EXPOSED! KENYANS PROST!TUTION IN SAUDI ARABIA! KENYANS K!LL!NG KENYANS IN SAUDI - THE STORY OF ROSE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • #presenterali

ความคิดเห็น • 799

  • @miriammutileofficial7260
    @miriammutileofficial7260 11 หลายเดือนก่อน +82

    Am in Saudi pole dadangu ulitoroshwa na watu wabaya lakini mmi nko nje na ninafanya kazi ya mikono yangu nashukuru Mungu. Dada mwenyewe anaongea ukweli mtupu

    • @MuratMurat-c8y
      @MuratMurat-c8y 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @LoiseKiarie-jq7sy
      @LoiseKiarie-jq7sy 11 หลายเดือนก่อน +4

      Same here dear niko nje na bado nafanya ya shagala

    • @carlycallie2633
      @carlycallie2633 11 หลายเดือนก่อน +2

      Ni yeye alichoose hiyo kazi aache kudanganya i don’t think anyone is being forced kujiuza

    • @fardowsaummuamran341
      @fardowsaummuamran341 11 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@carlycallie2633 Jeddah wapo wenye ulazimisha watu, niko nje pia mimi. Ni ukweli

    • @beckymorlifestyle
      @beckymorlifestyle 11 หลายเดือนก่อน +4

      Same here,nafanya tu kazi yangu vizuri..si kila mtu anajiuza,wavivu tu ndio wanajiuza

  • @nura1150
    @nura1150 11 หลายเดือนก่อน +101

    I’m happy for her to come out & tell the truth .Although many will be against her .

    • @belta_likethecar
      @belta_likethecar 10 หลายเดือนก่อน

      This is a pure lie

    • @user-zh8wx8ex2y
      @user-zh8wx8ex2y 10 หลายเดือนก่อน +6

      She is God sent very scary story

    • @user-zh8wx8ex2y
      @user-zh8wx8ex2y 10 หลายเดือนก่อน +6

      They need to arrest all those women involved all agents government should act immediately

    • @margaretkaranja1864
      @margaretkaranja1864 10 หลายเดือนก่อน

      It's the bitter truth even in Riyadh many do the same. Prostitution is real over there

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 10 หลายเดือนก่อน

      @@belta_likethecar
      @beita_likethecar or whomever u call yourself. Na wewe pia tutakupata.

  • @momrhiesfun7734
    @momrhiesfun7734 9 หลายเดือนก่อน +13

    This lady should be protected at all cost revealing such secrets isn't easy, i have sent this video to my nanny to enlighten her, she resigned to work in Saudi arabia.. God protect innocent people

  • @user-wm5lg8xg1c
    @user-wm5lg8xg1c 9 หลายเดือนก่อน +11

    She has nothing to apologize ..let the Truth come out.

  • @rosekige850
    @rosekige850 9 หลายเดือนก่อน +12

    I have been in saudi for 4yrs but one thing i know is...what you want is what you get 💯 if you want to survive in saudi be yourself achana na pearpressure na tamaa ya pesa mingi focus na shagala utatoboa

    • @gracewambui2041
      @gracewambui2041 3 วันที่ผ่านมา

      Very true dear niko mimi sina rafiki my life my choose

  • @rahabmaina3240
    @rahabmaina3240 11 หลายเดือนก่อน +32

    Pole dada uliangukia watu wabaya for me siwezi complain saudi is the best nlikua maskini singeaford hadi schoolfees ya watoi wangu saudi gave me chance to be what I was to be nlienda nkiwa housegirl salo ya 800 believe me or not sasa nafanya nurse aide paid 4000 a month pia nawork 12hrs saudi bora usingiane na watu wabaya you will love it ..God bless saudi

    • @judychepkirui5313
      @judychepkirui5313 10 หลายเดือนก่อน +2

      I just need your advise siz

    • @abdullatifahmed1715
      @abdullatifahmed1715 10 หลายเดือนก่อน +2

      Hiyo chance uliipataje dadangu?

    • @margretannenyamongo9231
      @margretannenyamongo9231 2 หลายเดือนก่อน

      @rahabmaina3240 umeongea ukweli kabisa. Na ulipata vipi kua nurse aide?

    • @celinamboga581
      @celinamboga581 หลายเดือนก่อน

      Tell us your way kama unaeza nisaidia pia na iyo nerse aid plz

  • @mazura-dj9hb
    @mazura-dj9hb 11 หลายเดือนก่อน +44

    Am really happy she came out to tell the truth

    • @bebzchic1475
      @bebzchic1475 11 หลายเดือนก่อน +1

      But always the truth is bitter

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 10 หลายเดือนก่อน +4

      Rose Cate, asante Sanaaa kwa kutujulisha masaibu yako na ya wengine huko Saudi Arabia.
      You are commendable. I hope you get justice. Na hao wasichana mikora inayowathulumu huko, ole wao.
      Meanwhile, why can't the good girls huko and even in kenya, come together and find a way to fight back ndio mji protect?
      I hope mtaungana mtafute njia ya kukomesha haya mambo.

