FATWA YA SHEIKH MSABAH KUHALALISHA MUZIKI - MSIKILIZE!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.พ. 2023

ความคิดเห็น • 65

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 16 วันที่ผ่านมา

    Maneno ya kwenye nyimbo hyo yapo sahihi ila mziki ulioingizwa sio sahihi ktk dini, lkn mashair yapo sawa

  • @saidially9855
    @saidially9855 ปีที่แล้ว +1

    اللهم سلم

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko หลายเดือนก่อน

    Ila alishawahi kuugua matatizo ya kiakili,alafu sasa ndo imamu allahu akbar allah amuongoze

  • @BahajiKahawa
    @BahajiKahawa หลายเดือนก่อน +2

    Assalaamu alaykum, waislam wenzangu huyo ni sheikh tena ni sheikh MAASHAALLAH, ila ndio km tuambiwavyo Kua Sisi wanadamu sote tunakosea. ALLAH atufahamishe.

    • @LuqmanAndrew-nu9rx
      @LuqmanAndrew-nu9rx หลายเดือนก่อน

      Allah atujaalie mwisho mwema sote tunakosea

    • @BilaliIloko
      @BilaliIloko หลายเดือนก่อน

      Yaani kuna mambo unajiuliza hata hili,yaani hata asiyekuwa na elimu hawezi kutetea ujinga huu

  • @jumbemachano9207
    @jumbemachano9207 ปีที่แล้ว

    إ تق الله. يا معلم.

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh anashusha mistari tu 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 23 วันที่ผ่านมา

    Mashekhe wa chama hawa mtihan tu
    Nilichukia sana Siku nilipomsikia

  • @adammakame
    @adammakame ปีที่แล้ว +1

    Huo hauitwi msimamo wa wastani, kwani uastani ktk mambo ndio dini hasa ndio bora kama Mtume alivyosema (خير الأمور أوسطها) sasa wapi uislamu unaruhusu nyimbo na mziki, nani ktk wanachuoni kakutangulia ktk msimamo huo unaodai kuwa wa wastani, mche Allah shekh wetu siri na dhahiri pia unapokua mbele ya watu kwani kiukweli unaponyokwa sana na maneno machafu na hasa unapojaribu kuzungumzia msimamo tofauti na ulonao.
    Allah atuongoze

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 10 วันที่ผ่านมา

    Uharamu wa miziki sio mashairi Bali vile vinanda na ngomba ndio haramu munatakiwa mumfahamu sheikh acheni kumhukumuu tuu

  • @ibnuabdallathabit142
    @ibnuabdallathabit142 ปีที่แล้ว +4

    Atakaezingatia maneno yake kwa undani kuhusu mziki nadhan atakua ameelewa. Ama ukiangalia tu neno muziki utasema haramu; shekhe hafai nk . Tujaribu kumfahami lengo lake

  • @saidially9855
    @saidially9855 ปีที่แล้ว

    هآألآء من دعاة على ابواب جهنم

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 17 วันที่ผ่านมา

      Si lazma uandke kiarab unajiaibisha 😂😂😂

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko หลายเดือนก่อน

    Yaani sasa kwahiyo watu tuendelee kuskiliza music shekh hayyah tunashukuru shekh watu kwa fatwahiyoo ilaa dah 😂

  • @bagalucha
    @bagalucha 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe umependa mziki au üyeniz/mafumbo,ambayo hayo hata mtume aliyahalalisha,hebu Sheikh msabaha tuweke sawa hapa,mziki ni vinanda,tenzi ni maneno/mafundisho,au mimi nimekosea,Sheikh sahihisha hapo.

  • @firo0ozdawah378
    @firo0ozdawah378 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni mpotoshaji kuweni makini na elimu yake na Imani yake Ina kasoro ya TAWHEED ...

  • @abdullasaidmkadam6163
    @abdullasaidmkadam6163 ปีที่แล้ว

    دعاة على أبواب جهنم من أجابهم قذفوه فيها

  • @Juma-om7ho
    @Juma-om7ho 3 หลายเดือนก่อน

    HUYU JAMAA KUMBE NI SHIDA SANA DOH! ILA HUENDA HANA AKILI TIMAMU.

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน

      Ana akili sana huyu,alisoma Madina hadi akasema sioni jipya kwenye vitabu kila ninaloangalia nalijua

  • @presstv7700
    @presstv7700 5 หลายเดือนก่อน

    ninaomba namba yake ya simu jamani

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

    Shekh msabah unajitahidi lakini kwa Leo umevurumisha tu. Linalo katazwa ni MZIKI na sio NASHEED. Alhabib tofautisha nasheed na MZIKI. Mziki ni vianda na nasheed ni kuimba. Ukichanganya pamoja ni kharamu, au ukisema nasheed japo tupu kwa maneno mabaya ni kharamu. Mazuri upo Sawa

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 5 หลายเดือนก่อน

      Unasemaje wewe?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-pu2uw2ib5y mdomo haukatazwi ila matusi na neno la kufuru. Ndio nnachosema.

