Rapcha - Mtoto Wa Taifa Freestyle (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.1K

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 3 ปีที่แล้ว +83

    Huyu mwamba me nilimuona anakitu kikubwa saaana tangu kisanga. Acha like kama unasoma comment ukiwa unasikiliza wimbo

  • @goodluckdeo3202
    @goodluckdeo3202 3 ปีที่แล้ว +72

    Dah mwana anajua adi kero kama unamkubali gonga. like twende sawa

  • @Special4uTV
    @Special4uTV 3 ปีที่แล้ว +217

    Kama unamkubali Rapcha , weka like hapa

    • @bulandi67
      @bulandi67 3 ปีที่แล้ว +3

      Bro Rapcha lazima aitwe na mama ikuru utanambia bro believe me naqbal wanangu 99

    • @winnietemu3717
      @winnietemu3717 3 ปีที่แล้ว

      kaliiiiiii💥, streaming from the unknown!😂

    • @fredyduke8690
      @fredyduke8690 3 ปีที่แล้ว

      Nakubali san ngoma hii iko poa san kaka

    • @michaelbundala5894
      @michaelbundala5894 3 ปีที่แล้ว +1

      Rapcha God bless you keep moving

    • @solitude-n5w
      @solitude-n5w 3 ปีที่แล้ว +1

      Chaze mbali weweee

  • @joeaggyaggy5299
    @joeaggyaggy5299 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesomaaaaaa. Kama umesikikizaaaaa semaaaa.

  • @selemanimlonganile8622
    @selemanimlonganile8622 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana my raptcha

  • @cleverofficial5500
    @cleverofficial5500 3 ปีที่แล้ว +294

    Unaesoma comment yangu najua hatujuani naomba mungu akubariki na akupe maisha marefu zaidi🙏🙏🙏

  • @torokauje1764
    @torokauje1764 3 ปีที่แล้ว +22

    Alierudia kusikiliza kama mm Like tafazali.
    Umetisha uko vizuri

  • @pendojeremia3150
    @pendojeremia3150 3 ปีที่แล้ว +2

    Unaweza kaka tena zaidi yakuwezaaa mungu akuongozeee zaidii kka

  • @kigodoro1897
    @kigodoro1897 3 ปีที่แล้ว +2

    Freshi

  • @yassinkazua8226
    @yassinkazua8226 3 ปีที่แล้ว +14

    Sikuzote alipangalo mungu binadam hawez pangua like kwa bro rapcha

  • @tanzalivetv
    @tanzalivetv 3 ปีที่แล้ว +44

    hata ukizibana vipi ke.... zaid sana utazipasua
    naitwa Rapcha🙌🙌😂😂

  • @issabrocleantz
    @issabrocleantz 3 ปีที่แล้ว +27

    Rapcha Hivi uliwaza Nini aisee respect kwako 🎵 good music 💥 heshima Yako 🙏

  • @eboy9171
    @eboy9171 3 ปีที่แล้ว +1

    Iko vzury

  • @samuelabisai9575
    @samuelabisai9575 3 ปีที่แล้ว +2

    lupture htr

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 3 ปีที่แล้ว +29

    Majani alishasema chafu zote tupa kule wacha tuskize mziki mzuri mtoto wa Taifa 🙏 Love From Dubai UAE💥💥

  • @calitroonesphory3872
    @calitroonesphory3872 3 ปีที่แล้ว +70

    Tatizo hujawahi kukosea🙌🏽🙌🏽🙌🏽
    Like if you understand lyrics😊

  • @espoirkashindi1725
    @espoirkashindi1725 3 ปีที่แล้ว +13

    Safi sana kabisa kaka... Kutoka from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like zenu wa congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +4

      Pamoja sana

  • @salumhamad3221
    @salumhamad3221 3 ปีที่แล้ว +2

    aiseee umeandika snaa .. hiii ndo maana halisi ya hiphop

  • @jannyalex3834
    @jannyalex3834 3 ปีที่แล้ว +2

    Rapchaaaaa

  • @chingatz4420
    @chingatz4420 3 ปีที่แล้ว +15

    Broo umeuwaaaaa mpka nauangalia mala mbili mbili kam umemkunar gonga like zifike 1000

