Eee Mungu nisaidie niwe na Mwisho mwema Na uzao wangu ,Asante Mungu umenipa upendeleo wakipekee kunizuia mapambo na Manguo yasiyopendeza Nashindwa kuelezea ,Umekuwa Mwema kwangu Umenionya juu manabii wa Uongo ,Asante Yesu nisaidie nikae kwenye utakatifu
We mungu ,roho mtakatifu aongezeke ndani yangu niwe na mwisho mzuri anifundishe amina
Eee Mungu nisaidie niwe na Mwisho mwema Na uzao wangu ,Asante Mungu umenipa upendeleo wakipekee kunizuia mapambo na Manguo yasiyopendeza Nashindwa kuelezea ,Umekuwa Mwema kwangu Umenionya juu manabii wa Uongo ,Asante Yesu nisaidie nikae kwenye utakatifu
Amen
Ubarikiwe mtumishi.
amen be blessed
@@shuhudazakweli3406 ubs
Ubarikiwe mtumishi