Pole sana master j yan toka umeanza kuwaelezea hao vijana tofauti ya bongo fleva na bongo hip hop kukuelewa imekuwa shida kabisa kama huyo dogo hapo na kofia yake ni kilaza sana
Ni kweli disaster vina anaandika,kwenye uandishi nikitu pekee kinachofanya wale real hip hop men wamkubali nakumpa positive comments ila mwana naomba awe kama fid awe anachange change siyo kutoka nje ya hip hop but kugeuka geuka,mfano wimbo WA fid wa big man,ule wimbo utacheza tu,but still hip hop tofauti na zingine,so Kuna ile fresh ya fid same,kwaiyo naomba vina awe Ana tu switchia sometime
Kwani ku-switch flow kuna faida gani? Amechagua story telling na ana kazi kubwa ya kuhakikisha style hiyo inakaa vyema kwenye map kabla ya kuanza kuluka luka kwenye midundo
One of the best interviews that Master J ever did....Big up to legend 🫡
Pole sana master j yan toka umeanza kuwaelezea hao vijana tofauti ya bongo fleva na bongo hip hop kukuelewa imekuwa shida kabisa kama huyo dogo hapo na kofia yake ni kilaza sana
Who comes before us ,dizastavina fuvu jingine ilo
Please what’s that track at the back ground any one please?????
Master ni producer mkali,lakini ameeleza vizur sana kuhusu bongo flavour ,lakini bado hawakubal .
Smart people wako East Africa
Jina VINA na kazi ni mistari .👊🏿
Sana mdg Wetu rich
uyo wa sound anazngua makelele ming pnd interview inapofanyw
Nimevutiwa na interview Kuna Jina la DIZASTA VINA TU.
Ukipenda nite kibabu mteganda dzst vn
rich usiwe unapndsha shngo pnd unafany interview
Mkongwe anashusha nondoo
Ni kweli disaster vina anaandika,kwenye uandishi nikitu pekee kinachofanya wale real hip hop men wamkubali nakumpa positive comments ila mwana naomba awe kama fid awe anachange change siyo kutoka nje ya hip hop but kugeuka geuka,mfano wimbo WA fid wa big man,ule wimbo utacheza tu,but still hip hop tofauti na zingine,so Kuna ile fresh ya fid same,kwaiyo naomba vina awe Ana tu switchia sometime
humo ndo kunamlipa kwenye ku tight flow,ila kama haikuhusu haitakusaidia
Sio kila mtu anatakiwa kuimba unachotaka ukiona tofauti ujue haikuhusu
Unaelewa unachokiongea mzee?😊