Eric Omondi How To Be Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @jamesqs3191
    @jamesqs3191 5 ปีที่แล้ว +409

    Ha ha ha ha jamani wa Tanzania wenzangu like nyingi kwa #EricOmondi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 we love you More.....

    • @churchnewschannel
      @churchnewschannel 4 ปีที่แล้ว +2

      Very gifted comedian we have in kenya and Africa.. Eric Omondi

    • @kushdiboss7386
      @kushdiboss7386 4 ปีที่แล้ว

      PART-TIME BUSINESS OPPORTUNITY 💫💫
      💯💯OUR COMPANY IS LOOKING FOR NEW PART-TIMERS, FOR MARKETING/DISTRIBUTION OPPORTUNITIES. INTERESTED, contact our office(+254700255248)

    • @kamugishajackson5501
      @kamugishajackson5501 4 ปีที่แล้ว

      Gudgud erc

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 4 ปีที่แล้ว +1

      Omondi kapinda 😆😆😆

  • @jamilakingu601
    @jamilakingu601 5 ปีที่แล้ว +117

    I am Tanzanian🇹🇿 and I love this Omondi......so creative😂😂😂😂 nimecheka mpaka nimelia 😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ombenmichael3473
      @ombenmichael3473 5 ปีที่แล้ว +2

      Hahaha ni mbunifu

    • @jamilakingu601
      @jamilakingu601 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ombenmichael3473 kabisa 😅

    • @jessendegwahmusic488
      @jessendegwahmusic488 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ombenmichael3473 kindly subscribe to my channel

    • @kushdiboss7386
      @kushdiboss7386 4 ปีที่แล้ว +1

      PART-TIME BUSINESS OPPORTUNITY 💫💫
      💯💯OUR COMPANY IS LOOKING FOR NEW PART-TIMERS, FOR MARKETING/DISTRIBUTION OPPORTUNITIES. INTERESTED, contact our office(+254700255248)

    • @mtangombayaya7000
      @mtangombayaya7000 4 ปีที่แล้ว +1

      Nice comedy from, biga omondi tanzania

  • @Kushpoll
    @Kushpoll 3 ปีที่แล้ว +123

    Who is here after the death of Magufuli? May God Rest his soul in peace!

  • @movineonyango5769
    @movineonyango5769 3 ปีที่แล้ว +66

    Who is watching this after the death of Magufuli? My his soul rest in power..He was a president driven with assertiveness

  • @fafamabrouk901
    @fafamabrouk901 5 ปีที่แล้ว +224

    Eric you are the one kwakweli huwa sichoki kutizama comedy zako im from burundi 🇧🇮kama unapenda nawewe comedy zake gonga hapa like

    • @salamaadamu5511
      @salamaadamu5511 5 ปีที่แล้ว +1

      fafa mabrouk

    • @farajarichard
      @farajarichard 5 ปีที่แล้ว +1

      Good

    • @Zawadi-1
      @Zawadi-1 5 ปีที่แล้ว +2

      I am from Burundi too and I do like his comedy a lot.

    • @stonecold4630
      @stonecold4630 5 ปีที่แล้ว

      Zawadi Ndikumana . I understand you how will you like yet you don't understand neither English nor swahili? Probably you need to watch ali baba and forty thieves it fits you

    • @jessendegwahmusic488
      @jessendegwahmusic488 4 ปีที่แล้ว

      @@salamaadamu5511 kindly subscribe to my channel

  • @judithisiaho236
    @judithisiaho236 3 ปีที่แล้ว +55

    He was such a great president RIP

  • @dansitati9914
    @dansitati9914 4 ปีที่แล้ว +25

    Nani wanatumbuizwa na video hii 2020. Angusha likes za Eric Omondi hapa.

  • @felixamollo5926
    @felixamollo5926 3 ปีที่แล้ว +16

    We are here on 26th March 2021 to say good bye to JP Magufuli 😭🇰🇪🇹🇿🇰🇪😭Africa has lost a Leader a Legend #RIPMagufuli

  • @jephtephlon2366
    @jephtephlon2366 5 ปีที่แล้ว +17

    🤣🤣🤣🤣 we jamaa truely born 2be comedian, utabaki kuwa kileleni shaaaaaaaa 😎😎

  • @sheegitonga8836
    @sheegitonga8836 4 ปีที่แล้ว +17

    Woow...who else is here after kuona Eric omondi and his nine wives???

