ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
asante sanaa kw video nzr. ila naomb msaad kna game inatokea mtyu unakua na ket 3 zte king afu mpinzn anaket mbil mja king nyngne cyo king ila isyokua king ipoo ukutan hua n gor au draw game iyoo naomb msaad bro
hiyo akicheza vibaya anafungwa mwenye kete 2
Kazi inaeleweka sanaa 😅 , hii formular ya pembetatu tuipe jina ,gani , "The Killer Formular"
Tatizo mnaongea mda mrefu fupisha maelezo tunatumia mb boss
Naomba namba yako nitaomba unifundishe vizur nielewe vizur, ila mm nacheza France, mbele na nyuma
Nakubali sana kaka
Naupenda Sana mchezo huu ila naitaji mafunzo zaidi maana siujui, napatake darasa zaidi nikiitaji? Maana nikitafuta mafunzo yako nayapata machache
Fundi vipi tunazisubiri videos zako tuongeze ujuzi
Mambo dula
0757309149 nitumie kripu zingine dula
Naomba utupe maelekezo kuhusu kete 3 mpya maana zinatutesa mitaani huku
Nice sana
Bro tunaomba uongeze video
Xant xn 👍👍
Nice
Broo asante sana
Mie nataka kujua huu mchezo Ila kila ninavyojifunza bado sielewi nahtaji elimu yako
Huyu bro ni mwalimu mzuri lakini kwa bahati mbaya kapotea kabisa.
👏👏👏👏👏👍
ivii uyu jamaa kapotelea wapii
Safi sana
Asante kaka
Mkn kaka
Safi bro
Ahsante
bro umepotea watu tunakusubiri
Sauti ndogo
Fundi tafadhari namba yangu hii hapa,,0769357244 ya watsup kabisa. Nahitaji niwe nondo Kaka. Nshafunga mtu kete tatu hapa kwa huu mtego
Kuna kete tatu mpya unaweza nifundisha?
Kuna video nitaitoa weekend hii ifatilie utajifunza kitu
@@checkers3156 Asante
Brother weekend ndo inaisha nikisubiri kwa hamu kweli. Naomba hata kwa WhatsApp 0754426044
Duh Mwalimu upo ndio naona video yako leo
Naomba unitumie namba yako ya WhatsApp, kuna kete hua na shindwa kuitoa iende kingi,nahitaji nikutumie unisaidie
Okay nimeshafahamu hiyo kete inayokusumbua nitatoa video kuonyesha jinsi ya kuitoa weekeend hii
Thanks brother
Fundii
bro uko poa
Mongo sana