    • @wambuimngoso9893
      @wambuimngoso9893 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@VeronicaDunbartutafutane wapi

  • @omusescovia5780
    @omusescovia5780 10 หลายเดือนก่อน +15

    Watching from Saudi Arabia ❤❤ while drinking gahwa but I thank God He's been faithful 2yrs now

  • @heinrichschnitzel7032
    @heinrichschnitzel7032 11 หลายเดือนก่อน +18

    Kama kenya wanalipa salary vizuri most of kenyans wangebaki tu kenya wafanye kazi nyumbani, how can we stop this to help our young Women dying uarabuni

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 10 หลายเดือนก่อน

      Help hao wako Kenya. Wake wako gulf hawataki usaidizi wako

  • @mazura-dj9hb
    @mazura-dj9hb 11 หลายเดือนก่อน +32

    Am surprised shes being forced to appologize fr letting the truth out,hizi vitu vinaendelea sana huko saudia hata embassy inajua i ws there and at the embassy the officials warned me about these women and they told me they rake people hostej and use them ,nakupa hongera dadangu sana sana na hata mm nina ushuhuda wakutoa kuhusu yanayo endelea huko kila mkenya akifariki wanasema wasaudi wamemuuwa but its not all tru ,yes saudis r brut many r evil and many r good ,sasa tuongee ile haki tuu kile wakenya wafanyia wenzao ni kibaya zaidi ya msaudi anachofanyia wakenya.

    • @bebzchic1475
      @bebzchic1475 11 หลายเดือนก่อน +2

      Awataki ukweli ujulikane that's why they are forcing someone to apologize

    • @Kezia-rashford
      @Kezia-rashford 11 หลายเดือนก่อน

      Yes embassy wanajua ata Mimi time ya Ku renew iqama waliniwarn

    • @dahbossqueentalkshow3778
      @dahbossqueentalkshow3778 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wakenya Ni watu wanataka sana not only in saudia wajinga sana mi uwatolea ukali lie mbaya

  • @user-wm5lg8xg1c
    @user-wm5lg8xg1c 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli wauma don't apologize my dear.. forget the money and stand with the Truth...

  • @Susan-fS
    @Susan-fS 11 หลายเดือนก่อน +21

    Finally ,be blessed my gal ❤

    • @bebzchic1475
      @bebzchic1475 11 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤Same

  • @marywanjiku5531
    @marywanjiku5531 11 หลายเดือนก่อน +13

    15 days &1month kwa boss ...lakini siangerudi Kenya badala ya Ku kemboi.....ata Mimi nilikua iyo Saudi 2019 ..nilifanya kazi mwaka na miezi NNE tukakwaruzana na mwenye nyumba. kuna beshte yangu alikua AME kemboi akaniunganishia driver Ni kemboi nilipiga iyo esabu ya kukemboi nikaona afadhali nirudi home...

    • @josephodhiambowangullawan-5974
      @josephodhiambowangullawan-5974 5 หลายเดือนก่อน

      That's true ni hasara na bado utakuwa kwa wenyewe illegal Bora hiyo 4000sar inakutosha kurudi home na utabaki na kitu utafute kazi kwengine

  • @abdallahathman7721
    @abdallahathman7721 10 หลายเดือนก่อน +8

    Ali mm pia naja next week nikupee story.hata huyo mama namjua sana

  • @2mbili1
    @2mbili1 11 หลายเดือนก่อน +5

    Angeuza tu Cocoa ... aitwe Rose Wa Cocoa!! Great interview Mwana!

    • @PresenterAli
      @PresenterAli  11 หลายเดือนก่อน

      Thanks mwanaa 🙏

  • @baboo786110
    @baboo786110 9 หลายเดือนก่อน +5

    Thanks for the info brother Ali and the guest, I heard that some die while securing illegal abortion, or after abortion or some do poison others during their weekend parties...it needs alit of intervention

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 10 หลายเดือนก่อน +16

    one should be very careful when traveling abroad as it risks an individual life when the deal is too good think twice

  • @dorkal4248
    @dorkal4248 10 หลายเดือนก่อน +9

    Kama hiyo kazi ina pesa nyingi pesa yake iko wapi? People are wasting themselves for nothing whilst selling their souls to the devil. Its so painful... God have mercy.

    • @user-vk6tv7hh8o
      @user-vk6tv7hh8o 3 หลายเดือนก่อน

      God says he only blesses the work of our hands

  • @OmarAyman-pn6ck
    @OmarAyman-pn6ck 3 หลายเดือนก่อน +1

    Rose, you are very brave to speak the truth, I lived in Saudi Arabia with my husband and saw all the dirty behaviours of the said "maids". May God bless and protect you Rose. Na siku zote alolaniwa na Mungu hawezi sema kweli na wanazidi kufanya maovu eti mpaka aombe samahani. Am 100 % sure hata aombe samahani hawezi mrudishia pesa Rose.