  • @beatricesylvanus6780
    @beatricesylvanus6780 8 ปีที่แล้ว +13

    uuuuuwiii omondiiii umeua. I love my country Tanzania, hapa tumepata jeeembeee, bonge la kiongoz

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 4 หลายเดือนก่อน

      He gone😢😢😢 🇹🇿❤

  • @nicetasndekubali7105
    @nicetasndekubali7105 5 ปีที่แล้ว +16

    Hahaaa Eric Omond,, you have done a great formative work, we learn we appreciate your excellent work.. best of luck

  • @82deedi
    @82deedi 8 ปีที่แล้ว +91

    "Dar mpaka moro " "kindergarten mpaka chuo kikuu downtown " 😂😂😂😂😂 hapo vipi ? hapo sawa ! 😂😂😂
    the song lyrics speech is epic 😂😂😂

  • @Myright888
    @Myright888 6 ปีที่แล้ว +262

    Mimi Mtanzania na nimefurahia tu , this is just a comedy.

    • @Saintdenismade
      @Saintdenismade 4 ปีที่แล้ว +2

      @Loveness Ikera same

    • @kushdiboss7386
      @kushdiboss7386 4 ปีที่แล้ว

      PART-TIME BUSINESS OPPORTUNITY 💫💫
      💯💯OUR COMPANY IS LOOKING FOR NEW PART-TIMERS, FOR MARKETING/DISTRIBUTION OPPORTUNITIES. INTERESTED, contact our office(+254700255248)

    • @AbubakarNgatomela
      @AbubakarNgatomela 4 ปีที่แล้ว +1

      Jasmin, upo Dada

    • @Myright888
      @Myright888 4 ปีที่แล้ว +1

      @@AbubakarNgatomela Hahaha, Abby nipo mdogowangu miss you like crazy ujue hahaha

    • @Myright888
      @Myright888 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kushdiboss7386 weee, kweli?

  • @williamsville3493
    @williamsville3493 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama unamkubali Erick omond Twende sawa na like huyu mwamba ni kata funua eti tujenge dar mpaka moro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umetisha baharia🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @eugenetai2764
    @eugenetai2764 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanzanian people are soo cool.....poleni kwa msiba. Mungu yupo na nyinyi. Eriko....ww

  • @GovernorNkhulu
    @GovernorNkhulu 6 ปีที่แล้ว +20

    😂😂😂😂This made my day.."samaki wanaelewa kiswahili"

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up Erick!
    Kama upo bongo vile. Na kiukweli maisha ndio yalivyo, siku hizi kila mtu ni mchumi

  • @joannwilson8699
    @joannwilson8699 5 ปีที่แล้ว +4

    Eric you kill me with your your videos...hakuna haja kutumia Mafuta..akatumia baiskeli😂😂😂

  • @MadonaWambua
    @MadonaWambua 7 ปีที่แล้ว +40

    Lol, our neighbors caught feelings. Majirani wetu hapo Tanzania wajafurahishwa kabisa. Jameni uchesi sio matusi. 😂😂

    • @kebo2155
      @kebo2155 5 ปีที่แล้ว +4

      No no no ametufurahisha sana... Much respect to E. African family.. 🇹🇿💯💯

    • @jessendegwahmusic488
      @jessendegwahmusic488 4 ปีที่แล้ว

      @@kebo2155 kindly subscribe to my channel

    • @abdoulrahimmigomba3885
      @abdoulrahimmigomba3885 4 ปีที่แล้ว +1

      Tumefurahi sana dada Madona Syombua. Jamaa yupo vizuri sana na tunamkubari sana.

    • @benjaminboniphace1004
      @benjaminboniphace1004 4 ปีที่แล้ว

      Weeeeee tena tumefurah sana sema nyie ndo waga mnazingua cc hatnaga noma

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu 4 ปีที่แล้ว

      Mcheshi sana

  • @wycliffeolingo7249
    @wycliffeolingo7249 3 ปีที่แล้ว +13

    He is now gone 😭😭 R.I.P Magufuli

  • @asharamadhan7636
    @asharamadhan7636 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha jaman Hyo budget ndo inotubana hatujazowea kabsa .uko juu kabisa ♥️ from 🇹🇿

  • @Kenya-fh9kp
    @Kenya-fh9kp 8 ปีที่แล้ว +22

    keep going erick, you are doing great.

