn za titi na Mr tasha mnaendana kwa kweli❤❤

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sn wote 🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @Selina-rj7ky
    @Selina-rj7ky 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda san zatiti na Mr tash yan munasheza vizuri san ❤❤❤❤

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 2 หลายเดือนก่อน

    Mr Tasha na zatiti mumependezana sanaa ❤❤❤❤❤❤twawapenda mama kijacho na baba kijacho

  • @Nihenya
    @Nihenya หลายเดือนก่อน

    Usijali mtoto utapata leo nimejua wewe ni somo yangu nakupenda sana Christian nzatiti

  • @Fatima-i7h3w
    @Fatima-i7h3w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very good mndenge mwenzangu

  • @WiliamMoro
    @WiliamMoro หลายเดือนก่อน

    Kweli wako viziri Sana wamenifanya kuwa mhanga wa hausger 🎉🎉🎉🎉 tasha zatiti

  • @ZainaFerreira-u9p
    @ZainaFerreira-u9p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Zuri sana 🎉🎉🎉

  • @Fatumajuma-q7g
    @Fatumajuma-q7g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mr tacha hongela kwa kua na zatiti 🎉🎉❤🎉🎉

  • @MwanamisiHassan-xh5fn
    @MwanamisiHassan-xh5fn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wako poa sana ❤❤❤❤❤

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyundo tv nawapenda mnasikiliza mashabiki kutuletea tuvipendavyo 🎉🎉🎉

    • @nyundotv
      @nyundotv  2 หลายเดือนก่อน

      Ninyi ni wamuhimu kwetu ❤️

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@nyundotv tushushie part 2 ya Tasha na Zatiti 😂😂😂❤❤❤❤🎉

    • @nyundotv
      @nyundotv  2 หลายเดือนก่อน

      NOPE KUNA BEHIND THE SCENES ZAO SOON NTAZIPOST WAKIWA LOCATION

  • @everlinenjuguna2281
    @everlinenjuguna2281 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mama umesema kweli kabisaaa❤❤❤

  • @khadeejamct2096
    @khadeejamct2096 2 หลายเดือนก่อน

    Mashalla allah nawapenda mpak bas❤❤❤

  • @k4t8y
    @k4t8y 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉 from Dubai we love you Mr Tasha and zatiti❤

  • @YonasKivah
    @YonasKivah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zatiti na Mr Tasha mnaupiga mwingi mpewe 🎉🎉🎉 yenu

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa tunakupenda Sana zatiti na Mr Tasha tumefurahi kutuletea❤😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @brexides8713
    @brexides8713 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zatiti na Mr Tasha mumeweza kwahivo pokeeni maua yenu❤❤

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda sn Zatiti na Tasha ❤❤❤Mumependeza sn ❤❤❤ jamani Zatiti nikulete Kaka yangu Basi akuowe Nakupenda sn ❤❤❤

  • @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn
    @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi hawaja nikwaza zatiti Wala Tasha I'll munajitahid mumg awasimamie kwenye kaz yet inshallah. Nawapenda sna❤❤❤❤❤❤❤

  • @MillicentMbindi-jp2rn
    @MillicentMbindi-jp2rn 18 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana tasha na zatiti❤❤❤❤❤

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mr Tasha na Zatiti mnaendana saana. Kwa tabia na uzuri wenu pia. Wafatiliaji tunatamani hivyo. Tunawapenda saana.❤️🌹

  • @SalmaAbdul-l6p
    @SalmaAbdul-l6p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mleteni Zuu tena.na Kay nawapenda sana

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie halafu nyie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mwenyez mungu awalinde sanaaaaaaaaaaa

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda San zatiti na Mr Tasha natuman muwe mk na mume kwl jamn umependeza San ❤❤❤

  • @Esperance-uw7lf
    @Esperance-uw7lf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo wameongeya zatiti na tassa nikweli kabisa munapendezaga kwenye movi❤❤❤❤

  • @Lucymalle-q9g
    @Lucymalle-q9g หลายเดือนก่อน

    Jmaniii zatit Hadi 😭😭 umelia pole san unapendeza sana unavyoingza nakupend san 🙏

  • @devismoturi5006
    @devismoturi5006 หลายเดือนก่อน

    Na wapenda sana zatiti na Mr tasha muoane jamani ata venye mmeshikana mikono hapo mwapendeza Sana ❤❤🎉

  • @BensonMakatamila
    @BensonMakatamila 2 หลายเดือนก่อน

    Zatiti nakupenda sana na Mr tasha

  • @JudithBernard-g8u
    @JudithBernard-g8u หลายเดือนก่อน

    Fanyeni mambo zatiti na Tasha mnapendezana sana❤

  • @HildaMiho
    @HildaMiho หลายเดือนก่อน

    Mmependeza sana zatiti na tasha❤❤🎉

  • @GetrudaTarimo-c7y
    @GetrudaTarimo-c7y 2 หลายเดือนก่อน

    Waoo ❤❤❤ zatiti kumbe wewe nimchaga wetu hongera sana zatiti.