  • @adowmohamud513
    @adowmohamud513 10 หลายเดือนก่อน +4

    Can't hold my tears while watching this heart-touching story. Pole sana #RoseGate
    Thanks Presenter Ali for airing out this

  • @chrisruringe9168
    @chrisruringe9168 9 หลายเดือนก่อน +3

    Whoever can, please give this Lady Employment

  • @ftaban1
    @ftaban1 10 หลายเดือนก่อน +3

    Am real happy for her for coming out to tell the truth will save other girls but my worry is how safe is she in the hands of the people who are scaring her please am pleading to the government to watch her safety

  • @bonfaceasige3210
    @bonfaceasige3210 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good work Presenter Ali. I've following you and mungai since you started

  • @Kezia-rashford
    @Kezia-rashford 11 หลายเดือนก่อน +13

    Pesa ya umalaya iwezi kusaidia no matter how much you get yes saudi umalaya iko tena sana expecially kwa wakenya wetu but mtu hujua kilicho mleta ju mimi nko mwaka ya tatu sasa nimetoka vacation nikarudi the same job displine matters more gulf na muwache tamaa ju mimi sijawai skia mti amekufa ju ya kukosa sex

  • @rukiaadam1667
    @rukiaadam1667 10 หลายเดือนก่อน +3

    So sad indeed,what other Kenyas do to others.What is our Country leadership doing about it...

  • @camilasky254
    @camilasky254 10 หลายเดือนก่อน +4

    Finally the truth is here be. Blessed dia

    • @bebzchic1475
      @bebzchic1475 10 หลายเดือนก่อน

      The truth is bitter

  • @siganakarani5580
    @siganakarani5580 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe sema ulitaka tuu kujiuza,have been to SaudiArabia, akuna kitu kama io,wewe ambia watu ulikua team rosecoco.

  • @KellyKesh-jr8zf
    @KellyKesh-jr8zf 11 หลายเดือนก่อน +6

    Sema umezungusha nunu gulf mzima,,,nani akujui na roho yako mbaya ya kudhulumu jedid? uchungu ni juu ulishikwa

    • @jephriceayitso3167
      @jephriceayitso3167 11 หลายเดือนก่อน +1

      Do you know her?

    • @KellyKesh-jr8zf
      @KellyKesh-jr8zf 10 หลายเดือนก่อน

      @@jephriceayitso3167 yes vizuri sana,,, anapanda kudhulumu watu na hapendi kweda kazi kwa mwarabu,,,Tena hizo pesa anasema alisave na wakenya wengine mlisikia wapi,,,huyu namjua alikua anauza rosecoco Qatar na alipo shikwa akaset wengine walikua wametokea ijaza

    • @JaqueenSteve
      @JaqueenSteve 2 หลายเดือนก่อน

      Exactly that

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 10 หลายเดือนก่อน +6

    Everything hidden in darkness must be brought on light,this is just the beginning,the wrath of God is awake repent or perish.

  • @micahkariuki1322
    @micahkariuki1322 11 หลายเดือนก่อน +4

    hapo mama pia ulitupa mbao ungengojea kwanza upewe pesa yako before uropokwe na wee but hata hivyo walikosea kukuibia pesa yako na vyenye uliteseka huko aki

  • @LilianE-e5b
    @LilianE-e5b 10 หลายเดือนก่อน +13

    This is happening in India too. Kenyan Madams are recruiting women and trafficking them to West African men 😮

    • @gabriellove5605
      @gabriellove5605 10 หลายเดือนก่อน

      Lord

    • @Sallyskin
      @Sallyskin 10 หลายเดือนก่อน +1

      Truee

    • @user-bb9mf5wz8d
      @user-bb9mf5wz8d 10 หลายเดือนก่อน

      Stup how did u know if ur not there😅

    • @LilianE-e5b
      @LilianE-e5b 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-bb9mf5wz8d there is a BBC investigation that did a piece on Kenyan Madams in India luring unsuspecting victims to prostitution. Go see it for yourself 😉

    • @user-xh4kx4wk5m
      @user-xh4kx4wk5m 10 หลายเดือนก่อน +2

      I know one lady was telling me to go there ,,, Ngai niliimagine India na Indianas weeee koma mimi ,,, 🤔🤔🤔🤔🤔

  • @mohammednoorgure973
    @mohammednoorgure973 8 หลายเดือนก่อน +2

    Helloo...Surely Rose has come out clearly for what many Kenyans are undergoing in Saudi...Rose should Report this Bad incidents to DCI and The issues should be Handled by The Foreign Embassy to Finish this Curtels saga henceforth and The Kenyans who go there to benefit Directly from there Employers...

  • @rispaamollo7056
    @rispaamollo7056 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kenyan ladies please avoid going to Saudi Arabia for domestic works. Home is best whether you are poor or rich.

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 10 หลายเดือนก่อน

      Kuuza rosecoco inalipa

  • @silvershsadow2045
    @silvershsadow2045 10 หลายเดือนก่อน +41

    This is highly believable. I know some Kenyans are capable of doing anything for money. And our lazy embassies and officials "see or hear no evil", thus enabling the perpetration of such a scheme.

    • @jereking254
      @jereking254 10 หลายเดือนก่อน +1

      Choices have consequences. Sometimes once could be faced with limited choices.