  • @heavyweight5487
    @heavyweight5487 6 ปีที่แล้ว +9

    Nimeona mfuasi na shati ya jubilee kure Morogoro. Ahsante sana. 😂😂

  • @michaelmuriithi6808
    @michaelmuriithi6808 8 ปีที่แล้ว +4

    Eric...this is the best ever. You're the best.

  • @luckyboyshadow5951
    @luckyboyshadow5951 ปีที่แล้ว

    Erick... ndege yupi huyu...jinga ya mtu....nyangao ya mtu...king of TH-cam in Kenya is me...

  • @mailtony5958
    @mailtony5958 8 ปีที่แล้ว +25

    Dar mpaka moro...hapo vipi 🙌🏻🙌🏻😭😭😭

  • @peterkikare7840
    @peterkikare7840 7 ปีที่แล้ว

    haaaaaa! haaaaa! Eric omondi, wewe ni noma sana isee! karibu Tanzania ... ise ufanye true show . people's likes you much bro

  • @fionan8387
    @fionan8387 8 ปีที่แล้ว +151

    Haha Eric si ukona ufala ,, ati "kama watanzania tupate kula samaki za Tanzania , samaki zinaelewa kiswahili " hahaha

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +9

    ❤️ Nyerere continues to LIVE ❤️
    Magufulification Yes Forever and Ever ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂
    Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Daima Milele na Milele Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂
    CCM Juu Daima Oyeee ❤️🌻🇹🇿👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽
    Tunakushukuru, Tunakuhitaji, Tunakipenda, Tunakuthamini na Tukonyuma yako Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie AkuLinde na AkupeAfya njema na AkuZidishie Ujasiri. Aamiyn Ya Rabbil Aalamiyn
    CCM Juu Daima Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂

  • @sheilakoskey3795
    @sheilakoskey3795 6 ปีที่แล้ว +3

    Eric hii umejaribu.Good job .Na uwache kupotea sana.😂

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa am Tanzanian kwakwel Eric nimekuelewaa balaa. Upo kama uncle magu wetu kabisaa

  • @eloow
    @eloow 8 ปีที่แล้ว +31

    Please do how to be "Wema Sepetu"

  • @algee-smith
    @algee-smith 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah!!! Eric umekua mtanzania

  • @geofreykulanga3525
    @geofreykulanga3525 8 ปีที่แล้ว +9

    sijui alijipanga au ilikuwa by the way 😂😂 eti "...Kutoka Dar mpaka Moro, Hapo Vipi?!
    Watoto wapate kusoma kindergarten mpaka chuo kikuu , hapo vipi?!,,
    Sio eti ghafla kesho visenti hatuna mara tumerudi madale tubaki hapa tandale,,,"
    hahaha Eric amechomoa verses za Chege, Prof J, Diamond 😂😂😂😂😀😀😁😃

  • @thomasdanielmatuja1895
    @thomasdanielmatuja1895 2 ปีที่แล้ว

    Welcome Tanzania i really happy with your talent and you show the integrity of E.Africa

  • @franciswyckliffe3057
    @franciswyckliffe3057 8 ปีที่แล้ว +13

    Eric Omondi omba Mungu usizeeke...utakaa mbaya sana.

  • @kasimmayuku3454
    @kasimmayuku3454 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakufatilia sana bwana erick upo vizuri mim nimtanzania haris mwenyej wa madare wanaopanik ni wale malioathirika sijaona kosa hata moja ulilowakosea wa tz ni rohombayatu

  • @AlietJacob
    @AlietJacob 8 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha! This is your best so far. I loved it. Hilarious!

  • @benjindolo1769
    @benjindolo1769 7 ปีที่แล้ว +9

    Kazi safi sana. Eric you are so talented and focused! Wow!!!

