Back on those days,,, kipind hicho hakukuwa na corona maisha yalkuwa matam mno. Kidedea arts group akina Mzee Jengua, Dr Cheni, Swebe, Ben, Tabia, Bi Mwenda n.k
Huu wimbo unanikumbusha mama Yangu mdogo Everine Elias Balilemwa msanii na Mkurugenzi wa Group la kidedea lililokuwa na maskani yake Kinondoni Mkwajuni.
Band Ilikuwa inaitwa Stono Musica, ikiongozwa na Malu Stonchi, wakishirikiana na Ndanda Kosovo, Patcheko Mwamba na Cardinali Gento kwenye Solo guitar na wengine kadhaa, ni baada ya kujimegua toka kwenye Band ya FM Academia, ambapo baadaye baadhi yao walirudi FM Academia kama Patcheko Mbwamba, na miaka kama michache iliyo pita Malu Stonch naye alirudi FM Academia
Aisee nimeutafuta Sana huu wimbo siku nyingi Sana. Hadi nimelia nimekumbuka mbali Sana 🥲😍😍
Enzi naangalia Kidedea miaka ya 2000 dah! Once lived maestro Ndanda Cosovo. May your soul rest in Eternal Peace
Ilikuwa 2001
Izi ndo ngomaaaa🌹sakuzikiliza ukisa vurugana na mumeo 😅., 2020 🌹
Old is gold 2022 bado mziki mzuri
Rip ndanda cosovo"ukalale pema peponi"Amen"
Wapenzi wa muziki hapa nyumbani tuta-mmiss Ndanda Kosovo. Alikuwa kijana mahiri katika fani ya muziki. Nitamkumbuka daima hasa kwa wimbo huu!
Nakumbuka mwaka 2001 wakat wanazindia hii albam morogoro mount ulugulu daaahhh miaka inakata
Wangapi wanaikumbuka hii ngoma jamani..?
pazia jeusi
Mimi Mtu Wangu
Laiti miaka ingekuwa inarudi nyuma daaaaaah kweli Mungu anafumbo kubwa ndani ya huu ulimwengu.,...hizo ladha hakuna tena
Hii ngoma sio mchezo
Ata mm naikumbuka
Aah we acha tu ! Hii ngoma kwa wakati ule ilitamba vya kutosha miongoni mwa wapenda rhumba ! Ndanda Kosovo alale pema peponi !
Kifo Cha jengua ndo kimenikumbusha hii nyimbo ...r.i.p jengua & ndanda🙏
Rest in piece Ndanda Kosovo Kichaa
Rest in peace Ndanda Kosovo Kichaa
Back on those days,,, kipind hicho hakukuwa na corona maisha yalkuwa matam mno. Kidedea arts group akina Mzee Jengua, Dr Cheni, Swebe, Ben, Tabia, Bi Mwenda n.k
tabia kikojozi alikuwa anaekt na wamemsumbua sana jengua
@@twahachano2559 hivi Tabia yuko wapi nae?
Saana kitambo sana. Kidedea enzi hizo
Hapaana dr cheni swebe na Ben. Na bi mwenda hawakuwa kidedea arts group hao walikuwa kaole, ila jengua, neema, tabia, peace ,momba..nk....
R.I.p Ndanda cosovo
da nikisikilizaga natamani kulia coz nakumbuka mbali
Kuna ule mchezo ulikuwa unaitwa kidedea daaah! Nimekumbuka mbali sana
To be honest when I remember to listen this music I repeat more than five times
20/11/2018 bado naikubali hii nyimbo....RIP ndanda Kosovo
One of the best songs frm the best group ever
Ukisikia sauti huwezi amini kuwa Ndanda Kossovo Tembo ni marehemu. ,RIP
2018 mwezi wa tano tarehe 4 Nani Kama mimi naikumbuka, RIP Ndanda
Daaaaah....!nakumbuka enzi hizo nipo primary school pande za Hananasifu kinondoni Rest in peace my best friend Mbuya Diwani Maalimu
Who is here 2020? R.I.P Ndanda Kosovo
Jaman kweli duniani hakuna makazi RIP
Nalia sana nikisikia hii ngoma
much respect to ndandason onamwendo cosovo....maisha ya jelaaaaaa
Hay Dolor por que te fuiste amigo tan super que cantabas gracias por tu musica hermosa R.I.P Descansa en paz
He was my best friend...
Bnafsi naikubali sana km vp gonga twendze2
Twende
Huu wimbo unanikumbusha mama Yangu mdogo Everine Elias Balilemwa msanii na Mkurugenzi wa Group la kidedea lililokuwa na maskani yake Kinondoni Mkwajuni.
Yupo wapi kwasasa?
RIP hii nyimbo marehemu alitumia ubunifu wa hali ya juu kuonyeshe kipaji chake
Dah wanangu wa shule ya Msingi Tumaini Kawe daah tuliomaliza 2004 dude letu la kulia mihogo kwa baba zawadi
R i p ndanda 😭😭
mungu amuweke pema mbele yake nyuma yetu.