    • @antonynjoroge3339
      @antonynjoroge3339 10 หลายเดือนก่อน +5

      We've the most useless kenyan embassy here in Saudi. The government is doing nothing about it.

    • @jereking254
      @jereking254 10 หลายเดือนก่อน

      I think it's unfair to lay blame on the Kenya Embassy. Diplomatic missions operate according to set codes and in most cases do not have their core business as protecting private interests. They can only assist as many other government offices do. Those who go to work in Saudi, for example, go there by private arrangements and when they get there, they do not register their presence with the embassy; how will the embassy know that there are Kenyan citizens there? And only for those in trouble to go there and seek help with impossible demands? For example, how can the embassy justify spending money on an air ticket that cannot be officially accounted for? But yes, it is possible to provide official advice, which am sure may not be useful in many circumstances. @@antonynjoroge3339

    • @user-jt8hd6hm1j
      @user-jt8hd6hm1j 10 หลายเดือนก่อน +3

      Thanks for speaking out exposed the evil deal.

    • @catekariuki3567
      @catekariuki3567 10 หลายเดือนก่อน +3

      Unasema lazy embassy......Ile maneno iko Kenya hapa hapa tu....

  • @faridahfaridah3208
    @faridahfaridah3208 10 หลายเดือนก่อน +9

    Sema kimeanikwa Allah forgive you and forgive us ...I am also a kemboi in Gulf...and what she is saying is true ...and Kenyans to Kenyans in Gulf ni maadui ...you live your own life you succeed or rather survive...looking for my safety too wanna go home pia insha allah safe and sound 😢

    • @PerismbarongoNyabicha
      @PerismbarongoNyabicha 9 หลายเดือนก่อน

      Nawaombea wakenya wako inche ya contract

    • @umma6654
      @umma6654 9 หลายเดือนก่อน

      Kumaanisha wajiuza gulf

    • @stanslausmmbaka
      @stanslausmmbaka 9 หลายเดือนก่อน

      May God protect you fridah

  • @nellykatrina4794
    @nellykatrina4794 10 หลายเดือนก่อน +1

    She's the only person telling the truth about tabia ya saudi.. corruption is everywhere hata kwa waarabu..wakenya na tamaa haki!

    • @bebzchic1475
      @bebzchic1475 10 หลายเดือนก่อน +1

      And they hate the truth

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kweli kabisa🤔✍️💯

  • @zenawahindi2425
    @zenawahindi2425 11 หลายเดือนก่อน +5

    huyu dada ni shujaaa kweli u can feel the pain as she talk

  • @halimacarlton6434
    @halimacarlton6434 9 หลายเดือนก่อน +4

    I love this guest She's real❤❤❤

  • @faraim1581
    @faraim1581 9 หลายเดือนก่อน +6

    Subtitles please bro. In English so you can reach a wider audience

  • @Wa_njiku94
    @Wa_njiku94 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka nione ile videos wakichapa kale kadem,i highly with no doubt believe her story... Thankfully she managed to come back safe and sound

  • @mariamhamis1076
    @mariamhamis1076 11 หลายเดือนก่อน +3

    Finally be blessed my dear sister ❤❤❤ 😢

  • @Blessedservant7
    @Blessedservant7 10 หลายเดือนก่อน +8

    What does the Saudi Arabian government do after knowing there are people living there illegally....

    • @omarsirleem7105
      @omarsirleem7105 10 หลายเดือนก่อน

      Kenya kuna watu wangapi wanaishi Illegally

    • @Innocent-vq9tx
      @Innocent-vq9tx 10 หลายเดือนก่อน

      Nothing they can do Kila mahali it's corrupt buana

    • @Blessedservant7
      @Blessedservant7 10 หลายเดือนก่อน

      @omarsirleem7105 Islamic sharia laws are terrible.....

    • @MaxamedNur-ct8zd
      @MaxamedNur-ct8zd 10 หลายเดือนก่อน

      Deported

  • @hazliitmiheso42
    @hazliitmiheso42 9 หลายเดือนก่อน +5

    Seriously!!!??? Our own Kenyans doing this to Kenyans!!?? God forbid.

  • @harrietaacengol4386
    @harrietaacengol4386 3 วันที่ผ่านมา

    If means she will not come back to Kenya anymore

  • @rahabmaina3240
    @rahabmaina3240 11 หลายเดือนก่อน +6

    There 2 teams in saudi kuna kemboi na zero grazing kemboi pia kuna 3 group kuna wenye huenda kazi kuna malaya pia kuna team dalalas hawa wanauana ni malaya team istraha saydi ni vile utajiweka ukipenda kazi hutakosa pia it a good country kujifunza kitu hujui utasomea saudi it up to you ujue nni ilikutoa kwenu

  • @carolynentheketha3515
    @carolynentheketha3515 11 หลายเดือนก่อน +10

    yes ni ukweli it happens but no one forced you.yaani 15 days ushachoka.hata mwezi hukumaliza ndio angalau uzoeane na boss na family yake?ungekuwa kweli hutaki kufanya hivo ungeenda embassy urudishwe kenya

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 11 หลายเดือนก่อน

      Maybe they were mistreating her

    • @carolynentheketha3515
      @carolynentheketha3515 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@bellaolum9768 kekomboi mapema hivo ni kuonyesha how impatient she was

    • @wambuinjeri5709
      @wambuinjeri5709 10 หลายเดือนก่อน +1

      Facts

    • @Tevo8844
      @Tevo8844 10 หลายเดือนก่อน

      15 days 'without food' quote that.