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana

    • @chingatz4420
      @chingatz4420 3 ปีที่แล้ว

      @@RapchaTz ucjar mzee wangu

  • @alextommytz
    @alextommytz 3 ปีที่แล้ว +36

    Young king
    Home boy tukachukue mchuma huo trending no 5 sooner 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ayubumaduhu3231
    @ayubumaduhu3231 3 ปีที่แล้ว +20

    tugonge like Kam wamkubali Rapcha the king of 90's

  • @danielfabian621
    @danielfabian621 3 ปีที่แล้ว +2

    Rapcha umetisha mtoto wa taifa

  • @obrepacha5525
    @obrepacha5525 3 ปีที่แล้ว +2

    Ngomaaa kali..sanaaaa

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 3 ปีที่แล้ว +8

    Wewe nimwandishi mzuri kilakazi unayo itoa unaitoa kwa ufanisi wahaliyajuu, pia unauwezo mkubwa sana zaidi ya hawa maraparapa wanaopiga kelele it's all about time broo. 👑👑👑 🙌🙌💪💪❤❤.

  • @pius1359
    @pius1359 3 ปีที่แล้ว +5

    Mama Ni Mama Samia.....
    Good Like Good Music....

  • @zakiaathuman3636
    @zakiaathuman3636 3 ปีที่แล้ว +17

    Nyiee nyiiee Huyu Rapcha huyu🙌🙌 babaa🙌🙌 aisee🔥 nimekosa maneno🙌🙌 naombeni likes za mama Rap cha❤🙌🙌

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +2

      Like zako hizooo

    • @zakiaathuman3636
      @zakiaathuman3636 3 ปีที่แล้ว

      @@RapchaTz Unajuaa babaa🙌..Hip Hop ya Bongo katika mikono salama🔥

  • @brain_ujazo
    @brain_ujazo 3 ปีที่แล้ว +1

    Rapchaaa MTOTO WA TAIFA

  • @ivanjr9065
    @ivanjr9065 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nakubal show imekaa magoal sio poa pongez broo

  • @calvinhosea278
    @calvinhosea278 3 ปีที่แล้ว +7

    ooya mnyama rapcha tuna itafuta 100k saiz na top5 trending lazima tufike... gonga malike hapa rapcha aingie Top5 trending

  • @officer1208
    @officer1208 3 ปีที่แล้ว +10

    Nilisahau kupiga LIKE,hatimae nimerudi kufanya hivo.

  • @Norbert_Assenga
    @Norbert_Assenga 3 ปีที่แล้ว +8

    Mda mrefu sana sija comment youtube...ila hapa siwezi pita ivi ivii Raptcha unajuaaaa mwanang 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mziki mzuriii ndo huu

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante Norbert

  • @jamarymohammedi5860
    @jamarymohammedi5860 2 ปีที่แล้ว +1

    Nooomaaaa Sana 🖐️

  • @richbrizzy_tz
    @richbrizzy_tz 3 ปีที่แล้ว +43

    Kama umeirudia hiii ngoma kama mimi like

  • @kamalaartz762
    @kamalaartz762 3 ปีที่แล้ว +17

    Nilikuwa namsikilizia huyo Mama kwa makini,nimekuja kuelewa kuanzia hapo uchaguzi mkuu mitano tena...God bless you brz u nailed it man

  • @gtunewaves2867
    @gtunewaves2867 3 ปีที่แล้ว +21

    Uwezo wako wa kuandika ni mkubwa mno kupita hata Age yako una akili nyingi sana endelea na kasi iyoiyo una kipaji mwana God bless you

  • @saluboy1178
    @saluboy1178 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja tukutafutie gali mwanangu

  • @saidjuma9823
    @saidjuma9823 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah bado nje ya nchi wakuelewe ipo siku👊👊

