ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Amezaliwa, ni Mkombozi wa Ulimwengu, furaha imetawala Masiha kazaliwa!Unakosaje kuzishiriki shangwe hizi, na unakosaje kumshirikisha jirani na ndugu yako shamramshara za kuzaliwa Mkombozi!? Haya twende pamoja! MERRY CHRISTMAS -Glory be to God❤❤❤
Leo Nmekuwa wa kwanza kucoment, nipen like zangu. Huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥,, hongerenii! Merry Christmas 🎄
❤❤❤🎉🎄🎅🎅Hakika tufurahi na tushangilie sote tuimbe ALELUYA.... Kazi nzuriii...
Tunakila sababu ya kumshuru Mungu maana si kwa nguvu zetu wala akili zetu tunamshukuru sn Mungu
Tisha sana chama langu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera Sana Mwalimu Wangu Herman Gervas Mzee wa kazi Mungu atumize haja ya Moyo wako
Gervas ni mtu na nusu kabisa! Tunajivunia kufanya kazi naye❤
Wimbo Mzuri sana!! Hongereni nyotee 🎉🎉🎉
Mungu awabariki sana
Hakika Wana Babati mmetisha asante Sana kwa Nyimbo nzuri kwaya safi
🙏🙏
Wimbo safiii meupenda jamn mwokozi azaliwe kwa kila mmoja
Kazi nzuri, uinjilishaji mzuri, vibes za kutosha, uchangamfu ni balaa, mandhari ndio fire kbs.. hongereni SanNi babati parokia ipi jmn
Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mjini🙏🙏
Nyimboo 🎉🎉 Beat 🎉🎉
Joakimu Mungu awalinde sana. Mmenifurahisha sana wazee wa vibes ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tupatie ofa basi dingiii😂😂😂
Asante sana kwa mziki mzuri sana producer wetu Mahiri
Hongera
Kweli kabisaàa tumempata mkombozi tumshangilie, hongereni Sana kwaya ya Mt, Joakimu BABATI.
Mandhali nzuri mmependeza sana mmechangamka ❤❤❤Kweli tumempata Mkombozi ,tufurahi na tushangilie .
Ni fireeee🥰
Munasambazi ujumbe kupitia nyimbo tumsifu yesu kristu
Jamaa angu Herman haupoi we jamaaa una balaaa
Nice song Mungu awalinde
🙏🙏🙏
Nawapenda sana watu wa nyumbani kwetu
🎉🎉🎉🎉 maua kwenu wana Joakimu
Mungu azid kuwabariki Kaz nzur sana
Katolikii rahaaa
Wimbo mzuri❤
Hongereni kazi nzuri sana
Nyimbo nzuri ula badilisheni video shooter
Big up
Apakibosho
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Amezaliwa, ni Mkombozi wa Ulimwengu, furaha imetawala Masiha kazaliwa!
Unakosaje kuzishiriki shangwe hizi, na unakosaje kumshirikisha jirani na ndugu yako shamramshara za kuzaliwa Mkombozi!?
Haya twende pamoja!
MERRY CHRISTMAS -Glory be to God❤❤❤
Leo Nmekuwa wa kwanza kucoment, nipen like zangu. Huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥,, hongerenii! Merry Christmas 🎄
❤❤❤🎉🎄🎅🎅Hakika tufurahi na tushangilie sote tuimbe ALELUYA.... Kazi nzuriii...
Tunakila sababu ya kumshuru Mungu maana si kwa nguvu zetu wala akili zetu tunamshukuru sn Mungu
Tisha sana chama langu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera Sana Mwalimu Wangu Herman Gervas Mzee wa kazi Mungu atumize haja ya Moyo wako
Gervas ni mtu na nusu kabisa! Tunajivunia kufanya kazi naye❤
Wimbo Mzuri sana!! Hongereni nyotee 🎉🎉🎉
Mungu awabariki sana
Hakika Wana Babati mmetisha asante Sana kwa Nyimbo nzuri kwaya safi
🙏🙏
Wimbo safiii meupenda jamn mwokozi azaliwe kwa kila mmoja
Kazi nzuri, uinjilishaji mzuri, vibes za kutosha, uchangamfu ni balaa, mandhari ndio fire kbs.. hongereni San
Ni babati parokia ipi jmn
Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mjini🙏🙏
Nyimboo 🎉🎉
Beat 🎉🎉
Joakimu Mungu awalinde sana. Mmenifurahisha sana wazee wa vibes ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tupatie ofa basi dingiii😂😂😂
Asante sana kwa mziki mzuri sana producer wetu Mahiri
Hongera
Kweli kabisaàa tumempata mkombozi tumshangilie, hongereni Sana kwaya ya Mt, Joakimu BABATI.
Mandhali nzuri mmependeza sana mmechangamka ❤❤❤
Kweli tumempata Mkombozi ,tufurahi na tushangilie .