*FURAHA KWA ULIMWENGU* [1] Furaha kwa ulimwengu, Bwana atakuja! Kila moyo umpokee, Viumbe imbeni, Viumbe imbeni, Viumbe vyote imbeni. [2] Na Bwana atatawala: Watu na waimbe; Miti, milima na mawe Kariri furaha, Kariri furaha, Kariri furaha kubwa. [3] Atatawala kwa wema; Atawafundisha Mataifa haki yake, Ajabu za pendo, Ajabu za pendo, Ajabu za pendo lake.
Such a good song 😮❤
Unanikumbusha wakati nikisali,mbarikiwe sana
I remember this song when I was Avery young boy in salvation army
SOO NICE SINGING, MAY GOD BLES YOU ABUNDANTLY
Barikiwa sana.yaani hizo sauti zinavyopishana najiona kama nipo mbinguni vile.🙏
Nice
Nice song barikiwa
A nice song indeed
Uplifting my soul🙏🙏
Huu wimbo unanibariki Sana barikiweni waimbaji.
So soothing,may God bless you
Good song power of God amen
mbarikiwe na Bwana
Buena canción
Amina..Amina..mbarikiwe..Tumebarikiwe..
Amen mungu awabarik
Good song
Ajabu za pendo la bwana, hakika ukikaa upande wake lazma furaha kubwa itawale maishani mwako
Wow munaimba Sana mubarikiwe na Mungu
Great voices.
Nabarikiwa na wimbo
❤❤❤❤🙏🙏🙏
Amina !! ...kwa ukweli inatuleta karibu na mungu.
Amina mbarikiwe
*FURAHA KWA ULIMWENGU*
[1]
Furaha kwa ulimwengu, Bwana atakuja!
Kila moyo umpokee, Viumbe imbeni,
Viumbe imbeni, Viumbe vyote imbeni.
[2]
Na Bwana atatawala: Watu na waimbe;
Miti, milima na mawe Kariri furaha,
Kariri furaha, Kariri furaha kubwa.
[3]
Atatawala kwa wema; Atawafundisha
Mataifa haki yake, Ajabu za pendo,
Ajabu za pendo, Ajabu za pendo lake.
Amen
AMEN🥰
MUNGU atubariki Amina.
Amina.
Wow nice voice
Huu wimbo hunipea nguvu ya kiroho na hunituliza ninapo kosa amani
Ameen
AMEN
Siku moja takuwa msabato na me
Karibu sana kundini mpendwa Mungu akubariki unapochukua maamuz mazur na akuongoze kuijua njia iliyo njema.
🙏🙏🙏🙏 be blessed
That is our Joy
Yani sabato ni tamu
Wimbo mzuri sana but mfupi sana naombeni muuongeze kidogo bac,, maana nasikiliza ila sitosheki kabisa
good
🙏🙏
👍🙏nice melody
Ameen
Amen
Amen
Amen