  • @soffieclaire421
    @soffieclaire421 8 ปีที่แล้ว +6

    Nice one thumbs up Eriko.
    please how to be sonko

  • @3MenArmy
    @3MenArmy 5 ปีที่แล้ว

    A really inspiring content creator and comedian giving hope to all up coming Kenyan youth comedians #hope4hope
    what matters is what you show the community the resourceful sense act it got @3Men Army Kenya

    • @usiuafrica6495
      @usiuafrica6495 5 ปีที่แล้ว

      really inspiring kenya got talent

  • @muamedisalehe324
    @muamedisalehe324 8 ปีที่แล้ว +21

    😂 😂 😂 kutoka Tz noma sana

  • @maasaiwildernessexperience1590
    @maasaiwildernessexperience1590 4 ปีที่แล้ว +2

    Eti samaki ya CCM🤣🤣🤣 omondi your creative

  • @kimutailangat3776
    @kimutailangat3776 8 ปีที่แล้ว +22

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Ati samaki zinajua kiswahili

  • @mauricebrunei4495
    @mauricebrunei4495 ปีที่แล้ว

    vizuri sana Eric Omond

  • @kalemkoracomedy2020
    @kalemkoracomedy2020 3 ปีที่แล้ว +13

    May his soul rest in peace

  • @keltv3476
    @keltv3476 5 ปีที่แล้ว +4

    Uko na ufala😂😂😂😂👍You're the best but haukufanyia madini poa 😔

  • @fitawrarifitness6842
    @fitawrarifitness6842 5 ปีที่แล้ว +36

    "Africa's most effective President"? Rwandans would dispute that. 😂😂😂🤣

    • @eddymkwambe574
      @eddymkwambe574 4 ปีที่แล้ว

      why did you feel that way?

    • @karangwa2315
      @karangwa2315 4 ปีที่แล้ว +2

      He is effective magufuli no complain about that we love him in rwanda hatuna shida

    • @bensonmuriithi1781
      @bensonmuriithi1781 2 ปีที่แล้ว +2

      Magufuli was way ahead of Rwanda. He did so many projects in a short time. Rwanda ni usafi tu no serious projects.

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 4 หลายเดือนก่อน

      Magufuli was extremely fast.Stop playing

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 7 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaaa anaijua Tanzania kishenziii
    Tofauti Na comedians wa Tanzania kenya wanajua Nairobi Na Mombasa tu tena wamesikia
    Big up
    Hadi nyimbo ya prof J anapiga
    Talented

  • @marvinkigame9112
    @marvinkigame9112 7 ปีที่แล้ว +16

    Lolest.... This is the best how to be... Kwanza the speech part.... Kudos my brother, very well done.👍🏾

  • @documentariestvshow
    @documentariestvshow 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀 kua Magufuli unaimba ngolo ngolo🤣🤣🤣🤣🤣 umenipa furaha pasaka hiii ya leo

  • @annetomondi4359
    @annetomondi4359 8 ปีที่แล้ว +17

    am headed to having my ribs fixed. samaki hizi za Tanzania? hahaaa zinaongea kiswahili. Eric Omondi kama neiiaye.

  • @stevensteven2319
    @stevensteven2319 6 ปีที่แล้ว

    aingei kiswahili Ahaaaaaa Ahaaaaaa Omond unachekesha sana ,I like it

  • @zanashtv5479
    @zanashtv5479 4 ปีที่แล้ว +4

    The best president Magufuli...the bicycle bit made me laugh😂😂😂

  • @dimariaanger6891
    @dimariaanger6891 5 ปีที่แล้ว +7

    Mbona haiongei Kiswahili😀😀😀😀😀from Tz

  • @hamisisimba1071
    @hamisisimba1071 8 ปีที่แล้ว +16

    hahahaha eric omondi umenishinda tabia😂😂😂

  • @kamantujames5653
    @kamantujames5653 7 ปีที่แล้ว +5

    😂 😂 Magufuri,,very interesting Mr ericoh,, I love it mmm

  • @canatz4583
    @canatz4583 5 ปีที่แล้ว +103

    hhahaha kama wamkubalii ericki piga like

  • @newttechog75
    @newttechog75 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaah 😂😂😂😂 kwa bjet iyo erik umeniua gari pia

  • @fbensony
    @fbensony 5 ปีที่แล้ว +16

    Bwege Sana Eric 😂😂😂

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 6 ปีที่แล้ว +3

    anhahahahaha 😆😆😆😆..i'm a Tanzanian boi .i hav interested wth this comedy..keep it up my bro.

