Kila ninapo isikiliza hiyo Qaswida inakumbusha mbali sn mbali ya ujumbe uliomo humo kwny qaswida pia kulikuwa kuna watu watatu ambao ni Ustadh Badru dilunga,Nasibu,koba na marehem ustadh Manna wallah nilikuwa napata raha sana ila sasa raha kama bado sijapata kuziona tangu Shekh manna alipo kufa but Allah amjalie kila LA kheri huko alipo.
dooooh!!!!!!! ujumbe mzito kwa waislamu wote hakika . sheikh koba allah akupe umri mrefu wenye baraka tele
❤❤❤
maa sha allah sharif koba
Khatari sana koba
Maa shaa allah
Mumtaaaaaz nipe like kuwa wakwanza kuckiliza hii ajemy
Mashallah
Kila ninapo isikiliza hiyo Qaswida inakumbusha mbali sn mbali ya ujumbe uliomo humo kwny qaswida pia kulikuwa kuna watu watatu ambao ni Ustadh Badru dilunga,Nasibu,koba na marehem ustadh Manna wallah nilikuwa napata raha sana ila sasa raha kama bado sijapata kuziona tangu Shekh manna alipo kufa but Allah amjalie kila LA kheri huko alipo.
Allah amrahamu huko alipo Ust Qaariu Manna
Allahuma amin
Mashaallah
Wewe ni fundi hakuna ubishi