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 5 หลายเดือนก่อน

      @@hilalkhalfan1452.... Kasim Mafuta na Muhammad Bachoo wao ni mawahabi na mawahabi
      1)wana itikadi za kikristo husema km Allah anatembea kwa miguu!
      Anapeana mikono na watu na kukumbatiana na watu!
      Anashuka chini na kupanda juu!
      Amekaa kitako juu ya arshi na miguu yake ameeka juu ya kursiyyu nk
      2)kila wahabi humuona Shia na ibadhi na wafuas wa madh'habi zote km si waislam ili uwe muislam basi uwe wahabi. Yakatae hayo useme km si kweli! Yote kwa Yote wapo wanachuoni wanaosema km ngoma itapigwa vizuri haina tatizo

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 3 วันที่ผ่านมา

    yeye mwenyewe ni msikilizani mzur wa mziki unadhani itakuaje sasa katik uislamu hakuna msimamo wa wastani ktk uislmu

  • @WaziriShabani-ie3nh
    @WaziriShabani-ie3nh หลายเดือนก่อน

    hizonazo nidalili za kiama

  • @KassimKhamis-im1kv
    @KassimKhamis-im1kv 3 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @mafundisho81
    @mafundisho81 ปีที่แล้ว

    kwaiyo kijana naww unasikiliza music

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅 nimevunjika mbavu daah! Ukute nae anamsikiti huyu et aitwa nae shekhe ,sasa huo msikiti sijui balaa lake lipoje maana mwalimu kipofu, maamuma kipofu sijui wataongozana vipi hawa jahazi sindo litazama sasa, kweli naamini ile kauli isemayo itafika wakati uislamu utaongelewa na hata watu majahili waso soma.

  • @Kekulebenzene
    @Kekulebenzene 4 หลายเดือนก่อน

    Mnajua maana ya fatwa?
    Huyo ni mpuuzi tu ambaye hafai hata kumsikiliza

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 5 หลายเดือนก่อน

    kudadeq eti shekh!?? eti balaa lake liko wap? dhambi iko wapi?? mmmh hawa wengine msiseme ni mashekhe hawa ni wapotoshaji

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx หลายเดือนก่อน

    Nae ni binadam kateleza kwaio tuchukue mazur yake na mabaya yake tuyaache, tusiwatusi masheik nao n binadam tu.

    • @BilaliIloko
      @BilaliIloko หลายเดือนก่อน

      Sasa kama hili umelitambua udhani mangapi atakufa fanya ambayo huyajuii kwa kwa uchache wa elimu yako,ingiza Google angalia fatawa za wanavyuoni ,,,mkitadharishwa watu wametetea,mshukuru Allah kuwa hali walijua

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 หลายเดือนก่อน

    Mziki ni haramu tu.
    Huwezi kufikisha jambo jema mpaka kwenye mziki?.

    • @presstv7700
      @presstv7700 5 หลายเดือนก่อน

      nipe aya au hadithi ilioharamisha mziki

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@presstv7700inamaana wewe quran husomi

  • @Di-official97
    @Di-official97 ปีที่แล้ว

    Sasa vp kuusu ala za muziki maana ndo tunaambiwa kharam .shekh amesema hii nyimbo haina ubaya anamaanisha ala za muziki ni halali ama vp, afafanue tuelewe.pia kwa anavotaka yeye ukimtaja Allah kwa majina yake ukachanganya na muziki kweke itakua hakuna ubaya au vp.

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 ปีที่แล้ว

    Kisha mtu kama huyu ngo aje kumradi Dr Islam Muhammad Salim ima Sheikh Muhammad Bachu si unaona ni Channel yako niyakupoteza tu watu huyu ni zaidi ya mlango wa moto watu kucheza watu kama mweye haya acha tuone mpaka mwisho 😂😂😂😂

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 5 หลายเดือนก่อน

      Wote hao ulowataja si waislam bali ni wakristo no 2.... Mana ni mawahabi

  • @KassimKhamis-im1kv
    @KassimKhamis-im1kv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chizi hiloooo yaani msabaha ni tahira huyu sio shekhe yeye ni mlevi tu Kama walevi wengine

    • @LuqmanAndrew-nu9rx
      @LuqmanAndrew-nu9rx หลายเดือนก่อน

      Sheikh ni wew msomi mkubwa,
      Binadam gani asieteleza? Yaan mtu unaweza kufanya mema mia ila baya Moja tu linakutia ubaya hii haipo.

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio waitwao Masheikh, eti mtu kama huyu pia humradi Sheikh Kassim Mafuta. Mtashuhudia mengi sana kwa hawajamaa wa Maulid

    • @makamekhalfan5968
      @makamekhalfan5968 ปีที่แล้ว

      kw iyo ashaingia motoni mungu au

    • @ibnuabdallathabit142
      @ibnuabdallathabit142 ปีที่แล้ว +1

      Anayosema yanahusiana na kitu gani kuhusu maulid???

    • @khalifasaidi7298
      @khalifasaidi7298 ปีที่แล้ว

      Maulid inakukela kwani

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 ปีที่แล้ว +1

      Mafuta sio sheikh wewe acha ujahili mafuta ni tullab l ilm na mwenyew anakiri hilo sasa ww unasema ety ni sheikh na nimpotoshaji tuu wakiwahabi

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 5 หลายเดือนก่อน

      Kasim Mafuta ni wahabi na mawahabi ni wakristo no 2

  • @KassimKhamis-im1kv
    @KassimKhamis-im1kv 3 หลายเดือนก่อน

    😂