TAZAMA YANGA YAPIGIWA SHANGWE KUBWA BUNGENI LEO/AZIZ KI ASIMAMISHWA NA WABUNGE/SPIKA APIGA KIJEMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • #alikamwe #hersisaid #yanga #azizki #mayele #msuva #live_ #yangaleo #yangasc #yangatv

ความคิดเห็น • 78

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 4 หลายเดือนก่อน +6

    Yanga tam inajadiliwa na kila mtu atakae cheza kwetu ndo mchezaji wetu tuachen na yanga yetu💛💚💛💚🔥🔥🔥

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 4 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @MARCOTSUUT
    @MARCOTSUUT 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ibariki yanga

  • @modelka222
    @modelka222 4 หลายเดือนก่อน +3

    Chama mzuri sana tena saana. Lakini ukiwa unataka matokeo,magoli hakuna kocha atampanga chama mbele ya Aziz k

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli sioni mchezaji wa simba anaestahili kucheza yanga kwa sasa

  • @unclesammykaniki1184
    @unclesammykaniki1184 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana heshima kubwa.

  • @ChunguweniKigunga
    @ChunguweniKigunga 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga baba lao

  • @MARCOTSUUT
    @MARCOTSUUT 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga mbele.

  • @MadegeshoGerady
    @MadegeshoGerady 3 หลายเดือนก่อน

    najivunia kuwa Wana yanga

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wee chama kaa mdaa mrefuu sana simba km chama mzuri 2020 walicheza fainali ya mapinduzi zzb na mtibwa na chama alikuwepo chama wenu

  • @FaridaHamisi-k6i
    @FaridaHamisi-k6i 4 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana mabigwa

  • @user-mp6zd2ui7r
    @user-mp6zd2ui7r 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga hoyeeeee❤❤❤

  • @leonardyohana268
    @leonardyohana268 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mechi ya Dodoma na Yanga Azizi Ki alifunga goli la mguu wa kulia

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sema nilichogunduwa mh zungu hajaipenda hii 😂

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 4 หลายเดือนก่อน +1

      Toka lini kolo akaipenda yanga

    • @iddikibidu194
      @iddikibidu194 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabsa hata uso wake unaonyesha

    • @laurentmkama2321
      @laurentmkama2321 3 หลายเดือนก่อน

      yanga

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana timu letu

  • @Evancepiusbenald
    @Evancepiusbenald 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubali Rais wetu

  • @lilianchambua5839
    @lilianchambua5839 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera watu wangu Yanga na uongozi pamoja

  • @VeronicaIsimalilo
    @VeronicaIsimalilo 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga oyeeeee

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga forever 💚💛💚💛

  • @RobertSamweli-dm2dj
    @RobertSamweli-dm2dj 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa sana kuona
    Machapioni bungeni mungu watangulie

    • @rukiakyaka1827
      @rukiakyaka1827 4 หลายเดือนก่อน

      Ameen Inshaallah

  • @GodfrryGabriel
    @GodfrryGabriel 4 หลายเดือนก่อน

    Mh Zungu umenichekesha sana, Hersi anakukera sana 😄😄. Unaruhusiwa kuhama mh.

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wou🥰❤️

  • @IbrahimAlly-mq9xg
    @IbrahimAlly-mq9xg 4 หลายเดือนก่อน

    Rais wa team hyoooo🎉🎉🎉🎉

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani Yanga yameremeta wanameremeta🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kimlolakimlolanelly6330
    @kimlolakimlolanelly6330 4 หลายเดือนก่อน

    Very powerful engineer

  • @BarakaMwambwiga
    @BarakaMwambwiga 3 หลายเดือนก่อน

    Wow safiiiiii

  • @FatmaDafala
    @FatmaDafala 4 หลายเดือนก่อน

    simba bhana 😅raha sana kuwasikiliza povuu lao wapeleke muhimbili kufulia mashuka

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 4 หลายเดือนก่อน

    Heris popular and famous one

  • @IbrahimAlly-mq9xg
    @IbrahimAlly-mq9xg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan Messi anatumia mguu gni

  • @emanuelyngoi4440
    @emanuelyngoi4440 4 หลายเดือนก่อน

    ❤ yanga 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LisuJumanne
    @LisuJumanne 3 หลายเดือนก่อน

    Wamependeza mabigwa

  • @tanzaniabusesupdates5311
    @tanzaniabusesupdates5311 4 หลายเดือนก่อน

    Kwenyw mech ya dodoma mwambieni huyo mzee azizi k alifunga kwa mguu wa kulia, na pia alipiga danadana huku anakimbia kwa miguu yote miwili kapiga kwa kushoto na kulia so anachomaanisha yeye kipi

  • @AlekiusPhinias
    @AlekiusPhinias 4 หลายเดือนก่อน

    Asante yanga

    • @AlekiusPhinias
      @AlekiusPhinias 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba ya msemaji watim yangu yanga jaman naipenda yanga yangaaaaa

  • @MartinYakobo-io1og
    @MartinYakobo-io1og 4 หลายเดือนก่อน

    Safi, sana yanga

  • @FloraNzawilla
    @FloraNzawilla 4 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni Raha tupu ubarikiwe sana

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 4 หลายเดือนก่อน

    Hadi raha, maendeleo hayana chama, waheshimiwa wachezaji.