  • @josephpanga4950
    @josephpanga4950 5 ปีที่แล้ว

    Ah erick omondi tunakupendaaaa watanzania wewe ni mzalendoooo wasalimie pande za kenyaaaaa tunawapendaaaa sanaaaaa nyie ni ndugu zetu karibu kwa show hapa tanzania

  • @calvinrock3643
    @calvinrock3643 8 ปีที่แล้ว +4

    eric, you are the funniest person alive!!!

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 7 ปีที่แล้ว

    nimeipenda hii video Jamani erick omondi uko vizuri

  • @reemajeereemajee2105
    @reemajeereemajee2105 8 ปีที่แล้ว +4

    fantastic... Eric

  • @clarionphilips2556
    @clarionphilips2556 4 ปีที่แล้ว +11

    Watanzania muko wapi?? Piga like!

  • @TREASUREZION8
    @TREASUREZION8 4 ปีที่แล้ว +5

    Am crying tears at the end😜😜😜😜😜eti kusave mafutaaa😅😅😅Umesahau part ya kudeal na Corruption in Public....( i love when he listens to personal issues either he fires someone💥💥Or Contribute cash to the Victim or mistreatment 👌🏿

  • @musamziray6874
    @musamziray6874 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀 uko vizuri mzee @omond-eric

  • @bonvivant3704
    @bonvivant3704 3 ปีที่แล้ว +5

    💔💔💔we gone miss him for sure!

  • @reubeedison1683
    @reubeedison1683 5 ปีที่แล้ว +2

    Eric you are the best
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😀😀

  • @kikigax472
    @kikigax472 8 ปีที่แล้ว +39

    lmao Eric you gone kill me one day😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂ndege tupate kuosha 😂😂😂nimecheka sana mtaniua 😂😂

  • @kennedyndungwa7585
    @kennedyndungwa7585 5 ปีที่แล้ว +14

    The time I heard ndio baba I just knew the fis is nyakisum 😂😂😂

  • @mbarakaiddi8209
    @mbarakaiddi8209 4 ปีที่แล้ว

    Aliye muelewa erick kwa umakini twende sawa maana speach za viongozi ni internetionar pumber point msipo nichagulia mbunge na diwani wa ccm sireti maendereo hayo si maneno ya kiongozi timilifu

  • @mcuteprincess5937
    @mcuteprincess5937 8 ปีที่แล้ว +36

    😆😆😆😆😆😆pliz show us how 2 be wema sepetu pliz pliz....

  • @salimally6877
    @salimally6877 6 ปีที่แล้ว +2

    Good nzuri sana kk

  • @cieranmanuel7251
    @cieranmanuel7251 8 ปีที่แล้ว +20

    Ahhhh jmaan mbavu zangu!!!! Erick nisaidie kwenda pale Ngololooo na Sankodo!!! Hapo vipi!??? tubaki hapa Tandaleee lol

  • @petermaganga9750
    @petermaganga9750 7 หลายเดือนก่อน

    this is super marvelous

  • @ruthmwangi6353
    @ruthmwangi6353 8 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂 aki Yao, omondi you're talented, u look like kaguuka hapo😂😂😂😂

  • @afandemzobiyo5575
    @afandemzobiyo5575 4 ปีที่แล้ว

    Fireeeeeeeeee kubwa kwa Omondiiiiii

  • @sakhikikenya8126
    @sakhikikenya8126 4 ปีที่แล้ว +9

    Its commic dont take it personal...in kenya we okay with these✊✊✊

  • @amanismithk
    @amanismithk 7 ปีที่แล้ว

    Iko poa Eric ..I like it!! ila hicho kiswahili chako ndugu yangu...daahh!! accent ya kibongo bado mkuu.. piga zoezi kidogo. 🙌

  • @esthernyokabikimiti8584
    @esthernyokabikimiti8584 8 ปีที่แล้ว +7

    I knew diamond was getting props all the way. niiiiiiiice one though😆😆😆

  • @Mr_Lionize
    @Mr_Lionize 2 ปีที่แล้ว

    Wooow 👌...I like the creative...he was a great Prezooo

  • @vianeyminja575
    @vianeyminja575 8 ปีที่แล้ว +134

    mijitu mingine bhana, inakazana kutoa mapovu kwa mtu anaefanya komedi kwa lengo la kukufurahisha? lengo lake ni ku make funny na sio kusomesha watu bre kama magu.! kafieni mbali big up eric

