WANACHAMA CCM Wapita MTAA kwa MTAA kuhamasisha WATU Wakapige KURA LONGIDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- WANACHAMA CCM Wapita MTAA kwa MTAA kuhamasisha WATU Wakapige KURA KESHO...
Katibu wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Longido, Judith laizer, amewaongoza wanawake wenzake na Vijana kwa ujumla kupita mtaani na kuhamasisha watu ili wajitokeze kwa wingi kesho Oktoba 28, katika vituo vya kupigia kura ili waweze kuwachagua viongozi wanaowataka...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Wana Longido oyeeeee
Safi sana
Safii Sana 🙏
Chadema kutwaaa uongo wanaona diri. Mwaka wao😂😂😂
Asanteni kina mama
Hakika mmefanya kazi kubwa sana, mmevuna mlichopanda.
Mbarikiwe sana nyinyi ni wazalendo wa kweli... Magufuli kiboko yao
Mungu akulinde
Safi wa mama
🙏🙏🙏❤
Hilo.kosaa.sana.kapeni.zimeishaa.tayari
Magu oyeeeee
Chadema oyeeeeee dawa ya uhuni ni uhuni tu
Kesho kula magu hoyeeeeee
UN Wamesha mtangaza magufuli
LISU UMETUCHAFULIA MAGUFULI WETU KESHO ATASAFISHWA KWA DHAHABU ✔️✔️💚
Sana! President Magufuli oyeee! ✅🇹🇿💣👍
Safi ndugu zangu.
Ccm oyeee!🇹🇿👍✔
Mungu mkubws
Goood kabisaa
Mungelikuwa kwetu nyinyi kina mama wallahi mungelichezea bakora nyingi sana
Sasa.kwanni.waishi.na.beseni.wakati.muna.raisi.nzuri.tokeni.zenu.kapeni
Njoni.mujee.muashe.zanzibari..huo.upuzii.wenu. k apeji.zimeishaaa
Wivu wako
Zanziba yenyewe mmeshindwe chadema😂😂
Mutawazingu.hao.wajingaa.yote.njaa.hio.inakupelekeni.tokeni.zenu
Kwani umeitwa umu kukoment kichaa nini
@@adijaniyonkuru9731 mwambie bwege uyo.
@@farajilugendo5593 ni mpumbavu Sana huyo kwanza ni mkenya
Mbarikiwe sana nyinyi ni wazalendo wa kweli... Magufuli kiboko yao