  • @IbrahimSongita
    @IbrahimSongita 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani yan kushangilia yanga ni raha sana tuu

  • @KizaMunda
    @KizaMunda 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo akabiziwe kabisa na inchi ya tz🇹🇿 afanye kazi anaweza hana baya

  • @kishokaenos8973
    @kishokaenos8973 4 หลายเดือนก่อน

    Sababu kubwa ya kuchelewa kusaini kwa wachezaji wengi duniani Ni maslahi ili timu ione umuhimu wake na dau lipande

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 4 หลายเดือนก่อน

    Jamaa Mwenye Ndevu Anaongea Vizuri kwa Anajuwa Nini Siri Za Wachezaji

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 4 หลายเดือนก่อน +2

    Zungu ni simba daam hiyo imeeda

  • @lilianchambua5839
    @lilianchambua5839 4 หลายเดือนก่อน

    Unamhoji mlevi Aziz K huwezi mlinganishs na huyo mlevi Chama

  • @charlesayubu6449
    @charlesayubu6449 4 หลายเดือนก่อน

    Vice président Assemble Nationale de la Tanzanie il est fan de Simba sport club

  • @FaridahKisalu
    @FaridahKisalu 4 หลายเดือนก่อน

    Chama na Azizi k; mikataba yao kwafano,ote mikataba imeisha kwa pamoja _je nani timu zitaleta offer kubwa?(na yupi timu nyingi zitamuitaji?).

  • @innocentmsoka7805
    @innocentmsoka7805 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema Isaya 41:6.7

  • @SalimuRamadhani-nl7bp
    @SalimuRamadhani-nl7bp 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mzee masatu upo na ubishi wakininga namna hiyo

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 4 หลายเดือนก่อน

    HAO MADUNDUKA.CHAMA KAWALOGA KUANZIA VIONGOZI WAO MPAKA MADUNDUKA WOTE.KILA WAKIIWAZA TIMU YAO WAO WANAMUONA CHAMA TU.NA NDIO MAANA CHAMA ANAWEZA KUMVIMBIA MPAKA KOCHA,NA BADO KWA UDUNDUKA WALIONAO WANA MUONA CHAMA NI BORA KULIKO MWALIMU WAO ANAEWAFUNDISHA MBINU ZA UCHEZAJI.HAWA KUJIITA MADUNDUKA NI SAWA SAWA.HAKIKA UDUNDUKA NI SHIDA!!!

  • @Dr.LAZARO-j2e
    @Dr.LAZARO-j2e 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😊

  • @PascoMathias
    @PascoMathias 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo kusaini ni masirahi azizi ki atabaki tu

  • @Hope-ok9dy
    @Hope-ok9dy 3 หลายเดือนก่อน

    We mzee acha usenge wewe chama ananini saivi wewe acha ubwege

  • @mwanakherikhalfani2953
    @mwanakherikhalfani2953 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wa maana kabisa

  • @ElizabethBayyo-u5l
    @ElizabethBayyo-u5l 4 หลายเดือนก่อน

    💚💛💚💛💚💚💚💚💚

  • @Osama-dy9et
    @Osama-dy9et 4 หลายเดือนก่อน

    Chamalanguuu🎉

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 4 หลายเดือนก่อน

    💚💚💚💪🏽

  • @AtufigwegeMwakalibule-pv3nv
    @AtufigwegeMwakalibule-pv3nv 4 หลายเดือนก่อน

    Mulizee huyo chama mpka sahiv ana magoli mangap mfananishe na cham wewe wa Simba umeolewa wewe hujitambui unapenda huchambui mpila

  • @Hasssa-uu4nx
    @Hasssa-uu4nx 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo chama amesha Saini Simba?

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 4 หลายเดือนก่อน

    Achana Na Ushindani Wakijinga Wewe Hujuwi Michezo Wachezaji..Wanasiri Kubwa Wewe Hujuwi Michezo Walawachezaji Siri Zao..Bwege

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa anampenda mno Chama hadi anakuwa mpumbavu. Profile ya Ki utalinganisha na ya Chama?? Hawa mnawahoji toka wapi?? Mpuuzi

  • @mkulimamananasi
    @mkulimamananasi 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mtu asifie chake

  • @OmaryBuberwa-j2e
    @OmaryBuberwa-j2e 4 หลายเดือนก่อน +1

    simba huyo

  • @petromilanzi3219
    @petromilanzi3219 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee ajuwi mpira anajamba tuu apo

  • @UpendoUpendomgani
    @UpendoUpendomgani 4 หลายเดือนก่อน

    Masatu atafute kazi nyingine yakufanya ushabiki hauwezi na mpira haujui kabisa.

  • @williamkapama8744
    @williamkapama8744 4 หลายเดือนก่อน

    Mshabiki koko hasira tupu.

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee anavuta bange za arusha

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona jana kafunga goli kwa mguu wa kulia?

  • @frankcryk3241
    @frankcryk3241 4 หลายเดือนก่อน

    mtu wa maana kabisa

  • @PeterNyondo-p7k
    @PeterNyondo-p7k 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmm

  • @AineaMpwaga
    @AineaMpwaga 3 หลายเดือนก่อน

    Chama hana lolote

  • @sultanmbogo860
    @sultanmbogo860 4 หลายเดือนก่อน

    ameonaniii wewe mzeee bwabwa kweli kwanini unaongea msichokijuwa nyinyi hamyasemi yachama mnaonelea ya aziiz

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 4 หลายเดือนก่อน

    Stupidity at the highest level, wabunge hawajui kazi ya bunge! Ni mpira tu na DP world.

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 4 หลายเดือนก่อน

    Jana goli la pili katupia kwa mguu wa randa?

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 4 หลายเดือนก่อน

    .

  • @SteveSulle
    @SteveSulle 4 หลายเดือนก่อน

    Jana alifunga goli la tatu na tako au