  • @BekyMmbone
    @BekyMmbone หลายเดือนก่อน

    Mr Tasha na zatiti wapewe mauwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kutoka Kenya 🇰🇪

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mr Tasha na Zatiti nawapenda sana naomba muoane jaman mnapendeza sana

  • @Trizah-jb2on
    @Trizah-jb2on 2 หลายเดือนก่อน +1

    Endeleeni. Nilikua naipenda saana

  • @TheresiaSteven-bq6ze
    @TheresiaSteven-bq6ze 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmependeza mnooo❤❤

  • @MargaretNyongeaa
    @MargaretNyongeaa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nice couple in town ❤❤❤❤even in real life wanapenda ❤❤❤mwaaaaaa

  • @MRTASHA-c2k
    @MRTASHA-c2k 2 หลายเดือนก่อน +14

    The best couple

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona ee fanya mambo apo ndoa ije sawa mr Tasha 😂😂

    • @Cthymgeni
      @Cthymgeni 2 หลายเดือนก่อน

      Like 🎉🎉🎉🎉❤

    • @eunicejohn3994
      @eunicejohn3994 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa yaani

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 2 หลายเดือนก่อน +3

    Zu nakai ❤

  • @SharifsomariNyangusi
    @SharifsomariNyangusi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbali na kazi muoane kwel😃🔥🥰🥰

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Favorite Nice couple ❤❤❤

  • @NkurikiyinkaJeanpierre-oo6xz
    @NkurikiyinkaJeanpierre-oo6xz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sana 🎉🎉🎉kutoka Rwanda

  • @AishaNajib-n1f
    @AishaNajib-n1f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nampenda zuu na Kai pamoja na zatiti na Tasha nawapenda sana pamoja na mama ake na tasha

  • @محمد-م4ث6ت
    @محمد-م4ث6ت 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mm nawaombea muwe mke na mume kweli ❤

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nwapenda sna zatiti n Mr tasha❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AnitaFaida
    @AnitaFaida 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @TinaSakweli
    @TinaSakweli 2 หลายเดือนก่อน

    Waoooow zatity wajina wangu nakupenda sanaaa 🥰🥰

  • @Fatumajuma-q7g
    @Fatumajuma-q7g 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢🎉❤ nawapenda sana

  • @Ronah-z7i
    @Ronah-z7i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zatiti mm nawangalia kwa jicho la tatu ❤

  • @SarahHappy-k1o
    @SarahHappy-k1o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana zatiti na Mr tasha❤❤❤

  • @Ablogeenterprise
    @Ablogeenterprise 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mnaendana ukweli ukweli bna 😂😂😂😂❤❤❤❤ Ila mmeendana bna

  • @NadineNdagwaruka
    @NadineNdagwaruka 2 หลายเดือนก่อน

    ❤️‍🔥❤️‍🔥😍😍❤️‍🔥🧡🧡🧡Zatiti & Tasha much love ❤️ 😍 💖

  • @RodriguezMudahigwa
    @RodriguezMudahigwa หลายเดือนก่อน

    Very nice zatiti and Mr tasha❤❤🎉

  • @ShaheedaG-x4q
    @ShaheedaG-x4q 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda san 🎉🎉🎉

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 2 หลายเดือนก่อน

    Eee jamani mister tasha NA zatiti tu nawapenda sana ❤❤❤

  • @MonkeyDLuffy-p4g
    @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

    Mr and Mrs tasha ❤❤❤😊😊🎉🎉🎉🎉💓💖💖💖💖

  • @SarahIngumba
    @SarahIngumba หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda sn zatiti na Mrs tasha mungu awabariki sn

  • @SophiaIssa-n6t
    @SophiaIssa-n6t 2 หลายเดือนก่อน

    Miminataka msimu wa nne iyendeleeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