    • @judychepkirui5313
      @judychepkirui5313 10 หลายเดือนก่อน

      @@carolynentheketha3515 true

  • @soulmateasinoh
    @soulmateasinoh 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yani am in shock kumbe hiyo ndio kazi yao😮

  • @user-wm5lg8xg1c
    @user-wm5lg8xg1c 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada..umeongea ukweli kabisa. Na wengi hawasemi hata wakirudi kenya. Omba msamaha Kwa mungu wko... Atakusamehe...na usirudie hiyo tabia Tena. Mungu atakusaidia dada yangu. They will not kill you my dear. Allah is with you. I wish you all the best. Hao watalipa TU..Maovu yao

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ndio mnachokifanya huko saudi wakenya hamuogopi jamani😢

  • @fidiliadick6892
    @fidiliadick6892 10 หลายเดือนก่อน +5

    So much truth being told but there is still alot she is hiding.She seems to ve very careful about what she says meaning that she is hiding some information.Am so sorry about the whole story and how i wish we treated ither human beings with some dignity

  • @catekariuki3567
    @catekariuki3567 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wah! The way criminals talk with authority you may think the innocent one is wrong..

  • @beller9304
    @beller9304 11 หลายเดือนก่อน +2

    Unaulizwa kama mara tano hivi,"ulirudi aje???????

  • @maryndirangu7056
    @maryndirangu7056 11 หลายเดือนก่อน +8

    Kenyans forget that Dubai or any arab country prostitution is prohibited..ata kama una shida ukieda kule zip up nikunoma .. nilikuwa Dubai mwenyewe nikajishika nakuweka God mbele..

    • @dorcasosino5953
      @dorcasosino5953 11 หลายเดือนก่อน

      Prostitute iko gulf tena kuna mpaka casino riyadh kwenye waweza kukununua rosecoco bei rahisi

    • @mwadeghunyange4656
      @mwadeghunyange4656 10 หลายเดือนก่อน +1

      What are you talking about? Prostitution is everywhere. Otherwise why would a man marry four wives?

    • @ashwaagkarama1588
      @ashwaagkarama1588 10 หลายเดือนก่อน

      Clients are also experts not Saudi fyi

  • @avyduke2206
    @avyduke2206 11 หลายเดือนก่อน +7

    Sioni aja ya kushare hii story sababu huyo mama amejiuza tangu 2019 mpaka sahii ndio anakuja kusema sababu amenyomwa pesa

  • @beller9304
    @beller9304 11 หลายเดือนก่อน +5

    This lady is not open

  • @RamulaKabugho-bk8vk
    @RamulaKabugho-bk8vk 11 หลายเดือนก่อน +2

    We si ulishikwa Madina ukiuza Njugu sema ni vile ulishikwa ungekuwa huko badoo 🤣🤣🤣🤣

  • @kondebouy1308
    @kondebouy1308 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wakenya wakifika gulf huwa wanajisahau hebu Ali naomba pia umulike Qatar umalaya ni mingi kushinda Nairobi kuuza rosecoco na cha kushangaza wanajiuza mbaka 30riyal KFC😏

    • @beavaneomwenga1987
      @beavaneomwenga1987 11 หลายเดือนก่อน

      Wee Qatar msee nyama mbichi inauzwa mbaya,kwanza wakenya wengi wasichana 80% wanajiuza kwa asians,..

    • @kondebouy1308
      @kondebouy1308 11 หลายเดือนก่อน

      @@beavaneomwenga1987 qatar sasa ndio nomaa kama kuna mtu ako na dem Yuko Qatar asahau ju hukuna watu hapa watu ni wagonjwa

    • @husseinshaban6772
      @husseinshaban6772 7 หลายเดือนก่อน

      Very true 😢

  • @user-gw9ww4vd4t
    @user-gw9ww4vd4t 11 หลายเดือนก่อน +13

    Kwani lazima ufanye iyo kazi.. Kuna watu Saudia na hawafanyi izo job.. Na vile ww ni mama mzee ovio

    • @Anne-de4up
      @Anne-de4up 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 11 หลายเดือนก่อน +1

      She's not old, ni vile amevaa hizo hijab

    • @theblessedone7526
      @theblessedone7526 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @mercycherotich993
      @mercycherotich993 10 หลายเดือนก่อน