    • @faithmtaita325
      @faithmtaita325 7 ปีที่แล้ว

      hhj

    • @lizb2012
      @lizb2012 6 ปีที่แล้ว +4

      Huyo bwege tu. Amefurahisha nini hapo? wala hajaweza kumuiga

    • @lizb2012
      @lizb2012 6 ปีที่แล้ว +1

      Huyo bwege tu. Amefurahisha nini hapo? wala hajaweza kumuiga

    • @hrayswamiyonz1733
      @hrayswamiyonz1733 5 ปีที่แล้ว

      @@lizb2012 ww huend umecoment bila kuangalia mbona yuko xawa xana

    • @michaelmeja7217
      @michaelmeja7217 5 ปีที่แล้ว

      @@lizb2012 una zako kako..

  • @sheilamumbe9935
    @sheilamumbe9935 4 ปีที่แล้ว

    You are too good Eric, favourite comedian of all time, Kenya na Africa. Le president of comedy. Congrats pia, Carol

  • @sherryshazala7123
    @sherryshazala7123 8 ปีที่แล้ว +4

    hahaaaaa perfect @Eric nxt hw to be Wema or sidika

  • @mordekaiswai3044
    @mordekaiswai3044 6 ปีที่แล้ว

    Daaah..!! Muheshimiwa

  • @tanhandesign
    @tanhandesign 8 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂 best one u nailed it

  • @cindydecinyo4115
    @cindydecinyo4115 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha so fuuny aki uko juu to sana

  • @AbubakarNgatomela
    @AbubakarNgatomela 4 ปีที่แล้ว +4

    Tunaenda Moro Kwa Baiskeli kusave mafuta.. Hahaha! 😃

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 4 ปีที่แล้ว

    Omondi but why? 🤣🤣🤣 unawakimbiza majamaa kwa miguu mpaka Moro we uko kwa baiskeli dah, nimecheka sana jamani 🤣🤣🤣

  • @relexbadboy
    @relexbadboy 5 ปีที่แล้ว +3

    Erick bana.....mbona hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 ปีที่แล้ว

    Magu wangu jamani. Eric anamchezea ww😂😂😂😂😂🤣🤣❤

  • @SweetAniimal
    @SweetAniimal 8 ปีที่แล้ว +78

    samaki hii samaki ya ccm ukipindua inapinduka ukipindua!!? .....😂

    • @samysuley8554
      @samysuley8554 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

    • @annexjay4434
      @annexjay4434 5 ปีที่แล้ว +1

      Inapinduka
      😂😂😂

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 5 ปีที่แล้ว

      CCM mnasanifiwa na Omondi maana mlivyo ndivyo anavyowasemea. Kila kizuri mnataka kiwe chenu. Nyie ndio wakusanya kodi lakini mnawabeza wenzenu wajenge gorofa. Mnajenga fly over Dar es salaam wakati Waluguru, Wapare, Wahehe, Wasambaa wanakufa kwa maradhi. Nilienda alikozaliwa na kusoma Angela Kairuki kwenye kijiji linaitwa SUJI. Hawa watu hawana barabara wala hosipitali. Mungu tu ndiye anawalda alafu mnasema Magufuli hana ubaguzi. Wakati anajenga kiwanja cha ndege angewapa hata barabara. Wako milimani sana.

    • @LG-dk2ty
      @LG-dk2ty 5 ปีที่แล้ว +1

      😂 😂 😂 😂 😂

    • @temkezatv4381
      @temkezatv4381 5 ปีที่แล้ว

      @@mbonireamina6497 kwaiyo unataka waletewe hela wagawiwe?

  • @princesssalmahtz4531
    @princesssalmahtz4531 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😆😆😆samaki ya chama cha mapinduzi 🤗🤗

  • @mordecaichiswanu
    @mordecaichiswanu 4 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania like kwa mzee magu omondi

  • @georgemutemimusyokah.7505
    @georgemutemimusyokah.7505 4 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania ndo mmepata raisi👍👍👍

  • @sageforce9306
    @sageforce9306 5 ปีที่แล้ว +7

    Erick you are more than just a comedian. Tell our silly politicians how it's done