  • @chimbengachi
    @chimbengachi 3 ปีที่แล้ว +10

    Hii ngoma ni kali kuliko salamu zote za pongezi kwa Mama Samia.
    #blessup

  • @Barakab2
    @Barakab2 3 ปีที่แล้ว +22

    Kama una kubali acha like yako, this is so nice

    • @jaytzchannel5478
      @jaytzchannel5478 3 ปีที่แล้ว +2

      Unae mkubali raptcha wanangu wa 99 nipe like hapa

  • @alecbayrine7161
    @alecbayrine7161 3 ปีที่แล้ว +11

    Hivi lazima kila mtu aki comment youtube ndani aombe "likes". Kwanini m2 asi appriciate tu the good music utoe comment au feedback alafu msomaji kama kapenda ai like!! Au "likes" skuizi zinaongeza miaka ya kuishi!!! Niggas gatta grow up!!! Btw Ngoja kali sna....bonge la idea priciate the man. Rapcha h truly is the Last King of 90s...My king. Don't stop my G

    • @rickierunyota3613
      @rickierunyota3613 3 ปีที่แล้ว

      Kama umemuelewa @Alec Bayrine kama mim weka like tujuane

    • @BMBARAKA049
      @BMBARAKA049 3 ปีที่แล้ว

      😅🤣mimi huwa siwaelewiii kabisa .utafikir wataingiza ela

    • @rickierunyota3613
      @rickierunyota3613 3 ปีที่แล้ว

      @@BMBARAKA049 achana naoo

    • @dawillygene
      @dawillygene 3 ปีที่แล้ว

      gonga like hapa kama wamkubali rapcha

  • @issasalum7284
    @issasalum7284 3 ปีที่แล้ว +1

    nimekuja baada kuona wasafi instagram..... like twende sawa

  • @abuusaid436
    @abuusaid436 3 ปีที่แล้ว +2

    Raqcha nakubali wanachochea moto halafu hawajui kupika tulia walambe dawa

  • @calvinhosea278
    @calvinhosea278 3 ปีที่แล้ว +5

    mwana ume uaaa... the last 👑 of 90's.... acha wao watengeneze kiki sisi tuna make hits

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว

      ✊🏾✊🏾

  • @albanuschaula5446
    @albanuschaula5446 3 ปีที่แล้ว +5

    Rapcha mfalme wa freestyle🔥🔥tisha sana

  • @BwenzaofficialMusic
    @BwenzaofficialMusic 3 ปีที่แล้ว +12

    mi nawashangaa wanao dislike ngoma kama hii Rapcha umetisha🔥

  • @blackjackthepoet8108
    @blackjackthepoet8108 3 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana

  • @kirimeijo2606
    @kirimeijo2606 3 ปีที่แล้ว +2

    umeua

  • @mendempoletv7579
    @mendempoletv7579 3 ปีที่แล้ว +13

    Tatizo hujawahi kukosea ✌✌✌ like if you understand Iyrics 😊

  • @mozzymasha4385
    @mozzymasha4385 3 ปีที่แล้ว +26

    Gonga like Kama unamkubali rapcha

  • @sportstoall9394
    @sportstoall9394 3 ปีที่แล้ว +4

    Keep up my boy! ubunifu mkubwaa sana!

  • @alexmhangaza6699
    @alexmhangaza6699 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah boy kwanza akupe kabra hata haija fika hukwo mbona ni noma zaido ya ile ya young dee nomakwer ww ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacksonwilliam5870
    @jacksonwilliam5870 3 ปีที่แล้ว +2

    Lastking...... endeleeaa hivohico hakuna kupoaa💯💫

  • @ramaarapazy4063
    @ramaarapazy4063 3 ปีที่แล้ว +8

    OYA NASUBIRI IINGIE TRENDING NITARUDI TENA MAANA BONGE LA NGOMA

  • @musaalfred509
    @musaalfred509 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwanang nimepata shida sana adi kuicheki hii ngoma make na2mia smart kitorch.💪💪mkoko lazma 2chukue bro

  • @charlesmadama7492
    @charlesmadama7492 3 ปีที่แล้ว +5

    Daaaah Aiseee me binafsi nitaview Zaid ya mara 50 Hii song

  • @awardsaturday9056
    @awardsaturday9056 3 ปีที่แล้ว +1

    Rapcha ngoja kwanza usimalize kuimba nataka comment

  • @augustinojkatambo8324
    @augustinojkatambo8324 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa anajua 💥💥💥