      Ni bleaching ndio inamzeesha 😀😀😀
      @@theblessedone7526

    • @user-nr4nl1zg9k
      @user-nr4nl1zg9k 10 หลายเดือนก่อน

      Huwezi elewa unless ukuje saudi not utaelewa its not easy😂😂😂

  • @MellSandy
    @MellSandy 11 หลายเดือนก่อน +6

    Si amesema umalaya iko na pesa mingi,tena hana kituu😂😂😂😂😂😂😂😂 aki this life

    • @MizeKombeSuleiman-id1rp
      @MizeKombeSuleiman-id1rp 11 หลายเดือนก่อน

      Kuna mmoja aliniambia akienda wera anatengeza 1500 kwa cku aki alifanya watu wengi wakakemboi wakujia kuna 1500 ya cku wee wakatoroka aki maisha aya Acha tu

    • @auntiepiarants2238
      @auntiepiarants2238 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @beavaneomwenga1987
      @beavaneomwenga1987 11 หลายเดือนก่อน +1

      Your body is the temple of God,Kuuza mwili Mungu anakuchapa kiboko nayo😢

    • @user-fd1bv5qh3u
      @user-fd1bv5qh3u 10 หลายเดือนก่อน

      Wako na pesa lakini pesa yao inaishia Shein, kila siku n mashoping ya manguo na viatu

  • @ummkhareema2384
    @ummkhareema2384 11 หลายเดือนก่อน +5

    May Allah forgive you endelea kuharibia watu jina kabisa…kama nipesa unataka omba polepole wacha kunifanya wewe mwenyewe ulikua bosslady na sahii unalia ulikua unalisha wanaume uko ukidhania uko kwenu

    • @Tevo8844
      @Tevo8844 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wakuu ndo uyu chairlady

    • @wambuimngoso9893
      @wambuimngoso9893 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @hellennjenga5267
    @hellennjenga5267 11 หลายเดือนก่อน +6

    Ni yeye mwenyewe alipenda hio kazi juu vile alikaaka alikua amejua kuna watu wanafanya kazi ya nyumba mbona a kutafuta watu wenye watamupea kazi ya nyumba, watu ufanya hio kazi ya umalaya ni wavivu unaona yeye alikaa kwa boss 15 days sasa juu alipata kazi ya kukaa tu na kutafuta wanaume kumaanisha alienjoy hio umalaya kuna Kwemboi wanafanya kazi ya nyumba na wamefanya mambo Kenya sasa huyu asiseme alilazimishwa hizo siku zote kama kweli alikua anataka kazi ya nyumba alikua amekaa ya kutosha kujua anaweza bata wapi watu wakumupea kazi ya nyumba watu si wajinga, nko na 9yr Saudi lakini atauniambie nijiuze siweze hafathali ni shekwe na polisi nirudishwa home

    • @rawanmapenzi1799
      @rawanmapenzi1799 10 หลายเดือนก่อน +1

      Unasikiaga hakuna soko lisilo na mwendawazimu so hyu ye do alienda kuwatafuta plz Ali next tuletee watu wko na stori za atleast

  • @emmapsalms2878
    @emmapsalms2878 หลายเดือนก่อน

    May our living God intervene in this situation

  • @hannahwambui4433
    @hannahwambui4433 11 หลายเดือนก่อน +6

    Was it a must ungefanya hiyo kazi....some of us walikemboi na tunafanya ushaghalla and God has been faithful.Sema ni grudge uko nayo coz the moment uliona what you're doing was not right ungeenda police.....wacha kuharibia watu jina

    • @albrightjoseph7740
      @albrightjoseph7740 11 หลายเดือนก่อน

      @@antyloroo 🤣🤣🤣

    • @bekamwaba3571
      @bekamwaba3571 11 หลายเดือนก่อน +1

      You sound a real kemboi too! Hakuharibii anajililia nafsi yake mwenyewe

    • @bettyjosh4182
      @bettyjosh4182 10 หลายเดือนก่อน

      Tell her baby girl ..she had money after ameona ni ukahaba why did she not go deportation...am happy kembiu hampendi kuchoka

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 29 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa kutujulisha maana tamaa inaponza

  • @KingslyCossy-tx7uc
    @KingslyCossy-tx7uc 11 หลายเดือนก่อน +3

    But saudi nyumba tulikua tunalipa once aftr 6months ,unlss kulichange juu mimi nilikua nalipa 1500 tukiwa madem watatu room kubwa na kulipa tena ni aftr 6months place inaitwa Yamama

    • @beavaneomwenga1987
      @beavaneomwenga1987 11 หลายเดือนก่อน

      Pia mlikua mnauza iyo nyama mbichi 😮

    • @user-hf8pq8qq7o
      @user-hf8pq8qq7o 10 หลายเดือนก่อน

      1500 in 6 months surely ?Ni cheap?

  • @issaahmed1650
    @issaahmed1650 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aliii learn to prepare good interview questions wen u hv such person who can has important information to give

  • @africanlion3281
    @africanlion3281 9 หลายเดือนก่อน

    Jameni na magonjua za sexually transmitted diseases( STD's ) including the HIV?? God almighty forbid. May the good lord save our Kenyan women.

  • @shanizmwamkita2193
    @shanizmwamkita2193 10 หลายเดือนก่อน +2

    Seriously she should say naked truth. 1 No one anaweza kuforce mtu a murife 2. Hakuna mtu hukua forced kuuza rosecoco its personal decision. Kuna part time jobs for house managers and monthly. You can't say you have save no thing 5yrs.Team murife can go in private hospital why lie.

