Mziki wenye nyimbo zenye ujumbe na mafunzo ya maisha ya kijamii ilikuwa wakati huo kwa wanamziki waliokuwa na vipaji, Kwa sasa hatuna wanamziki Bali tuna wasanii wa mapenzi.
Syvrster cameo tuko pamoja ya kwamba leo hatuna wanamziki kabisaaa, enzi zile hakukwa na hizi komputer na miziki ilikuwa safi ki instrumentali, na pia sauti zao ziko safi.
🎉nilikuwa kijijini Rutamba na babu namanyanga kilimile mzee Mdaka mangulembe Niko mama fatu Hamisi lingondingo
Ngoma za zamani ni mpango mzima
Sauti ya Marehemu Maalim Muhidin Gurumo mtindio wa Msondo Ngoma hatari Sana!
Tafathali Njohole Jazz.
Super Stereo Hassan Rehani Bitchuka and Gurumo on vocals.
Mabere playing solo,Computer Mwanyiro on bass.
Well analyzed, unaijua miziki hii kweli kweli
Bitchuka sauti katika ubora wa juu utulivu 100% mpangalio wa vyombo 100%
November ,2024
Naikia sauti ya Bichuka hapo akiwa bado ni kijana mdogo sana, dah.
Mziki wenye nyimbo zenye ujumbe na mafunzo ya maisha ya kijamii ilikuwa wakati huo kwa wanamziki waliokuwa na vipaji, Kwa sasa hatuna wanamziki Bali tuna wasanii wa mapenzi.
Hata mapenzi yenyewe hawayawezi kutwa kuachana na mapenzi ya jinsia hao wanawake hawafiki hata kileleni ajabu
Heee Nakumbuka mie wakati ule Mchele kwa ratili sio kwa kilo
Enzi zile😊👍
Nakumbuka dagaa nafungiwa kwenye jani la mgomba
Kumbukumbu tosha
Syvrster cameo tuko pamoja ya kwamba leo hatuna wanamziki kabisaaa, enzi zile hakukwa na hizi komputer na miziki ilikuwa safi ki instrumentali, na pia sauti zao ziko safi.
Kweli kabisa
Bitchukaaaa