  • @FazohMedia
    @FazohMedia 3 ปีที่แล้ว +8

    Kama unamkubali Rapcha ndo King of Rap Tz gonga Like hapa 🎵

  • @davidcharles1318
    @davidcharles1318 3 ปีที่แล้ว +8

    Last king of 90's #wanangu wa 99 what's up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥upo Moto sana

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 3 ปีที่แล้ว +3

    Ama kweli hii nyimbo imezima takataka zote zinazoendelea mtandaoni big up rapcha

  • @joejux1380
    @joejux1380 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani sio kurudia tu hapana
    Nmeidownload kabisaaaaaaaaaa

  • @hermanmodestus9546
    @hermanmodestus9546 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh izo apo🤜🏾🤛🏿

  • @andrewwanyoike8975
    @andrewwanyoike8975 3 ปีที่แล้ว +5

    reminded of Noorah AND Mr.Blue all rounder lyrical spitting conscious musician. moto kama pasi ya makaa. kazi safi mzuka

  • @regnardfocus1114
    @regnardfocus1114 3 ปีที่แล้ว +5

    Blessed sana damu yang🔥🔥🔥
    Nimekuelewa sana

  • @amaningobayi7114
    @amaningobayi7114 3 ปีที่แล้ว +13

    Kweli kijana wetu
    Me nahic shy tujivunie huyu mtu
    Naomba ngoma moja kutoka shy @scar dee

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +2

      Shy town ✊🏾🔥

    • @scardee.7630
      @scardee.7630 3 ปีที่แล้ว +1

      🙌🙌🙌🙌

  • @dochdodava
    @dochdodava 3 ปีที่แล้ว

    Wewe tena Wewe !!! @dochmuzik!!!

  • @mossesgadiye99
    @mossesgadiye99 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa anajua, mziki mzuri upo kwa rapcha watoto wengne mkalale, like zenu jmn

  • @theentertainmentworld3825
    @theentertainmentworld3825 3 ปีที่แล้ว +11

    Another head another brain rapcha🙌👏👏

  • @robertmwakyusatztv9795
    @robertmwakyusatztv9795 3 ปีที่แล้ว +10

    That's good music Rapcha je suis D'accord avec notre musique una kipaji sana🇹🇿🔥🙏

  • @danielcalvin4110
    @danielcalvin4110 3 ปีที่แล้ว +11

    Daaah....Rapcha 🙌. Siku zote huwa unachana, ila hii ngoma umeandika 🔥🔥🔥. Big Up Sanaaaaa

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว

      Aminia sana

    • @calvinhosea278
      @calvinhosea278 3 ปีที่แล้ว +1

      umee ua mwanangu... the last king of 90's... acha wengine watengeneze kiki sisi tuna toa hits

  • @fredricklyimo3238
    @fredricklyimo3238 3 ปีที่แล้ว

    Safii,kazi nzuri sio nzuri tuu bali nzuri sana kima hawawezi hizi lines@goodjob2all

  • @panganidc
    @panganidc 3 ปีที่แล้ว

    Oy mpira lazima utembeleee babaako. Nakubal sana mzee ngoma jiwe na nusu chapaaaaaa

  • @deusdeditmushi3856
    @deusdeditmushi3856 3 ปีที่แล้ว +5

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kazi iendeleee

  • @realpupanene
    @realpupanene 3 ปีที่แล้ว +9

    Karata Zichangwe Mchezo Ushaujua 🙌🏽🙌🏽 #MWT Ni Motooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +1

      🔥✊🏾

  • @rightmaker2558
    @rightmaker2558 3 ปีที่แล้ว +9

    Dogo bora akabidhiwe tu Paula amtunze na kumfundisha.. Maana akili kubwa hii🗣

  • @Sillahbunduki
    @Sillahbunduki 2 ปีที่แล้ว

    Safi mkuu

  • @barakhamapigo6381
    @barakhamapigo6381 3 ปีที่แล้ว +1

    Oyaaaaaaa we lichukuee kiroho safi yan unajua mkuuuu

  • @richardemmanuel598
    @richardemmanuel598 3 ปีที่แล้ว +7

    Talented mtoto wa taifa🔥🔥💯

  • @lordmuller689
    @lordmuller689 3 ปีที่แล้ว +13

    Wapi likes love from kenya....mimi pia ni rapper ila kwako Rapcha nakupa heshima💥