    • @ericgillo8256
      @ericgillo8256 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli kabisa,coz I lived in jeddah for many years and what I know according to experience no one will ever force you into prostitution .Huyu alikuwa anapenda hiyo job it's only that she was arrested.

  • @vumbatv1149
    @vumbatv1149 7 วันที่ผ่านมา

    Truth

  • @Adm9464
    @Adm9464 10 หลายเดือนก่อน +1

    It’s sad WaKenya wanamfanya hivi WaKenya wenzao. Just for money

  • @rodahsoi2495
    @rodahsoi2495 11 หลายเดือนก่อน +13

    Its true ali its really happening

  • @karenchelagat770
    @karenchelagat770 10 หลายเดือนก่อน +1

    I am very happy because she tells truth

  • @sharleenmijide3454
    @sharleenmijide3454 9 หลายเดือนก่อน

    This story was really touching mummy waaah thank GOD umetoka huko ukiwa mzima

  • @njambiwakamau6684
    @njambiwakamau6684 10 หลายเดือนก่อน +4

    When one meets watu wrong numbers in abroad😢😢

  • @sarahmmbwanga6978
    @sarahmmbwanga6978 11 หลายเดือนก่อน +7

    Wacha store za jaba mami ww ni malaya juu ulipenda hiyo kazi pia, coz mbona ukurudi Kenya 🇰🇪 immediately 😂😂.

    • @gift7233
      @gift7233 11 หลายเดือนก่อน

      Utarudi aje bila hela.

    • @wambuinjeri5709
      @wambuinjeri5709 10 หลายเดือนก่อน

      Also the math isn't mathing, I'm in Saudi and it takes a lot of patience

    • @user-ij4nd5eg4o
      @user-ij4nd5eg4o 10 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa busy akiji bleachi... Akiuza tometoe😂😂😂

  • @maryngugi6828
    @maryngugi6828 11 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini si ungeenda job ya nyumba,ana ulilazimishwa kuuza?

  • @wsws998
    @wsws998 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ulikubali kufanya umalaya,mimi nina miaka kumi na siwezi kubali uwo ujinga afadhali nirudi nyumbani

  • @sainabhassan6885
    @sainabhassan6885 9 หลายเดือนก่อน

    What a shame!!! How can Kenyans punish one another to this level and blame Saudi govt. The govt must arrest those goons in Saudi calling themselves " refugees"

  • @divadiva684
    @divadiva684 10 หลายเดือนก่อน +6

    They need to give her money unconditionally per their agreement, it's not fair for them to withhold her share of the money. However had the group given her the money would she have come forward and spoken? Why is she speaking now? Too little too late? Also, had she not been caught would she have continued with that shady work? It's true sometimes Kenyans bring other Kenyans down while abroad so sometimes you're better off without Kenyans while abroad.n when you go abroad always remember what took you there and be very careful who you surround yourself with.

  • @noelatsole5552
    @noelatsole5552 7 หลายเดือนก่อน

    Sorry siz for the worst experienced.God is on the thrown watching over each and everyone of us

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 11 หลายเดือนก่อน +1

    this is totally didgusting for us yaani really huu ujinga umeanza kitambo i have a lady i know walikemboi kutoka 2010 mpaka sahii

  • @janetmanjemela8372
    @janetmanjemela8372 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ali, there is too much noise at the background, babies crying. Watching from Zambia.

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 11 หลายเดือนก่อน +1

      Do you understand Swahili?

    • @Kezia-rashford
      @Kezia-rashford 11 หลายเดือนก่อน +2

      Usituboo

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 9 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana mum kwa kuongea Ukweli

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 11 หลายเดือนก่อน +45

    This Kenyan mentality of diving into a river through imagination sounds shit. Why should you comment nonsense on one's experience and she chose to say it to save many from such matrix.
    Leave away the why's and contributors to her experience, let's learn the sincerity and the positive impact this piece of information shall save many of our young sisters, mothers and heroines sacrificing their best lives for the sake of our good living back in our kenyan homes.
    Sorry my sister for the experience but I really value your sincerity and the zeal to say it the way it is. Bravo our Kenyan Heroine.
    Love you siz and may God Almighty forgive all your sins and accept you in Jannah. In Shaa Allah

    • @bebzchic1475
      @bebzchic1475 11 หลายเดือนก่อน +6

      It Sha be well people don't like the truth but that is the bitter truth

    • @mariemorrison5862
      @mariemorrison5862 10 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @safianamani1375
      @safianamani1375 10 หลายเดือนก่อน

      Wanakufuna ushetwani

    • @peresmuyonga9140
      @peresmuyonga9140 10 หลายเดือนก่อน

      True

    • @catekariuki3567
      @catekariuki3567 10 หลายเดือนก่อน

      Hujui Hao watoroshanaji wako hapa?