Nakumbuka2002 pale mziki wa dansi ulipokua juu,Malou stonchi nilikua namkubali sana
Ndanda Kosovo ni Kiboko na nilikuwa namkubali,alikamilika kwenye kila idara,RIP Ndanda we will missed you alots.
Hatar fire ndanda kosovo alikuwa vzri mno. Wachache cn !!!!
You will be remembered....Ndanda Kosovo
weacha tuu hiyo ngoma inanikumbusha mbali sana r i p ndanda kosovo kichaa yan sauti yake naipenda sana
Daaah..thse old days STONO MUSICA 👑🔥🔥🔥🔥
kuwekeee na ile ngoma waliimba mtegemea cha ndugu hufa masikini.....ilikuwa side B ya albam tape ya stone musica
Kwa wale wapenzi wote wa Nyimbo za Hiphop na Bongo Flava ya Miaka ya 90's hadi 2000's basi ingia kwenye channel yangu hii ujikumbushie enzi.
Tucheze kidedeeea ohh kidedea
Ndanda Kosovo kaokota Big G katia mfukoni
Kwakweli nakumbuka mbali sana
Shida yangu ni yake jamaniiiii Hatareeee
Band Ilikuwa inaitwa Stono Musica, ikiongozwa na Malu Stonchi, wakishirikiana na Ndanda Kosovo, Patcheko Mwamba na Cardinali Gento kwenye Solo guitar na wengine kadhaa, ni baada ya kujimegua toka kwenye Band ya FM Academia, ambapo baadaye baadhi yao walirudi FM Academia kama Patcheko Mbwamba, na miaka kama michache iliyo pita Malu Stonch naye alirudi FM Academia
Patcheko Mwamba ni tofauti na Patcho Mwamba ujue
Asante Kwa ufafanuzi
Sio Patcheko Mwamba Ni Patcheko Mbongo
this is one of my best on Eatv, I have been looking for this song since I had not caught the tittle
Gonga like twende pamoja.....wera...wera....
Tisha sana
Malou stonch jamani😢😢
2020 still rocking
2020 tunapepea nayo
one of the best
Long time ago but still a hit song
Kumbe na ni mihenga duh
dah!huzuni RIP Ndanda
Rip kossovo rest in peace mwaume wote tuko nyuma yako.
Juni 2020
safi sana
R I P Ndanada Cosovo my best
Kidedea way back
namuelewa sana RIP ndanda kosovo
Tokola na ndule oyo na Tanzanie
RIP Ndada Kosovo and Malu Stonch
Rest in peace ndandaa kichaaaaa
Great African sounds... I miss that
Alexander Kouaminovich yupo vizurii san mnyamaa ya congooo kichaa
2024❤❤❤❤❤
Loving chitoto pingpong
R. I. P Ndanda
❤
R. I. P. Ndanda kosovo
RIP Ndanda Kosovo
R. I. P ndanda cosovo
RIP NDANDA
makambo nzarimingi Nene R I P
🎉🎉🎉🎉🎉
paurve le ndandason Kosovo ozali ko kufa moto ya nzambe dah
ndanda kosovo kichaa kweli hii ngoma kari mno
Malou stonch, ndada kosovo ,chai jaba,pacheko mbogo walikuwa wanaburudisha balaa.
khatari
Umemsahau sege mwila,,,.
Acha kabisa
Muongeze Alpha be kabeza, Juseus
Rest in peace Ndanda Kosovo.
Chaijaba siyo muchezo
Nazoki molangi Jimi Watusi. Liwa eyibi Ndanda Kosovo Kichaa...tosala nini?
rip
R. I. P Ndanda KOSOVO
Who still listens to this in 2019
Me
2022
4mio😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊@@mathemagician81
Me in 2024
Me in 2024😂
Sauti saafi jamani.
rest in peace ndanda cosovo..
RIP
Pumzika salama ndanda
Safisana
Acha kabisa....2001
Acha kabisa
Hiyo kipindi...
R.I.P NDANDA KOSOVO
R.i.p king of bongoance
upumzike kwa amani kazi umeimaliza r.i.p
Enzi za kidedea
Mryam
Kumbe amefariki huyu jamaa nilikua sijui dah sauti yake ilikua ina upekee kaokota big g katia mufukon
R I P NDANDA..
Kosovo kichaa
Alikua hatari full breach 😂😂😂
daaaaa nomaaa
fatiya
ni shida huyu jamaa
Jimmy Chocolate
Dah it takes me far back
Ndo muziki unaoishi had I sasa
But a nikuvute
Ndanda Kosovo kichaa
Jela ni shida
Kitambo xna aiseeeeeeeee, ndanda ni kichwa adimu dunian
R I P
mungu amuweke pema mbele yake nyuma yetu.