  • @pablomoses9591
    @pablomoses9591 3 ปีที่แล้ว +13

    Anyone who's reading this in 2090...know that #RAPCHA was a Legend! please give him some respect 🔥👊🐲

  • @ramcosaly3324
    @ramcosaly3324 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee bab upo vzr htr mzee bab

  • @dylanbrien842
    @dylanbrien842 3 ปีที่แล้ว

    Daaah we msenge unajua hadi kero asee The New bigger thinker pure fire unajua sanaa ushi humu humu kweny uhalisia tunakuwel sana

  • @peterjr8073
    @peterjr8073 3 ปีที่แล้ว +7

    Like twende sawa kama kweli unamkubali rapcha

  • @footballrecaps2680
    @footballrecaps2680 3 ปีที่แล้ว +4

    Amazing Song!! Keep Going!

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 3 ปีที่แล้ว +13

    1.Nataman nitume voicenote
    2.Rapcha unaandika mnoo
    3. Nimejua nn unamaanisha nikiwa verse 2
    Keep it up bro you derseve kuitwa raper Rapcha

    • @RapchaTz
      @RapchaTz  3 ปีที่แล้ว +2

      Bless up

  • @josephkahumuza5580
    @josephkahumuza5580 2 ปีที่แล้ว

    Bless mwamba siku God ata bless. Nakuelewa sana mwana. God bless

  • @yossephcasiani2328
    @yossephcasiani2328 3 ปีที่แล้ว +1

    Oi wananguu wezeshaaa mwambaa akaliee piraaa. ...YA Ukalii Sanaa

  • @hermanwilliam8520
    @hermanwilliam8520 3 ปีที่แล้ว +3

    Bonge la freestyle nakubali xana this is hip pop feel this vibe guys

  • @RazzoPopular
    @RazzoPopular 3 ปีที่แล้ว +8

    King of freestyle

  • @mryu7915
    @mryu7915 3 ปีที่แล้ว

    Oyo RAPCHA unajua hadi unaboa broo kaza sana CHUMA tunachukua safi sana broo kazi inzuri

  • @a.g.e.tanzania
    @a.g.e.tanzania 3 ปีที่แล้ว +1

    Father P akupe chuma tu mzee wangu ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Kemdraphael
    @Kemdraphael 3 ปีที่แล้ว +10

    Rapcha🔥🔥🔥The last King's of 90's #mtotowataifa

  • @rnationalcamp4609
    @rnationalcamp4609 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupa cheo baada ya young lunya unafuata

  • @TheMint_tz
    @TheMint_tz 2 ปีที่แล้ว +6

    A masterpiece that contains :-
    No hot girls,
    No swearing,
    Tells a story,
    And sends a message,
    Truly a masterpiece by the masterpiece himself. 2022 am here

  • @monicamarmo9655
    @monicamarmo9655 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie nyie huyu kaka anajua adi kero kama unamkubali gonga like

  • @ngoeupdates6698
    @ngoeupdates6698 3 ปีที่แล้ว

    Weeee BROTHER kwani ulizaliwaaa WAAPIIIII....??? Aseee umetishaaaaa ..king

  • @sekembembuya517
    @sekembembuya517 3 ปีที่แล้ว +21

    New upcoming best raper in Tanzania

    • @johnmbezi5827
      @johnmbezi5827 3 ปีที่แล้ว +2

      Sio raper tu, bali best raper mwenye fikra zinazoishi, Big Up Bro.

  • @kaymsafi
    @kaymsafi 3 ปีที่แล้ว +4

    GREEEEAAAAT STYLE HII🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥NIMEKUELEWA SANA

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 3 ปีที่แล้ว +6

    Your big fan from Moçambique 🇲🇿 🔥🔥