  • @mantixmantix2358
    @mantixmantix2358 10 หลายเดือนก่อน +1

    I want to hear what Mutua will say about this

  • @rahabnjeri7859
    @rahabnjeri7859 11 หลายเดือนก่อน +5

    Its a choice

  • @tombimashri8149
    @tombimashri8149 11 หลายเดือนก่อน +12

    Please how about giving us translations in english not all people nd Africans understand swahili. Where is Lyn Ngugu who always gives storys the whole world can understand nd also english subtitles

    • @marionkeyeli8816
      @marionkeyeli8816 11 หลายเดือนก่อน +3

      Go where Lynn ngugi is ...maybe Ali preference is Swahili and not English

    • @JanetRosesB
      @JanetRosesB 11 หลายเดือนก่อน +2

      You are in wrong place 😂

    • @Zainab-qt5os
      @Zainab-qt5os 11 หลายเดือนก่อน +1

      Umbea utakuua😂

    • @raynsondarlbright4335
      @raynsondarlbright4335 10 หลายเดือนก่อน +1

      This is meant specially for those who understand this language

    • @trizahmacharia2939
      @trizahmacharia2939 10 หลายเดือนก่อน

      Is this Lynn's wall

  • @keruboo799
    @keruboo799 10 หลายเดือนก่อน +3

    Always follow your mind as team strong
    God is the best advicer our protector. Never shall you be ruined by other people 😢😢😢😢remember u decided to travel alone came alone and u shall leave alone
    Waswahili wakasema mvumilivu hula mbivu na mtaka cha mbinguni sharti ainame🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ❤❤❤❤❤

  • @gracekamunya6823
    @gracekamunya6823 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yule mtu wa "nitakufinya"alienda wapi afinye huyu?kujiuza silently since 2019,earning more than a house maid na watoi wanafukuzwa shule surely?After 5 yrs ya kujiuza na alikua amenyamaza sasa anaharibia wengine juu alihome last month bila kitu? bona akifuna alikua amenyamaza? Raha zimekumaliza dada

    • @ceciliahcyra871
      @ceciliahcyra871 11 หลายเดือนก่อน

      Story zake hazieleweki

    • @Ki-l7s
      @Ki-l7s 11 หลายเดือนก่อน

      Haja haribiya mtu. Hiyo hazi haitawai isha. Iko bado mingi na customer ni wengi sana, usijali na usiwe na shaka 😂

    • @merciandy9498
      @merciandy9498 10 หลายเดือนก่อน

      Nje Raha n mob but usipojipanga you end up with nothing,,, but I think unge change dalala uende Kwa KAZI ya keja if you wanted

  • @user-jg1gb9oe8j
    @user-jg1gb9oe8j 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani story zote ni za Saudi tuleteeni story za nchi zingine Saudi imetuboo from turky

  • @winniemwash8075
    @winniemwash8075 11 หลายเดือนก่อน +1

    But surely pia wewe ukipenda hio job juu kama hau kupenda ugejipeleka deportation urudi Kenya wisely then uaply job country ingine juu ukidepotiwa Saudi inatake 5years huwezi rudi huko

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 4 วันที่ผ่านมา

    Saşa nauliza kama nyumba ya 2 ilikuwa natatizo gani mpaka utoroke matatizo mengine kujitakia

  • @wkimunya
    @wkimunya 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hi Saudi issues suprises me coz stealing or ukora ni haramu and pig penalties. How do you do this in Saudi

    • @omarsirleem7105
      @omarsirleem7105 10 หลายเดือนก่อน +1

      unafaa kukam huku ujionee

    • @wkimunya
      @wkimunya 10 หลายเดือนก่อน

      @@omarsirleem7105 good answer

  • @aabbh2970
    @aabbh2970 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kaukweli lakini sio kemboi wote wanajiuza ni vile ulikutana na wakujiuza mimi sai ni 2years lakini sijai ona mwanaume nimeshi kwa mwarabu kama mtu wa contract siedi off,

  • @ireneayuma6779
    @ireneayuma6779 11 หลายเดือนก่อน +2

    Zeeka polepole mama kumbe uko mzee Ivyo unamisuse mate yako ya kubariki wajukuu

    • @carolmueni6431
      @carolmueni6431 11 หลายเดือนก่อน +2

      Kweraaa Satan,will you live young forever?

    • @danielamicheal4680
      @danielamicheal4680 11 หลายเดือนก่อน

      @@carolmueni6431 mimi hushangaa na binadamu when they mock other people ati ni mzee hao hawatazeeka watakufa wakiwa wachanga bure kabisa

  • @jessicaesthermakungu1693
    @jessicaesthermakungu1693 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi natafuta passport niende Saudi ndio nikujue na story ya content creators

  • @John-uq7hu
    @John-uq7hu 9 หลายเดือนก่อน

    Waah am shocked to hear this painful story.

  • @habibatiya554
    @habibatiya554 10 หลายเดือนก่อน

    Those wamamas ndio kina nani,that audio lady is not sincere even by her talk, the government should intervine, Hon. Sonko, help her.

  • @ruthmwangi3199
    @ruthmwangi3199 11 หลายเดือนก่อน +1

    Watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦 wuuuuuiiii 😌😭🙊🥱.kwani.saudia.kuko.na.mambo